Ndacha ure the best may GOD Almighty gland u long life
@erickmaisha47732 жыл бұрын
Yani ndacha anasikia Raha ndani ya yesu
@DavisWangodi5 жыл бұрын
waislamu wamepotea kweli jamani..inahuzunisha sana
@yesunialamayakiama.90133 жыл бұрын
Tusichoke kuwaombea. Muham-mad aliwapoteza.
@abcdg19954 жыл бұрын
Congratulations Teacher Francis Ndasha keep burning them with the burning gospel MAY Yahweh bless y'all broken souls
@angasamoses63145 жыл бұрын
BIBILIA NDIO KITABU TAKATIFU PEKEE HAKUNA KINGINE
@minaminaa16695 жыл бұрын
SubhanAllah
@euniceeunice76805 жыл бұрын
Aipingiki iyooo bible ndio mpango mzima iyo Qrn imeandika manabii 25 tuu wengine imeacha sasa uoni kama wezetu awa wapo gizani.....alafu awajui kujibishana yan wanaludisha maneno ya mbele wanapeleka nyuma ya nyuma yanaenda mbele ndio maana ata maandishi yao yanasomwa kutoka kulia kwenda kushoto akika awa ni maroboti wa Mohammad
@zachariabin54005 жыл бұрын
Una ushahidi kuwa bibilia ni kitabu kitakatifu
@issackabdi70014 жыл бұрын
Hujasoma bibilia vizuri ...so many contridiction
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
@@euniceeunice7680 hahaha 🤣🤣🤣🤣 eti quran imeandikwa na manabi 25, ww umedanganywa ukadanganyika basi toa andiko,pia utoe andiko ni manabi wagani na nani kawambia waandike.
@abcdg19954 жыл бұрын
Yeah people wanna know who you are preaching. .Praise God Teacher Francis Ndasha continue preparing us
@charlesjafety71645 жыл бұрын
mwalim ndasha unafundisha ile kweli halisi karibu tanzania
@daudijoseph43403 жыл бұрын
Hiyo kweli angefika kwetu TZ
@charlesmakuri7924 жыл бұрын
Ndugu katika Christi mnaonyesha jinsigani hawawatu wamepotea na mtumewao wa shetani ni wabishi na mjitahidi hiyo kazi ningumu Sana hatakiusalama wenu
@johnkamangara5426 Жыл бұрын
Uyu ndacha nii moto sana
@fredrickkilonzo91683 жыл бұрын
C bure yesu kutumia methali kwa wale wasio na hekima wa simutabua Ila walio na ndio walimtambua.Giza Nene limewafunika waisilaamu.
@tresorkihungu3172 Жыл бұрын
Mwislamu Kaleta porojo anakimbia swali
@sarahwanjala66015 жыл бұрын
Mimi nasema hivi nanikweli waisilamu mtalia sana kweli Yesu ndie jia na kweli na uzima wacheni ubishi waunafiki wakati nafusi zenu zinawasuta usilam bila majini sio usilam na ubishi wenu nivile baba yenu waubishi yupo ndani yenu ambae nishetani Mungu awaokoe kweli .....barikiweni sana watumishi wa Mungu kwakazi munayo fanya Wacha Mungu awape nguvu 🙏🙏🙏🙏
@jamilshisia59295 жыл бұрын
Sarah wewe hunalolote yesu alitumwa Israel wewe ni mwisirael?? Acha kung'ang'ania kwa mtu hakujui
WAISLAM NI WAFUASI WA SHETANI, NA NDIO MAANA WANASHINDWA KUJIBU MASWALI
@asiamohamede39525 жыл бұрын
Shetani ni wewe yaan wewe ufanye malaya useme yesu.kivipi.yaaan
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
Kwanza shetani mwenyewe ni muislamu kasilimishwa na muhamad (asili ya majini page 20) na waislamu wengi hawajui ata walimu wao hawasemi
@yesunialamayakiama.90133 жыл бұрын
Shetani ni Muislamu maana alisilimishwa na Muham-mad(Maisha ya mtume muham-mad uk.20). Tena aliyeteremsha Quran ni adui wa Malaika Gabriel (Quran 2:97). Adui wa Malaika Gabriel ni nani kama si shetani mwenyewe???!👿
@lucynyambura54706 ай бұрын
Kweli kabisa waislamu wengi hawajui hiko dini Nila kishetwani Yani shetwani mwenyewe kasilimishwa Na Mohammad isitoshe Hao Mashetani huenda kusali Na wao pia Kule miskitini nadio wakimaliza Sala huwa wanasalimiana assalam lykum upande Na upande 😈😈 nawahurumia Sana waislamu
@rosenyambura165 жыл бұрын
Lakini hii mada ina kelele Sana hasa waislamu.muislamu akiwa mahali, hapakui na amani
@jamilshisia59295 жыл бұрын
Wewe sema tunamulemea hoja si makelele, hamna lolote
@danielelnestngimba55165 жыл бұрын
UISLAM NI JANGA LA DUNIA
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Ukuristo ni ukafiri
@charlesjafety71645 жыл бұрын
Ayun Ramadhan ukristo ni kweli kabisa
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
@@ayunramadhan3104 uislamu dio ukafiri kabisa nivile waislamu hawajui na hawambiwi yani ndio wapinga kristo kabisa
@Marynj5445 жыл бұрын
NEEMA ya MUNGU iwe nawe mtumishi azindi kukupa Hekima
@issackabdi70014 жыл бұрын
Matayo 24.24
@fereskenya99234 жыл бұрын
Tutabaki kuwa wa cristo
@samuelmuiruri44055 жыл бұрын
Sawa dacha👍
@janenjenga56395 жыл бұрын
Ndacha unawakamatia kila kona.
