KISA CHA IMAMU ALIEVUTA BANGI AKASWALISHA KILICHOMKUTA- SHEIKH KIPOZEO | MAULIDI JIBONDO MAFIA

  Рет қаралды 457,748

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 178
@jofreymsomba4652
@jofreymsomba4652 3 жыл бұрын
Mm mkristo na penda sana mawahidha
@allymngwaya2831
@allymngwaya2831 2 жыл бұрын
Karibu ktk uislam
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 3 жыл бұрын
Hapo tu ndipo ninapokuelewa Shk Kipoozeo shukran wajazakaLLAH Khayra.
@bekarpaul
@bekarpaul 2 жыл бұрын
Dah Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu Sheikh kipozeo... Huyu Mzee anawafanya watu waupende Uislam kiukweli..
@valentinalfanimasudi8097
@valentinalfanimasudi8097 2 ай бұрын
Naam shukran Sheikh
@athumanzungu-oj1qm
@athumanzungu-oj1qm Жыл бұрын
Allah akupe uhai mrefu Sheikh uzid kutupa dawa sis maamuma
@abubakarabdi3011
@abubakarabdi3011 Жыл бұрын
Allah akulipe firdous inshaallah
@irankundasamia5224
@irankundasamia5224 2 жыл бұрын
SHEIKH KIPOZEO ALLAH AKUJAZE KHERI NYINGI WANIFURAHISHA SANA
@salummkicha6636
@salummkicha6636 Жыл бұрын
Shekhe apo umetuweza sana., ndio maana mm nafuatilia sana mawaidha yako., Allah akupe zaid ya apo, 🙏
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
Allah awape malipo Apa Dunia na Akhera. Amin
@HamisDaudiHamisdaudi
@HamisDaudiHamisdaudi 10 ай бұрын
Mungu akupe maisha mema na marefu duniani na aheri shekhee hilali kipozeo
@fauzia4610
@fauzia4610 Жыл бұрын
Kwel sheikh hapo Kwa kuchangua marafiki ndoo Kuna kazi.... mashaAllah kisa kinzur
@farajikilindila8907
@farajikilindila8907 2 жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu wenye kher shekh
@hemedichabu1089
@hemedichabu1089 3 жыл бұрын
Asante sana kwa ukumbusho...hakika humfaa aliyeamini. Tumche Mwenyezi Mungu ukweli wa kumcha
@weyulayusuf5640
@weyulayusuf5640 2 жыл бұрын
May Allah bless u with long life filled with good deeds
@muhammadfadhil9442
@muhammadfadhil9442 3 жыл бұрын
Subhanallah duh Mujrim alikuwa ba wakati mgunu love Kipoozeo Mashaa Allah
@U.ISMAIL
@U.ISMAIL 3 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu ili tuzidi kujifunza toka kwako
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
"Wahuni hawana heri ya kudumu" hekima kubwa sana.
@jumasalum2677
@jumasalum2677 3 жыл бұрын
Sheikh wangu Una story
@dyliytv5353
@dyliytv5353 3 жыл бұрын
Subhanna Allah!!! Nimecheka sana
@MufasaAden
@MufasaAden 2 жыл бұрын
Me Two My Brother 😂😂😂
@mwamlongojuhud6403
@mwamlongojuhud6403 2 жыл бұрын
@@MufasaAdenttttttttttttttttt55tttttttttttttttttttttttttttttt4ttttttt44ttttttt4tttttt4tt tttt5tttttttt45tttt4ttttttt45ttttttttttttttttttttttttttttttttttt4ttttttttt74
@IssaNabi-d6d
@IssaNabi-d6d Жыл бұрын
Shekhe unatuhamssisha Sana katika dini
@HarunaMbunda-qj8ty
@HarunaMbunda-qj8ty 9 ай бұрын
Munguakuzidishie
@jimmyngala2058
@jimmyngala2058 3 жыл бұрын
Allah akujalie na mawaidha Yako ishallah 🙏🙏🙏🙏
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
Allahuma Amin
@SoudyKhalifa
@SoudyKhalifa 6 ай бұрын
Amin inshallah
@muniraame1535
@muniraame1535 3 жыл бұрын
Mashallah
@amiriidi5721
@amiriidi5721 10 ай бұрын
MAASHAALAAA. KARIBUNI. NDUGU. MWENYE DINK YAHAKI
@aishaobo6186
@aishaobo6186 3 жыл бұрын
Masha Allah Tabaraka Allah Allah azidi kukueka sheikh
@suleimankidiavai1889
@suleimankidiavai1889 2 жыл бұрын
Nakubali,hashishi mbaya!!!!!!!
