PASTOR NDACHA AKUBALI KUWA YESU SIO MUNGU MKUU. (PART 2 B)

  Рет қаралды 13,286

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Please remember to subscribe to our channel ‪@StraightPathDawah‬ . Tafadhali subscribe na ukumbuke kubofya like na share. Please support Dawah programs through Mpesa +254722600533 au Till No. 558297

Пікірлер: 261
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 Ай бұрын
Ndacha umegonga mwamba na ww ndugu yetu ndacha watumia ujanja but umefika kwa Sheikh Ramadan anakujibu straight to the point Shukran sana ❤
@SemaStudio-jn1yv
@SemaStudio-jn1yv Ай бұрын
Ndacha kila siku anasema Yesu ni Mungu kwa asili, sio Mungu mkuu.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
​@@SemaStudio-jn1yv kwa hiyo kwa mujibu wake miungu niwangapi? Na cheo cha Mariam mama yake yesu nikipi?
@abdilatifhashi9659
@abdilatifhashi9659 Ай бұрын
Masha Allah sheikh Ramadhan Kuria
@josemu870
@josemu870 Ай бұрын
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Ай бұрын
Ramadhan May Allaah continue to open your chest and get the victory over the disbelievers Aamiin
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p Ай бұрын
Sasa ndacha yesu kasema imeandikwa msujudie bwana mungu wako umuabudu yeye peke ake hii peke ake inarudi kwa mungu wa pekee ambae unadai sio yesu halafu hapo hapo unasema nae yesu anaabudiwa kama mungu sasa sema mungu wanaoabudiwa ni wawili kwa imani yako sijui unakwepa nini ukiristo haueleweki
@bwanaikimohamed8241
@bwanaikimohamed8241 28 күн бұрын
Haueleweki kabisaaa
@fowziamohamed5542
@fowziamohamed5542 Ай бұрын
Moto kama pasi... Ndacha usicheze na Ramadhan... bible and quran zote ameziifadhi...MashaAllah Allah akuzidishie..
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
Aamina
@DidiFizzo
@DidiFizzo 25 күн бұрын
Yesu Ni Kristo mwana wa Mungu
@abdallahdoka9173
@abdallahdoka9173 Ай бұрын
Ma Sha Allah ustaadh Ramadan...Naomba uwakutanishe ndacha na gerishon odare yule myahudi
@salimmaluki5551
@salimmaluki5551 Ай бұрын
Mbona yesu hakusema munataka kuniua mimi mungu alisema yeye ni mtu
@qerysir4410
@qerysir4410 Ай бұрын
Q'ORAN yasema YESU ni roho kisha ni neno la Mungu, kwani imekosea?
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
​@@qerysir4410ni neno la MUNGU, kwani wewe ni neno la shetani?
