MAMA HUYU AWATOA WATU MACHOZI KWENYE IBADA: BISHOP ELIBARIKI SUMBE

  Рет қаралды 1,175,747

Bishop Elibariki Sumbe

Bishop Elibariki Sumbe

Күн бұрын

Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha

Пікірлер: 577
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 13 күн бұрын
Bishop sumbe kwa kweli wewe unanifundisha huo ni upendo wa kimungu, hongera sana kwa hio huduma
@dadamkubwa1087
@dadamkubwa1087 3 жыл бұрын
We we mam heeee mungu bwana wako ni wako mme wako must come in jesus name amen 50×wa from saudia Arabia.
@happykajeli5453
@happykajeli5453 3 жыл бұрын
Asante Yesu kupitia mtumishi wako mwema baba yangu wa kiroho Mungu akubariki
@pastortimothyjoshua3304
@pastortimothyjoshua3304 3 жыл бұрын
Nimefurahi sana mtumishi wa Mungu kwa huo moyo wa huruma! Hivi ndivyo wahudumu wote wa injili tunatakiwa kuwa! Tuige mfano huu mzuri sana katika kuwahudumia watu kwa huruma na upendo
@SaraphinaAngelo
@SaraphinaAngelo 17 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nilitegemea kuona maji na mafuta , Lakin Nashukuru Mungu ni jina la Yesu tu limetumika safi sana 💪ila nimelia Kwa uchumgu sana wamama Mungu atusaidie
@lucialeoter934
@lucialeoter934 2 жыл бұрын
Ameni mtushi yesu akubali mtumishi ,nami naomba maombi niwe mtumishi wake.
@HildaBernard-t3n
@HildaBernard-t3n Ай бұрын
Tutangulie mungu mwaminifu pia mtunze mtumishi wako
@rallyjoe9607
@rallyjoe9607 2 жыл бұрын
From Burundi ,Bwana Yesu apewe sifa ...Yesu ni mzuri sana leo kesho hata milele
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Mbarikiwe mliojitoa kwa Ajili ya huyo Mzazi Mungu atatue shida zenu,nimelia kwa uchungu mwingi saana
@magrethandrew9503
@magrethandrew9503 3 жыл бұрын
Nimelia mno, Mungu wewe utabaki kuwa Mungu itunze familia hii, Pastor barikiwa sana.
@santykimaro4711
@santykimaro4711 25 күн бұрын
Hakika hawa ndiyo watumishi wa kweli wa Mungu. Mungu wa mbinguni aendelee kumtumia katika jina la Yesu.
@bellasfoundation2928
@bellasfoundation2928 3 жыл бұрын
Sumbe uko tofauti sana na watumishi wengine saanaa wengine hawaulizi kama umeokoka wanakuombea tu mungu akubaliki your such unique man of god
@dieudonnekayobera933
@dieudonnekayobera933 3 жыл бұрын
From Burundi! Yesu ni Mwema sana! Injili ya kweli kabisa . Na Mali zetu zitumike kwa kuwaokowa Mataifa. Halelua
@AaAa-vj5id
@AaAa-vj5id 3 жыл бұрын
Wakwetu mungu amaweza
@naomymoraa2362
@naomymoraa2362 2 жыл бұрын
Mimi anapenda pastor,mungu akubariki sana.watching from Kenya
@susankitila8684
@susankitila8684 3 жыл бұрын
Huu ni uonezi sana Asante Yesu maana wewe ni mtetezi na utamsaidia
@christinmulongo8483
@christinmulongo8483 3 жыл бұрын
Mungu Awabariki Sana watu wa mungu bishop pia wewe mungu Akutie nguvu Sana in the name of Jesus Amen 💯
@hellenngunda213
@hellenngunda213 28 күн бұрын
Mungu akupanguze machozi in Jesus Name
@user-ov2os5ff7x
@user-ov2os5ff7x 2 ай бұрын
mungu akurinde mchungaji usiache kuturinda barikiwa kwa jina la yesu
@juliettootu4798
@juliettootu4798 3 жыл бұрын
Adonai I worship you , son of God you are so good , almighty FATHER hello be thy name 🙏,😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@madamloveness7274
@madamloveness7274 3 жыл бұрын
I cry because am a woman too ,I feel sad of this family 😭😭😭😭
@louis8474
@louis8474 3 жыл бұрын
Mungu akubariki muchungaji from USA 🙏🙏🙏
@user-st6ve9ce5k
@user-st6ve9ce5k Ай бұрын
Amen 🙏 mungu akutunze nimelia sana
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 13 күн бұрын
Inaumiza sana ndugu yangu
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 2 жыл бұрын
Tanzania iko na ummoja MUNGU AKUBARIKI sana bishop....kwa uwongozi mzuri...
