JENERALI ULIMWENGU - "MAGUFULI ALITUVURUGA, KURA ZIMEIBWA, MKAPA ALIWAPA MAKABURU BENKI, NDUGAI..."

  Рет қаралды 178,923

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

JENERALI ULIMWENGU - "MAGUFULI ALITUVURUGA, KURA ZIMEIBWA, MKAPA ALIWAPA MAKABURU BENKI, NDUGAI..."
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#Zungu #CharlesWilliam #MsumariWaMoto

Пікірлер: 591
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 2 жыл бұрын
Magufuli for life watetezi wake wapo milele na milele nyie pondeeeeeeniiiiiii ila amuwezi kutushawishi kumsahau mwamba poleni
@faustinerukiko2933
@faustinerukiko2933 7 ай бұрын
Yeye ndiye aliyevurugwa, sio sisi
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 2 жыл бұрын
Jenerali huwezi kumsema vizuri JPM maana wewe pia ulikuwa jipu-uliigeuza Chanel 10 shamba la bibi ulipoguswa ndiyo chanzo Cha kumchukia
@jossy8710
@jossy8710 2 жыл бұрын
KWANI CHANNEL 10 INA UHUSIANO GANI NA MADA.....
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
@@jossy8710 sasa kwani hata haya mahojiano yana ihusiano gani na magifuli? Itategemea mtu amejihusisha au kuhusishwa vipi na utendaji kazi wake magufuli. Vyote vinahusiana sana kwa lengo la kufanya analyses ya mambo ili kupata jambo.
@simongwandu7392
@simongwandu7392 2 жыл бұрын
Gen Ulimwengu unatuudhi unapomsema Magu unakera sana kwa kuwasema watu wengine wewe unatosha kiasi gani
@thobiasnerro2743
@thobiasnerro2743 2 жыл бұрын
Charles na Zungu. Mnamapungufu mengi sana katika kuhoji kwenu. Hamna mtiririko mzuri wa maswali yenu. Pia hamumpi mgeni wenu nafasi ya kutosha kueleza pointi zake. Halafu mnakuwa hamkujitayarisha vema kabla ya mahojiano na zaidi kuwa makini na uelewa mkubwa au mdogo wa mnayemhoji. Wengine ni watu wenye uelewa maradufu wa uelewa wenu. Hivyo mjiandae na ikibidi niwe mmejiandikia maswali yenu. Jenerali ni very intelligent. Sijasema the most, lakini ni intelligent na hao wanaopinga au kukosoa hilo na maoni yao mengine wanna wivu naye. Mimi namkubali toka G 55. Long live General Twaha Khalfani Ulimwengu.
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 2 жыл бұрын
Ndiyo maana hukupata nafasi kama yake
@matinazaidi
@matinazaidi 2 жыл бұрын
Charles anajitahidi sana ila zungu anarukiarukia tu kama vile ajui anahojiana na mtu mwe IQ ya aina gani..pia mwenye background kubwa
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
UMENIKUMBUSHA MBAAALI WAKATI NIPO CHUONI, TITI LA MAMA NI TAMU HATA KAMA NI LA MBWA. KATU HALIISHIHAMU HIVYO HIVYO LIMEUMBWAA HALELUUUUYA AMEEEN
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@brightergermanus2163 NA BUYU LA ASALI NI TAMU PIA😆😆
@geofreyhezron39
@geofreyhezron39 7 ай бұрын
Hauwezi kuwaelewa katika maswali yao kwasababu na wao wapo kujifunza
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
RIP JPM, JEMEDARI WETU MKUU, Uko mioyoni mwetu daima tunakuombea. Siku moja tutaonana! Tusaidie uko uliko kama utaweza kuongea na wale MALAIKA watuletee wa kufanana na wewe. Pumzika BABA usiwasikilize hawa, umetusaidia sana kumjua yupi mdhati na yupi msaliti. Ahsante Baba endelea kulala! 😢
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
Ongeza sauti maneno yako Mazuri
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
@@elizabethpetro1258 Watu tuna jeraha ambalo hatujui daktari atatokea wapi..wanatuletea perereperere mingi! Avae viatu vile aone jinsi mguu utakavyokuwa kama kalamu kwenye kikombe cha chai..shuwainyi!!!
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
Acha Imani Potofu..Amuombee nanii..?Jisemee nafsi yako mwenyewe sio wote walimkubalo kama wewe usivyomkubali Raisi Samia wapo wanaomkubali ..
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
@@aronatv47 Imani yangu inaruhusu hilo. Ya kwako je? Na kuna mahali nimemtaja Rais wa sasa pengine? Kwanini usiwataje waliopita kama Kikwete, Mkapa etc? Kila mtu ana namna yake ya kuongoza. Na kama ilivyo kwa yoyote kumkubali au kutokumkubali mtu fulani haipaswi ikutoe povu wewe usiyemkubali. Na wewe ungeanzisha uzi uone kama tutasifia ama tutakaa kimya! Na isitoshe topic inahusu huyo generali wala sio Rais mwingine na zaidi WANAMZUNGUMZIA MAREHEMU!! Bora angekuwa hai. Sisi tulimkubali na kama wewe hukuwa hivyo ingetosha tu wewe kukaa kimya! Ref: Rais mstaafu Mwinyi alimsifia JPM hadharani na kukiri alimzidi, Mh Rais Samia naye alikiri viatu vya mwamba ni vikubwa kwake na references nyingi tu. So who are you?!!
