JENERALI ULIMWENGU - "MAGUFULI ALITUVURUGA, KURA ZIMEIBWA, MKAPA ALIWAPA MAKABURU BENKI, NDUGAI..."

  Рет қаралды 175,378

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

JENERALI ULIMWENGU - "MAGUFULI ALITUVURUGA, KURA ZIMEIBWA, MKAPA ALIWAPA MAKABURU BENKI, NDUGAI..."
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#Zungu #CharlesWilliam #MsumariWaMoto

Пікірлер: 577
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Yaani tunakuheshimu mzee ulimwengu ila biashara ya kuendelea kumponda na kumkejeli magufuli inakupunguzia heshima yako. Magufuli bado anaheshimika na kupendwa sana kwenye mioyo ya wananchi wa Tanzania. Achana na fikra au mikakati ya kumchafua. Uanazidi kujiharibia sifa
@simongwandu7392
@simongwandu7392 2 жыл бұрын
Gen Ulimwengu unatuudhi unapomsema Magu unakera sana kwa kuwasema watu wengine wewe unatosha kiasi gani
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 Жыл бұрын
Jenerali huwezi kumsema vizuri JPM maana wewe pia ulikuwa jipu-uliigeuza Chanel 10 shamba la bibi ulipoguswa ndiyo chanzo Cha kumchukia
@jossy8710
@jossy8710 Жыл бұрын
KWANI CHANNEL 10 INA UHUSIANO GANI NA MADA.....
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
@@jossy8710 sasa kwani hata haya mahojiano yana ihusiano gani na magifuli? Itategemea mtu amejihusisha au kuhusishwa vipi na utendaji kazi wake magufuli. Vyote vinahusiana sana kwa lengo la kufanya analyses ya mambo ili kupata jambo.
@morganmwaikusa8194
@morganmwaikusa8194 2 жыл бұрын
Huyu mzee aliwahi kusema "SAMIA hatoshi kuwa raisi eti tu kwasababu hakuepo enzi za kupigania uhuru, huyu punga haelewi kuwa waliopigania uhuru kuna wakt watazeeka, lilisema simjui samia na nchi haimtambui, anajionaga yy ndiye raisi au alistahili yy, na hiyo chuki ndio humzamisha huyu punga. JPM he will never die
@marieconnect6389
@marieconnect6389 Жыл бұрын
Kama kunyoosha mambo ndiyo kuvuruga basi na iwe hivyo. Mwacheni mpambanaji wa wanyonge aende zake kwa amani. Ongeeni mambo mengine ya maana kwa wananchi wanyonge ambao ndio wengi kwa nchi hii...siyo kwa faida ya wachache wanaodai kuvurigwa na yule aliyekuwa mtetezi wa watu wa chini
@albertbunyinyiga7581
@albertbunyinyiga7581 2 жыл бұрын
Magufuli for life watetezi wake wapo milele na milele nyie pondeeeeeeniiiiiii ila amuwezi kutushawishi kumsahau mwamba poleni
@faustinerukiko2933
@faustinerukiko2933 4 ай бұрын
Yeye ndiye aliyevurugwa, sio sisi
@mandalorian_4.11
@mandalorian_4.11 2 жыл бұрын
inauma sana kuona anaejiita msomi kutetea upuuzi.... kwa akili ndogo tu ambayo inaweza kufanya mtoto wa vidudu akuone zuzu! kwa aliyoyafanya JPM lazima yataishi milele kwasababu aliamua kuweka historia na alifaulu kwa hilo, kuiba kura ndo kaanza yeye ndani ya ( CCM )? acheni utumwa wa fikra. 🗣 TUAMKE
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
hawa ni njaa tuu , wezi wote unafanyika hivi na samia na mawaziri wake wao bado wapo na mtu alikufa miaka miwili iliyopita , ni upingugu wa kimawazo na fikra na ni ujinga kwa kweli
@faroukrashid5507
@faroukrashid5507 Жыл бұрын
Kwakua sio wakwanza kuiba ,wasiseme? Je kama Kuna mema / makubwa aliyatenda watu wasiseme mabaya yake ? Unadhani kina Musolin, Amini , hata Gadafi hawakutendea Mataifa Yao makubwa?
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
@@faroukrashid5507 sasa kiongizi gani asiye kuwa na mabaya , karume ? nyerere ,? mwinyi , ? twambie . kipindi kwa kikwete Tanzania aliongoza kwa kuuliwa wanahabari likini hakuna aliesema kitu kwa sababu watu aliwaachia kufanya yao ya wizi . kumbuka bila kupiga vita rushwa hata taifa likiwa na rasilimali kiasi gani halita piga hatua yoyote kimaendeleo na mifano ni minga kwa Africa, kila kinacho patikana kitaishia kwa wachache tuu na ndio hicho sisi tuongea na kimpa sifa yake Magu Samia anauwa saa hivi mbona hamsemi kitu au kwa sababu kakuachieni mfanye yenu ya wizi ?
@faroukrashid5507
@faroukrashid5507 Жыл бұрын
@@whatisthetruth.8793 Nani kakwambia Kikwete hakusemwa? alisemwa Tena sana. Hao wanahabari waliuwawa Tz hii au nje ya nchi? Je au ukitaka kusema kuumizwa kwa Abusalum kibanda na Dk Ulimboka?
@samateryusuf4345
@samateryusuf4345 Жыл бұрын
Utumwa wa fikra unaongezwa na ccm , jpm kapigika Hadi Raha Asante mungu
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 жыл бұрын
Kwanini magufuli anatajwa, ebufikilia. Nimajina mangapi yanatajwa kwenye historia, kwahiyo magufuli lazima atajwa,
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Unataka utajwe wewe ambaye hujatuongoza na hautatuongoza hata siku
@josephpaiter440
@josephpaiter440 Жыл бұрын
Alikua mavi
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 жыл бұрын
hacha tu Tanzania iendelee kuwa shamba la Bibi .. siku moja muda utaongea.. RIP shujaaa JPM..
