Barikiwa sana mtumishi ndacha na uje uku Tanzania ufundishe
@alexnshimiyimana55262 жыл бұрын
Ninyi wafuatiliaji wa Watu wa Mungu supporteni hii ministry wekeni azina zenu mbinguni
@sashalemmoh326411 ай бұрын
Kabisa mwaya
@duncanokumu27012 жыл бұрын
Barikiwa sana Team Biblia Nuru ya Dunia na Present Truth Loudcry Pioneer Ministry
@glorialaizer9450 Жыл бұрын
God bless
@mussalwaho9120 Жыл бұрын
Nafuatilia sana mahubiri yako mchungaji Ndacha Mungu akujarie maisha mema amen
@NyancheraObure Жыл бұрын
Amen pastor be blessed for your good job❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@anthonygathenge5121 Жыл бұрын
Asante I Sana walimu wangu nafuraia Sana Kwa mafundisho mema
@triciamwango73422 жыл бұрын
Hallelujah Bwana Yesu asifiwe sana,,,,injili itaendelea na kutangazwa kwote,,,,Amen Amen Amen na uje Bwana.
@kipkemoigablin54642 жыл бұрын
Thanks pastor for opening my eyes..May God bless you and your team...
@peninamatheka6192 жыл бұрын
Majaribu kama ayo yalikuwa siku za mitume ila kwa yote walikuwepo mashujaa walioweza kutetea Imani yao..., tuko pamoja kwa maombi.
@thegospelmessage50392 жыл бұрын
Amen tarumbeta ipigwe mda umebaki mchache
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
Stay blessed beyond repair sir Ndacha you make my heart felt feeling the presence of of God when you preaching the undiluted Gospel
@johnmuturigithinji3581 Жыл бұрын
Godblessu
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
@@johnmuturigithinji3581 impressive Sir 👏 I love your reply makes on the comments section 👏 be blessed too
@jonathangithinji26522 жыл бұрын
Nyandarua pia twawahitaji..karibuni sana team Biblia nuru ya dunia.
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
More respect for Frank onyango's sounds he deserves nothing but the best hardworking youngmen he came across to help Ndacha in fact Frank onyang you are one in a million
@chancekambale3498 Жыл бұрын
Nabarikiwa
@charlesboniphace22493 ай бұрын
Huyu ni mfano wa mtume Paulo kwa mataifa ameifikisha injili maneno mengi Africa mashariki
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
Congratulations sir Ndacha for your hardworking Am extremely pleased and happy when I see Frank onyang working with you..I needed it that way Ndacha prayers works in a mysterious way iam behind your back to support you and pray for you
@kennedyodidi Жыл бұрын
Mtumishi tafadhali ebu zitaje zote hizo ufalme kumi na ikiwezekana uzipee sifa zinazofanya ziingiane na hizo continents .
@willymwaipaja67832 жыл бұрын
Kuna dini nyingi tofauti na zingine, lakini zote zina mafundisho ya kuwapa wafuasi wake tumaini kwa mbinguni ama duniani. Shetani na Majini walioiamini Kurani lazima walete neno la tumaini kwa wanadamu walioamini Kurani kama wao ili wajisikie wako sawa. Iko njia ionekanayo ni sawa kwenye mawazo ya mtu, lakini mwisho wa njia hiyo ni motoni kwa sababu shetani amewadanganya akili zao. Soma Mith 14:12. Kurani ipo nahususi kwa Upingaji, na hivyo lazima ilete neno la tumaini la pepo kwa waliojiunga nayo kupinga ukweli ili waendelee kupinga wakiwa na tumaini hilo la uongo
@yohananyabu5556 Жыл бұрын
Mbarikiwe
@andersonpyaban80422 жыл бұрын
hii sermon nimelearn sana ...kutoka nikuwe VBS kitambo ndo naunderstand leo
@JamesKusekwa11 ай бұрын
Mchungaji ndacha napenda uwe rafki yangu ili tuongee mengi yakunifundisha
@Frankgamanuel Жыл бұрын
Mwalimu Ndacha Kuna sehemu nimesoma inasema Roho ni Mungu Na nyingine inasema Roho takatifu ya Mungu Embu niambie Nini maana ya Sentence hizi mbili?