@LuluFwalo
@LuluFwalo 2 ай бұрын
Mungu akubali Sanaa mngu nitetee na familia yangu nikawe naamn
@JasonMwakabana
@JasonMwakabana Ай бұрын
From Malawi Jason joseph mwakabana Amina bwana yesu asifiwe sana
@Mr.Isayamaziku
@Mr.Isayamaziku 2 ай бұрын
Nimelia nimelia😭😭😭 upendo wa yesu ulinitoa dhambini yesu yesu yesu ❤
@Bahatifatuma-h5m
@Bahatifatuma-h5m Ай бұрын
Djambo mutumishi wamungu naitwa fatuma nakaa uganda.naomba mungu siku yaleo nifunguliwe bamuone mutoto wangu kwenye Scan. Kwa jina la yesu christo Amen
@GloryPeace-gs3nd
@GloryPeace-gs3nd Ай бұрын
Baba Mungu akubariki sanaa kwa huo upendo wa kristo alokuwa kuwafungua watu na kuwathamini umetimiza maandiko YESU alivyosema,nalikuja na njaa hamkunilisha,nalikuja na kiu hamkunipa chakula,wewe umempa mama huyu mahitaji Mungu wa mbinguni akubariki na kukuinua kwa viwango vya juu sanaaaaaa😢nimeangalia clip hii nikasikia kububujika machozi yalinitoka hili ndo kanisa na wachungaji, ambalo Mungu anawahitaji kipindi hiki🙏🙏
@jeriahonkoba
@jeriahonkoba Ай бұрын
Mungu wewe ni mweza yote tushindie matatizo yote kwa damu ya yesu kristu mwana wa mungu amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-rt9eg2np8w
@user-rt9eg2np8w 25 күн бұрын
Mbarikiwesana askofu sumbe pamoja kanisa la mungu
@EustaceNshaija
@EustaceNshaija 5 күн бұрын
Bwana apewe sifa, Mungu aendelee kukutumia tu.
@MathayoMollel-iz3iw
@MathayoMollel-iz3iw 2 ай бұрын
Hapo ni ngaramton mchungaji niombee niko mombasa pole sanadada yesu anaweza
@yasentamaffa7873
@yasentamaffa7873 Ай бұрын
Mchungaji Mungu akubarik sana
@user-rh3gz7fo2n
@user-rh3gz7fo2n 2 ай бұрын
Wewe ndio bishop wa kweli mungu azidi kubariki kazi zako za kiroho amina
@manirambonajeanne9184
@manirambonajeanne9184 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kukubalikia pasit muzuli amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-py4ss3sj2v
@user-py4ss3sj2v 4 ай бұрын
Ee Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo Fanya njia na familia yangu, mkono wako si mfupi hata usituguse
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 3 жыл бұрын
Bishop roho ako nzuri aki Mungu akubariki
@renisterhyera2552
@renisterhyera2552 3 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe namshukuru mwenyez mungu Kwa ajili ya mama huyu ,Mwenyez Mungu jidhihirishe kwake ,mpe hitaji la moyo wake
@user-gu6eh4gl8l
@user-gu6eh4gl8l Ай бұрын
Mungu awabariki sanaaaaaa wote waliomsaidia huyu mama Jmn
@violetkerubo7878
@violetkerubo7878 3 жыл бұрын
Pole dada may God protect you 🙏 Hadi nimelia aki pole sana
@scholamatogolo3493
@scholamatogolo3493 3 жыл бұрын
Mtumishi Mungu akubariki ... Angekuwa mwingine angesema lete sadaka ya kufunguriwa kutoka kwenye vifungo au sadaka ya upatanisho lkn wewe uko vzr umetunza mwili wa kristo 🙏
@yohanamollel1565
@yohanamollel1565 2 күн бұрын
Umefanya jambo lisilo futika dunia na mbinguni ubarikiwe mtumishi
@laudakanyika3247
@laudakanyika3247 3 жыл бұрын
Kwa Mungu hakuna linaloshindikana😭😭😭🙏🙏
@moshimatikosendi6906
@moshimatikosendi6906 3 жыл бұрын
Qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq
@laudakanyika3247
@laudakanyika3247 3 жыл бұрын
@@moshimatikosendi6906 🙄🙄🙄
@lillysoi8031
@lillysoi8031 2 жыл бұрын
God bless you man of God.May God bless your ministry.may God help us to learn from you.i love this ministry.