@abdallahally842
@abdallahally842 2 жыл бұрын
Simple jinyonge umfate acha unafiki simple ukitaka unajimaliza unaenda kumuona sasa mbona hutaki kumwahi huko ukampa tarifa ya huku duniani
@morganmwaikusa8194
@morganmwaikusa8194 2 жыл бұрын
Huyu mzee aliwahi kusema "SAMIA hatoshi kuwa raisi eti tu kwasababu hakuepo enzi za kupigania uhuru, huyu punga haelewi kuwa waliopigania uhuru kuna wakt watazeeka, lilisema simjui samia na nchi haimtambui, anajionaga yy ndiye raisi au alistahili yy, na hiyo chuki ndio humzamisha huyu punga. JPM he will never die
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
Kama kunyoosha mambo ndiyo kuvuruga basi na iwe hivyo. Mwacheni mpambanaji wa wanyonge aende zake kwa amani. Ongeeni mambo mengine ya maana kwa wananchi wanyonge ambao ndio wengi kwa nchi hii...siyo kwa faida ya wachache wanaodai kuvurigwa na yule aliyekuwa mtetezi wa watu wa chini
@mandalorian_4.11
@mandalorian_4.11 2 жыл бұрын
inauma sana kuona anaejiita msomi kutetea upuuzi.... kwa akili ndogo tu ambayo inaweza kufanya mtoto wa vidudu akuone zuzu! kwa aliyoyafanya JPM lazima yataishi milele kwasababu aliamua kuweka historia na alifaulu kwa hilo, kuiba kura ndo kaanza yeye ndani ya ( CCM )? acheni utumwa wa fikra. 🗣 TUAMKE
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
hawa ni njaa tuu , wezi wote unafanyika hivi na samia na mawaziri wake wao bado wapo na mtu alikufa miaka miwili iliyopita , ni upingugu wa kimawazo na fikra na ni ujinga kwa kweli
@faroukrashid5507
@faroukrashid5507 2 жыл бұрын
Kwakua sio wakwanza kuiba ,wasiseme? Je kama Kuna mema / makubwa aliyatenda watu wasiseme mabaya yake ? Unadhani kina Musolin, Amini , hata Gadafi hawakutendea Mataifa Yao makubwa?
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 жыл бұрын
@@faroukrashid5507 sasa kiongizi gani asiye kuwa na mabaya , karume ? nyerere ,? mwinyi , ? twambie . kipindi kwa kikwete Tanzania aliongoza kwa kuuliwa wanahabari likini hakuna aliesema kitu kwa sababu watu aliwaachia kufanya yao ya wizi . kumbuka bila kupiga vita rushwa hata taifa likiwa na rasilimali kiasi gani halita piga hatua yoyote kimaendeleo na mifano ni minga kwa Africa, kila kinacho patikana kitaishia kwa wachache tuu na ndio hicho sisi tuongea na kimpa sifa yake Magu Samia anauwa saa hivi mbona hamsemi kitu au kwa sababu kakuachieni mfanye yenu ya wizi ?
@faroukrashid5507
@faroukrashid5507 2 жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 Nani kakwambia Kikwete hakusemwa? alisemwa Tena sana. Hao wanahabari waliuwawa Tz hii au nje ya nchi? Je au ukitaka kusema kuumizwa kwa Abusalum kibanda na Dk Ulimboka?
@samateryusuf4345
@samateryusuf4345 2 жыл бұрын
Utumwa wa fikra unaongezwa na ccm , jpm kapigika Hadi Raha Asante mungu
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 15 күн бұрын
Jenerali alimheshimu Nyerere tu. Wote waliofuata hajawaheshimu.
@agogomgagagigigogo2672
@agogomgagagigigogo2672 2 жыл бұрын
Moja kati ya mabwege nisiowapenda ni pamoja na huyu Mzee. RIP JPM wetu umeondoka umetuachia shida ka hizi ,tunakumic sana baba.😭😭😭
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
Alipokuwa hai wote hawa walikuwa mikia kifuani kama mijibwa koko. Wanawezaje kujifananisha na yule mwanamapinduzi!!! Tena eti haka ka jenerali kanathubutu kufungua mdomo kumzungumza JPM..kwa kipi hasa ambacho yeye na ujenerali wake amekifanya kwa Watanzania? Angefungua huo mdomo Jembe likiwa hai basi! Mijike tu hii
@chamimdesa148
@chamimdesa148 2 жыл бұрын
Hujielewi ndg, this's the best politician it the country
@agogomgagagigigogo2672
@agogomgagagigigogo2672 2 жыл бұрын
@@chamimdesa148 hiyo ni ww sasa ndo best,kini kwangu mm simkubali,na usifosi tufanane,nimekomenti kivyangu naww komenti kwako na c ungoje mpaka uone wengine tumekoment nn ndo ujifanye kuingilia maoni ya watu ,we nae ni bwege tu😏
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
@@chamimdesa148 Huyu ni mwana habari tu huyu maneno mengi vitendo zero! Mbona alikimbia majukumu aliyowahi kupewa huko nyuma? Kama sio coward angeingia ndani ya mtanange atusaidie basi kuyafanya hayo anayozungumza! U best wake unatokea kwenye maneno au vitendo? Unamzungumza vibaya mtu ambaye kwanza Marehemu halafu zaidi ametenda makubwa kwa nchi hii! Yeye ametenda lipi?
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@thadeymsaki2568 Ujenerali alipewa na mama yake ndo sababu ya kubwabwaja..!!
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 жыл бұрын
Kwanini magufuli anatajwa, ebufikilia. Nimajina mangapi yanatajwa kwenye historia, kwahiyo magufuli lazima atajwa,
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 жыл бұрын
Unataka utajwe wewe ambaye hujatuongoza na hautatuongoza hata siku
@josephpaiter440
@josephpaiter440 2 жыл бұрын
Alikua mavi
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 жыл бұрын
hacha tu Tanzania iendelee kuwa shamba la Bibi .. siku moja muda utaongea.. RIP shujaaa JPM..
@nasseralbutrani435
@nasseralbutrani435 2 жыл бұрын
Alikua rais jambazi akateuwa majambazi wenzake wawe wakuu wa mikoa kama jambazi makonda na jambazi sabaya.
@marieconnect6389
@marieconnect6389 2 жыл бұрын
Yaani tunakuheshimu mzee ulimwengu ila biashara ya kuendelea kumponda na kumkejeli magufuli inakupunguzia heshima yako. Magufuli bado anaheshimika na kupendwa sana kwenye mioyo ya wananchi wa Tanzania. Achana na fikra au mikakati ya kumchafua. Uanazidi kujiharibia sifa
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp Ай бұрын
Magufuli siyo Mungu anaheshimiwa kwa mazuri yake na ataendelea kusemwa kwa mapungufu yake ndio hali ya kibidamu na uhuru wa kuongea/kujieleza muhimu asivunje sheria
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 15 күн бұрын
Anamheshimu sana Mh Joseph Sinde Warioba.
