🔴

  Рет қаралды 13,306

John Ngollo

John Ngollo

Күн бұрын

#mpina

Пікірлер: 56
@KwiniJoel
@KwiniJoel 3 ай бұрын
Asante kumpigia MPINA makofi Mimi nilishampigia sana makofi baada ya kusikiliza ueledi wake. Uzalendo wake. Na pia kujitoa kwake Kwa taifa hasa Kwa WATANGANYIKA. ILA NASIKITIKA sana kuona WATANGANYIKA HATUMUUNGI MKONO VYA Kutosha.
@nestor384
@nestor384 3 ай бұрын
Uko vizuri mhe. Mpina spoke the truth
@hajjisanga789
@hajjisanga789 2 ай бұрын
Mpina si alituchomea nyavu zetu wavuvi sasa yeye aliwatetea wazalendo gani
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 2 ай бұрын
Ufisadi kwao ccm
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 2 ай бұрын
Mpina hawezi kuhama ccm.kwa sababu anaipenda ccm saana.isipokuwa yeye ameamua kujitoa muhanga ,ili ccm na wananchi wapone...na wote wanaompinga Mpina ,ni wapigaji .na swala hili lina mtu mkubwaa
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 3 ай бұрын
Tulia amepewa uspika wa mabunge dunian il tanzania iwe pango la mashoga wazungu sio wajinga, sasa yanayotokea tsnzania watoto mpaka madhulen wanalawitiwa
@SanziNzige
@SanziNzige 2 ай бұрын
Hivi huyu anaeongea huyu katoka wapi.anajitambua kweli.tanzania wamerogwa na aliekufa.maneno anayoongea huyu yanaeza kukutoa kamasi
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 2 ай бұрын
SIJAWAHI kuona mtoto wa Maskini anahojiwa na hata Tai huwa havai na haimtoshi😅😅😅😅 inaelekea huyu jamaa ana Ofisi Sokoni....maana yake hapo alipo kuna KELELE mno
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@MpajiAlisoni
@MpajiAlisoni 2 ай бұрын
Tuna itaji mabadiliko ya chama kingine sio chadema wala ccm
@praygodmawalla7884
@praygodmawalla7884 3 ай бұрын
Huyu nabii ni shida. Sheria hazijui viziti au anajua sana . Nilichopenda ni kutambua Mpina ni mkweli.
@davidlyamboko7477
@davidlyamboko7477 3 ай бұрын
Twendeni polepole ndugu zangu, haya ni mapito tu. Msije kupita mitaani mmeinamisha vichwa, hakuna mjinga Nji hii.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Hawezi kuja Chadema kamwe na asithubutu kugombana ndani ya Ccm ni kitu cha kawaida
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 3 ай бұрын
AU NYIE NDO MNANUFAKA KUAGIZA SUKARI?
@YORAMYETERO
@YORAMYETERO 3 ай бұрын
Mpina kaza buti na wasikundanganye kuhama baki huko ulipo
@FelicianSimon
@FelicianSimon 3 ай бұрын
Ataongea ukweli na atabaki kuwa kijani
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 ай бұрын
Hawampendi hapo alipo2 amewaumnua
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 3 ай бұрын
Baba upo na akili nyingi sana, pokea 100%
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 3 ай бұрын
duh duh duh
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 3 ай бұрын
Mpina❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HaulSidney
@HaulSidney 3 ай бұрын
Mpina ndiyo mbunge mazarendo anatetea wananchi,bashe kabadilika kwa Sasa
@jacksonmsele1500
@jacksonmsele1500 3 ай бұрын
Hehe here
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 2 ай бұрын
Hakuna kuhama chama banana nao humohumo
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 3 ай бұрын
Aungane na machinga siyo vyama vya upinzani atuhamasishe tuiondowe ccm
@MeshackRobert-c4k
@MeshackRobert-c4k 2 ай бұрын
Wewe hakuna unachokiongea wewe Mpina hajakosea
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Na athithubutu kwenda Chadema hata kama hataendelea na Ubunge
@petermogha7025
@petermogha7025 3 ай бұрын
Mpina nakuomba tulia ukiamia cdm utapitea kama nyalandu usiwasikilize
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 3 ай бұрын
Ni kweli,
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 3 ай бұрын
mpina mwamba
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 3 ай бұрын
Kwa dalili ccm kumuacha 2025 si rahisi lazima wampige panga
@enziseme4712
@enziseme4712 3 ай бұрын
Huyu mzee kaamua kufanya komed ya siasa, eti Dr Tulia hana sifa duuh!!! Kweli nabili na watu wa kwao!!