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
Take heart Ndacha I feel your pain 💔just ignore 💔them and make a move forward because you are a voice crying in the wilderness sent by God..we are behind your back to support you to the fullest darling May God continue using you and give you strength to preach ❤
@deussasi92852 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@ezekielmwamba91062 жыл бұрын
Shalom BND MINISTRY BE BLESSED Challenges are their to straighten our faithful. For the ministry you're doing you've to pass through challenges and tribulations (mirima na maponde) but we have to be good cheers.
@judithmoturi34022 жыл бұрын
Be blessed 🙏
@ماتنت-ب7ز2 жыл бұрын
Amina sana thanks
@andersonpyaban80422 жыл бұрын
nimefwata hii ministry ni truth 100% through out..ivi ndo inafaa kuwa...
@wameichemshamahindichemsha5441 Жыл бұрын
wee nyamazaa
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
Amen
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
The more you meet people the more you understand why Noah saved the animals instead of people Take it easier sir Ndacha The Godhead is always with you guys be strong 💪 like walls do shake but never collapse Suffering is not for nothing..Aaaaaaawwwww wooow I like the ending sir Frank onyang so emotionally ❤May God continue using you Ndacha and bless the work of your hands and your hearsal sweetheart ❤Don't be afraid or a shamed of those snacks and Demons in the religion
@samutykuntathebantu8402 Жыл бұрын
Hey kipenzi wetu
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 happy new year 🎉comrade..congratulations
@samutykuntathebantu8402 Жыл бұрын
@@margaretmargaret5744 happy new year too
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 Ameeen dear friend we shall overcome this battle belongs to Jesus christ 🙏🏼
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
@@samutykuntathebantu8402 However brother..Remember that Vai kids vaa nthi ino kiele u kuamba God ngelanyoni..
@casaica29932 жыл бұрын
Injili isonge mbele
@peninamatheka6192 жыл бұрын
MUNGU awatie nguvu.
@threebrothers..2 жыл бұрын
How I wish my brother can quit islam😭
@stoispapi23802 жыл бұрын
Who?
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
Take heart chizungu Suffering is not for nothing
@wameichemshamahindichemsha5441 Жыл бұрын
mkopoa bat mlitoka?
@ombasadaniel59602 жыл бұрын
Plz don't forget Nairobi
@DavidMbilinyi-tn3jm8 ай бұрын
Ndugu ndaacha napeda kuchangia au kutoa sadaka lakini namba yako siioni kwa wasap yangu
@BIBLIANURUYADUNIA8 ай бұрын
+254705602959
@sophiaesmarcharo97753 ай бұрын
❤❤❤🌷🤝🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
Ndacha am waiting your paybill
@nickolausmwita23412 жыл бұрын
Mafundisho mnayofundisha Kenya hata kwetu Tanzania kunamafundisho sio sahii kwenye makanisa yetu ya SDA ukiuliza wanajibu limetoka juu ukihoji kiundani juu unayo ambiwa uongozi bari biblia je duniani ni Nini kwa sasa kilicho juu kuliko biblia
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
@@nickolausmwita2341 That's what is all about many people are still in the Babylon and that's what Ndacha is trying to Exposing such wrong leaders in the SDA church ⛪
@stoispapi23802 жыл бұрын
Toa ndugu toa dada ulichonacho 😂😂😂💔
@margaretmargaret57442 жыл бұрын
@@stoispapi2380 in life learn how to stay in your own lanes
@stoispapi23802 жыл бұрын
@@margaretmargaret5744 that's why their is paradise and hell fire.
@alsamali69642 жыл бұрын
Kwa hiyo Yesu hakuridhia kufa msalabani ni mayahudi t ndo walimlazimisha ? Sasa kwanin unatufundisha yesu alisulubiwa na kufa msalabani ili tufutiwe dhambi ? Mwalimu ndacha unatuchanganya sometimes kama unatuenjoy hivi