KISA CHA KOMANDO WA "CUBA" ALIYEJIFICHA TANZANIA/USO KWA USO NA NYERERE, S01EP25.

  Рет қаралды 49,104

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Mwanamapinduzi wa Cuba, na raia wa nchi ya Argentina ERNESTO "CHE" GUEVARA, anatajwa kuwa mpiganaji aliyeacha alama kubwa duniani...alifika Tanzania 1965 kwa ajili ya kukamilisha mpango maalum........KARIBU
UTAZAME KIPINDI CHA MAELEZO
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Nyerere #Africanmovement #Cheguevara

Пікірлер: 67
@rappermonster361
@rappermonster361 Жыл бұрын
One day i believe my country Tanzania will become among the greatest nation in the world
@aminmbalamwezi6371
@aminmbalamwezi6371 21 күн бұрын
Future impossible tense
@FELIXNDOSHI
@FELIXNDOSHI 7 ай бұрын
Huyu mwamba huwa namkubali sana na alikuwa mwanamapinduzi na mjamaa wa kweli,
@kessyantoy6223
@kessyantoy6223 2 жыл бұрын
Asante Kiongozi, Elimu Nzuri Sana, R.I.P Ernesto, Salute
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
Kizuri katika dunia hii huwa hakidumu. Hata mimi najua sitadumu katika dunia hii. Wote tu wasafiri. Kazi yangu itakapoisha hapa duniani bac nitaondoka.
@geofreymwaijonga4044
@geofreymwaijonga4044 2 жыл бұрын
Hujawahi kukosea Dupa. Keep going Dar24Media.
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 2 жыл бұрын
Safi Sana nimekusikiliza bila kuchoka mungu akujalie uwezo wa kujieleza zaidi ya hapo asnte Sana🙏💓
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 жыл бұрын
This is incredible👍🇩🇪
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 2 жыл бұрын
Hii kazi unaiwezea Sana mjomba,, ningeomba serikali ikuone
@BigBoyTechToys
@BigBoyTechToys 2 жыл бұрын
Thank u
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 2 жыл бұрын
Vizuri sana
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 2 жыл бұрын
Respect
@paskalmaganga9225
@paskalmaganga9225 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Amlipe kila lililo Jema apimzike Kwa Amani 🙏
@danideuli5313
@danideuli5313 2 жыл бұрын
Uko vizuri sana ktk kusimulia
@Steve.influencer
@Steve.influencer 2 жыл бұрын
I literally come to KZbin everyday to check the notification “someone liked your comment’’ and “you have a new subscriber’’ it’s always Make my day🎭
@fredrickfilbert3922
@fredrickfilbert3922 2 жыл бұрын
Haya ni madini ya maana sana, Erenesto Che Guevara De La Cena, Mwamba wa Miamba. Nasikia kuumia saan. R.I.P Che
@petermuganda7322
@petermuganda7322 Жыл бұрын
Uko vizuri kaka story tamu masikioni na hisia kali
@malandichangarawe4568
@malandichangarawe4568 Жыл бұрын
Bravo
@MrKhatibu
@MrKhatibu 2 жыл бұрын
Niesoma kitabu chake cha Africa Dream. Umepenyeza mengi ambayo hayana ukweli
@emmanuelngalamika3796
@emmanuelngalamika3796 2 жыл бұрын
nakubalii
@johnsonmshana4695
@johnsonmshana4695 2 жыл бұрын
RIP Comrede Che'
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro Жыл бұрын
Nos lider🤝🔥🔥
@aloycekayanja1756
@aloycekayanja1756 7 ай бұрын
Sio kweli bwana congo hatukuisadis chochote kwani yenyewe ilitutamgulia kupata uhuru!
@nowelaraymond4894
@nowelaraymond4894 2 жыл бұрын
Viva Cheguavara!
@bonifacecredo3287
@bonifacecredo3287 7 ай бұрын
kabla ya kuleta simulizi kwenye media washirikishe watu wengine ili kuweka mambo sawa. Che guevara alikuwa mpambanaji aliyeamini kushinda kwa ujamaa popote ni ushindi kwake na kushindwa kwa ujamaa popote ni kushindwa kwake. Ni mtu aliyekuwa anaonekana ni hatari zaidi kwa nchi za kipebari, alikuwa akitafutwa na mambepari hasa marekani kwa udi na uvumba. lakini siyo kweli kwamba alienda kongo kuungana na akina Kabila kupindua Serikali ya Mobutu seseseko bali miaka hiyo ya 1960's alienda kuungana na wapigania uhuru dhidi ya utawala wa kikoloni wa kibelgiji.
