BOSS WA DOTTO MAGARI AMWANGA MACHOZI ''TENDA WEMA NENDA ZAKO''/AFICHUA SIRI NZITO YA MAISHA YA DOTTO

  Рет қаралды 97,155

BinaTv

BinaTv

Ай бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

Пікірлер: 301
@kingayoubshabani2551
@kingayoubshabani2551 Ай бұрын
Huyu dotto watu wamemsifu anaongea sasa mpk amepitiliza mshamba sana kumbe dah..!!
@stevenclaud6648
@stevenclaud6648 Ай бұрын
Brother Issa kiungwana tu brother nikushauri inawezekana dotto ni mwanao sana ila kuwa nae makini kwa sasa umaarufu kashindwa kuubeba atakuharibia
@josephkomba1767
@josephkomba1767 Ай бұрын
Dotto mshamba sana Kazingua sana na nimemaindi kisenge Yaani
@kazimoto-eq2th
@kazimoto-eq2th Ай бұрын
Broo Issah kweli ww uko poa sana mstaarabu sana broo pengine iyo ndo sababu ya mafanikio. Safi sana mungu akubariki
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 Ай бұрын
Huyu jamaa mstaarabu sana ila doto hana utu hata kidogo anaulimbukeni mshamba tu
@jokhaali5893
@jokhaali5893 Ай бұрын
Issa una kifua, mashaallah
@abdallahluwambo6937
@abdallahluwambo6937 Ай бұрын
brother dotto hapo umekosea sana'si mngeongea wenyewe kishkaji;haya maisha yana kupanda na kushuka.
@salumabdalla4759
@salumabdalla4759 Ай бұрын
Issa bhana Mungu akuzidishie iman kawaida tu hio maisha yanaend poa ni biashara tu muhimu watoto wanaenda masalani
@richardsimbeye9207
@richardsimbeye9207 Ай бұрын
Mfadhal mbwa binadam ana nauz ht km kakukosea sio kwamanone ayo maisha hujaya malza doto
@josephkomba1767
@josephkomba1767 Ай бұрын
Dotto ni matako sana
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 Ай бұрын
Brother ISSA ni mstaarabu sana,na Mwenyezi Mungu akuzidishie hekima uliyo nayo.
@MwiloTVonline
@MwiloTVonline Ай бұрын
Kwel asee jamaa yuko peace sana yan
@josephkomba1767
@josephkomba1767 Ай бұрын
Kabisa Yaani ipo siku uyu doto ni fala
@OlindoIsmail-hh3gh
@OlindoIsmail-hh3gh Ай бұрын
Bro issa nyamaza broo ndugu yako huyoo😅😅😅
@Ali.salimu
@Ali.salimu Ай бұрын
Asante. Kwa. Uvumilivu. Wamaneno
@Othamnally
@Othamnally Ай бұрын
Unyama brother una loho nzur san
@shanisshow1864
@shanisshow1864 Ай бұрын
Sheria ipo wazi mfungulie mashtaka hii nchi imekuwa ya kihovyo sanaa ntu anatoka anaropoka
@Yesslarry
@Yesslarry Ай бұрын
Hiv mnakua makin na kuwasikiliz machawa awamalizagi maneno wachangamshaji😮😮😮😮
@SideMjerumani-ct7oy
@SideMjerumani-ct7oy Ай бұрын
Hyu jamaa fundi sana wa maneno yaani km Mimi vile amemfanya mtangazaji akose cha kuuliza
@user-wh7gj9ug9s
@user-wh7gj9ug9s Ай бұрын
Utani uwe na mipaka mibangi na kukosa shule ni tatizo
@josiahjoas8526
@josiahjoas8526 Ай бұрын
jamaa maneno ya dotto yamemuumiza sanaa hata anavoongea inaonyesha kabisa dotto alizingua. dotto badilika
@user-sg6ez3cf1f
@user-sg6ez3cf1f Ай бұрын
Sijapenda hichi nilichokiona kama sio utani!mmefika pazuri all the best kwenu!