@nasseralbutrani435
@nasseralbutrani435 Жыл бұрын
Alikua rais jambazi akateuwa majambazi wenzake wawe wakuu wa mikoa kama jambazi makonda na jambazi sabaya.
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 2 жыл бұрын
Bwege kweli, Hali ya Sasa Ni ngum kuliko wakati wa magufuri. Wezi wote hawakumpenda magufuri yalizoea kuiba tu na kuto kuwa WAZALENDO🤸
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Huyu mzee sijui alisha wahi kumpenda kiongozi gani wallah
@robertphilip385
@robertphilip385 2 жыл бұрын
Kwani wezi waliendaga wapi siwakotu ccm
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 2 жыл бұрын
Ww ndo bwege mwizi ni huyo aliepiga Trilion 1.5
@mahyorokalokola4012
@mahyorokalokola4012 2 жыл бұрын
Kwani Magufuli hakuwa mwizi? Wapi tr 1.5 aliyotupiga
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 жыл бұрын
Mzalendo gn aliyeibiwa na hao unaowaita wezi kwani ss tumeona kinyume chake utawala ule katili ndio umedhulumu Mali za watu kwa hila na kuwapa majina mabaya kwa kweli walikuwa wanafanya ujambazi wa kupora kwa kutumia Dola..!
@thobiasnerro2743
@thobiasnerro2743 2 жыл бұрын
Charles na Zungu. Mnamapungufu mengi sana katika kuhoji kwenu. Hamna mtiririko mzuri wa maswali yenu. Pia hamumpi mgeni wenu nafasi ya kutosha kueleza pointi zake. Halafu mnakuwa hamkujitayarisha vema kabla ya mahojiano na zaidi kuwa makini na uelewa mkubwa au mdogo wa mnayemhoji. Wengine ni watu wenye uelewa maradufu wa uelewa wenu. Hivyo mjiandae na ikibidi niwe mmejiandikia maswali yenu. Jenerali ni very intelligent. Sijasema the most, lakini ni intelligent na hao wanaopinga au kukosoa hilo na maoni yao mengine wanna wivu naye. Mimi namkubali toka G 55. Long live General Twaha Khalfani Ulimwengu.
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 2 жыл бұрын
Ndiyo maana hukupata nafasi kama yake
@matinazaidi
@matinazaidi Жыл бұрын
Charles anajitahidi sana ila zungu anarukiarukia tu kama vile ajui anahojiana na mtu mwe IQ ya aina gani..pia mwenye background kubwa
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
UMENIKUMBUSHA MBAAALI WAKATI NIPO CHUONI, TITI LA MAMA NI TAMU HATA KAMA NI LA MBWA. KATU HALIISHIHAMU HIVYO HIVYO LIMEUMBWAA HALELUUUUYA AMEEEN
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@brightergermanus2163 NA BUYU LA ASALI NI TAMU PIA😆😆
@geofreyhezron39
@geofreyhezron39 4 ай бұрын
Hauwezi kuwaelewa katika maswali yao kwasababu na wao wapo kujifunza
@josephmwita5959
@josephmwita5959 2 жыл бұрын
watanzania wengi Wana criple of mind ni ngumu kumuelewa mzee ulimwengu ndo maana wamekalia uchawa tu na kusifisifia na wajue anayestahili sifa ni mungu tu pia tujue kwenye sayansi za siasa ni hatari sana kusifia sifia kiongozi hapo ndo mwanzo wa kujikweza unaanzia
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 2 жыл бұрын
Nchi yetu hatutaki siasa tunataka vitendo kabla ya mjomba nchi ilikuwa mbovu kimaendeleo mshamba ww halafu ss tunaenda wapi
@joshuajofrey9832
@joshuajofrey9832 2 жыл бұрын
Hivi vizee vimesha choka viacheni vipumzike RIP JPM 🙏
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Kamfuate uzikwe naye.
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 2 жыл бұрын
Wewe ni mbuzi wa kafara tu hujui chochote yaani bangosilo
@mussamalilo8294
@mussamalilo8294 2 жыл бұрын
Hii nikrim yataifa jenerali Yuko vizuri zaidi yasana
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 Жыл бұрын
Tutamsema maovu yake
@adanfarah2080
@adanfarah2080 3 ай бұрын
Youth is not a virtue
@lilykarim8968
@lilykarim8968 2 жыл бұрын
Wakuache baba yetu upumuzike kwa amani wasikuchoshe wasaka tonge rip jmp
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
RIP JPM, JEMEDARI WETU MKUU, Uko mioyoni mwetu daima tunakuombea. Siku moja tutaonana! Tusaidie uko uliko kama utaweza kuongea na wale MALAIKA watuletee wa kufanana na wewe. Pumzika BABA usiwasikilize hawa, umetusaidia sana kumjua yupi mdhati na yupi msaliti. Ahsante Baba endelea kulala! 😢
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 2 жыл бұрын
Ongeza sauti maneno yako Mazuri
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
@@elizabethpetro1258 Watu tuna jeraha ambalo hatujui daktari atatokea wapi..wanatuletea perereperere mingi! Avae viatu vile aone jinsi mguu utakavyokuwa kama kalamu kwenye kikombe cha chai..shuwainyi!!!
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
Acha Imani Potofu..Amuombee nanii..?Jisemee nafsi yako mwenyewe sio wote walimkubalo kama wewe usivyomkubali Raisi Samia wapo wanaomkubali ..