@tumainijonas1765
@tumainijonas1765 2 жыл бұрын
🔥
@bonifacecredo3287
@bonifacecredo3287 7 ай бұрын
we nimsimulizi mzuri lakini siyo kweli kwamba che guevara alikuja kumsaidia kabila kumpindua mobutu seseseko alikuja kuungana na akina Patrice Lumumba kupigania uhuru dhidi ya utawala wa kibelgiji
@isayacharles2850
@isayacharles2850 7 ай бұрын
Mdupange Ahsate sana, kwakunipa history ya mtu ni mpendae yaani Ernesto cheguevara
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Eduardo Mondlane alifariki mwaka 1969 kwa bomu lilotegwa kwny barua aliyotumiwa na Mabeberu wa Kireno
@sulleyally5040
@sulleyally5040 2 жыл бұрын
Nakukukubali sana tulee nyingi tu km hizo
@dupamdupange5918
@dupamdupange5918 2 жыл бұрын
Shukran sana, Sulley Ally na Karibu tena 🙏
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 Жыл бұрын
Wa marekani mbwa sana
@catherinelusungu1666
@catherinelusungu1666 7 ай бұрын
viva che guavara
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 3 ай бұрын
Mashujaa babu zetu tunaomba
@KALUGOWAMENZA
@KALUGOWAMENZA 7 ай бұрын
R.I.P MWAMBA, ALUTA CONTINUA
@idontknowwhoami3066
@idontknowwhoami3066 2 жыл бұрын
Cheguevara
@jeremiaobadi7579
@jeremiaobadi7579 2 жыл бұрын
Ahsante sana rafiki yetu kuyupa shule na ufahamu wa kujua historia ya Dunia"
@abuusufian6506
@abuusufian6506 2 жыл бұрын
❤️✔️
@freddymtashi5020
@freddymtashi5020 7 ай бұрын
Komandoo Tamim hakuacha watoto?
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 7 ай бұрын
Aliacha watoto wawili
@websuperspy
@websuperspy 2 жыл бұрын
Nenda ujifunze historia ya ukweli. Uhuru wa Zanzibar ulipatikana 1963. Huu mwaka wa 1964 ulikuwa ni wa mapinduzi haramu ya kivamizi. Amka upate kupata heshima na wacha kutoa story feki.
@magorymara5515
@magorymara5515 2 жыл бұрын
Halali ni upi ule wa kuuzana kama kuku
@MrKhatibu
@MrKhatibu 2 жыл бұрын
Uhuru upi kwani Zanzibar si haikutawaliwa na Waingereza? NA ndio maana tukawa na Mfalme Kama kiongozi wa nchi.
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 Жыл бұрын
​@@MrKhatibuUhuru ulitolewa na Uingereza na Sultanate of Oman kwa kukubaliana Zanzibar ipate uhuru wake December 10 1963.. Mwaka 1964 ni Mapinduzi ya Zanzibar ambapo ilipinduliwa Serikali huru ya Zanzibar ilioundwa kuanzia December 10 1963.. Kwahiyo Mapinduzi hayakufanywa dhidi ya utawala wa Oman ila yalifanywa dhidi Serikali ya Wazanzibar iliokua inaongozwa na waziri mkuu wa kwanza wa Zanzibar, ndugu Mohammed Shamte..
@MrKhatibu
@MrKhatibu Жыл бұрын
@@hasnuumakame9219 kaka siku sema popote kama iliopinduliwa ni sultan,, ila nime uliza kwani Zanzibar ilipata kuwa koloni la British! Na kama iliopinduliwa serikali ilipewa "Uhuru" Serikali ya Jamuhuri ya Zanzibar, kwanini Sultan wa Zanzibar alibagwa usultan wake, kwasababu serikali ilikuwa huru.