@user-zh8wg3lc4i
@user-zh8wg3lc4i 2 жыл бұрын
Nakupenda wewe Generali Ulimwengu Mungu anajua, wewe ni kiboko safi sana.
@lilykarim8968
@lilykarim8968 2 жыл бұрын
Wakuache baba yetu upumuzike kwa amani wasikuchoshe wasaka tonge rip jmp
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 2 жыл бұрын
Hazina kubwa ya taifa hili. Mungu akubariki Sana Mzee wetu. Ndugaiii ! Ila amekusifia kuwa una Akili.
@joshuajofrey9832
@joshuajofrey9832 2 жыл бұрын
Hivi vizee vimesha choka viacheni vipumzike RIP JPM 🙏
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Kamfuate uzikwe naye.
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 2 жыл бұрын
Wewe ni mbuzi wa kafara tu hujui chochote yaani bangosilo
@mussamalilo8294
@mussamalilo8294 2 жыл бұрын
Hii nikrim yataifa jenerali Yuko vizuri zaidi yasana
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 2 жыл бұрын
Tutamsema maovu yake
@adanfarah2080
@adanfarah2080 6 ай бұрын
Youth is not a virtue
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 15 күн бұрын
Yuo are very proud. Pride is the most deadly sin😮😮😮
@antonykomba6631
@antonykomba6631 2 жыл бұрын
A brave person would always make a beeline to the issues, and not nailing someone to the cross especially a deceased one!!!. I have been swept off my feet by Mr. Ulimwengu's touch of patriotism, but mentioning JPM's name while the man's no longer in touch with this world nor any other world is not appropriate
@egidiuskahamba4153
@egidiuskahamba4153 2 жыл бұрын
JPM? So is not OK for JPM but OK for JKN and BWM?! Strange!!@Anthony Komba
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 Жыл бұрын
Huyo mkimbizi arudi kwao burundi kwao huko
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 Жыл бұрын
​Kweli inauma.@@antonywilliama2868
@felixsanga
@felixsanga 9 ай бұрын
Good deeds of the dead we accept,refer always"Hata baba wa taifa alisema,Hata Yesu alisema,Hata mtume alisema!but when it comes to evils of the past we tend to shut mouths of talkers!It seems we like defending all evils of the dead probably are beneficial to defenders!We talk much of the Devil daily in all religions but who confronted physically,mentally &spiritually was Jesus!But we still talk today!Tanzanians are really interesting people that they dictate all affairs of another person"What to support,how to talk,how to cry even when is beaten or has been agrieved severely either with powers ,authorities&other systems!This is purely justices miscarriage and criminal like terrorism,murdering and all kinds of oppressions against others in favour of a certain group of people whom you think are better or superior than others which is against the Constitution and God who is the source of everything including 'Freedom"!
@musasabuu2808
@musasabuu2808 8 ай бұрын
​@@antonywilliama2868mambo ya urundi yanaingia vipi hapo mjibu kwa hoja iliyoshiba zaidi
@petronilamruma2418
@petronilamruma2418 2 жыл бұрын
Yaan jpm anawatisha tangu akiwa hai mpaka amekufa.. Kweli jpm Ni mwamba and he will always be.. Wachana kupambana na marehemu deal na wazima.. We don't need degrees kuona Alichotufanyia Magufuli bana.. jitahid utengeneze mchiriz wako ili hata we ukifa uzungumziwe!!!!
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Ni kutokana na hicho alichokifanya ndo maana anasemwa. Wew unaona cha upande mmoja, acha wanoona cha upande wa pili ambacho wew huna macho ya kukiona wakiseme.
@zeralucyntazimila6600
@zeralucyntazimila6600 2 жыл бұрын
@@samsonfulgence5553 kwa hiyo anasikia??
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
Wanapatwa na mihaho. Bila shaka wamekwishakwenda penye kaburi la MWAMBA kuzindika asifufuke..! JPM ametufungua macho na kutuonesha kuwa tunaweza wenyewe. Sasa hawa uwezo mdogo, tamaa binafsi, uchu wa madaraka na mali bila kujua kuwa wametumwa kuwatumikia wananchi hasa wale wanyonge..kiongozi unakula milo sita unalipwa na zaidi ya mshahara unasahau kuna watu huo mlo mmoja ambao hata haujakamilika kwao ni ngumu kuupata kila siku. Shuwainyi!!!
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
@@samsonfulgence5553 Mafisadi tu ninyi mnajotahidi kuchafua jina la JPM kwa vile aliwafinya mahali!
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 2 жыл бұрын
Jenerali watu waliosoma makala zako za uchambuzi huwa hatujuti kukusikiliza.Big up!
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Unakumbuka gazeti- Rai/Raia Mwema!!!!
@reynaldakizuri7354
@reynaldakizuri7354 Жыл бұрын
Wengi hawamfahamu vizuri General( tulivyokuwa tukimwita akiwa pale Tabora School). Huyu mtu anajielewa sana, hata kwenye debate alikuwa hatari. Msumbuji wenyewe wanamwelewa vizuri hasa ktk harakati za kupigania uhuru chini ya chama chao FRELIMO na Mwanamapinduzi Samora Machel.
@princehancesam9892
@princehancesam9892 2 жыл бұрын
Watanzania Bado tunamachungu yetu msituchukulie poa IPO siku mtakuja kuona machungu tuliyonayo halitabaki jiwe juu ya jiwe
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 3 ай бұрын
TUMEISHAWASHITAKI KWA MUNGU. Kwanini hakumtaja MAGU akiwa hai?
@abdulrwenza986
@abdulrwenza986 2 жыл бұрын
Huyu ana ushaidi gani kwamba kura ziliibwa?Magufuli alikuwa ni upepo wenye akilli nyingi ubunifu mwingi kuchapa kazi na uzalendo kupita kiasi lakini pia kutetea wanyonge haya yote yalifanya wengi wamiamini na kumpenda hasipoteshe ukweli na hawezi.