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 Ай бұрын
​@@qerysir4410na QURA'AN inasema ni robo itokayo kwa MUNGU, kila mtu roho yake imetoka kwa MUNGU
@Sharrif456
@Sharrif456 Ай бұрын
Good question hii hawawezi jibu 😅 shida kubwa ya hawa ma pastor ni stori miingi badala wajibu swali
@bitsanjE
@bitsanjE Ай бұрын
​@@Sharrif456ni mtu gani alipewa uwezo wa kuumba kama sio mungu
@mifunga3414
@mifunga3414 Ай бұрын
Mashallah
@samxx411
@samxx411 Ай бұрын
Wallahi namuonea huruma Mwalimu Ndacha...maana anaisikia qurani inatoa onyo, unaposema qurani maana yake huyo ni Allah anasema "ole wao wanaoandika kitabu kwa mikono yao ikisha wanasema ni maneno ya Mungu" ...hilo ni onyo na Mwalimu Ndacha anasikia ni muhimu kulitafakari kama kifo hakijakufikia...Mungu amuongoe Ndacha akubali njia iliyoonyooka ya kweli....ila Ndacha yupo friendly sana namkubali
@user-le3qp8ev7r
@user-le3qp8ev7r 21 күн бұрын
Poleni ndungu wa majini
@user-pw4dx9hr1l
@user-pw4dx9hr1l 21 күн бұрын
Asante ndugu wa mapepo
@patiencesamba9467
@patiencesamba9467 29 күн бұрын
hamna mtume yoyotea aliyeko wala aliyekuweko wala atakayekuweko kando na mohamad aliwahi sema yesu si mwana wa Mungu Halleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@bwanaikimohamed8241
@bwanaikimohamed8241 28 күн бұрын
Sio hoja hio
@aooshosho4255
@aooshosho4255 26 күн бұрын
Mungu kakupa akili utumie sasa itakuwaje kuwepo ili Hali yesu hakuepo wala hakuwatangulia hao mitume sasa watapinga vipi,laki Yusu alimtangulia Muhammad juu nabii wote wanakuja na msg moja kutoka kwa mungu, Muhammad kuwa wamwisho lazima amtakase mtume aliemtangulia kwa yale alioekelewa na mungu ndie amwambie hii ni sawa hii walizuwa ndiposa alipewa Qur'an....kaa muhammad si wakweli mbona mungu ajaleta mtume au kushukukisha malaika lakini mbona yesu alipopaa mungu alituma malaika na akafunza mtume wa mwisho mohammad na kumpa kitabu ya Qur'an.
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 25 күн бұрын
​@@bwanaikimohamed8241inamaana hakuna nabii Yule anamsapoti muhamadi🤣🤣🤣
@DaudiMwangati-id1tk
@DaudiMwangati-id1tk Ай бұрын
Ubarikiwe Ndacha ongera kwakuwajulisha hao wagumu kuelewa waislam Mungu wetu atakulipa hao kichwa ngumu nihao.
@saidichemasuet
@saidichemasuet Ай бұрын
Yesu nimwanako kwani mungu nikondo
@bwanaikimohamed8241
@bwanaikimohamed8241 28 күн бұрын
Mashaallah Ustadh Ramadhan🎉🎉🎉
@user-dt5wp5qo4n
@user-dt5wp5qo4n Ай бұрын
Napenda mafundisho ya mwalimu ndacha mafunzo yake niyakipeke,niukweli mhamedi amedanganya wengi nimpinga kristo kweli
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Ай бұрын
Ata unongopei Quran kwa kinywa chako wp ukiristo dini ya mungu kama kiristo ni mti wa mafuta 😢😢
@RosemaryRaymond
@RosemaryRaymond Ай бұрын
Supa mwalimu Mr . Ndacha kiboko hakika
@latestnewsandsportsupdates6464
@latestnewsandsportsupdates6464 Ай бұрын
Ndacha ni muongo sana
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 25 күн бұрын
Uongo wake wapi?