@noorynmohammedy6063
@noorynmohammedy6063 3 жыл бұрын
Shukran sheikh wetu
@eshasalim5496
@eshasalim5496 3 жыл бұрын
Audhubillahi Minasheitwani Rajiim
@shariffayyatullahi9388
@shariffayyatullahi9388 3 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@jumajusamo174
@jumajusamo174 3 жыл бұрын
Nam shekh
@KHAIRIYYAONLINETV
@KHAIRIYYAONLINETV 3 жыл бұрын
Asanteeh kaka!! Kazi yako nzur
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc Жыл бұрын
Nakuona kiongozi nakukubali sana
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Mashaallah tabaarakallah
@ibrahimdalana1792
@ibrahimdalana1792 3 жыл бұрын
Mashaa Allahi
@rashidissa7839
@rashidissa7839 2 жыл бұрын
Subbhanallah
@abuayman8184
@abuayman8184 2 жыл бұрын
Allaah akuongoze wewe na sisi Tukio hilo halijawahi kutokea kwa Maswahaba kulisimulia kwa lengo la kuwafurahisha watu na kuwachekesha ni jambo baya sana katika sharia ya kiislamu. Na yamekuja makemeo makali ktk kumsingizia Mtume swalla Llāhu alayhi wasallam ambayo hakuyafanya au kufanyika katika hadhra yake.
@missrukia9661
@missrukia9661 3 жыл бұрын
Mashallhaaa kisakizuli
@gamblilekamau129
@gamblilekamau129 3 жыл бұрын
MashAllah
@Imantwaibu
@Imantwaibu 10 ай бұрын
Shee kipozeo 2023
@ibrahimdalana1792
@ibrahimdalana1792 3 жыл бұрын
I really intrested with this maaalim
@chidyshah3223
@chidyshah3223 2 жыл бұрын
Sheikh kipozeo anafikisha ujumbe bila hadhira kuchoka kumsikiliza na hata kusinzia... napenda unavyofikisha ujumbe na story kidogo... Allah atuhaalie mwisho mwema sote Insh Allah
@kaburasaleh1271
@kaburasaleh1271 2 жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh Asante sheikh
@neemapaschal1372
@neemapaschal1372 2 жыл бұрын
Waaleykum saalam warahmatulah wabaarakatuh
@letuslearn7548
@letuslearn7548 3 жыл бұрын
صل الله علي محمد وعلى آله وصحبه وسلم تسليما كثيرا كلما ذكره الذاكرون وغفل عن ذكره الغافلون في كل لمحة و نفس بعدد كل معلوم لك من يوم خلقت الدنيا الي يوم التلاق
@kadeejakadeeja743
@kadeejakadeeja743 3 жыл бұрын
allaah.bless.u. sheikh
@hashim.22kamal27
@hashim.22kamal27 Жыл бұрын
Like.u.sir
@mohamedalimnemoi
@mohamedalimnemoi 2 жыл бұрын
macha alloih foundi wewurongowa ndro
@akimmiradji981
@akimmiradji981 3 жыл бұрын
insha Allah
@feisalaliseif6464
@feisalaliseif6464 2 жыл бұрын
I really appreciate your educative Sara's ibada.
@quilalaselemanesaidesaide9729
@quilalaselemanesaidesaide9729 2 жыл бұрын
Mashalhah
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 жыл бұрын
Nimejifunza Vingi sana
@pnajmahmad4609
@pnajmahmad4609 3 жыл бұрын
Manii ya megawanyika katika sehem ngapi
@mtetifadhili9985
@mtetifadhili9985 3 жыл бұрын
Duh nihatar
@kevinokoth-xi2qt
@kevinokoth-xi2qt 2 жыл бұрын
Sheikh kipozeo hatari sana
@ndundetommasz9158
@ndundetommasz9158 3 жыл бұрын
Mimi sio mwislamu lakini mafunzo ya huyu sheikh hunt hunifanya kutamani kuwa mwislamu
@maryamhamis4435
@maryamhamis4435 2 жыл бұрын
Allah akujalie uwe ndani ya dini ya haki
@issaali7669
@issaali7669 2 жыл бұрын
Bado hujachelewa ndugu yangu kwavile bado upo hai. Silimu na kuwa muislamu sasa hivi isjekufikia siku ya kufa ukasema upewe muda uje uwe muislamu naufanye matendo mema uliyoyaacha wakati huo umeshachelewa na hutopewa muda huo. SILIMU NDUGU YANGU.