@HurumaeliSamson
@HurumaeliSamson Ай бұрын
Mungu nitetee na mimi nimechoka na mimi nipate maendeleo nipite salama mtumishi niombee❤
@blackangel3141
@blackangel3141 2 жыл бұрын
She is a superwoman she made me cry 😭😢😩
@allykachol7760
@allykachol7760 Ай бұрын
Ameen 🙏 Ameen Mungu atusaidie sana
@MathayoMollel-iz3iw
@MathayoMollel-iz3iw 2 ай бұрын
Mungu akusaidie mchungaji fungua wengi kwa jina la yesu
@EvalineNasson
@EvalineNasson Ай бұрын
Mungu ni mwema anakupeda na kukujali mtukuze yeye sikuzote za Maisha yako amen
@akimanaalice7832
@akimanaalice7832 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana utukumbuke na sisi utuombeye tufunguliwe na kupona maladhi
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 3 жыл бұрын
Dada umejua kuniliza...Mungu asikupungukie maishani dada🙏🙏🙏
@user-sm5wr6lg7u
@user-sm5wr6lg7u 26 күн бұрын
I love you servant of God Your colleague pastor watching from Kenya 🇰🇪
@papiasniyonzima4289
@papiasniyonzima4289 2 жыл бұрын
YESU akubaliki wewe na kanisa yako yote kwakazi nzuri mnayofanya .Hiyo njo kazi ya Mungu kabisa.
@user-oy8gk5fj2e
@user-oy8gk5fj2e 2 ай бұрын
Ubarikiwe baba mungu alutuze
@joycembise9793
@joycembise9793 3 жыл бұрын
Mungu awabariki askofu Mkuu na kanisa hakika nimemwona Mungu wa kweli
@phoebynjacky3252
@phoebynjacky3252 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@PendoMatemba
@PendoMatemba 2 ай бұрын
Nimejikuta nalia sana
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 2 ай бұрын
MUNGU akubariki sana mchungaji machozi yamenitoka
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe Ilakuna mda mnatukosea sana nasisi walio inje kama mimi nimechukua number kila nikipiga haipokelewi nikituma ujumbe haujibiwi Tafazali nawahomba m’ we mnatupokelea sim zeta tunawaitaji watumishi wa mungu
@LekisosionNangenoi-dz3kq
@LekisosionNangenoi-dz3kq Ай бұрын
Ubarikiwe sana Bishop Sumbe
@EustaceNshaija
@EustaceNshaija 5 күн бұрын
Mungu aendelee kukutumia.
@dinacarlospaulo1722
@dinacarlospaulo1722 24 күн бұрын
Nimelia 😢😢😢,ubarikiwe mchungaji🇲🇿🇲🇿
@rosebumi6780
@rosebumi6780 3 жыл бұрын
Barikiwa Askofu sumbe..naitwa Selina Bumi kutoka Redio Okoa fm
@wemakanka3171
@wemakanka3171 Ай бұрын
Bi shop Mungu akubariki sana
@christinakomba689
@christinakomba689 2 ай бұрын
Baba Mungu akubariki
@francinelumuna8470
@francinelumuna8470 3 жыл бұрын
Hakuna kinachokushinda ee mungu wa wana waisrael naamini namimi niko kati ya historia yangu 🙏🙏🙏
@BahatinyamugandaNyamuganda
@BahatinyamugandaNyamuganda 11 күн бұрын
Nakushukuru muchungaji kwa kazi unayofanya utalipwa n'a Mungu mimi Niko bukavu Congo.