@Petermulili
@Petermulili 18 күн бұрын
your name betrays you
@latestnewsandsportsupdates6464
@latestnewsandsportsupdates6464 Ай бұрын
Ndacha silimu tu juu wewe unajua ukweli na unabishana
@vicorvincent1409
@vicorvincent1409 23 күн бұрын
Kusilimu nikuabudu Muhammad na Allah,Hatujui Allah ni nani
@Elecovid
@Elecovid 22 күн бұрын
Isa sio yesu
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Ahsante sheikh Ramadhan kuria ben kaguo
@LukazakayaMlaiza-zo1wi
@LukazakayaMlaiza-zo1wi Ай бұрын
Yesu mwana wa mungu mathayo 3:17
@michaelmbugi
@michaelmbugi Ай бұрын
Je neno tumfanye mwanadamu Kwa mfano wetu hapo wingi umoja walikaa nani na nani
@michaelmbugi
@michaelmbugi Ай бұрын
Mungu ana mwana hata sisi wanadamu ni watoto wa mungu mbona mnababaika sana kitu chepesi au nyie watoto wa nani
@LukazakayaMlaiza-zo1wi
@LukazakayaMlaiza-zo1wi Ай бұрын
😂😂
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Ай бұрын
​@@michaelmbugiWA baba na mama Mwenyezi Mungu anawaonya wasemao mungu amejifanyia mtoto ivi ww akili yko inafikiria wp mpk ung'ang'anie ukiristo ambao mungu alituchagulia uislamu dini ya haki❤❤❤
@bwanaikimohamed8241
@bwanaikimohamed8241 28 күн бұрын
Mashaallah Sheikh Suleiman🎉🎉🎉
@Hamima-hf7ld
@Hamima-hf7ld 23 күн бұрын
Yaan huyu ndacha ataja kua kigogo muisalam mzur sana Allah amuongoze mja huyu anaijua haki vizru
@3rdeyetv264
@3rdeyetv264 16 күн бұрын
From my own observation, I can see that Ramadham has understood Ndacha so well. He already know the truth is in the bible but has just decided to deny the fact
@niyoaze
@niyoaze 24 күн бұрын
tangu hata mirere yesu nimwanawamungu nahaipunduki nahaitapinduka
@vicorvincent1409
@vicorvincent1409 23 күн бұрын
Allah wameteremsha Quran wakikiwa wangapi sababu wanasema “sisi tumeteremsha Quran”nilidhali Allah atasema “nimeteremsha Quran”
@user-sf7lp1fs7d
@user-sf7lp1fs7d Ай бұрын
Ameanza kukubali Yesu sio Mungu,iko siku atakubali pia Muhammad ni mtume wa Mlmungu na uislamu ndio dini ya haki
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Ай бұрын
Kakubali zamani hivyo
@alinurharun8468
@alinurharun8468 Ай бұрын
Masha Allah 🎉
@moonsix9827
@moonsix9827 Ай бұрын
Waislamu hammuwwzi ndacha nyie mpo kishabiki tu
@latestnewsandsportsupdates6464
@latestnewsandsportsupdates6464 Ай бұрын
Ndacha anawasiwasi 🥲🥲🥲🥲
@ibraa1157
@ibraa1157 Ай бұрын
Karibu kwenye Dini ya HAKI Ndacha
@ramlohassan2395
@ramlohassan2395 Ай бұрын
Quran 5:116 Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.
@bitsanjE
@bitsanjE Ай бұрын
Isa sio yesu kristo
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 Ай бұрын
@@bitsanjE YESU NA MAJINA MENGNE MENGI KATIKA BIBNILIA NI YA KUPANGA SIO ORGINAL WAZUNGU WALIGEUZA MFANO MUSA MOSES UKIANGALIA IN REAL MUSA ALITOKA WAPI AMA ISSA BIN MARIAM ..kwanini hawa watu wasiitwe majina yao halisi waitwe majina za kizungu kwanini kusiwe na bibilia ya lugha ya yesu mbona ....mzungu kapotosha watu wengi sana
@davidkomba616
@davidkomba616 22 күн бұрын
Ndugu yangu unapotea sana Isa bin Maryam sio Yesu,,, Yesu alizaliwa Bethlem Uyo Isa wenu kazaliwa msikitin marina uko
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Ай бұрын
Ukimsikiliza Ndacha kuhusu uungu wa Yesu huelewi kabisa alipoanzia na anapomalizia..UMETAKASIKA RABB WETU.
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
SbhanaAllah.
