ALOIPENDA HIIII HADITHII KUTOKA KWA BONGO FASTA LIKEE HAPAA
@lisaemil1528Ай бұрын
daaahhh!...unatisha sana na hizi hadithi endelea nazo hivihivi usiache mm ni mfuatiliaji wako mzuri sana!!👍👍❤❤❤...na anayetengeza hizo picha ndo kabisaaa❤❤❤❤❤❤ adi nmetamani kumjua...ni nani???
@aliyhamisi5319Ай бұрын
Inauzunisha sana usalit mbaya sana mm ungeirudisha figo yangu hiyo mambo akufanyie ubaya umlipe wema wanaweza manabii tu na mitume
@umfahad2609Ай бұрын
Mmmh… ctoi figo lng kumpa mchumba. Wanaume wa sasa hawaaminiki.
@mauamshindo2558Ай бұрын
Tigo hata kucha sitoiii😂😂😂
@umfahad2609Ай бұрын
@ 😂😂😂😂😂 Yani nimecheka hapa mpaka machozi.
@RashidRamadhani-b5oАй бұрын
Hata wanawake wa sasa hawaaminiki vivo hivyo
@HusnaAbdara-o1e8 күн бұрын
Hadithi nzuri sana❤❤❤❤
@Sarah-e1o9kАй бұрын
Mimi nilitoa nilibakiza Figo tu lkn alipopata pesa akaenda kuoa cjui n laana mkosi juu ya mikosi pesa ikaisha mwanake aliomba talaka yeye mwanaume kitandani ugonjwa adi kuogeshwe hpo hpo sasa hvi oooh turudiane mimi nani nimejipa shughuli kila mtu apambane na shida zke😂😂 c wezi tena
@SummymaddyMaddyАй бұрын
Vibaya hivo😂
@Sarah-e1o9kАй бұрын
@SummymaddyMaddy c tlisema huu mwaka ni kusoga tukiendaga😃😃
@umfahad2609Ай бұрын
@@Sarah-e1o9k pole shoga. Ila malipo duniani kipenzi.
@FatumaJumanne-p4dАй бұрын
Hata hawa watokuwa na aman huyo mwanaume na mwanamke n wakatl mno mwenzao amejtoa wao wamemlpa ubaya .
@Aishatheboss117Ай бұрын
Mimi niliwali kutenda weka kama huyo ilibaki kidogo tuu nimpe figo leo hii yuko kwenye ndoa na mwanamke mwengine ila upande wangu na namshukulu mungu naendelea vizuli na shughuli zangu na pata liziki mungu atanipa mwanaume mwengine