@officiallee1413
@officiallee1413 2 жыл бұрын
This made me cry jamani😭
@JoyceKayondo
@JoyceKayondo Ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu
@sayunicasmiry4365
@sayunicasmiry4365 3 жыл бұрын
Hakika Bishop una YESU
@GeraldMyuku
@GeraldMyuku 13 күн бұрын
Kweli
@leawamukota9217
@leawamukota9217 2 жыл бұрын
Mungu Akubariki muchungaji hata nami uniombee tu
@SheilaAbuya
@SheilaAbuya 10 күн бұрын
Kwa Mungu hakuna linalozindikana🙏🙏
@ChristianIssangya
@ChristianIssangya 2 ай бұрын
Amen pastor mungu akubaliki
@RoseMorgani
@RoseMorgani 2 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji
@MiriamNajala
@MiriamNajala 17 күн бұрын
Mungu ni mungu barikiwa psy
@hellenodongo
@hellenodongo 2 ай бұрын
Asante mchuganji mungu azidi kukubarika ufuguwe wengi kwa jina la yesu kristo
@dativadaud4300
@dativadaud4300 3 жыл бұрын
Mungu atabariki ili kabisa maana ni watoaji
@SaraphinaAngelo
@SaraphinaAngelo 17 күн бұрын
Nilitegemea kuona maji na mafuta Lakin Nashukuru Mungu ni jina la Yesu tu limetumika safi sana💪 barikiwa baba ,huyu mama amenifanya nilie kwa uchungu sana wamama tunashida sana kwenye ndoa zetu ila uchawi umeshindwa mama uko salama kwa Yesu usilie tena
@user-vr3du5bt6x
@user-vr3du5bt6x Ай бұрын
Amém mungu atusaidiye
@manisobblowi8894
@manisobblowi8894 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa uweza ako,Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@rehemamhiche6798
@rehemamhiche6798 2 жыл бұрын
Ameonyesha upendo wa kweli. Tuige mfano huu kwani kukatatamaa kwaajili ya tuwapendao nisawa na kujiachia maumivu. Huu ndiyo upendo
@mdmonyongo4795
@mdmonyongo4795 3 жыл бұрын
Kwa yesu akuna linalomshinda kamwe, Amen Amen
@user-nl8lt3zo3k
@user-nl8lt3zo3k 14 күн бұрын
Pastar mungu akubariki sana
@neemamdawa8369
@neemamdawa8369 3 жыл бұрын
Nimelia sana unaeza ukaona unashida kumbe tunazidiana duuu
@user-jk5ir4ke3z
@user-jk5ir4ke3z 3 жыл бұрын
Masikin
@HurumaeliSamson
@HurumaeliSamson Ай бұрын
Mungu nitetee na mimi nimechoka na mimi nipate maendeleo nipite salama mtumishi niombee
@user-rz2nt7bj5l
@user-rz2nt7bj5l Ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@NizerMgombele-xn5hb
@NizerMgombele-xn5hb 3 ай бұрын
Ee mungu niguse mimi unikomboe na kila nitego ya adui naomba uniinue kila mahali
@user-qb7ej8cp5y
@user-qb7ej8cp5y 2 ай бұрын
Mungu akutunze mama
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 3 жыл бұрын
I can't hold my tears 😭😭 surely this lady has suffered my God see her through May God bless all of you that helped her, tuned 🇰🇪
@abcccc2665
@abcccc2665 3 жыл бұрын
Umeniliza mama jamani pole
@MuyamaBetwa
@MuyamaBetwa 3 ай бұрын
Amina Mungu ni mwema
@LekisosionNangenoi-dz3kq
@LekisosionNangenoi-dz3kq Ай бұрын
Nakataa hiyo roho la farka kwa mimi na mke wangu jina La Yesu litawale kwa maisha yetu in Jesus name
@paschaltsaxara2376
@paschaltsaxara2376 3 жыл бұрын
Kama umeangalia clips ya huyo mama mara nyingi kama mm like apo chin
@fatmabakari9958
@fatmabakari9958 3 жыл бұрын
Anaitwa fatma huyo yesu anaoka wapi tn msituharibie majina
@paschaltsaxara2376
@paschaltsaxara2376 3 жыл бұрын
@@fatmabakari9958 cjakuelewa kwan kina Fatma hawaokolewi?
