Shekhe Uludi tena Kwa mala nyingine Uje kutugaiya dahwa Ni kwel kabisaaaaaaaaa Kupewa watoto wasiyo wasiyo kuwa wetu uwa WANAUME WOOOOOOTE DUNIAN HATUPENDI NANDIYO MAANA TUNAKATAA SANA mimba
@heyumi23402 жыл бұрын
mashekhe wanasema kitanda hakizai haram watoto ni wenu
@aloneally5443 жыл бұрын
Daah...shekh kipozeo.mungu amuhifadhi...wasafi radio tena...doooh
@kennyrogers47343 жыл бұрын
Dah hiki kipande kifupi sana ila nimekipenda sana kina mafundisho mazuri na yenye maana kubwa sana
@omarmufti41843 жыл бұрын
But mee sijasema kwa ubaya au kiii unafkir balii dunia tunipata tuuuuhh nilazima tushauliana katik mambo ya kheliiiiii 🍂🍂🍂🍂
@husseinkhalfan94673 жыл бұрын
Ahsante kwa elimu sheikh
@selestinsongola27872 жыл бұрын
Kicheko cha mtangazaji kizur sana
@ramadhanbakarimtambo20243 жыл бұрын
Nikweli una elimu sheikh nami napenda sana kusikiliza lakini ushauri hebu chagua sehemu muafaka za kutoa mawaidha na watu wenye kujihifadhi
@binhunter64583 жыл бұрын
Me naic apo apo panafaa mana kama uyo alovaa cvo ndivo atanyooka japo kdg
@heyumi23402 жыл бұрын
@@binhunter6458 hawezi nyooka c mara ya kwanza kuingia hapo
@omarmufti41843 жыл бұрын
Huyo sheikh bwanaa etiii anakwenda kwenye wasafi tv bwanaaa...... Daaahhh Allah amsameh yarabiii bora huyo dada diva angejistiriiii basiii sheikh mwneyew hana itikadii yajuwa kwambaa ni haramu kuona nywele zaa mke wa mtuuu alafuuuu anaonaa daahhhhh mtihani wallah.........
@mvanosabury50953 жыл бұрын
Sheikh kasome dini ,wewe unahudumiwa na wanawake wangapi kwa siku ambao hawajajisitiri? Anachokifanya sheikh ni kufikisha ujumbe ..utawafaa wenye kuamini.Maamuzi ni kila mmoja wetu kufata njia ya haki ama ya waliopotea.
@rahmaabdallah45143 жыл бұрын
Hizo sio nywele zake diva..... labda ongea vazi
@naamohamed10423 жыл бұрын
@@rahmaabdallah4514 😁😁😁
@moanamohammed14063 жыл бұрын
@@mvanosabury5095 swadakta
@charleswilliam67213 жыл бұрын
Sikiliza sheikh anachokisema na ukielewe, hayo mengine baki nayo mwenyewe
@andrewsteven53752 жыл бұрын
Maana anageuka sana
@welcometoeat1653 жыл бұрын
Jaman msihukumu! Je nyie wote mnaotukana ndo mnafaa?!? Mkumbuke kila mja na mzigo wake awe sheh padri ama uwe frimason au ilumunat au mlokole! Ukishakufa ndo utajua wewe unaelekea upande gni but now tuache Dunia izunguke kwanza
@lida4573 жыл бұрын
Sawa umeamua kumuhoji shekh jipambe kwa mavaz ya stara na ww shekh usikubali kuhojiwa na MTU yuko uchi subhanallh
@linahstino20163 жыл бұрын
Huyo naye ni shekh gani,anaonekana anapenda Sana chini kuliko hata Mungu,amekaa kimapenzi mapenzi Sana,mmmmh
@fatmakhanii16763 жыл бұрын
@@linahstino2016 🤣🤣🤣🤣waja mnamaneno eti anapenda sana chini😂😂😂
@husseinhaji84593 жыл бұрын
Sio Uongo Bana Kweli Kabisaaa sheikh hawez kuitwa hizo kizembe zembee
@heyumi23402 жыл бұрын
@@linahstino2016 wanaume wooote dunian kwachini huwaambii kitu ndooo maana utakuta kila shekhe mawaidha yake ni wanawake ongezeni wanawake hakuna mada zingine
@heyumi23402 жыл бұрын
@@fatmakhanii1676 wanaume wooote kwa wanawake mwisho wa jeuri
@jaffarsaid83443 жыл бұрын
Shehe kwenye ndoa hakuna kizazi si cha kwako yule ni wako tu
@alhamdullilla51083 жыл бұрын
Sheikh vipiii sasa tunamuambiya life Diamond watoto woote ni wakeee 4🤭🤭🤭
@salehabdallah41143 жыл бұрын
Shekh kipozeo wanakupoza jamaa hao
@abilugome81543 жыл бұрын
nikwer kabisa
@abilugome81543 жыл бұрын
af shekhe huyu ni alimu mkubwa tu
@تةامممن3 жыл бұрын
Uyu ni shekhe ganiiiii uyu jamaniiiii huna ayibuuuuu🤔🤔🤔🤔
@idaaman74893 жыл бұрын
kwann unasema ivyo amekosea nini kwan?
@saidseif18603 жыл бұрын
Yuye kafikisha ujumbee
@shanelloyd12783 жыл бұрын
John 3:16 For God so loved the world that He gave His only begotten Son, that whoever believes in Him should not perish but have everlasting life. John 14:6 Jesus said to him, “I am the way, the truth, and the life. No one comes to the Father except through Me.
@lawmaina783 жыл бұрын
Amen
@sharifjuma12203 жыл бұрын
John 17.3. This is eternal life that they may Know you, the ONLY*TRUE. GOD. and Jesus whom you have sent. According to Jesus who is the only true God? John 20. 17. Jesus say to her. Touch me not. For I have not ascended to the heaven. But go tell my brother's. I am going to my father who is your father my God who is your God. Just asking. Who is jesus God and marry magdalene God. Is it 3 in one. Holy ghost or Jesus? Just curious? THANK GOD FOR ISLAM I DON'T HAVE TO THE AMBIGUITY OR CONFUSION. IN THE OLD TESTAMENT JEWS WORSHIP ONE GOD. NOT TRIYUN AND IN QURAN WE WORSHIP ONE GOD. ALHAMDULLAH. No holly ghost. Son. DAUGHTER wala uncle. Only worship the God worshipped by Adam. Ibrahim. Ismail. Mussa and Jesus.
@rukiaiddyyahaya95063 жыл бұрын
Nakupenda diva maswali yako
@hamiyhamadi26133 жыл бұрын
Mambooo
@rukiaiddyyahaya95063 жыл бұрын
@@hamiyhamadi2613 poaaaa sana
@hamiyhamadi26133 жыл бұрын
Tunaweza wasiliana kwanumber
@rukiaiddyyahaya95063 жыл бұрын
@@hamiyhamadi2613 wewe mwanaume? Au jina sikuelewa ila kama mwanaume sikupi namba
Kha 😶rubbish yani sija ona Ata video just by reading the caption... I'm already disgusted.... Making the ulama look bad ... this umma is yet to experience the dajjal bado uyu Ana ongeya upuuzi muoneni