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Haikuhitaji akili kubwa kujua kwamba kura ziliibiwa. Kila mwenye akili analijua hilo.
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
Sikatai Kuwa Jpm alikuwa na Mazuri na Mabaya..Kinachonishangaza tu ni kuwa Sijui JPM aliwapa nini wa TZ hats ujinga alioufanya wawazi wazi wanataka uonekane ni mzuri/ wmaanaa..Na ndio alishatujua wa TZ akili zetu zilivyo alichokifanya nikuziweka mkononi mwske kiasi kwamba Ujinga na Uzuri vyote alivyo Fanya vioneka ni sawa tu ..
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
@@aronatv47 Una akili kubwa sana ndugu👍. Hongera saana🤝. Kunywa pepsi moja kwa mangi hapo nitalipa. Kwa bahati mbaya wenye akili kubwa hivyo kama wew ni wachache. Wengi ni mazuzu tu.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 жыл бұрын
@@aronatv47 Kwangu mimi najuwa kila binaadam atatenda makosa lakini JPM alikuwa na maono ya kulipeleka mbele Taifa kiasi kwamba hata CCM wenyewe hakupenda, aliongoza kwa kutumia sera za Wapinzani kama vile ufisadi, Elimu bure, afya , taifa halina ndege nk. Binafsi nilimpenda kwa kushughulika na wananchi moja kwa moja ule ubwana mkubwa usiopungua tuliodhani hata hawawezi kuhojiwa na Polisi tuliona wakiwekwa hadi cello, nchi ilikuwa na nidham na heshima kiasi. Yote kwa yote upinzani wa Tanzania bado haujawa na nguvu za kuishinda CCM pamoja na figisu zilizofanyika. Ukiwa na nguvu za kutosha hakuna figisu itakuzuwia toka 1995 Pemba kule Zanzibar Upinzani unashinda 99% na inatangazwa.
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 2 жыл бұрын
Kwan ilihitaji akili ya degree kujua uzumbukuku wa 2020
@josephmwita5959
@josephmwita5959 2 жыл бұрын
watanzania wengi Wana criple of mind ni ngumu kumuelewa mzee ulimwengu ndo maana wamekalia uchawa tu na kusifisifia na wajue anayestahili sifa ni mungu tu pia tujue kwenye sayansi za siasa ni hatari sana kusifia sifia kiongozi hapo ndo mwanzo wa kujikweza unaanzia
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 2 жыл бұрын
Nchi yetu hatutaki siasa tunataka vitendo kabla ya mjomba nchi ilikuwa mbovu kimaendeleo mshamba ww halafu ss tunaenda wapi
@sikitu8957
@sikitu8957 2 жыл бұрын
Ukiona waliyo hai wanamzunguzia aliye kufa jua kabisa maiti ya mtu huyo ina nguvu nyingi kuliko ya walio hai Na ni kweli kabisa magufuli ndio mtu pekee ambaye anaweza kutowa ccm madarakani kama wapinzani watatumia fursa hii vizuri kutumia jina la magufuli kuwa bendera yao hakika na kuambia 2025 kuna watu watatoka madarakani kwa aibu watajipitisha ila kwa asira ya wanainch watakubali kuacha INCH
@robertphilip385
@robertphilip385 2 жыл бұрын
Kwani jpm alishinda kihalali sialikua mwizitu wakura
@adanfarah2080
@adanfarah2080 6 ай бұрын
Generali is the perfect anecdote for Tanzania's hero worshipping and sycophantic political culture, he says it like it is, like it or hate it
@raheemmahadi2987
@raheemmahadi2987 2 жыл бұрын
Jmp 4 life ..until end of dz country
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 2 жыл бұрын
Mmekosa wakuwahoji mnahoji Hilo jinga
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Maoni yako yamekuvua nguo
@rugendorunene545
@rugendorunene545 2 жыл бұрын
Wakuu wa mikoa au Wilaya... ni vibaraka tangu enzi za mkoloni. Hizi nyadhifa za faa kuchaguliwa na wanainchi wenyeji.
@chazy7ya216
@chazy7ya216 2 жыл бұрын
Sasaiv ndio maisha yamekua magumu kuliko ataenz za magufuli elaazijulikani zinaenda wapi miradiimesimama mingi tuu akueleweki mahindi yanauzwa nchi jirani wakati kunanjaa itakuja mbeleni
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
Kwa JPM hata kama tulikuwa tunalala njaa tulikuwa tunafurahi tukijua wajukuu zetu watakuja kutushukuru. Kipindi cha kufunga mkanda hakiepukiki iwapo mnataka kusogea mbele..vinginevyo muwapishe wakubwa!
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 2 жыл бұрын
Miradi ipi iliosimama?
@hassanyussuph4407
@hassanyussuph4407 2 жыл бұрын
Tutajie miradi iliosimama?
@gulalakitinya7615
@gulalakitinya7615 2 жыл бұрын
Very rich discussion.
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 2 жыл бұрын
Bwege kweli, Hali ya Sasa Ni ngum kuliko wakati wa magufuri. Wezi wote hawakumpenda magufuri yalizoea kuiba tu na kuto kuwa WAZALENDO🤸
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Huyu mzee sijui alisha wahi kumpenda kiongozi gani wallah
@robertphilip385
@robertphilip385 2 жыл бұрын
Kwani wezi waliendaga wapi siwakotu ccm
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 2 жыл бұрын
Ww ndo bwege mwizi ni huyo aliepiga Trilion 1.5
@mahyorokalokola4012
@mahyorokalokola4012 2 жыл бұрын
Kwani Magufuli hakuwa mwizi? Wapi tr 1.5 aliyotupiga
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 жыл бұрын
Mzalendo gn aliyeibiwa na hao unaowaita wezi kwani ss tumeona kinyume chake utawala ule katili ndio umedhulumu Mali za watu kwa hila na kuwapa majina mabaya kwa kweli walikuwa wanafanya ujambazi wa kupora kwa kutumia Dola..!