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
@@aronatv47 Imani yangu inaruhusu hilo. Ya kwako je? Na kuna mahali nimemtaja Rais wa sasa pengine? Kwanini usiwataje waliopita kama Kikwete, Mkapa etc? Kila mtu ana namna yake ya kuongoza. Na kama ilivyo kwa yoyote kumkubali au kutokumkubali mtu fulani haipaswi ikutoe povu wewe usiyemkubali. Na wewe ungeanzisha uzi uone kama tutasifia ama tutakaa kimya! Na isitoshe topic inahusu huyo generali wala sio Rais mwingine na zaidi WANAMZUNGUMZIA MAREHEMU!! Bora angekuwa hai. Sisi tulimkubali na kama wewe hukuwa hivyo ingetosha tu wewe kukaa kimya! Ref: Rais mstaafu Mwinyi alimsifia JPM hadharani na kukiri alimzidi, Mh Rais Samia naye alikiri viatu vya mwamba ni vikubwa kwake na references nyingi tu. So who are you?!!
@abdallahally842
@abdallahally842 2 жыл бұрын
Simple jinyonge umfate acha unafiki simple ukitaka unajimaliza unaenda kumuona sasa mbona hutaki kumwahi huko ukampa tarifa ya huku duniani
@sikitu8957
@sikitu8957 2 жыл бұрын
Ukiona waliyo hai wanamzunguzia aliye kufa jua kabisa maiti ya mtu huyo ina nguvu nyingi kuliko ya walio hai Na ni kweli kabisa magufuli ndio mtu pekee ambaye anaweza kutowa ccm madarakani kama wapinzani watatumia fursa hii vizuri kutumia jina la magufuli kuwa bendera yao hakika na kuambia 2025 kuna watu watatoka madarakani kwa aibu watajipitisha ila kwa asira ya wanainch watakubali kuacha INCH
@robertphilip385
@robertphilip385 2 жыл бұрын
Kwani jpm alishinda kihalali sialikua mwizitu wakura
@princehancesam9892
@princehancesam9892 2 жыл бұрын
Watanzania Bado tunamachungu yetu msituchukulie poa IPO siku mtakuja kuona machungu tuliyonayo halitabaki jiwe juu ya jiwe
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 17 күн бұрын
TUMEISHAWASHITAKI KWA MUNGU. Kwanini hakumtaja MAGU akiwa hai?
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 2 жыл бұрын
Huyu mzee ajengewe sanamu aiseee yy husema ukweli halafu hakimbiiii kudaadake
@abednego3876
@abednego3876 Жыл бұрын
Siio kweli, huyu ni tapeli
@princehancesam9892
@princehancesam9892 2 жыл бұрын
Magufuli historia yake na mazuri yake hayatokuja kufutika
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Hakuna rais historia yake itafutika. Wote wa TZ. Tambua hilo!
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 2 жыл бұрын
Historia iwe nzuri au mbaya haifutiki,jisumbukie mwenyewe.
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 Жыл бұрын
Mema yake yatakumbukwa wanaonikela Ni wale wanaotumia hoja za nguvu kufunika mabaya yake.na wakome.
@rugendorunene545
@rugendorunene545 Жыл бұрын
Wakuu wa mikoa au Wilaya... ni vibaraka tangu enzi za mkoloni. Hizi nyadhifa za faa kuchaguliwa na wanainchi wenyeji.
@antonykomba6631
@antonykomba6631 2 жыл бұрын
A brave person would always make a beeline to the issues, and not nailing someone to the cross especially a deceased one!!!. I have been swept off my feet by Mr. Ulimwengu's touch of patriotism, but mentioning JPM's name while the man's no longer in touch with this world nor any other world is not appropriate
@mohamedelmi7435
@mohamedelmi7435 Жыл бұрын
@antony Truth will always come out at the end, even if the person accused is dead truth will always prevail in the end. We all know the truth what happen in the last 6 years the good and the bad.
@egidiuskahamba4153
@egidiuskahamba4153 Жыл бұрын
JPM? So is not OK for JPM but OK for JKN and BWM?! Strange!!@Anthony Komba
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 Жыл бұрын
Huyo mkimbizi arudi kwao burundi kwao huko
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 10 ай бұрын
​Kweli inauma.@@antonywilliama2868
@felixsanga
@felixsanga 6 ай бұрын
Good deeds of the dead we accept,refer always"Hata baba wa taifa alisema,Hata Yesu alisema,Hata mtume alisema!but when it comes to evils of the past we tend to shut mouths of talkers!It seems we like defending all evils of the dead probably are beneficial to defenders!We talk much of the Devil daily in all religions but who confronted physically,mentally &spiritually was Jesus!But we still talk today!Tanzanians are really interesting people that they dictate all affairs of another person"What to support,how to talk,how to cry even when is beaten or has been agrieved severely either with powers ,authorities&other systems!This is purely justices miscarriage and criminal like terrorism,murdering and all kinds of oppressions against others in favour of a certain group of people whom you think are better or superior than others which is against the Constitution and God who is the source of everything including 'Freedom"!