@erickmaisha47732 жыл бұрын
Nampenda Sana ndacha yuwajuwa akili ya waislamu
@Jkipsa3 жыл бұрын
Pastor Ndacha God bless you.Kindly share your email,I would like to ask you some questions/clarifications
@wendyawino58875 жыл бұрын
The lord have mercy over us, thank u jesus, ur my saviour
@issackabdi70014 жыл бұрын
Jesu is prophet of israil .he doesn't about Christianity. .christianity started 14 years after jesu left. Join Islam for external peace
@stephenkariuki78373 жыл бұрын
@@issackabdi7001 what
@DavisWangodi5 жыл бұрын
wanasoma maandiko nusu nusu tu...alafu wanaongeza maneno yao...hakika waislamu hawana ukweli ndani yao. lakini mwishowe Hamna pa kujificha ukipatana na ndacha
@muslihmohd94204 жыл бұрын
Wewe huna ata moja,huna dini,huna mungu,huna mtume,huna kitabu,halafu unataka upate uzima wa milele kwani ni wa babu yako
@atinaminzani26363 жыл бұрын
Kumbe na wewe uneona wanasoma nusunusu ili watu wasije wakasikia ukweli wa fungu kuwa lilikuwa linasemaje
@euniceeunice76805 жыл бұрын
Waislam chaliii 😁😁😁😀😀😀😀😀😂😂😂😂alafu wapo kama mapungu vile wanasoma alafu wanaruka akika waislam ni maroboti wa Mohammad 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ashamasudi94415 жыл бұрын
Pole hujui unalo sema
@shirikaniyonkuru65604 жыл бұрын
Hahahahahahaha!
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
Mwalimu wakiislam amechekesha wafuasi wake akisoma maandiko nusu
@myself41285 жыл бұрын
Waislamu msihangaike nao wanatawaliwa na majini,
@barnabamollelysaruni46135 жыл бұрын
Mim nauliza kwanin magaidi wote duniani ni waislamu
@DavisWangodi5 жыл бұрын
muhamedi mwenyewe alizaliwa akiwa na majini tayari...ndo maana ata akatoa demonic verses...kwanza alirogwa akafa.
@lucynyambura54706 ай бұрын
@@DavisWangodi Na huyo Mohammed akasilimisha shetwani Na pia Kule miskitini huwa wanaswali Na 😈😈watwambie Ni Akina nani hao wanasalimiga baada yakumaliza Sala zao washindwe Na waregee in Jesus name amen 🙏 yesu die njia YA ukweli Na die mwenye njia YA uhai
@puritykagendo16405 жыл бұрын
Wape vidonge mchungaji. Mungu akujalie maisha marefu
@muslihmohd94204 жыл бұрын
Mimi nna hamu nipate namba ya uyu ndacha na ana bahati hajawahi kukutana na mazinge wote wawili nadhani atabadilisha jina atakuwa Abuu Bakar....
@urgently58604 жыл бұрын
Wewe wacha porojo
@muslihmohd94204 жыл бұрын
@@urgently5860 hamna kitu mle ni mchekeshaji tu yule yani akipewa hoja ikamshinda atababaisha kwa kuchekesha watu yan uongo tu
@urgently58604 жыл бұрын
@@muslihmohd9420 wewe unakasumba
@lucynyambura54706 ай бұрын
Sis tunaongozwa Na damu YA yesu Kristo Wala Sio binadamu so Wacha kushinda ukitaja hicho Kikitu unataja hapa mazinge cjui mazingire fuateni dininiliyo ya haki Sio kuenda miskitini kusali Na Mashetani 😈😈😈😈😊
@ronaldawino71235 жыл бұрын
Na wanapenda fujo!!!