@crixntaki5591
@crixntaki5591 Ай бұрын
Jamaa anaongea sanaa simuelewi,, alafu kashikilia kanzu kama dela
@florangido202
@florangido202 Ай бұрын
Isaa Mstarabu sana MwenyeEnzi MUNGU AKUWEKE.🎉🎉🎉🎉
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Ай бұрын
Issa mstaalabu Sanaa mwenyezi mungu akuweke kila mtu anakujua achana uswahili WA dotto mungu atakulipia ishalh
@josephkomba1767
@josephkomba1767 Ай бұрын
Sanaaaa na ogopa sana Jamaa kaka kimyaa
@josephkomba1767
@josephkomba1767 Ай бұрын
Dotto ni mjinga mmoja,issa mwamba msamehe Jamaa ila ipo siku atarudi kwako na usimpokee
@maomacatta9770
@maomacatta9770 25 күн бұрын
Safi sana Issa umewafunga mdomo hao wambea wanaijifanya waandishi👍🏾✌🏽
@elgringo8592
@elgringo8592 Ай бұрын
Kicheko hicho kuna jambo lipo nyuma as a men we know😏😏
@AbdalallaBrahimam
@AbdalallaBrahimam Ай бұрын
Ndugu yangu Mimi naomba ukipata huu ujumbe wangu achana na huyu jamaa yako sio mtu mzuri ndio ushauli wangu hawezi kukuchafua kama hivyo
@peterkusekwa8777
@peterkusekwa8777 Ай бұрын
Doto mshambaaa 2 mandaziii sana sema issa hekima sana
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 Ай бұрын
Dotto anaongea sana ila sio mtu mzuri san kuwa nae makini muda wote anakuharibia
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Mzaramo v/s Mnyamwezi, Wasukuma usiingilie ugomvi wao ni watani tena watani haswa kwahy tuwaache tu
@zayaanmdugi2463
@zayaanmdugi2463 Ай бұрын
Kweli kabosa
@magrethpaul5959
@magrethpaul5959 Ай бұрын
Huyo ni chawa 😂sikuzote chawa ana majungu sana
@magrethpaul5959
@magrethpaul5959 Ай бұрын
Sasa hapo ana muektia nani kumsema tajiri yake😂hana ubavu huo huyo Issa tambuu ndie anae muweka mjini
@AnthonySindabaha-de3xb
@AnthonySindabaha-de3xb Ай бұрын
Wengi mnacomment pasipo kusikiliza interview yote..doto magari na boss wake wametengeneza content ili waone itakuaje na je jamii itawachukuliaje. Wabongo mnakera mnapenda sana watu wagombane.
@tonygee5680
@tonygee5680 Ай бұрын
Wanaume wamejaa ujiinga brother
@josephfrank4446
@josephfrank4446 Ай бұрын
Ila ISSA mtu powa sana 🎉🎉
@richardshayo1490
@richardshayo1490 Ай бұрын
Issa ni Genius nahisi Kuna ukweli Sema hakutaka mambo mengi
@ellyemily4234
@ellyemily4234 Ай бұрын
Doto mshamba sanaa ... tunauza magarii wengi wetuu gari linauzwa kwa uaminifu na ubora sio ushawishii
@OmaryMgaza-en5rm
@OmaryMgaza-en5rm Ай бұрын
nakubari sana kaka issa
@AminaAlly-wo9ul
@AminaAlly-wo9ul Ай бұрын
Ila dotto cyo poa watu hawaishi hivyo kama amekukosea kaani chin muyajenge cyo vzur❤❤ nawapenda mkiwa pamoja cy poa❤
@Lodrickmwambene
@Lodrickmwambene Ай бұрын
Wewe Kiki hizo hawajakoseana
@AbdalallaBrahimam
@AbdalallaBrahimam Ай бұрын
Huyo jamaa nae amekosea kumtolea maneno mabaya mwenzako kama hivyo masikini akipata Amina ally inakuwa hivyo
@charlestobby6031
@charlestobby6031 Ай бұрын
​@@LodrickmwambeneHata kama utani doto namkubali sana ila hapa hajatania utani gani huu anatoa mapovu kabisa sio fresh👀😡
@nelsonluwiana10
@nelsonluwiana10 Ай бұрын
Alafu huyu doto anatakiwa kupimwa akili,sio akilizake huyo ,kaka issa msamehe Bure huyo Dotoo
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 Ай бұрын
Issa we Ni Genius, Doto Mropokaji
@THEEaglz
@THEEaglz Ай бұрын
Money money daaaaaaah
@patriciovicente2891
@patriciovicente2891 Ай бұрын
Elimu ni kila kitu. Sio Dotto wa kumfanyia hivyo rafiki yake😢
@tonygee5680
@tonygee5680 Ай бұрын
Amazing wanaume watu wazima wa bongo walivyo jaa ujiinga.