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Hakuna lolote Chadema. Tanzania haiko huru. Hatuna upinzani, na wanaotuongoza kwa sasa wanatumia ujanja na mabavu kuzuwia watu kuanzisha vyama vipya kwa kuweka mashariti yasiyokuwa na haki. Kama Bashe harachukuliwa hatuwa, Basi watanzania tukate tamaa. Serikali inawaonea watanzania kwa upole wawo. Nchi hii haina amani bali wananchi wamenyimwa haki zawo, wachache walio Iteka nchi wanatuongoza kwa mabavu.
@FelicianSimon
@FelicianSimon 3 ай бұрын
Ww mzee nimegundua unashida ya akili kwani magufuri alikuwa chadema mbona alisema ukwe siasa ya Tanzania inatakiwa ikomae watu waishi kwa wanayo amini ww na wengine wengi munaishi kwa mkumbo sio nyinyi kusimama mm binafsi na simama na MH MPINA
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 3 ай бұрын
Felician wewe ndio akili haziko sawa, yakupasa ukapimwe akili zako. Bado una blanketi usoni mwako .Ujinga umekujaa hadi kwenye 😏😏😏
@JosephLadisilaus
@JosephLadisilaus 3 ай бұрын
Mtu mzima unaongea utumbo uo kwahyo unatak nayeye awe mjinga kama waninga wengine et
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 ай бұрын
Manganese usiyejitambua
@lupyanamatimbwi8064
@lupyanamatimbwi8064 2 ай бұрын
Mpina
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Bashe ni waziri kaajiliwa na watanzania. CCM Itaongoza maisha kwasababu wanaongoza wajinga. Wananchi hawajuwi haki zawo. Na serikali inajua. Mpina asikae kimya aende tu mahakani watanzania wengi wanangoja kuona haki inatendeka. Hata kama akikosa haki, kuta kuwa na record ya watoto wetu kujifunza.
@victaboy7273
@victaboy7273 3 ай бұрын
Kwani na huyu ni nani sasa
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 2 ай бұрын
Huyu ni baba yake KENYONYO
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e 3 ай бұрын
Tulishangaa tulia kulalia nafac kubwa kiasi kile! Lkn your NEVER KNOW!!!
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 3 ай бұрын
Kichwa cha habari kinapotosha
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 3 ай бұрын
Huyu ametoka wapi tena 😂😂😂
@pancrasluoga4584
@pancrasluoga4584 3 ай бұрын
Unauliza usenge gani we kiumbe😮
@omarkapula588
@omarkapula588 3 ай бұрын
Mchukueni hata muda huu
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 3 ай бұрын
Kwani wabunge wanawake wa Chadema wakijiuzuru kwa kukiheshimu chama chao spika atawalazimisha wabaki?,
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 ай бұрын
Mbunge kuingia au kutoka Bungeni haihusiani na Spika ni Tume ya Uchaguzi NEC ndio wanaohusika na hilo. Ni ujinga wa watu kumvamia Spika badala ya Tume ya Uchaguzi.
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 3 ай бұрын
Kwa hyo waliomchagua hawana akili?
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 ай бұрын
Unaongea ujinga kweli, vigezo vya Spika waliomchagua duniani ni watu wenye akili timamu. Hivi bila kujali hoja ya Mpina kuwa ni nzuri au mbaya kweli hukuona utovu wa nidham aliofanya? Mpina ni Mbunge kwa kipindi cha nne sasa katoka hewani lini kutuelezea ajenda ya mkutano wa Bunge jambo ambalo Watanzania ni haki tunayokoseshwa na Wabunge.
@2003hintay
@2003hintay 3 ай бұрын
Mpina anausongo wa madaraka baada ya kupigwa chini uwaziri, wewe pia hapo ni muongo
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 3 ай бұрын
Hayo ni ya kwako yeye hajakwambia hayo unayowaza! Jichunguze afya ya akili!
@FelicianSimon
@FelicianSimon 3 ай бұрын
​@@usembiphonedar5632umeongea ukweli mtupu
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 ай бұрын
Afya ya akili ni tatizo kwa baadhi ya watanzania badala ya kujadili hoja iliyopo mtu anajadili hisia zake. Sasa huo si uchuro.😂😂😂😂
@phabianshimba6791
@phabianshimba6791 3 ай бұрын
Ubongo wako upo sawa wewe?
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 12 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 12 МЛН