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 25 күн бұрын
Ni vile upo na majini Imani moja utakubalije
@oldpoultry9341
@oldpoultry9341 Ай бұрын
Masha’allaah Maustadhi Allaah awahifadhi
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Ай бұрын
Mashallah nawapenda bure kwa ajili ya Allah mkono kwa mkono hdi..............sheikh ramadhan hutaki na sheikh khalifa akabatizwe na ndacha atoe andiko dini ya hki ni ukiristo tupo kubatizwa ss tukiona hki kwa ukiristo ila mpk kitasimama kiama hakuna andiko lbda waandike bible mpya ya 2025 😢😢😢😢😢
@user-wr5yr5in5h
@user-wr5yr5in5h 28 күн бұрын
Waislam ukweri mnakwepa ipo Siku mtamupigia makoti uwo yesu ambao unapinga
@ElliyaRashidi
@ElliyaRashidi 21 күн бұрын
Ndacha kusema yesu siyo Mungu mkuu unakasea, kwa sababu Bibilia inasema yesu ni neno la Mungu na neno la Mungu?ni Mungu mwenyewe
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 5 күн бұрын
Mwalimo ndacha ni kweli
@user-te3ir8yh6k
@user-te3ir8yh6k Ай бұрын
Assalam aleikum, QURAN haiwezi kusema unavyotaka wewe Ndacha,eti manabii waseme.....NAMI ukinionyesha andiko linalosema upepo ndio huu egemea nitakua mkristo kujenga hoja zisizokua za msigi hazitokusaidia jahanam ndio makao yako ndacha
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 25 күн бұрын
Ndo maana Allah hakuna Mahali kasema Mimi Allah nmeiumba hio dunia
@saidichemasuet
@saidichemasuet Ай бұрын
Ndacha anasem yesu ni mwana wa mungu je alimuza ama alimumba
@LuisFaustinoLuis
@LuisFaustinoLuis Ай бұрын
Waislam washindwe
@LuisFaustinoLuis
@LuisFaustinoLuis Ай бұрын
Ndacha umetisha sana waislam no majini
@LuisFaustinoLuis
@LuisFaustinoLuis Ай бұрын
Waislam ni majini
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk Ай бұрын
Alhamdhulilah
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
NdachaSuraImedhoofu.maskin.Anajutakuwa.mkristo..Silim
@mutungovocalistke
@mutungovocalistke Ай бұрын
Pamoja kuria
@ibrahimadab9151
@ibrahimadab9151 Ай бұрын
Assalaamu Alleikum Sheikh Ramadan na Ustaad Khaliifa I appreciate the effort you put the Daawah please let this brother Ndacho answer which prophet has seen Nabii Issa? Because he is saying that prophet Muhammad prophet p.b.u.h has not seen Issa A.S And let Ndacho debate with Sheikh Ibrahim Abdullahi thanks
@user-wr5yr5in5h
@user-wr5yr5in5h 28 күн бұрын
Mimi wew nakuangalia unajua ukweri rakini kwa sababu ya vitu vyako hutaki kutoka kwenye uislam
@saidichemasuet
@saidichemasuet Ай бұрын
Nauliza ndacha yesu alishuka kama mwili amaro pili mwanakodo ninani nakama yesu kondoo ninani
@SaidAlnaamani-z1o
@SaidAlnaamani-z1o Ай бұрын
Ndacha anafahamu vizuri kama dini ya ki islamu Ni dini yakweli lakini yeye ana maslaha pesa kutokeya kudanganya ma kristo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Ай бұрын
Sidhani kama anaelewa vizuri.