@user-rh5iy3ei3g
@user-rh5iy3ei3g Ай бұрын
Utani gani mpk wakuambina magari yako mabovu,sikuharibiana brand na biashara
@user-ii4ul8dg1x
@user-ii4ul8dg1x Ай бұрын
Issa bro,Yani m nipo Kenya but nimekuwa nikikufuatilia sna kama tambuu motors but kwa Hili limeanza kunipea wasi wasi kama ikiezekana kwa siku mbili zinazokuja murekebishe hii issue pleaz najua ww n mstaarabu Bana tafadhali tafadhali Sana.
@yunusmhenga1397
@yunusmhenga1397 Ай бұрын
Nimemsikilia vzr Issa kwel kuna tatizo ila ni kama doto hajaelewa principle za kitajili
@hamiardangote8
@hamiardangote8 Ай бұрын
Wwe umeongea
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 Ай бұрын
Uwe utani iwe ukweli muhmu cc tunapenda muwe vizur tu na muzd kufanikiwe
@RaymondLadislaus
@RaymondLadislaus Ай бұрын
Sikilizeni adi mwisho sio mnacoment tyu
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Ай бұрын
Utani gani uo wa kuzalilisha a
@user-tm7xt3xd7x
@user-tm7xt3xd7x Ай бұрын
dott anaongea wakat brother alimuokota akiwa hajiwez ety kapata brand anamkanygia boss wakat nd kamlish ad kufikia apo
@frankmganda2424
@frankmganda2424 Ай бұрын
Kaka Dotto na kaka issa nawaomba sana mpatane Mungu nikubwa kuliko hizo biashara naomba mpatane msigombane
@rajabmohammed9224
@rajabmohammed9224 Ай бұрын
Ama kweli binadamu hawafadhili brother issa wachana nae msamehe brother
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Ай бұрын
Km kuna tofauti ungemtafuta private mkayamaliza .acha kupayukapayuka.ushukur kwakidogo ulichopewa .doto shukur japo kidogo.
@nelsonwilliam7578
@nelsonwilliam7578 Ай бұрын
Iyo kanzu au gauni mshamba tu doto
@user-ds9gc3wx4n
@user-ds9gc3wx4n Ай бұрын
Wakina Issa watu wazuri sna kw kwel
@user-rf7ni6tr2o
@user-rf7ni6tr2o Ай бұрын
isaaaa kwerii auuuui unatupangaaa mboni dotooo kamaaa yukooo siriasss
@user-nn8nn6dk8u
@user-nn8nn6dk8u Ай бұрын
Mpaka uwe na d3 ndo uweze kuerewa kama Kanuna
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 Ай бұрын
Huyu DOTTO MAGARI NAHISI ANAROHO MBAYA NA HANA NIDHAMU WALA HEKMA.. MJEURI SANAA HUYU JAMAAA
@user-sq4ju1qp3o
@user-sq4ju1qp3o Ай бұрын
Hana ustarabu wowote Issa msikilizeni vizuri neno vigari sio zuri
@charlestobby6031
@charlestobby6031 Ай бұрын
Wabongo mna nongwa yeye kajaribu kufanya comparison tu kutokana na maisha yake na ya doto😂
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 Ай бұрын
hiyi ni athari ya lugha mzee, unakaa kama si mswaili mzee
@fadhilially7357
@fadhilially7357 Ай бұрын
UKIONGEA SANA LAKINI MWISHONI UTAHARIBU
@kassimomary216
@kassimomary216 Ай бұрын
Silent killer 😂😂 Issaaaaaaaaaa Ila safi unajua kuishi nao
@SGVBnewsSAMWEL
@SGVBnewsSAMWEL Ай бұрын
Huyu doto nae kama mange kimambi
@wakasotaylor5824
@wakasotaylor5824 Ай бұрын
😂😂😂😂same na mwijaku
@andrewemmanuel1861
@andrewemmanuel1861 Ай бұрын
Tukumbuke tunakotoka Kuna Leo kesho bro tuishiii kwa upendo .....
@justusmutembei2
@justusmutembei2 Ай бұрын
utani lakini ameenda mbali hey Nipo kenya but napenda uhusiano wa isa na dotto nlkua nimeshtuka sana walai Mungu asaindie iwe ni utani aki.