@everestmrema1762
@everestmrema1762 2 жыл бұрын
For rememberness y'r exeptiona.we depend on you for our National politics.BRAVOOO GENERALI
@tiffahdangote7548
@tiffahdangote7548 2 жыл бұрын
MAGUFULI ALIKUA ANANYOTA WW.....! HAHAJAHA THE DEAD PERSON MPAKA LEO ANATREND HAMSHANGAI?????? MAGU WAS GREAT ASIKWAMBIE MTU! ALIKUA UPEPO WATU TUNAMFATA TUUUUUU.....LEO HIIIII HEEEEE MAMA ATAUKISIKIA ANAPITA HAPO HAKUNA HATA ANAESIMAMA! NANI ANABISHAAAAA???? HEHE MAGU REST IN PEACE!
@lilykarim8968
@lilykarim8968 2 жыл бұрын
Kweli😂😂😂😂😂😂😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 2 жыл бұрын
Alikua ana nyota ya kuua watu na kuteka watu mwanaharamu yule afie mbali
@tumsifumartine612
@tumsifumartine612 2 жыл бұрын
Uyu Generali Ulimwengu ni mjinga sana,na hana akili kabisa kila saa anamuongelea Magufuli mtu ambaye hayupo tena watu wajinga sana hawana cha kuongea wameishia, rest In Peace the lite president Magufuli
@BongoCryptos
@BongoCryptos 2 жыл бұрын
Jenerali Ulimwengu ni Kichaa, msaidieni afikishwe Mirembe kwa matibabu.
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 2 жыл бұрын
Kicha wazazi wako
@eng.mallya9532
@eng.mallya9532 2 жыл бұрын
Mama yako ndio kichaaaaa
@BongoCryptos
@BongoCryptos 2 жыл бұрын
@@eng.mallya9532 Mataahira wote mnajulikana tu
@princehancesam9892
@princehancesam9892 2 жыл бұрын
Magufuli historia yake na mazuri yake hayatokuja kufutika
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Hakuna rais historia yake itafutika. Wote wa TZ. Tambua hilo!
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 2 жыл бұрын
Historia iwe nzuri au mbaya haifutiki,jisumbukie mwenyewe.
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 2 жыл бұрын
Mema yake yatakumbukwa wanaonikela Ni wale wanaotumia hoja za nguvu kufunika mabaya yake.na wakome.
@mmarandu2417
@mmarandu2417 2 жыл бұрын
WISE PEOPLE SAY: ABOUT THE DECEASED, NOTHING BUT GOOD. RIP JPM. WE LOVE YOU ❤ AND PRAY FOR YOU.
@joshuamassawe2474
@joshuamassawe2474 2 жыл бұрын
Never the truth, huh?
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 жыл бұрын
Huyu mzee ajengewe sanamu aiseee yy husema ukweli halafu hakimbiiii kudaadake
@abednego3876
@abednego3876 2 жыл бұрын
Siio kweli, huyu ni tapeli
@DUL69
@DUL69 Жыл бұрын
Badmouthing A Deceased one isn't Appropriate. Especially Badmouthing JPM. OUR LATE PRESIDENT JPM WAS A MAN AND A TRUE PATRIOTIC TO HIS COUNTRY. R.I.P MR. PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI. WE TRUE TANGANYIKANS REALLY MISS YOU.
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 Жыл бұрын
This man is very smart!
@DavidMtoi
@DavidMtoi Ай бұрын
Komredi ninakukubali sana. Na na kumbuka makala zako nzito kwenye rai raia mwema.na pia mkuu wa wilaya ya ilala na kua karibu na vijana.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
Ungekuwa mwenye mapinduzi wa kweli ungewatete Wamasai ngoro ngoro na kutoa mawazo mbadala kuhusu mfumuko wa bei we kila siku ni Magufuli Magufuli kama vile aliwahi kukupora dem. Muacheni Mze yule apumzike jamani
@willbroadmwikwabe3103
@willbroadmwikwabe3103 2 жыл бұрын
Mbona Jenerali amezungumza kuhusu wamasai mara nyingi tu lakini pia ana haki ya kumkosoa magufuli maana aliwai kuwa kiongozi mkuu wa nchi na kuwa marehemu sio kigezo cha yeye kutozungumziwa mbona mpaka leo watu wanazungumza kuhusu idd amin na alishafariki kitambo sana.
@befamgaya4633
@befamgaya4633 2 жыл бұрын
Je hayo yote yalitokea katika kipindi cha utawala wa magufuri tu?
@zeralucyntazimila6600
@zeralucyntazimila6600 2 жыл бұрын
@@willbroadmwikwabe3103 hujitambui kwani ukimsema itakusaidia nini wakati hata kusikia hakusikii???
@willbroadmwikwabe3103
@willbroadmwikwabe3103 2 жыл бұрын
@@befamgaya4633 ni kweli kabisa shida imekua ya mda mrefu na wala haikuanza kwa jpm na ulimwengu amekua akikosoa kabla ata ya jpm bahat mbaya ni kwamba magufuli amekua kiongozi miaka ya hivi karibuni na huwezi jua kwa namna gani ulimwengu aliathirika ktk utawala huo kwa hiyo kama raia ana haki ya kusema.
@willbroadmwikwabe3103
@willbroadmwikwabe3103 2 жыл бұрын
@@zeralucyntazimila6600 kumsema haina maana kwamba akusikie ila inasaidia kuwaonya na kuwakumbusha watawala waliopo juu ya mambo yaliyotokea katika vipindi vya nyuma, ni kama tu vile mtu akimsifia jpm kwa mazuri aliyofanya wala jpm hawezi kumsikia.
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 жыл бұрын
Magufuli bado hai,,kwa kazi zake.na kutonyenyekea watu kama hawa vivuruge.ambao wameubwa kwa ajili ya kuzungumza tu.pasipo matendo.
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 15 күн бұрын
Anajiona mwandishi bora kuliko wote hapa Tanzania😮😮😮
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 15 күн бұрын
Gazeti la East African ni makala za ajabu ajabu za Jenerali Twaa Ulimwengu.