@LukazakayaMlaiza-zo1wi
@LukazakayaMlaiza-zo1wi Ай бұрын
Tuko pamoja nawafwatilia
@MahmoudOvulemi
@MahmoudOvulemi Ай бұрын
Allahu Akbar
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 Ай бұрын
Ndacha muhuni sana Eti niongee na huyu kama atatoboa😂😂😂😂
@RosemaryRaymond
@RosemaryRaymond Ай бұрын
😂😂
@RosemaryRaymond
@RosemaryRaymond Ай бұрын
Hawezi toboa
@aminiahmad-i9q
@aminiahmad-i9q Ай бұрын
sasa ndacha unamanisha mungu ni wawili ju unasema kuna mungu mkuu na yesu pia ni mungu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Ай бұрын
Astghafirullah.laadhim
@samuelondieki9164
@samuelondieki9164 Ай бұрын
Kila siku kila siku mnajadhili yesu inaonekana niwamaana sana ninjia yakweli
@vicorvincent1409
@vicorvincent1409 23 күн бұрын
Kusema yesu ni masihi sio kusema unamuamini,ata shetani anajua Mungu lakini anavunja sheria zake
@mariamally8548
@mariamally8548 Ай бұрын
Quran 5:116 msomee yesu alipoulizwa
@jumahenriquesgeraldo9837
@jumahenriquesgeraldo9837 Ай бұрын
Yesu kaumbwa mfano wa Adam. Mungu akisema kiwe basi kinakuwa
@rizikiali328
@rizikiali328 9 күн бұрын
Huyu ndacha anavichekesho nabii Muhammed alikuja baada ya yesu hao manabii anaosema hawakumtaja kama mwana wa mungu yalikua hakuna huo uzushi na pia ndacha ajue bibilia iliandikwa miaka mingi baada yesu kuondoka duniani
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule Ай бұрын
Ndacha, huyo Ramadhan na msomaji wake wamekuelewa ila wanakupotezea muda maana Wana ubishi wa kitoto
@MahirweRichard-du8xt
@MahirweRichard-du8xt Ай бұрын
Wa islam wawezi kubali wanageuza geuza hoja za ndacha roho wamungu ndie pekeake awatokee awaeleweshe
@binadimseif2668
@binadimseif2668 Ай бұрын
Kwanini aseme mungu
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 Ай бұрын
Ndacha hiyoelim yako niyachin huwezan na shafii.Bahari haipimwi kwa Mguu.
@ronaldmatimbo9691
@ronaldmatimbo9691 Ай бұрын
Asante sana pastor Ndacha kutuonye live mpinga Christo na wapinga christo😂😂
@makkawi4294
@makkawi4294 4 күн бұрын
Maisha ni spiritual guys kuna mambo ya ki roho na roho ndio uzima me I believe kristo juu yesu ali letwa kwa jinsia ya kibinadamu watu tufungue macho tuache kuji danganya dini ni nzuri but watu ndio wana haribu wacha ni seme hivi wakiristo wana kosea kwa mavazi na waisilam nao wana enda ki mwili sasa hapo akili kichwani mtu wa mungu😊
@shekkie254tv8
@shekkie254tv8 Ай бұрын
Waisilamu Wana vichekesho😂😂😂😂
@qadarkadaz2598
@qadarkadaz2598 Ай бұрын
Ndacha his heart is closed
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l Ай бұрын
Allah àwaogoze wanaotaka kuogoka kupitia tv hii kwan ukweli uko wazi tu
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Ай бұрын
Ameen
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Ай бұрын
MashALLAHu shekh Ramadhan kuria, ww mmoja sw na ndacha 10 😂😂😂
@SalimuMuya-qb6cx
@SalimuMuya-qb6cx Ай бұрын
Assalaamu alaykum wekeni mwendelezo
@aliissa-je6gt
@aliissa-je6gt Ай бұрын
shekhe wangu mm ningeona bora uwaulizeh hao jamaa kitabu kipi wanacho kiamini , kwasababu mm naona unabishana nao kwa kitabu chao hahahah huku kumeandikwa vyengune na ubavu mwengine kumeandikwa vyengine wao hawaoni kama icho kitabu kina shaka ndani yake mbn sisi waislamu hatubishani .. allah huakbar
@yaqubabdi9532
@yaqubabdi9532 Ай бұрын
Pastor ndacha sijui anafikiria wapi
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Ай бұрын
Ni mpotoshaji wa kondoo zke TU ila ukweli anauona Kila siku
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk Ай бұрын
Kaka ndacha silimu ukweli uko wazi,kwani unalipwa ngapi huko?maisha ni mafupi isituhadae dunia mwisho wetu kwa Mmungu, Ni bora shida ya dunia kuliko shida ya akhera nako ndio maisha yetu yamilele.