@immanuelinvocavith1498
@immanuelinvocavith1498 2 жыл бұрын
Dunia haipendi ukweli na ukweli unauma ila ni dawa kitakachoiponya tz ni kusema ukweli, marehemu ni ruksa Sana kumsema Nyerere amefariki lakini tunamsema ukifa mchawi tutasem ulikua mchawi ukifa mtumishi wa Mungu tutasema, wote mnaocomment mkifa watenda mabaya tutawasema Kwa mabaya yenu maana matendo ya mtu yafuatana nae, tengenezeni historia njema Kwa kutenda mema. Kama mnavyofurahi akisiwa na huku amefariki vumilieni wengine wakisema walivyomfahamu
@agogomgagagigigogo2672
@agogomgagagigigogo2672 2 жыл бұрын
Moja kati ya mabwege nisiowapenda ni pamoja na huyu Mzee. RIP JPM wetu umeondoka umetuachia shida ka hizi ,tunakumic sana baba.😭😭😭
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
Alipokuwa hai wote hawa walikuwa mikia kifuani kama mijibwa koko. Wanawezaje kujifananisha na yule mwanamapinduzi!!! Tena eti haka ka jenerali kanathubutu kufungua mdomo kumzungumza JPM..kwa kipi hasa ambacho yeye na ujenerali wake amekifanya kwa Watanzania? Angefungua huo mdomo Jembe likiwa hai basi! Mijike tu hii
@chamimdesa148
@chamimdesa148 2 жыл бұрын
Hujielewi ndg, this's the best politician it the country
@agogomgagagigigogo2672
@agogomgagagigigogo2672 2 жыл бұрын
@@chamimdesa148 hiyo ni ww sasa ndo best,kini kwangu mm simkubali,na usifosi tufanane,nimekomenti kivyangu naww komenti kwako na c ungoje mpaka uone wengine tumekoment nn ndo ujifanye kuingilia maoni ya watu ,we nae ni bwege tu😏
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
@@chamimdesa148 Huyu ni mwana habari tu huyu maneno mengi vitendo zero! Mbona alikimbia majukumu aliyowahi kupewa huko nyuma? Kama sio coward angeingia ndani ya mtanange atusaidie basi kuyafanya hayo anayozungumza! U best wake unatokea kwenye maneno au vitendo? Unamzungumza vibaya mtu ambaye kwanza Marehemu halafu zaidi ametenda makubwa kwa nchi hii! Yeye ametenda lipi?
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@thadeymsaki2568 Ujenerali alipewa na mama yake ndo sababu ya kubwabwaja..!!
@godwinmbwambo3316
@godwinmbwambo3316 11 ай бұрын
This man is very smart!
@benjaminibirama6664
@benjaminibirama6664 2 жыл бұрын
Huyu Mzee ni mwehu mtangazaji usirudie kuhoji watu kama Hawa
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 2 жыл бұрын
Wewe ndo zuzu huna upeo wa kujua Mambo kaa kimya
@martineshija2712
@martineshija2712 2 жыл бұрын
Huyu mzee ni msomi lakini mjinga
@amourmtungo623
@amourmtungo623 2 жыл бұрын
🤔Kama uliwahi kuwa kiongozi wa nchi au wananchi, uzuri na ubaya wako utarudiwarudiwa na kusemwa sana midomoni mwa watu. Kwahio watu kuwataja viongozi waliopita na waliyoyafanya sio jambo jipya au geni. Tusihoji sana Watanzania kutoa dukuduku lao kwa mtazamo wao kwasababu kila mtu ana mtazamo wake juu ya viongozi na matendo yao ya uongozi. Kukosoa, kusema na kushauri ni sehemu ya demokrasia. Kisichohitajika ni matusi. Tukiwa hai ni lazima kuhoji, kuuliza maswali mengi tu yanayohusu nchi, kisiasa na uchumi. Sote tuna haki sawa juu ya hili. Tupendane na mazuri tuyapongeze mabaya tuyalani🤔.
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 2 жыл бұрын
Mimi nasema uongozi mbovu mnatuletea siasa ndio maana nchi inadorora tulishavuka huko mnaturudisha tena Mara Mchele mafuta miradi imesimama mnazingua tatizo lenu wengi mnaleta siasa dunia ss hivi uchumi ndio kila kitu oooh Mara mboe Mara mjomba kakosea
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 Жыл бұрын
Hazina kubwa ya taifa hili. Mungu akubariki Sana Mzee wetu. Ndugaiii ! Ila amekusifia kuwa una Akili.
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 2 жыл бұрын
Mmekosa wakuwahoji mnahoji Hilo jinga
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Maoni yako yamekuvua nguo
@reynaldakizuri7354
@reynaldakizuri7354 Жыл бұрын
Wengi hawamfahamu vizuri General( tulivyokuwa tukimwita akiwa pale Tabora School). Huyu mtu anajielewa sana, hata kwenye debate alikuwa hatari. Msumbuji wenyewe wanamwelewa vizuri hasa ktk harakati za kupigania uhuru chini ya chama chao FRELIMO na Mwanamapinduzi Samora Machel.
@gulalakitinya7615
@gulalakitinya7615 Жыл бұрын
Very rich discussion.
@pendomalisa9308
@pendomalisa9308 2 жыл бұрын
Akili yako haipo ungeongea vitu vyenye point
@anthonypatrice5247
@anthonypatrice5247 2 жыл бұрын
JPM, RIP PEACE but like him
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 Жыл бұрын
Jenerali watu waliosoma makala zako za uchambuzi huwa hatujuti kukusikiliza.Big up!
@judicalosika7642
@judicalosika7642 11 ай бұрын
Unakumbuka gazeti- Rai/Raia Mwema!!!!
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Жыл бұрын
Magufuli bado hai,,kwa kazi zake.na kutonyenyekea watu kama hawa vivuruge.ambao wameubwa kwa ajili ya kuzungumza tu.pasipo matendo.
@abdulrwenza986
@abdulrwenza986 2 жыл бұрын
Huyu ana ushaidi gani kwamba kura ziliibwa?Magufuli alikuwa ni upepo wenye akilli nyingi ubunifu mwingi kuchapa kazi na uzalendo kupita kiasi lakini pia kutetea wanyonge haya yote yalifanya wengi wamiamini na kumpenda hasipoteshe ukweli na hawezi.