@bugybuster5788
@bugybuster5788 Ай бұрын
Dotto anaropoka sanaa akumbuke hii dunia tuu wengi walikua na maneno walipotea sanaa
@user-ik8yy2wj6f
@user-ik8yy2wj6f Ай бұрын
Issa hata anavo ongea hana raha
@borntown6945
@borntown6945 Ай бұрын
Fact
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Ай бұрын
Fact🤝
@annesmatemu4264
@annesmatemu4264 Ай бұрын
Huyu usimlaumu sana kupigwa kichwani kwawizi kariKoo atakuwa mzima isa Mungu atamlaa I kwauliko mtoa
@sampaconnector2845
@sampaconnector2845 Ай бұрын
Malizeni tofauti zenu kama kweli kunatatizo,watoto wakiume hapendezi hizo mambo!!
@salaita2829
@salaita2829 Ай бұрын
Hawana yofauti hawa jana leo kila siku nikipita pale maskani nawakuta wanacheka,hata leo nimewakuta pamoja.
@sampaconnector2845
@sampaconnector2845 Ай бұрын
@@salaita2829 Basi wanazngua!!
@user-ne2zv8km3x
@user-ne2zv8km3x Ай бұрын
Msije kusema utani huwo, huyu dotto kamaanisha sasa Issa kuwa makini sana na Dotto sio mtu mzuri..kaka issa pole sana umefuga nyoka sasa anakuuwa..hadharani .
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Ай бұрын
Kuna la kujifunza ...mana binadamu
@rajabmohammed9224
@rajabmohammed9224 Ай бұрын
Issa ulioa Diamond platinum na sai umemtoa Dotto so usijali brother mungu atakulipia don't worry brother work hard God will bless you better
@naimanimo4925
@naimanimo4925 Ай бұрын
I like issa more now ,this is the problem of people who have naver been to school
@jacklinakinabo6479
@jacklinakinabo6479 Ай бұрын
Watu kama Dotto hawafai kupokelewa popote ,,maana hata atakapoingia ,siku akitoka hapo,,siri za hiyo sehemu zitakua nje......
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Ай бұрын
Ndiyo shida ya Mateja
@aloyceponela3249
@aloyceponela3249 Ай бұрын
Dotto ukumbuke ulikotoka.unaharibu maneno mentioned mpk unapitiriza
@SelinaChares
@SelinaChares Ай бұрын
Saf sanaa isa
@AyubuMsindo
@AyubuMsindo Ай бұрын
Blazaww ndoulikosea ilitakiwaumle waktihana kituhayonimakosa ulifanya ungemlaasingeleta usenge
@barnabaschars1637
@barnabaschars1637 Ай бұрын
Issa anapenda kusema "Yah yah yah"😂
@IbrahimMotors-vl9ii
@IbrahimMotors-vl9ii Ай бұрын
Dah dott
@user-ch2xi5zm8y
@user-ch2xi5zm8y Ай бұрын
Sio kweli hakuna utan huu ni kweli had mkeo ana roho mbaya
@officealomarion8066
@officealomarion8066 Ай бұрын
Sema waandishi bhna
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 Ай бұрын
Issa na Dotto wanaongea kwa simu, Dotto akiwa na lake hawezi kurekodi video amtumie Issa kupitia socio media... Hii changamsha genge... Sema Dotto msenge sana eti "Issa mpaka natetemeka"
@neemareuben311
@neemareuben311 Ай бұрын
Hili nalo doto magarii anaropoka kama dem mjinga kweli huyuuuuu mdom mrefu aiseee ukiwa na rafiki tusijimalizeeeeee kbsaaa kuna kugombanaaa hya sasa oneniiii mambo hyoooooo aiseeee
@user-zt3ug9wv7f
@user-zt3ug9wv7f Ай бұрын
Yaani hata baada ya Issa kusema kua ni content waliipanga kma office tena bado huamin
@user-ik8yy2wj6f
@user-ik8yy2wj6f Ай бұрын
Hamuna issa ana2dangany donto alikua siriaz sas issa alivo mjanja akaamua kujisafisa akasema ilikua chalech
@maryamabdalla7557
@maryamabdalla7557 Ай бұрын
Hata kama ni utani this is too much..Amtaja mpaka mke wa Issa hishma Iko wp?