@galary8688
@galary8688 3 жыл бұрын
@@fatmabakari9958 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mosesmuyanga3244
@mosesmuyanga3244 3 жыл бұрын
Wakristo nawapenda sana mnamoyo wa huruma sana mungu akabariki sana
@ndetaulwapallangyo8408
@ndetaulwapallangyo8408 3 жыл бұрын
@@mosesmuyanga3244 utapeli mtupu
@rachelkelembu5651
@rachelkelembu5651 3 жыл бұрын
Amina sana baba hakika nimemuona mungu mungu akubariki akuinuwe zaidi na zaidi
@EustaceRimoy-sg6lc
@EustaceRimoy-sg6lc 2 ай бұрын
Dah mungu azidi kua na huyu mama jaman
@T-star1010
@T-star1010 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
@user-qj4zs2ho8z
@user-qj4zs2ho8z Ай бұрын
God bless you bishop
@alicewere712
@alicewere712 3 жыл бұрын
Glory to God, huyu dada kiatu chake ni kama changu exact aki mungu have mercy on us 😭😭😭😭
@conymbetsa9377
@conymbetsa9377 3 жыл бұрын
Mm pia
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 3 жыл бұрын
Jmn huyu mama amekuwa kama dadaangu 😭😭😭😭😭mungu saidia
@georgemrope1160
@georgemrope1160 3 жыл бұрын
@@lilianeerica3318 c is
@salmamwayungu2284
@salmamwayungu2284 3 жыл бұрын
P
@DellisLema
@DellisLema 2 ай бұрын
Tuko wengi tumezibeba familiar bila kupenda Mungu wetu atuhurumia sana!
@user-nv6nk4qs5z
@user-nv6nk4qs5z 23 күн бұрын
Mungu akutie nguvu kupitia hii maombi ya mutumishi mama MUNGU anakupenda
@SiricheriaKyaichumu
@SiricheriaKyaichumu Ай бұрын
Mungu akubariki
@MerryKingu
@MerryKingu Ай бұрын
Mungu akutie nguv dada siku zote za maish yako pole Sana kwa yaliyokukut binadam wana roh mbaya Sana endelea kumwomba mungu ipo sk mume wako atarud mlee watoto
@perisnjeri988
@perisnjeri988 3 жыл бұрын
May God Almighty Almighty comfort her, crying
@HappinessAhia-ey1lq
@HappinessAhia-ey1lq Ай бұрын
Ai, nimelia sana jamani. Ee Mungu Linda ndoa zetu.
@MizletEsendi-y3s
@MizletEsendi-y3s 22 күн бұрын
Waaah angalia ata mzazi kbsa
NYOTA ILI IBIWA NA WACHAWI YARUDI KWA JINA LA YESU - VUKA YORDANI NGARAMTONI
7:45
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 219 М.
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 19 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 41 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 838 М.
ITAKUTOA MACHOZI: MFANYA KAZI WA NDANI AMNYONGA MTOTO WA MIEZI 6/UCHAWI
25:46
ROHO ZA MIZIMU ZAHARIBIWA KWENYE FAMILIA HII
27:00
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 174 М.
muda ukawadia kumsaka mwenza wake. angalia
2:49
Mckimwanya
Рет қаралды 12 М.
MUIGIZAJI TAUSI NA PACHA WAKE WAKIIMBA KANISANI
7:28
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 1,6 МЛН
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00
Dina Marios tv
Рет қаралды 3,2 МЛН
ATENGWA NA ROHO ZA FREEMASON
19:10
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 6 М.
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
Zabron Singers
Рет қаралды 1,2 МЛН
KUTOKA KENYA VIFUNGO NA MAAGANO YA ADUI YAHARIBIWA
44:15
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 26 М.
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 19 МЛН