@martineshija2712
@martineshija2712 2 жыл бұрын
Huyu mzee ni msomi lakini mjinga
@immanuelinvocavith1498
@immanuelinvocavith1498 2 жыл бұрын
Dunia haipendi ukweli na ukweli unauma ila ni dawa kitakachoiponya tz ni kusema ukweli, marehemu ni ruksa Sana kumsema Nyerere amefariki lakini tunamsema ukifa mchawi tutasem ulikua mchawi ukifa mtumishi wa Mungu tutasema, wote mnaocomment mkifa watenda mabaya tutawasema Kwa mabaya yenu maana matendo ya mtu yafuatana nae, tengenezeni historia njema Kwa kutenda mema. Kama mnavyofurahi akisiwa na huku amefariki vumilieni wengine wakisema walivyomfahamu
@anthonypatrice5247
@anthonypatrice5247 2 жыл бұрын
JPM, RIP PEACE but like him
@samwelipima3795
@samwelipima3795 2 жыл бұрын
Anatafuta Kiki huyo mzee hakuna namna JPM hatupo nae lakini huyo Hana HOA za msingi hata kidogo Kama kila kitu nikumponda mpendwa wetu jpm
@damianichayo895
@damianichayo895 2 жыл бұрын
Si yote anayosema ni sawa anahisi na kutetea nafsi yake kisiasa na hususa ni kuwa against na CCM tu. Mkitaka kujua ukweli wa wapiga kura walimwagika kumpigia JPM mkitaka ushahidi wa haya pasipo kutafuta sifa ebu acheni kura za masanduku halafu watu wajipange mstari ndo mtajua wengi wapo chama gani hasa kwa kumhusisha JPM. Msiguse vinijini hata kidogo. Alipendwa kupitiliza.
@pantaleogregory2175
@pantaleogregory2175 2 жыл бұрын
General umeongea ukweli mtupu Mungu akulinde
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 7 ай бұрын
Huyu Mzee SI mtu wa mchezo anaakili nyingi sana.nyerere mwenyewe alimkubali
@benjaminibirama6664
@benjaminibirama6664 2 жыл бұрын
Huyu Mzee ni mwehu mtangazaji usirudie kuhoji watu kama Hawa
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 2 жыл бұрын
Wewe ndo zuzu huna upeo wa kujua Mambo kaa kimya
@sifathyunusu871
@sifathyunusu871 Жыл бұрын
Wewe Ulimwengu hujui lolote hata ufanye nini Hatugomsahau Raisi magufuli
@johngibson3089
@johngibson3089 2 жыл бұрын
Jenerali Ulimwengu ni hazina zaidi ya viongozi wengi tu waliopita na hata waliopo
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 8 ай бұрын
Akili kubwa sana 💯
@daudisaid6198
@daudisaid6198 2 жыл бұрын
Hili senge sana magu pumzika kwa amani baba haya mapiga dili acha yaendelee kukuchafua ila Dunia mapito tu.
@daudisaid6198
@daudisaid6198 2 жыл бұрын
@@Abs-tz8dl ebana alhamdulillah siko vibaya ila nahurumia mama zako huko shambani pumbavuuuuu wewe magu aliwabana wapiga madili mkaanza kuuza mikundu coz hamwezi fanya kazi ya kutoa jasho nyau weusi nyie na kwanza mchunguzwe vizuri uraia wenu tunamasha
@salimukimwaga
@salimukimwaga Жыл бұрын
Huyo jenerali anamtuhumu Magufuli aliwavuruga kwa kweli watu wabinafsi na walafi unafikiri nchi ilivyoachwa na mtawala aliyepita kabla ya Magufuli ikiwa kama nyumba hainA mkubwa anayekemea mabaya yote yaliotokea sawa tu Magufuli kama kuweka nidhamu serekali mpaka mtaani hata maendeleo ya nchi yakaonekana kwamba sasa nyumba imepata na a kiongozi huyo hatumshangai hata kwa asili alikotoka
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 ай бұрын
Kama Mrema alikuwa hivyo je Makonda naye nani wanainchi Inchi hii watu wamefanywa kutofikili vizuri. Kwa sababu wanainchi wamefanywa kutofikili mpaka kesho kwa sababu CCM imewafanya watanganyika wanadhani kuwa hawawezi kufikilia wao wenyewe hawawezi kufikili bali raisi ndiyo ana akili kuliko wao wenyewe.
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anazeeka vibaya, kwanza wasiwasi upo huyu ni wa kuja yaani mamruki ukichimba undani wake, ilishaonekana uraia wake ni wa mashaka!
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Akili nyingi sana huyu Mzee! Huwezi kumuelewa ww!
@c75923
@c75923 2 жыл бұрын
Hili ni moja ya pandikizi toka nchi jirani yanayoletwa kama "shushushu" Mkapa alilipiga PI likaanza kulia lia! Ningemuona wa haya maneno angeyasema wenyewe wapo! Apart from that its NONSENSE
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 amechelewa, anazitumia uzeeni ujana wake alikuwa wapi?! Now these days his brain is a retired brain 😂
@francisassenga2546
@francisassenga2546 2 жыл бұрын
Nimependa jinsi waandishi mlivyomhoji Jenerali kwa weledi na kwa uhuru mkubwa. Hongereni sana.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 жыл бұрын
Natamani siku moja ungekuwa rais tukaona unafanyaje kazi manaake kila watu kwako wanamakosa sasa sijui nani kwako mzuri?
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 2 жыл бұрын
Kabisa ,ukimkosoa mtu basi eleza mazuri yake
@amourmtungo623
@amourmtungo623 2 жыл бұрын
🤔Kama uliwahi kuwa kiongozi wa nchi au wananchi, uzuri na ubaya wako utarudiwarudiwa na kusemwa sana midomoni mwa watu. Kwahio watu kuwataja viongozi waliopita na waliyoyafanya sio jambo jipya au geni. Tusihoji sana Watanzania kutoa dukuduku lao kwa mtazamo wao kwasababu kila mtu ana mtazamo wake juu ya viongozi na matendo yao ya uongozi. Kukosoa, kusema na kushauri ni sehemu ya demokrasia. Kisichohitajika ni matusi. Tukiwa hai ni lazima kuhoji, kuuliza maswali mengi tu yanayohusu nchi, kisiasa na uchumi. Sote tuna haki sawa juu ya hili. Tupendane na mazuri tuyapongeze mabaya tuyalani🤔.