@user-ie7yt9db6f
@user-ie7yt9db6f Ай бұрын
Kweli kabisa heri shida za Dunia kuliko moto mkali milele ndacha anaogopa kuslimu hadharani😢
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 Ай бұрын
Fahamu ueleweee na kusikizaaa ujuweee kuielewaaa dini badala kushindanaaa…
@burengo
@burengo Ай бұрын
NACHA Mungu anasema ktk Al fatha lamyalidi walamyulad hii inaoneshakeamba Hana mwana
@haidar438
@haidar438 Ай бұрын
Ustadh Ramadhan naomba mueke mada isemayo NI ANDIKO GANI LILILOWARUHUSU WAKIRISTO WAOE?
@ibrahimnkurunziza8198
@ibrahimnkurunziza8198 Ай бұрын
Ndacha Ni bujahari kuongoka nivigimu
@LukazakayaMlaiza-zo1wi
@LukazakayaMlaiza-zo1wi Ай бұрын
Kaini alipata wapi mke? Kwani kulikuwa na watu wengine tofauti na Adam na hawa😢
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 Ай бұрын
Huyo dachaa mshindani shetwani amzuzuwaa
@Mtumisi
@Mtumisi Ай бұрын
Hii n channel ya waislam tu mandugu wa majini mmepotea nyinyi
@samxx411
@samxx411 Ай бұрын
Sheikh Ramadhan nakuomba mfundishe elimu kijana anaonekana ana hamu ya kujuwa na siku ukiondoka duniani wallahi huyo ndie atakuwa alama yako...anaonekana amejikubalisha kuwa na wewe...Allah tu ndie mjuzi wa kila kitu
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Ай бұрын
Qur'an ime msifu sana yesu na ime mpa heshima sana kuliko bibilia
@DaudiMwangati-id1tk
@DaudiMwangati-id1tk Ай бұрын
Mwislam hawezi akaielewa Biblia hata siku moja mpaka mwishon wa dunia.
@KulthumRashidmusa
@KulthumRashidmusa Ай бұрын
Ndacha.unaporea.sana.humfwati.yesu.hata.waisilam.ndowabamfwata.yesu.yesu.kasujudu.ww.unasujudu
@bwanaikimohamed8241
@bwanaikimohamed8241 28 күн бұрын
Ndacha hakuna kitu
@habibasalim3092
@habibasalim3092 Ай бұрын
Ndacha hua anajifanya mjanja amefunzwa kugeuza ulimi ili kushinde mada wala sio kwa kataka ukweli
@latestnewsandsportsupdates6464
@latestnewsandsportsupdates6464 Ай бұрын
Ndacha ametokwa na jasho
@Gesareh-v4d
@Gesareh-v4d Ай бұрын
Yes, ndacha ako right, yesu si mungu mkuu, but yesu ako na uungu. Waislam kuelewa yesu NJ Nani it's to give ya life to Jesus first aingie ndani yenu mpate roho ya kuwaongoza
@vicorvincent1409
@vicorvincent1409 23 күн бұрын
Ndacha amekua mshindi kwa hii mjadala ila waisilamu wanajarbu kukwepa anawarudisha kwa mjadala
@samxx411
@samxx411 Ай бұрын
Kijana amemjibu Mwalimu Ndacha vizuri sana pongezi sana kijana
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Ай бұрын
Hivi ndacha anaelewa uislam au haelewi
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Ай бұрын
Hivi ndacha anaelewa uislam au haelewi
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Ай бұрын
Hivi ndacha anaelewa uislam au haelewi
@jumahenriquesgeraldo9837
@jumahenriquesgeraldo9837 Ай бұрын
Eti anankataa Mariam na kumkubali Yesu. Si ujinga huo jamani!