@wm9669
@wm9669 2 жыл бұрын
Allah akujalie
@timothysamweli8808
@timothysamweli8808 2 жыл бұрын
Huna misingi ya dini yako,any way kila raheli kwenye hyo dini yako mpya🤣🤣🤣
@ndundetommasz9158
@ndundetommasz9158 2 жыл бұрын
@@timothysamweli8808 you must be ignorance person ever, dini haipeleki mtu mahali, matendo ndio bora ndo maana 19yrs I haven't stepped in any worshiping place.but I make sure matendo yangu ni mema machoni pa mwenyezi mungu. Second mention to me any verse in the bible that says we have a religion called Christianity? I read 📚 both bible koran unification books and understand them deeply Don't try to bring floccinaucinihilipilification or vilifications on me when it comes to knowledge, am the most supercalifragilisticexpialidocious man ever.
@AbdulkarimNissa
@AbdulkarimNissa 2 күн бұрын
Kama yesu ni bora ange zuia kifo kama hautobadilika akil hyo mbaya moto una kusubir
@khmusic8326
@khmusic8326 2 жыл бұрын
Shekh atar
@kevinokoth-xi2qt
@kevinokoth-xi2qt 2 жыл бұрын
Hakuna kama sheikh
@karimramadhan4911
@karimramadhan4911 2 жыл бұрын
Alihamdulillah
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص 3 жыл бұрын
Kisa cha uongo, shkh angalia unachokizungumza!
@peterkaris9472
@peterkaris9472 2 жыл бұрын
Best comedian sheikh
@faizunmohd9839
@faizunmohd9839 Жыл бұрын
Mmungu akupe umri na afya
@eliudchowo3917
@eliudchowo3917 3 жыл бұрын
Noma
@sugalahmed4802
@sugalahmed4802 2 жыл бұрын
M.a
@muhsinmzito9301
@muhsinmzito9301 2 жыл бұрын
Shek abdirizak
@nurdiasizya2363
@nurdiasizya2363 2 жыл бұрын
Subuhana Allwaah!!!🤣🤣🤣🤣🤣....waladhwaliin......haya haya jamanh.,
@sohrabtajadin3402
@sohrabtajadin3402 3 жыл бұрын
Wewe pia ustad unavuta. Sauti yako na upuuzi wa kuchekesha. Jibadilishe.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 жыл бұрын
Acha ushenzi na ulimbukeni Uislam haupo hivyo. Na wewe hivyo unavyomtukana sheikh ndiyo mafundisho ya Uislam hayo. Kuwa na adabu, bwege we!!
@allylikewe4061
@allylikewe4061 2 жыл бұрын
Daaah🤣🤣🙌
@harrisonodiwa7248
@harrisonodiwa7248 3 жыл бұрын
Eti mtume Muhammad atashtaki waislamu siku ya kiama,mtume amekufa wala hayuko hai ni mifupa tu kaburini. Waislamu mwamini Yesu Kristo aliyekufa na kufufuka. Yuko hai milele na milele Amina.
@kingdyzo
@kingdyzo 3 жыл бұрын
Sio kila kitu cha kuongea ndgu. Amini kwa imani yako tu sio kukosoa usichokijua
@harunaramadhani7764
@harunaramadhani7764 3 жыл бұрын
@@kingdyzo achana nae Kaka Mana ukiongea Sana utakufuru mweny hekima na akili timamu hawez kuongea hvyoooo
@husseingitonga8921
@husseingitonga8921 7 ай бұрын
Mpuzi kweli huyu bwana😢
@abdimuhina2320
@abdimuhina2320 3 жыл бұрын
Sheikh hivi hayo maneno una ushahidi nayo unasema alikuwepo jamaa enzi za Mtume swallaallaahu alayhi wasallam anajulikana kwa jina la Mujrimu
@mussabinford9872
@mussabinford9872 3 жыл бұрын
😂😂 nmechek snaaa aisee an story kam za kijiwen tyu hkna dalili wala nn
@harunaramadhani7764
@harunaramadhani7764 3 жыл бұрын
Kweny kufundisha au kuelezea Jambo yafaa kutumia mfano unaoendana na ukwel ili ujumbe ufke ww Kama unaamin na umeelwa alchokimanisha kheri
@U.ISMAIL
@U.ISMAIL 3 жыл бұрын
Nadhani kikubwa ni kuelewa lengo na kusudio na hata kama hakuwepo ili Mradi tumemuelewa na tumenufaika
@jumazuberi4886
@jumazuberi4886 2 жыл бұрын
Ww uko na ushahidi hakuwepo? Usiwe mtu wa kuuliza kila kitu mengine unafaa uelewe ni utamu wa hadithi ilimradi message imefika
@abdimuhina2320
@abdimuhina2320 3 жыл бұрын
Au israa iiliyyaatu hizo
@swaibua
@swaibua 3 жыл бұрын
I've laughed my heart out 🤣🤣🤣🤣
@yasminhussein7426