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 2 жыл бұрын
Mimi nasema uongozi mbovu mnatuletea siasa ndio maana nchi inadorora tulishavuka huko mnaturudisha tena Mara Mchele mafuta miradi imesimama mnazingua tatizo lenu wengi mnaleta siasa dunia ss hivi uchumi ndio kila kitu oooh Mara mboe Mara mjomba kakosea
@saimonstephen7250
@saimonstephen7250 2 жыл бұрын
Hivi nyie mapresenter, hadi leo mnazungumzia JPM, hoja za kutupeleka mbele hazipo? Mnahofu gani na JPM aliyelala? Kwann hamuwazuii kuzungumza mabaya tu ya JPM kila mwaka, kila mwez, kila ck roh! Hamuoni aibu kumwandama aliyelala? Na hawezi kuwajibu?
@wilbertmmary9076
@wilbertmmary9076 2 жыл бұрын
Hakuna ubaya kumzungumzia Rais aliyepita awe hai au amekufa.
@saimonstephen7250
@saimonstephen7250 2 жыл бұрын
@@wilbertmmary9076 shida ni kwamba unapozungumza ubaya wa Mtu inatakiwa tumuulize na yeye ili akanushe au athibitishe kinachozungumzwa juu yake, angekuwa hai angetujibu, Lkn aliyelala atakujibu? Kama sio kumsingizia kila kitu?. Na hiyo Ndio maana halisi ya marehemu hasemwi vbaya, maana hakuna balance of information. Siku zote taarifa yenye upande mmoja inakuwa na walakini ndio maana mhusika anatakiwa ajibu ndipo tupate ukweli uko wap. Alafu, Kwann hawakusema wakat yuko hai, ili awajibu?
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
@@saimonstephen7250 Na zaidi hawa wazee walikuwepo JPM akiwa hai..sasa mbona waliufyata? Cowards!!
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Mzee mzima hovyo..nonsense
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 жыл бұрын
Huyu mzee anajionaga ana akili kuliko wengine! Lakini hana lolote ambalo ashawahi kufanya ujinga ujinga tu na udini unamsumbua! Ogopa sana kichwa cha muvi kilicho jaa upumbavu! Mzee mpuuzi sana huyu! Yaani viatu vya JPM huwezi hata kuvivaa!
@safnasachu3515
@safnasachu3515 2 жыл бұрын
Bravo Jeneral
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 2 жыл бұрын
Magufuri mumuache alale salama,kama alkua mbaya basi ubaya wake anaujua yeye alie fanyiwa ubaya na Alie fanyiwa mazuri basi amkumbuke kwa mazuri yake. Mungu ndo ataamua nan alkua salama sababu dunia hii twapita
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 2 жыл бұрын
Jamani huyu mzee namkubali Kama baba yangu nampenda sana na misimamo yake nakukubali saaana yaani hakuna lugha niayoweza kuitumia jinsii ninavyompenda
@jamesmasome359
@jamesmasome359 2 жыл бұрын
Nyambafu...
@justusngonyani165
@justusngonyani165 2 ай бұрын
Magu ataishi.Tunamkumbuka sana.
@salummussa9871
@salummussa9871 2 жыл бұрын
Kivuli Cha magufuli ni tishio hakuna rais kama yeye ,,huyu si raia wa tanzania
@salimabdallah7252
@salimabdallah7252 2 жыл бұрын
Mzee bingwa sana huyu....
@valentinemtei3588
@valentinemtei3588 2 жыл бұрын
Nimeipenda
@patrickkalengela7125
@patrickkalengela7125 3 ай бұрын
Generali Ulimwengu Ni Mkweli , nuakati za Sasa tunaona Wakuu wa Wilaya na Mikoa Vimeo na tunajua wamewekwa bila kufahamika uwezo wao, Ila yu kwa kuwa Wanajuana na Wakubwa Fulani. Mungu ainusuru na Janga hili la Kupeana vyeo kwa kujuana badala ya kuangalia uwezo wao
@twahirabasi9765
@twahirabasi9765 2 жыл бұрын
Hongereni vijana mmeuliza maswali ya msingi sana. Big up Jenerali, umetema madini mazito.
@jofleykifanga2068
@jofleykifanga2068 2 жыл бұрын
Huyu mzee alikuwa ndio anshida haiwezekani viongizi woote anawona wanamatatizo alika cheo.tu.asituchanganye.kabisa..kwahiyo alitaka awe mshauli wa laisi na ampangie anchopenda yeue
@urbanmission3072
@urbanmission3072 2 жыл бұрын
Huyo mzee sura yake inafanana na roho yake.
@urbanmission3072
@urbanmission3072 2 жыл бұрын
Nadhani anawaambukiza watu roho hiyo
@stanslausmachege2179
@stanslausmachege2179 2 жыл бұрын
Huyu Mzee anaona yeye ndiyo Yeye
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 Жыл бұрын
HUYU MZEE ANAWIVU TUU WA KUKOSA KILA KITU KUPINGA
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 2 жыл бұрын
Nakuogopa Sana mzee wangu kwani wenye nywele nyeupe wengi pia huwa na akili nyeupe lakin kwa akili yako inanishinda kuelewa kila iitwapo leo ninampango wa kufa sijaona Tanzania anayoisemea ulimwengu kwa namna ya wananchi tulionao
@papaadialoo
@papaadialoo 2 жыл бұрын
Jenelali jenelali duu
@chazy7ya216
@chazy7ya216 2 жыл бұрын
Magufuli alikua noma ww acha ujinga ww amefanya ya maana sana atakama alikua na mapungufu yake
@pendomalisa9308
@pendomalisa9308 2 жыл бұрын
Akili yako haipo ungeongea vitu vyenye point
@Jal210
@Jal210 2 жыл бұрын
Hina adabu wewe mzee kafilie mbali huko
@michaelmkisi6999
@michaelmkisi6999 2 жыл бұрын
Freedom ya uandishi sio hatred ya kumsema mtu ambaye kaenda mbele ya haki kumsema vibaya mtu wakati wewe mwenyewe hujatenda haki yeyote dunia hii. Chunga sana ulimi wako utakufa vibaya.