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Haikuhitaji akili kubwa kujua kwamba kura ziliibiwa. Kila mwenye akili analijua hilo.
@aronatv47
@aronatv47 2 жыл бұрын
Sikatai Kuwa Jpm alikuwa na Mazuri na Mabaya..Kinachonishangaza tu ni kuwa Sijui JPM aliwapa nini wa TZ hats ujinga alioufanya wawazi wazi wanataka uonekane ni mzuri/ wmaanaa..Na ndio alishatujua wa TZ akili zetu zilivyo alichokifanya nikuziweka mkononi mwske kiasi kwamba Ujinga na Uzuri vyote alivyo Fanya vioneka ni sawa tu ..
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
@@aronatv47 Una akili kubwa sana ndugu👍. Hongera saana🤝. Kunywa pepsi moja kwa mangi hapo nitalipa. Kwa bahati mbaya wenye akili kubwa hivyo kama wew ni wachache. Wengi ni mazuzu tu.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 жыл бұрын
@@aronatv47 Kwangu mimi najuwa kila binaadam atatenda makosa lakini JPM alikuwa na maono ya kulipeleka mbele Taifa kiasi kwamba hata CCM wenyewe hakupenda, aliongoza kwa kutumia sera za Wapinzani kama vile ufisadi, Elimu bure, afya , taifa halina ndege nk. Binafsi nilimpenda kwa kushughulika na wananchi moja kwa moja ule ubwana mkubwa usiopungua tuliodhani hata hawawezi kuhojiwa na Polisi tuliona wakiwekwa hadi cello, nchi ilikuwa na nidham na heshima kiasi. Yote kwa yote upinzani wa Tanzania bado haujawa na nguvu za kuishinda CCM pamoja na figisu zilizofanyika. Ukiwa na nguvu za kutosha hakuna figisu itakuzuwia toka 1995 Pemba kule Zanzibar Upinzani unashinda 99% na inatangazwa.
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 2 жыл бұрын
Kwan ilihitaji akili ya degree kujua uzumbukuku wa 2020
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 Жыл бұрын
Nakuogopa Sana mzee wangu kwani wenye nywele nyeupe wengi pia huwa na akili nyeupe lakin kwa akili yako inanishinda kuelewa kila iitwapo leo ninampango wa kufa sijaona Tanzania anayoisemea ulimwengu kwa namna ya wananchi tulionao
@tumsifumartine612
@tumsifumartine612 Жыл бұрын
Uyu Generali Ulimwengu ni mjinga sana,na hana akili kabisa kila saa anamuongelea Magufuli mtu ambaye hayupo tena watu wajinga sana hawana cha kuongea wameishia, rest In Peace the lite president Magufuli
@safnasachu3515
@safnasachu3515 2 жыл бұрын
Bravo Jeneral
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 жыл бұрын
Huyu mzee anajionaga ana akili kuliko wengine! Lakini hana lolote ambalo ashawahi kufanya ujinga ujinga tu na udini unamsumbua! Ogopa sana kichwa cha muvi kilicho jaa upumbavu! Mzee mpuuzi sana huyu! Yaani viatu vya JPM huwezi hata kuvivaa!
@daudisaid6198
@daudisaid6198 2 жыл бұрын
Hili senge sana magu pumzika kwa amani baba haya mapiga dili acha yaendelee kukuchafua ila Dunia mapito tu.
@daudisaid6198
@daudisaid6198 2 жыл бұрын
@@Abs-tz8dl ebana alhamdulillah siko vibaya ila nahurumia mama zako huko shambani pumbavuuuuu wewe magu aliwabana wapiga madili mkaanza kuuza mikundu coz hamwezi fanya kazi ya kutoa jasho nyau weusi nyie na kwanza mchunguzwe vizuri uraia wenu tunamasha
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 жыл бұрын
Mzee mzima hovyo..nonsense
@everestmrema1762
@everestmrema1762 Жыл бұрын
For rememberness y'r exeptiona.we depend on you for our National politics.BRAVOOO GENERALI
@dicksonmakunja5831
@dicksonmakunja5831 2 жыл бұрын
Hawa wengine utawajadili siku wakifa Mzee si ndo kawaida yako
@michaelmkisi6999
@michaelmkisi6999 Жыл бұрын
Freedom ya uandishi sio hatred ya kumsema mtu ambaye kaenda mbele ya haki kumsema vibaya mtu wakati wewe mwenyewe hujatenda haki yeyote dunia hii. Chunga sana ulimi wako utakufa vibaya.
@collinmhema5443
@collinmhema5443 Жыл бұрын
Kwani aliyoyatenda nayo yameenda mbele ya haki? Mbona tunayasema mazuri ya mwalimu kila siku na katangulia mbele ya haki na husemi
@user-zh8wg3lc4i
@user-zh8wg3lc4i 2 жыл бұрын
Nakupenda wewe Generali Ulimwengu Mungu anajua, wewe ni kiboko safi sana.
@lawrencekyando2275
@lawrencekyando2275 11 ай бұрын
Unamsema mutu hayupo iliiweje sema kinashoendelea sasa mnafiki tu mope mungu.
@petronilamruma2418
@petronilamruma2418 2 жыл бұрын
Yaan jpm anawatisha tangu akiwa hai mpaka amekufa.. Kweli jpm Ni mwamba and he will always be.. Wachana kupambana na marehemu deal na wazima.. We don't need degrees kuona Alichotufanyia Magufuli bana.. jitahid utengeneze mchiriz wako ili hata we ukifa uzungumziwe!!!!