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i Ай бұрын
Kumbe basi alie faa kuitwa Mwana wa Mungu ni Adam kwa maana hana Baba wala Mama.
@qerysir4410
@qerysir4410 Ай бұрын
KURIA ataokoka tu!
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Ай бұрын
Ulishasema yes ninabii alafu ni mungu tena huo jama vip
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p Ай бұрын
Ukristo una contradiction huku tanzania simbaulanga anakataza wakristo wasile chakula kilichokua halali huku ndacha anasema wameruhusiwa kula chakula cha waislamu na wote wanatumia bibilia
@MariamHassan-q3i
@MariamHassan-q3i Ай бұрын
Mimi namuliza ndacha uwo muhathara ni tarehe ngapi anaotaka kwenda Tz
@binadimseif2668
@binadimseif2668 Ай бұрын
Sasa mbona mungu hakusema yesu mwanangu
@samxx411
@samxx411 Ай бұрын
Sasa Mwalimu Ndacha kama hakuna contradiction katika biblia, mbona baadhi ya wakristo wanaamini yesu ndie Mungu, wengine wanaamini ni Mungu na pia ni Mwana wa Mungu lakini pia wengine wanaamini si Mungu ni Mwanadamu....sasa hiyo huoni ni contradiction.
@SaidAlnaamani-z1o
@SaidAlnaamani-z1o Ай бұрын
Ndacha zinatosha pesa umeisha kula zawa Kristo sasa Ni time u slimu
@UshindiDavid
@UshindiDavid Ай бұрын
Acha bang
@aooshosho4255
@aooshosho4255 26 күн бұрын
Alafu ndacha maswali yako yashangaza itakuwaje hao wanabii waliokuwa kabla ya yesu na Mohamed kusema mungu hana mtoto ili hali hakuna aliedai kuwa ni mtoto wa mungu au wala mungu kuwambia yeye yuko na mtoto,...kama mungu angetaka kuwa na kiumbe chochote kuwa mtoto wake angelimtuma mwazo kabisa kabla mtume yeyote au yeye ndie angelikuwa wa mwisho kabisa hata mtume Mohamed angelikuja kabla yake... lakini juu mungu alijuwa kutakuwa na watu kaa nyinyi ndacha ndiposa kamtuma Muhammed na Qur'an mtume kuwa mwisho kutetea waliopita kabla yake na QUR'AN kuweka wazi yaliokuwa ya kweli na yaliokuwa tenga yalikuwa yakipotosha watu...
@LuisFaustinoLuis
@LuisFaustinoLuis Ай бұрын
Mwezenu mwislam mbona amjibu apa Tanzânia?anaitwa nabii elias .
@haidar438
@haidar438 Ай бұрын
Eti : Hawa ni watu wawili 😆
@MohamedMatata-iu9mm
@MohamedMatata-iu9mm Ай бұрын
Hapana BBILIA SIKITABU CHAMUNGU .MANABII HAWAWEZI KUSEMA UNAVYO TAKA WWE?
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 49 М.
#LIVE: KATAA KWA MAOMBI ROHO ZA KURITHI MABAYA // DAY 12
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 284
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 38 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 3,6 МЛН
WACHUNGAJI WAPASUA MBARIKA "WAKRISTO HAWAENDI MBINGUNI WALA PEPONI !!!!"
1:21:33
Polygamy Debate Between Brother Dahud & A Bishop Part 2
1:01:04
The Early Church of the Lord Yeshua Nairobi
Рет қаралды 215
PASTOR NDACHA AKITETEA YESU KUWA MWANA WA MUNGU (SEHEMU YA 2 (A)
1:00:06
Straight Path Dawah
Рет қаралды 7 М.
MAMBO YAMECHEMKA SANA ASKOFU AMIMINIWA MAANDIKO NA PASTOR
1:01:04
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.