@yasminhussein7426 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 EE SUBHAAN-ALLAH IKALI SHEIKH ILA kweli marafiki wengine Wana fiki
@allymukhsin2962
@allymukhsin2962 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Subhannallah
@Imantwaibu
@Imantwaibu 10 ай бұрын
Aburibasitwa
@galbasalim2164
@galbasalim2164 3 жыл бұрын
Please kitabu gani umenukuu twaomba tuangalie kisa
@muzammilomari4852
@muzammilomari4852 2 жыл бұрын
Akileta jibu naomba unifahamishe
@bintichausa4744
@bintichausa4744 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Aaaamiin ..Bangi mbaya kweli
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣were kipozeo umenivuja mbavu jamani dah
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Tatizo walimu wa wengi wa madrasa wamegeuka kuwa wabakaji,,,,
@mwalimuathumani4759
@mwalimuathumani4759 2 жыл бұрын
Siokweli
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 2 жыл бұрын
Na Wa shule?
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 жыл бұрын
we juma acha porojo
@rbagha5280
@rbagha5280 2 жыл бұрын
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. Wwe have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven.
@husseinfaiz6061
@husseinfaiz6061 3 жыл бұрын
Ok
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 3 жыл бұрын
Bangi bangili🤔🇰🇪 county mambasa 001
@dulaabdallarashid
@dulaabdallarashid Жыл бұрын
Haya haya jamaa waladhwaaaaaliin 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abraman8260
@abraman8260 3 жыл бұрын
Huyoo ni muchilimun
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 3 жыл бұрын
Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli
@jumakhamis226
@jumakhamis226 2 жыл бұрын
😁😁😁😁
@alimzee
@alimzee 2 жыл бұрын
😀😀😀👍
@IbrahimIsmail-f1u
@IbrahimIsmail-f1u 6 ай бұрын
Wahuni sio watu
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Жыл бұрын
Na waalim muwashauri waache kulawiti na kulala na mabinti wa madrasa
@abdulqadrjailan1998
@abdulqadrjailan1998 3 жыл бұрын
hy so pw hy
@rahmahasan32
@rahmahasan32 3 жыл бұрын
Hahaha SubhunnaAllah
@zuu__95
@zuu__95 2 жыл бұрын
Astaghafilullah nimecheka mno 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
@BakariMtangenange
@BakariMtangenange Жыл бұрын
Masheikh hawa wamchongo ni wachekeshaji2 uwezi kukuza kiwango chako cha imani
@yusufonyango5960
@yusufonyango5960 2 жыл бұрын
Apo kwa imam,funny sana
@halimaabshiro1496
@halimaabshiro1496 3 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣Subhanallah
@johnugomba4139
@johnugomba4139 2 жыл бұрын
kisura wa mbeya
@joshuamule4398
@joshuamule4398 2 жыл бұрын
Huyu shekh unifanya nipende uisilam
@jamalmohamed4058
@jamalmohamed4058 3 жыл бұрын
Heheheheh..... Hichi kisa cha kweli sheikh wangu?
@zuu__95
@zuu__95 2 жыл бұрын
Mi Mwenyewe ata simuamini amini 😃😃😃
@habasutatu1233
@habasutatu1233 2 жыл бұрын
Instead visa vya uongo unazisha kltk dini visa havina ushahidi wa Hadith Wala Aya Wala sahaba aliepokea
@sautikuu212
@sautikuu212 2 жыл бұрын
Unataka kisa cha mujrimu au cha sheikh aliyepewa bange? Visa bado vinaendelea kutokea kama cha huyu sheikh.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 жыл бұрын
@@sautikuu212 tatizo anahisi kama dunia ndiyo imeanza jana ilhali kila siku yanaibuka mambo
@nazwadsharif
@nazwadsharif 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 la hawla wa la quatta illa billahi
Mawaidha muhimu sana kwa kila mtu a must watch by Sheikh kipozeo
17:59
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 104 М.
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
IBILISI NI MSHENZI TU //SHEIKH KIPOZEO
19:11
arkas online tv
Рет қаралды 97 М.