@samsonfulgence5553
@samsonfulgence5553 2 жыл бұрын
Ni kutokana na hicho alichokifanya ndo maana anasemwa. Wew unaona cha upande mmoja, acha wanoona cha upande wa pili ambacho wew huna macho ya kukiona wakiseme.
@zeralucyntazimila6600
@zeralucyntazimila6600 2 жыл бұрын
@@samsonfulgence5553 kwa hiyo anasikia??
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
Wanapatwa na mihaho. Bila shaka wamekwishakwenda penye kaburi la MWAMBA kuzindika asifufuke..! JPM ametufungua macho na kutuonesha kuwa tunaweza wenyewe. Sasa hawa uwezo mdogo, tamaa binafsi, uchu wa madaraka na mali bila kujua kuwa wametumwa kuwatumikia wananchi hasa wale wanyonge..kiongozi unakula milo sita unalipwa na zaidi ya mshahara unasahau kuna watu huo mlo mmoja ambao hata haujakamilika kwao ni ngumu kuupata kila siku. Shuwainyi!!!
@thadeymsaki2568
@thadeymsaki2568 2 жыл бұрын
@@samsonfulgence5553 Mafisadi tu ninyi mnajotahidi kuchafua jina la JPM kwa vile aliwafinya mahali!
@stanslausmachege2179
@stanslausmachege2179 2 жыл бұрын
Huyu Mzee anaona yeye ndiyo Yeye
@gaitanokamage7366
@gaitanokamage7366 Жыл бұрын
HUYU MZEE ANAWIVU TUU WA KUKOSA KILA KITU KUPINGA
@frankmkude8593
@frankmkude8593 2 жыл бұрын
Mzee hatupo nae rkn bado tu jina harifi
@adanfarah2080
@adanfarah2080 3 ай бұрын
Wasafi, mbona background chafuu!
@valentinemtei3588
@valentinemtei3588 2 жыл бұрын
Nimeipenda
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Jenerali Ulimwengu ni hazina zaidi ya viongozi wengi tu waliopita na hata waliopo
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 Жыл бұрын
Tuwaenzi na Kuwaheshimu sna hawa wazee wetu ni Hazina Yetu kwa Nchi Yetu
@kisakenimangi4873
@kisakenimangi4873 2 жыл бұрын
lakini pia naweza wakosowa wandishi wa habari hawana huwezo .....hawa wandishi wa habri wangeuliza maswali yanaweza wadia wanaich...hii information inasadia wanaichi or nikuleta fukuto la wanaichi wasusie kiongozi ako madarakani ...pumbavu sana ujinga mingi ...hawa watu tuna sema wstg of time...wacha vija wajenge uchumi
@damianichayo895
@damianichayo895 2 жыл бұрын
Si yote anayosema ni sawa anahisi na kutetea nafsi yake kisiasa na hususa ni kuwa against na CCM tu. Mkitaka kujua ukweli wa wapiga kura walimwagika kumpigia JPM mkitaka ushahidi wa haya pasipo kutafuta sifa ebu acheni kura za masanduku halafu watu wajipange mstari ndo mtajua wengi wapo chama gani hasa kwa kumhusisha JPM. Msiguse vinijini hata kidogo. Alipendwa kupitiliza.
@BongoCryptos
@BongoCryptos 2 жыл бұрын
Jenerali Ulimwengu ni Kichaa, msaidieni afikishwe Mirembe kwa matibabu.
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 2 жыл бұрын
Kicha wazazi wako
@eng.mallya9532
@eng.mallya9532 Жыл бұрын
Mama yako ndio kichaaaaa
@BongoCryptos
@BongoCryptos Жыл бұрын
@@eng.mallya9532 Mataahira wote mnajulikana tu
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
JENERALI HATA MIMI NILIMHOFU MNO MREMA KUINGIA IKULU ILIKUWA HATARI MNO!
@salimabdallah7252
@salimabdallah7252 Жыл бұрын
Mzee bingwa sana huyu....
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 5 ай бұрын
Akili kubwa sana 💯
@ChristerShao
@ChristerShao 11 ай бұрын
Kyerwa mmetueshimisha.Mbona Mbowe hukufika Izimbya,Ibwera na kasharu.
@ukweli255
@ukweli255 Жыл бұрын
23 January 2023
@adanfarah2080
@adanfarah2080 3 ай бұрын
Generali is the perfect anecdote for Tanzania's hero worshipping and sycophantic political culture, he says it like it is, like it or hate it
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 2 жыл бұрын
Anaongea vitu serious vikubwa kuliko nauliza maswali ndio mana tunashindwa kumfaidi hapa
@okokakasumba3031
@okokakasumba3031 2 жыл бұрын
Kubwa jinga rudi kwenu Rwanda huna jipya kabisaa
@mmarandu2417
@mmarandu2417 Жыл бұрын
WISE PEOPLE SAY: ABOUT THE DECEASED, NOTHING BUT GOOD. RIP JPM. WE LOVE YOU ❤ AND PRAY FOR YOU.
@joshuamassawe2474
@joshuamassawe2474 Жыл бұрын
Never the truth, huh?