@akwiliniswai52035 жыл бұрын
Bila shaka mpumbavu pekee ndie anaeweza akasema hakuna mungu sasa swali nyie wote apo ni wakenya tena weusi tena pengine makabila sawa mjadala sahihi ni huu kwanini sisi ni wakristo na kwanini sisi ni waislam huo ndo mjadala unaotakiwa sii kubishana bishana tuu by siegemei upande wowote
@grdcgv7ufdwdfghh6333 жыл бұрын
Nashangaa na mambo ya siku hizi kuwa ni dini gani ya kweli na andiko tunaona yahana mpatizaji akipatiza na kuambia watu watubu na kutengeneza njia ya maana yake tuangalie matendo yetu uwexi niambia nishike siku iliali mm nimtenda dhambi ata nikishika siku ni bure ukweli ni kwamba kila mmoja ashike alichonacho asije mwivi akanyakuwa na kuwapotosha
@muslihmohd94204 жыл бұрын
Mkiristo anaejiweza anijibu hili swali pia akilijibu ndacha itakuwa vizuri zaidi ntaona kuwa kidogo ana akili..nauliza ivi... Mathayo 27:45 inasema"basi tangu saa sita palikuwa na Giza juu ya nchi yote hadi saa tisa,46 Na kama saa tisa yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akasema..Eloi Eloi..lamma sabaktani.yani mungu wangu mbona umeniacha mungu wangu?..hapa andiko linasema saa tisa yesu anaongea akiwa msalabani ila ukisoma Matendo ya mitume 10:39 inasema"Nasi tumashahidi wa mambo yote alioyatenda katika nchi na wayahudi na katika yerusalemu;ambae walimuuwa wakamtundika mtini.Hapa matendo inasema walimuuwa kwanza wakamtundika kule kwenye mathayo alizungumza msalabani,Swali langu.. Ni yesu gani alizungumza juu ya msalaba kabla hajafa na yesu gani aliuliwa halafu akatundikwa mtini...???
@erickmaisha47732 жыл бұрын
We chizi angalia n wakatigani,sasa mnamwita nabii tena ukitabiriwa hamtaki unabii wenyewe nyie
@saitotisapiyo71675 жыл бұрын
Wasilamu tulieni chindano ni chungu kuvumilia ndo kupona.
@mussajoshua12615 жыл бұрын
Mwenye akili na afahamu
@vandanmerve5 жыл бұрын
Glory to God. Please improve the quality of the sound.
@kennedyagesa74795 жыл бұрын
Shetani mwenyewe
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Uislam Uislam rah a
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
Ayub Ramadhan# uislamu ni dini ya shetani na majini ju shetani na majini ni waislamu wenzenu,(surat72) (asili ya majini page 20) soma hiyo
@lucynyambura54706 ай бұрын
@@omarmukhutar6847hawezi soma😅anajua ukweli Ila kajifanya tuh huyo Mohammed wao alikufa Na hakufufuka Ila yesu Kristo alikufa Na baada YA siku tatu kafufuka wao Na Mohammad wao wangoje siku ya kiaama
@paulmaina75705 жыл бұрын
Nahitaji namba za simu za Ndacha
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Waliolala kwenye ukuristo wamepotea pia wachungaji ni mbwa mbwa mbwa
@Julia-gm1wh5 жыл бұрын
@@ayunramadhan3104 umelaaniwa ww
@urgently58604 жыл бұрын
Huyo mohamed pia anangejea yesu am fufue sijui nanyi wafuasi wake mtakua wapi.ajabu sana
@martinmkoba3615 жыл бұрын
Anaiga swaga za dacha
@petromachanga295 жыл бұрын
Sawa angasa
@jamilshisia59295 жыл бұрын
Nyinyi wakristo hamna akili ama sijui ni kupotea mumepotea Mara yesu Mungu mara mwana Leo munasema alikufa, inalilah wa inalilah rajuni njooni kwa dini ya Mwenyezimu yenye Rehema
@safarimuhambi17895 жыл бұрын
Mutume Muhammad Ali oaa bnt waa miaka 9 na akalala naye itakuaje awe na rehema
@omarmukhutar68474 жыл бұрын
Jamil Shisia ,eti uislamu dini ya Mungu 🤣🤣🤣🤣 itakuaje ya Mungu wakati shetani na majini yani mapepo wachafu ni waislamu (hadith ya asili ya majini page 20)nyie mmedanganywa
@ramadhanchenga46063 жыл бұрын
uislamu ndo ushetani
@geraldineirankunda11595 жыл бұрын
Kitabu Ufunuo 10 Obadia
@minaminaa16695 жыл бұрын
Inalilay wainailay Rajiuun. .....
@euniceeunice76805 жыл бұрын
Mmeshikwa pabaya waislam nawaonea huruma kweli
@asmaaabdalla93725 жыл бұрын
Kwa muujibu WA yeso wakristo woteeee ni maumbwa asante yeso Kwa kuwaita maumbwa😁😁😁
@asmaaabdalla93725 жыл бұрын
Kwa sababu umbwa hawaelewi uliwajuwa kuwa wakristo pia hawaelewi Hawana tafauti na umbwa na kuunga mkono yeso😁😁
@financialloan98185 жыл бұрын
Waislm akili zao zinafanana Kila muislam the same .yan mazuzu kbs sasa kama yesu sio wa mataifa mengine kwann kasema yy ndie njia mtu yyte awezi fika mbinguni bila kupitia kwakwe aya sijui neno mtu lina maana gani ni kwa wana wa Israel au Kila kiumbe kinacho ichwa binadamu ni mtu awa kama machizi
@jamilshisia59295 жыл бұрын
Wewe soma mandiko vizuri njia kwa wana wa Israel si dunia mzima nyi wakristo njooni kwa dini ya haki mpate rehema