@collinmhema5443
@collinmhema5443 2 жыл бұрын
Kwani aliyoyatenda nayo yameenda mbele ya haki? Mbona tunayasema mazuri ya mwalimu kila siku na katangulia mbele ya haki na husemi
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 2 жыл бұрын
For some reason anyone who critises the dead person has no sense.
@jeraldboman3053
@jeraldboman3053 2 жыл бұрын
Jinga wewe!
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Koiyo Nyerere na Mkapa yuko hai... hehehehe
@antonykomba6631
@antonykomba6631 2 жыл бұрын
You're right on the button Aliya, they say it's not wise to nail the dead on the cross. It's beating the dead 🏇 to a pulp
@katunduhamisi9333
@katunduhamisi9333 2 жыл бұрын
What about praising them..? I think he who thinks critising the dead person is the one who has no sense..! Shouldn't we criticise Adolf Hitler?
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
@@katunduhamisi9333 Halafu tangu na tangu Adolf anasimangwa tu!
@lucasmasesa8825
@lucasmasesa8825 2 жыл бұрын
Wakat mwingine maboya kama hawa usiwe unawaleta we ni presenter mkubwa sasa ushakua huu tunaenda mwaka wapili jpm ametuacha huyu mzee anajipya tofauti na kumsema tu marehemu legacy aliocha we ata robo tu hujafika ata unacomplain kwan ww nan bhana
@willbroadmwikwabe3103
@willbroadmwikwabe3103 2 жыл бұрын
Mzee ana haki ya kumsema jpm maana alikua rais wa nchi ni kama vile ambavyo kuna watu wengine wanamsema jpm kwa mazuri kuna wengine pia wanaona mabaya yake na wana haki ya kuyasema
@lucasmasesa8825
@lucasmasesa8825 2 жыл бұрын
@@willbroadmwikwabe3103 uko sawa unachosema hakuna asiejia kama jpm kafanya mazuri pia na mabaya sasa huyu kila anapopata nafas nikumsema tu marehem kila apatapo interview haaa hiyo sio sawa bhana amwache ampumzike bhana anazngua big time
@harunmanura7900
@harunmanura7900 2 жыл бұрын
Kama mnapenda watu wa kumsifia jpm kila siku wapo akina pole pole, huyo mwache atimize wajibu wake, mm huwa namuelewa sana kutokana na ukweli wake kwan hajawahi kuogopa kuzungumza hata huyo kipenzi chenu aliwahi kumuambia ukweli...hata kunakipindi alitakiwa kueleza kuhusu uraia wake, hongera mzee ulimwengu
@mussamalilo8294
@mussamalilo8294 2 жыл бұрын
Kwani Bishop gwajima hawezi kuwakusanya wachungaji wote namanabii waobe afufuke jamani jpm
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 2 жыл бұрын
Tuwaenzi na Kuwaheshimu sna hawa wazee wetu ni Hazina Yetu kwa Nchi Yetu
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 жыл бұрын
JENERALI HATA MIMI NILIMHOFU MNO MREMA KUINGIA IKULU ILIKUWA HATARI MNO!
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 Жыл бұрын
Jeneral wewe ulimsema sana J.P.M. wewe ulikuwa na makandokando yako mabaya.,sasa hapo unatueleza nini????
@lawrencekyando2275
@lawrencekyando2275 Жыл бұрын
Unamsema mutu hayupo iliiweje sema kinashoendelea sasa mnafiki tu mope mungu.
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 15 күн бұрын
Nenda Rwanda😮😮😮
@sharifaamrani654
@sharifaamrani654 2 жыл бұрын
Yuko vizuri kwa maelekezo
@frankmkude8593
@frankmkude8593 2 жыл бұрын
Mzee hatupo nae rkn bado tu jina harifi
@stevusevelin6365
@stevusevelin6365 2 жыл бұрын
Edina wa Kagera. Huyo mzee ana jipya wanini kuojiana naye?watuachie malehem wetu waache kumtia nuksi mbele yaMungu wetu
@ChristerShao
@ChristerShao Жыл бұрын
Kyerwa mmetueshimisha.Mbona Mbowe hukufika Izimbya,Ibwera na kasharu.
@janiaoma7093
@janiaoma7093 2 жыл бұрын
JENERALI ALIJIFURUGA MWEYEWE KWA UJIGA WAKE WA TAMA YA KUTAFUTA WAZFA WA CHEO AGALIENI SANA SISI WATANZANI UKIKOSA CHEO SEREKALINI AU UKIKOSA KUPATA PESA ZA UJANJA UJANJA UNAKUWA MKALI SASA WATU KAMA HAO WALISHIKWA NA MAGUFULI HAWANA MWAYA WA KUPATA PESA ZA WIZI
@johnchale1073
@johnchale1073 2 жыл бұрын
JPM ALIMFUNIKA KAGAME
@okokakasumba3031
@okokakasumba3031 2 жыл бұрын
Kubwa jinga rudi kwenu Rwanda huna jipya kabisaa
@fikirinyanda6805
@fikirinyanda6805 2 жыл бұрын
Huyu mpuuzi hana uwana harakati wowote kwanza anatukera sana
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 15 күн бұрын
Twaha Phobia😂😂😂 Jenerali😮😮😮
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2,1 МЛН
THE STORY BOOK: UBABE WA KIM JOUNG UN | KIDUME ANAYE TIKISA ULIMWENGU
37:36
Why they want me impeached-DP Gachagua speaks
1:25:41
KTN News Kenya
Рет қаралды 274 М.
Jenerali Ulimwengu Anaifungua Shajara Yake Kwa Babbie Kabae
56:28
Необычная услуга в ресторане #shorts
0:18
Менеджер переиграл клиентку 😱
1:00
fradzers
Рет қаралды 6 МЛН
Pop Star Falls In Love With Fan 😍
0:25
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 16 МЛН
EL CHORRO @SantiMusicOficial@SantiFansshort  #funny #humor #comedy
0:15
Santi Oficial
Рет қаралды 22 МЛН