@al-hidayahonlinetv3447
@al-hidayahonlinetv3447 2 жыл бұрын
JENERALI TWAHA ULIMWENGU
@hafidhihalifa4303
@hafidhihalifa4303 2 жыл бұрын
Kazi nzuri ila punguzeni papara hasa zungu..wekeni maswali mwacheni mgeni ajibu
@raheemmahadi2987
@raheemmahadi2987 Жыл бұрын
Jmp 4 life ..until end of dz country
@samwelipima3795
@samwelipima3795 2 жыл бұрын
Anatafuta Kiki huyo mzee hakuna namna JPM hatupo nae lakini huyo Hana HOA za msingi hata kidogo Kama kila kitu nikumponda mpendwa wetu jpm
@fikirinyanda6805
@fikirinyanda6805 Жыл бұрын
Huyu mpuuzi hana uwana harakati wowote kwanza anatukera sana
@papaadialoo
@papaadialoo 2 жыл бұрын
Jenelali jenelali duu
@sharifaamrani654
@sharifaamrani654 2 жыл бұрын
Yuko vizuri kwa maelekezo
@DUL69
@DUL69 10 ай бұрын
Badmouthing A Deceased one isn't Appropriate. Especially Badmouthing JPM. OUR LATE PRESIDENT JPM WAS A MAN AND A TRUE PATRIOTIC TO HIS COUNTRY. R.I.P MR. PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI. WE TRUE TANGANYIKANS REALLY MISS YOU.
@consult_alex9411
@consult_alex9411 Жыл бұрын
Zungu Anazingua he becomes too excited mpaka anaharibu flow ya interview. Either by interfering or speaking out of context..
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
Hina adabu wewe mzee kafilie mbali huko
@patrickkalengela7125
@patrickkalengela7125 22 күн бұрын
Generali Ulimwengu Ni Mkweli , nuakati za Sasa tunaona Wakuu wa Wilaya na Mikoa Vimeo na tunajua wamewekwa bila kufahamika uwezo wao, Ila yu kwa kuwa Wanajuana na Wakubwa Fulani. Mungu ainusuru na Janga hili la Kupeana vyeo kwa kujuana badala ya kuangalia uwezo wao
@imranihussen5764
@imranihussen5764 2 жыл бұрын
Nilicho penda ni waandishi kumkwepa generali kwny swala la JPM yeye analazimisha lakini jamaa walisha soma mchezo😂😂😆ongera chazi na zungu🙌🏾🙌🏾🙌🏾💪💪
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
Ungekuwa mwenye mapinduzi wa kweli ungewatete Wamasai ngoro ngoro na kutoa mawazo mbadala kuhusu mfumuko wa bei we kila siku ni Magufuli Magufuli kama vile aliwahi kukupora dem. Muacheni Mze yule apumzike jamani
@willbroadmwikwabe3103
@willbroadmwikwabe3103 2 жыл бұрын
Mbona Jenerali amezungumza kuhusu wamasai mara nyingi tu lakini pia ana haki ya kumkosoa magufuli maana aliwai kuwa kiongozi mkuu wa nchi na kuwa marehemu sio kigezo cha yeye kutozungumziwa mbona mpaka leo watu wanazungumza kuhusu idd amin na alishafariki kitambo sana.
@befamgaya4633
@befamgaya4633 2 жыл бұрын
Je hayo yote yalitokea katika kipindi cha utawala wa magufuri tu?
@zeralucyntazimila6600
@zeralucyntazimila6600 2 жыл бұрын
@@willbroadmwikwabe3103 hujitambui kwani ukimsema itakusaidia nini wakati hata kusikia hakusikii???
@willbroadmwikwabe3103
@willbroadmwikwabe3103 2 жыл бұрын
@@befamgaya4633 ni kweli kabisa shida imekua ya mda mrefu na wala haikuanza kwa jpm na ulimwengu amekua akikosoa kabla ata ya jpm bahat mbaya ni kwamba magufuli amekua kiongozi miaka ya hivi karibuni na huwezi jua kwa namna gani ulimwengu aliathirika ktk utawala huo kwa hiyo kama raia ana haki ya kusema.
@willbroadmwikwabe3103
@willbroadmwikwabe3103 2 жыл бұрын
@@zeralucyntazimila6600 kumsema haina maana kwamba akusikie ila inasaidia kuwaonya na kuwakumbusha watawala waliopo juu ya mambo yaliyotokea katika vipindi vya nyuma, ni kama tu vile mtu akimsifia jpm kwa mazuri aliyofanya wala jpm hawezi kumsikia.
@poncegk5263
@poncegk5263 2 жыл бұрын
Hiki kizee kichawi sio bure...Ubongo umejaa ugoro tu hapo
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 4 ай бұрын
Huyu Mzee SI mtu wa mchezo anaakili nyingi sana.nyerere mwenyewe alimkubali
@marygregory7566
@marygregory7566 2 жыл бұрын
SIJAPENDA
@pantaleogregory2175
@pantaleogregory2175 2 жыл бұрын
General umeongea ukweli mtupu Mungu akulinde
@officialMr_SMART
@officialMr_SMART 2 жыл бұрын
Siku zote hua hamna JEMA wala DOGO hua mnajiangalia wenyewe 2
@ellydaud1645
@ellydaud1645 2 жыл бұрын
Mkapa aliua viwandavyote inchini hapa kilakitu alibinafisisha Leo et kiongozi Bora kwakipi tumejua malengo yenu nikuwatoa watu kwenye leri ya misimamo ya hayati JPM tunajua mnataka kutuaminisha tukili inchi yetu ni masikini huku mnapiga pesa za masikini sekita binafisi mpakaleo tunaumia kwa sababu ya huyo mkapa maisha magum sana muwekezaji ana lipa mishahala akitaka silipe sawa alipe sawa sasa ubora huo niupi sasa
@user-kq5si5pv9n
@user-kq5si5pv9n 11 ай бұрын
Huyo jenerali ulimwengu hafai kwanza, wajeshi gani?