@tausiramadhani4259
@tausiramadhani4259 2 жыл бұрын
Jina halitapotea ktk dunia hii comandate che guavara
@simontamba1285
@simontamba1285 2 жыл бұрын
Ivi bado watu Kama hawa Wapo Kwelii
@simontamba1285
@simontamba1285 2 жыл бұрын
MTU anajitoa Muhanga kwa ajili ya Watu Maskinii dah Uzalendo ganii huuu Kufa kwa Ajili ya watu Maskinii Ni zawadi Kubwaa Rip Sankara Rip CHE
@neymarafrican4825
@neymarafrican4825 2 жыл бұрын
Mbona Matukio ya Picha za huyu Cheguevara ni ya Watu weupe tu! Je hakuna Picha alizokutana na Wabongo?
@suleimansheibany7179
@suleimansheibany7179 2 жыл бұрын
Uhuru Zanzibar sio 64 Uhuru zanzibar 63 mwezi 12
@rahmanali4616
@rahmanali4616 2 жыл бұрын
Uwongo Mtupu
@matunzojr4862
@matunzojr4862 Жыл бұрын
shoot me coward, you only gonna kill me but you cant kill my ideas better to die standing,, than to live on your kneels the true revolution is guided by the great feeling of love HIZI NI KAULI ZAKE 3 AMABZO SIWEZ ZISAHAU EVER
@johnruthaclaud8950
@johnruthaclaud8950 Жыл бұрын
He you are reading my mind
@saimonlikalangu8924
@saimonlikalangu8924 2 жыл бұрын
🔥🗣️
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 2 жыл бұрын
Mtangazaji unavoongea hisiazangu nikamavile namuona jpm kwa ukweli aliokua anaongea ukweli
@twofivefive906
@twofivefive906 2 жыл бұрын
Kweli kamu kubwa hakika nime fulai sana
@Kokafamil
@Kokafamil 2 жыл бұрын
Punguza kuongea sana tupe stop wacha kurudia rudia maneno 😏😏
@iddomary4064
@iddomary4064 2 жыл бұрын
Unajuwa kijana hongera
@mbarukuchuwa8480
@mbarukuchuwa8480 2 жыл бұрын
Usirudie rudie maneno.. Story.. Teleza mbele ...haitaboa
@alijuma8009
@alijuma8009 Жыл бұрын
Historical biasness
@simontamba1285
@simontamba1285 2 жыл бұрын
MTU anajitoa Muhanga kwa ajili ya Watu Maskinii dah Uzalendo ganii huuu Kufa kwa Ajili ya watu Maskinii Ni zawadi Kubwaa Rip Sankara Rip CHE
@websuperspy
@websuperspy 2 жыл бұрын
Nenda ujifunze historia ya ukweli. Uhuru wa Zanzibar ulipatikana 1963. Huu mwaka wa 1964 ulikuwa ni wa mapinduzi haramu ya kivamizi. Amka upate kupata heshima na wacha kutoa story feki.
@columbus2084
@columbus2084 2 жыл бұрын
1963 uhuru ulikuwa haramu. Madaraka yalirudishwa kwa Sultani na serikali ya kiarabu. Ingekuwa ni upuuzi kuachia visiwa waarabu ilhali ardhi ni ya watu weusi. Ingekuwa ni kuendeleza utumwa kwa mtu mweusi. Kama wewe ni mwarabu basi vumilia tu ndio hivyo hakukuwa na namna.
@websuperspy
@websuperspy 2 жыл бұрын
@@columbus2084 Hizi ni fikra na chuki za upotoshaji uliopandikizwa. Elimu ni njia pekee ya kujikomboa na fikra za kibaguzi zinazoenezwa na wasio Waislamu na kupigiwa madebe na waliotekwa kiakili. Rejea kwenye dini na tarekhe ya kweli. Nani kakwambia kama Afrika ni bara la watu weusi? Huhisi kama utawala wa Waarabu ungekuwa bora kuliko njaa ya kujitakia iliyoletwa na hao watawala waliopindua mpaka imefika hadi watu wapi hoi! Amka ndugu yangu. Muarabu si adui wa Muafrika. Waarabu walichanganya damu na Waafrika kwa ridhaa sio kinguvu na wakaleta vizazi kwa miaka mingi tu pasi na kuleta mauaji.
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
The Gray Area | Yuval Noah Harari on the AI revolution
1:12:04
U.S. State Department press briefing: 10/2/24
1:03:25
Associated Press
Рет қаралды 15 М.