@dennisrobert5989
@dennisrobert5989 Ай бұрын
Watu hawa watuulize sisi SHAMOTOR tokea chuga tunawajua watu wa staili hyo but (TIME WILL TELL)
@BensonMpomo
@BensonMpomo Ай бұрын
mi nawakubali sana mkigimbana msigombane mi nawakubali sanaaaaa yani mi doto namuelewa sana ila sipendi anavomtajataja mama ila kumponda Isa mi nainjoi sanaaaa
@user-ik8yy2wj6f
@user-ik8yy2wj6f Ай бұрын
Donto mshezi sana hana shukulan kwa issa amujulish sana kwawa2 lakin wa2 munatakiwa kujua hii nisiriazi kama unataka kujua sio chalech kwanin aseme magari ya issa nimabovu
@RamathaniShabani-ok3xm
@RamathaniShabani-ok3xm Ай бұрын
Ongera ISSA
@magrethpaul5959
@magrethpaul5959 Ай бұрын
Kweli Doto nzaramo real
@MusaShemahonge
@MusaShemahonge Ай бұрын
Nawakubar sana wana
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 Ай бұрын
Kuwa makini na huyo jamaaa anaweza akakuwekea hata sumu huyo nmjamaaa anarchy mbaya anaonekana jangilii sanaaaaa
@RobertPangwa
@RobertPangwa Ай бұрын
Jamaa ana mdomo sana
@SaphiaShayo
@SaphiaShayo Ай бұрын
Dah!!!huyu doto anatatizo kichwani atakuwa hajameza dawa za mirembe
@user-yf2ro1wb4y
@user-yf2ro1wb4y Ай бұрын
Issa Tambuu mm nakushauri kaa mbali na huyu Dotto . Huyu sio mtu wa kufanya naye kazi achana naye haraka
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 Ай бұрын
Wazanziari Mungu Atubariki kama wewe ni Mzanzibar Gonga like hapa
@shaban6644
@shaban6644 Ай бұрын
Uzanzibar unatokea wapi Tena....???,
@omaribazanga7967
@omaribazanga7967 Ай бұрын
Wazanzibar tena 😂
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 Ай бұрын
Huyu jamaaa anarchy mbaya sanaa na chuki.. ANAWEZA AKAMUWEKEA MTU SUMU HUYU DOTTO MAGARI SIO MTU WA KUJENGA NAE URAFIKI WA KARIBU
@fundimudy6325
@fundimudy6325 Ай бұрын
Mm mwenyewe nilichanganyikiwa sana nikajua mmegombana
@masheyn
@masheyn Ай бұрын
Kama Malaya wanaume hawaongei sana
@julianapeason6254
@julianapeason6254 22 күн бұрын
halafu Doto kafanana na mama yake hadi kutembea na vile anavyoweka mikono akiongea kama mwanamke
@allsportshighlite8027
@allsportshighlite8027 Ай бұрын
Mzaramo na Mnyamwezi, Ni watani jamani😂
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Ай бұрын
MUNGU NIMWEMA🎉🎉🎉
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Ай бұрын
Dotto umekosea sana
@user-vf8km1if1x
@user-vf8km1if1x Ай бұрын
Mimi nawaza tu kama huyu doto angekua mtoto wakike .. sio kwa mdomo huo😅
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 Ай бұрын
Niutani tu hakuna mtu asiyejuwa kushukuru japo wengi wamestuka
@mathewm7115
@mathewm7115 Ай бұрын
Dotto kubwa jinga
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Ай бұрын
Mash Allah yaaa interview za issa nikiziona lazima nizisikilize coz zinanipa upambanaji wangu shukran Sana kaka muache mzaramo uyo ndio jadi zao hao MSIKINI AKIPATA MATAKO ULIA MBWATA
@erickmagnus4945
@erickmagnus4945 Ай бұрын
Influencer ushakuwa choko🥺
@andrecarlos1024
@andrecarlos1024 Ай бұрын
Dotto,alikuwa anapigwa mawe! Kariakoo
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 2,1 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 40 МЛН
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 204 М.
Heavy package 🤭🤣 #demariki
0:25
Demariki
Рет қаралды 6 МЛН
Не плавайте тут! 🏊🚫
0:24
Взрывная История
Рет қаралды 1,8 МЛН
Don’t Bully a Vampire Girl 👿
0:38
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 24 МЛН
КАК ВЫЖИТЬ В АВИАКАТАСТРОФЕ✈️
0:25
MEXANIK_CHANNEL
Рет қаралды 4,8 МЛН