@tiffahdangote7548
@tiffahdangote7548 2 жыл бұрын
MAGUFULI ALIKUA ANANYOTA WW.....! HAHAJAHA THE DEAD PERSON MPAKA LEO ANATREND HAMSHANGAI?????? MAGU WAS GREAT ASIKWAMBIE MTU! ALIKUA UPEPO WATU TUNAMFATA TUUUUUU.....LEO HIIIII HEEEEE MAMA ATAUKISIKIA ANAPITA HAPO HAKUNA HATA ANAESIMAMA! NANI ANABISHAAAAA???? HEHE MAGU REST IN PEACE!
@lilykarim8968
@lilykarim8968 2 жыл бұрын
Kweli😂😂😂😂😂😂😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 2 жыл бұрын
Alikua ana nyota ya kuua watu na kuteka watu mwanaharamu yule afie mbali
@calimahad9274
@calimahad9274 Жыл бұрын
Kiswahili bwana ... Kasema tukudodose !!!! TUKUDADISi .
@paulmsonipembengollo7199
@paulmsonipembengollo7199 2 жыл бұрын
Sikujua unajua mengi kwa kiwango hicho. Umewachambua vinzuri Marais wote.
@isaachayes9783
@isaachayes9783 2 жыл бұрын
Kwanza hamjui kuendesha kipindi, mpangilio wa mahojiano ni hovyo, jifunzeni kutoka kwa wenzenu
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 Жыл бұрын
kwani twatizama nini hapa halafu tukishatizma iweje ugali utakuja mezani watu njaa mitaani zimezidi maisha yamekuwa magumu mno , itatusaidia nini kutaja watu ambao hatunao tena
@salimukimwaga
@salimukimwaga Жыл бұрын
Huyo jenerali anamtuhumu Magufuli aliwavuruga kwa kweli watu wabinafsi na walafi unafikiri nchi ilivyoachwa na mtawala aliyepita kabla ya Magufuli ikiwa kama nyumba hainA mkubwa anayekemea mabaya yote yaliotokea sawa tu Magufuli kama kuweka nidhamu serekali mpaka mtaani hata maendeleo ya nchi yakaonekana kwamba sasa nyumba imepata na a kiongozi huyo hatumshangai hata kwa asili alikotoka
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Kama Mrema alikuwa hivyo je Makonda naye nani wanainchi Inchi hii watu wamefanywa kutofikili vizuri. Kwa sababu wanainchi wamefanywa kutofikili mpaka kesho kwa sababu CCM imewafanya watanganyika wanadhani kuwa hawawezi kufikilia wao wenyewe hawawezi kufikili bali raisi ndiyo ana akili kuliko wao wenyewe.
@rashadu874
@rashadu874 11 ай бұрын
VIJANA WA OVYO AZANA CONTENT ZA KUONGEA NA JENERALI
@allykigatta7564
@allykigatta7564 Жыл бұрын
Hili zee aidha ni choko aidha linavuta bange
@janiaoma7093
@janiaoma7093 Жыл бұрын
JENERALI ALIJIFURUGA MWEYEWE KWA UJIGA WAKE WA TAMA YA KUTAFUTA WAZFA WA CHEO AGALIENI SANA SISI WATANZANI UKIKOSA CHEO SEREKALINI AU UKIKOSA KUPATA PESA ZA UJANJA UJANJA UNAKUWA MKALI SASA WATU KAMA HAO WALISHIKWA NA MAGUFULI HAWANA MWAYA WA KUPATA PESA ZA WIZI
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Wewe mrundi au mnyarwanda toa kelele zako mitandaoni kumbuka yaliyokukuta nyuma mtanzania magazine imeishia wapi
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 2 жыл бұрын
Huyu jamaa anazeeka vibaya, kwanza wasiwasi upo huyu ni wa kuja yaani mamruki ukichimba undani wake, ilishaonekana uraia wake ni wa mashaka!
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Akili nyingi sana huyu Mzee! Huwezi kumuelewa ww!
@c75923
@c75923 2 жыл бұрын
Hili ni moja ya pandikizi toka nchi jirani yanayoletwa kama "shushushu" Mkapa alilipiga PI likaanza kulia lia! Ningemuona wa haya maneno angeyasema wenyewe wapo! Apart from that its NONSENSE
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 amechelewa, anazitumia uzeeni ujana wake alikuwa wapi?! Now these days his brain is a retired brain 😂
@francisassenga2546
@francisassenga2546 2 жыл бұрын
Nimependa jinsi waandishi mlivyomhoji Jenerali kwa weledi na kwa uhuru mkubwa. Hongereni sana.
@user-kq5si5pv9n
@user-kq5si5pv9n 11 ай бұрын
Hâta kumtumia ni aibu hafai kuwa mzee
@josephamos6636
@josephamos6636 Жыл бұрын
Mzee unajinadi sana kuwa unajua kila kitu kwanini usigombee urais ili ufanye unayoyasema?
@Jal210
@Jal210 5 ай бұрын
Huyu mzee hajielewi mlevi mmoja
The Story Book: MOBUTU ‘Dikteta Aliyewafilisi Wakongo’
44:00
Wasafi Media
Рет қаралды 654 М.
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 8 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 101 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 52 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 12 МЛН
The story Book: Lumumba Shujaa Aliyetolewa Kafara
25:41
Wasafi Media
Рет қаралды 473 М.
ДЕДУШКА ВЫ ГДЕ? 🤣🤣
0:59
РЕАЛЬНЫЙ ВОВАН
Рет қаралды 2,8 МЛН
тгк: Логово FRIENDS
0:23
АлексДан
Рет қаралды 12 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,6 МЛН
小丑女太帅了 #小丑#shorts  #天使
0:46
好人小丑
Рет қаралды 7 МЛН
Когда Нашёл Нового Друга в Диснейленде ❤️
0:18
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4 МЛН
Ещё один способ не забеременеть
0:16
Pavlov_family_
Рет қаралды 11 МЛН