BUNGENI: Mambo matatu Tanzania inakabiliwa nayo sasa hivi - Hussein Bashe

  Рет қаралды 102,891

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

February 6 2017 Bunge limeendelea ambapo kazi kubwa ilikuwa ni Wabunge kujadili taarifa ya shughuli za kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya ukimwi kwa mwaka 2017.
Baadhi ya waliosimama na kuwasha vipaza sauti leo ni Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe na haya ndio mapendekezo yake makuu kuhusu ishu 3 nzito kwa taifa ikiwemo dawa za kulevya na ushoga.

Пікірлер: 63
@hasirazahoro4938
@hasirazahoro4938 7 жыл бұрын
Mimi sipendi apewe uwaziri sababu mawaziri hawawasemei wananchi Namuelewa sana Hussein Bashe
@boniphacelaurian3847
@boniphacelaurian3847 7 жыл бұрын
Natamani bashe ukiwa rafiki yangu your very talkative good keep on it dah
@mwanahella9650
@mwanahella9650 7 жыл бұрын
Bashe ndo umeongea point ktk inshu ya madawa #✌✌
@naftalichacha5393
@naftalichacha5393 7 жыл бұрын
Hongera bashe kwel unabonga point sana. i like the way you presented on education and about drug addicts
@saidmathias8850
@saidmathias8850 7 жыл бұрын
huyu ndie mbunge mwenye vision zuri mh bashe Mungu yu nawe
@maryamsinganomaryamsingano7938
@maryamsinganomaryamsingano7938 7 жыл бұрын
masha allah kwanza mungu akulinde na akupe nguvu masha allah uikiongea kwanza unapanga pwenti
@mamarama6360
@mamarama6360 7 жыл бұрын
huyu kaka namuelewa vizur ahsante sana
@mansourrashid830
@mansourrashid830 7 жыл бұрын
Jamaa namkubali sana
@rizikialmas4877
@rizikialmas4877 7 жыл бұрын
Umeongea point mh.
@rizikialmas4877
@rizikialmas4877 7 жыл бұрын
Asante millard ayo kwa taarifa
@sadiqsleemz6311
@sadiqsleemz6311 7 жыл бұрын
Bashe Kichwa sana
@ahmed-shakirmwamba4992
@ahmed-shakirmwamba4992 7 жыл бұрын
Mfumo wa Elimu na bass shule za Serikali Kiswahili kimekuwa Kingi mno na ukweli wa mambo bado hakina Big scope katika mfumo mzima wa Elimu Duniani. Lazima katika Shule hizi English irudishwe baada kuanzia darasa la tano na utaona tofauti ya viwango mwisho wa siku.
@allyjuma4410
@allyjuma4410 7 жыл бұрын
hiyo ndio point ila utekelezaji........unaishiaga njiani.....kitaeleweka tuu
@boniphacelaurian3847
@boniphacelaurian3847 7 жыл бұрын
Bashe ulitakiwa kuwa waziri ila msema kweli.....
@fafi9092
@fafi9092 7 жыл бұрын
Mwaka huu wauza sumu wataisoma namba tu tumechoka kuharibiwa vzaz vyetu
@gastordominic410
@gastordominic410 7 жыл бұрын
napenda unavyopigania Elimu yetu keep it up
@mohamediyusuph9648
@mohamediyusuph9648 7 жыл бұрын
hussen bash kichwa kwel...kanafurahish xan
@AB-zu9pm
@AB-zu9pm 7 жыл бұрын
Nampenda sana uyu jamaa alitakiwa awe waziri
@erickhaule8680
@erickhaule8680 7 жыл бұрын
sema hawawezi mpa Sasa ukiwa msema kweli hupewi
@winfredbespoke8440
@winfredbespoke8440 5 жыл бұрын
@@erickhaule8680 mbona kapewa
@kebo2155
@kebo2155 7 жыл бұрын
safi sana Bashe. ...front line....
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 7 жыл бұрын
ur the genius
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 7 жыл бұрын
Bashe uko vizuri. Kaza buti tutafika. Hata Roma haikujengwa cku Moja. Unaeleweka 😂😂😂
@richardmsafiri3706
@richardmsafiri3706 7 жыл бұрын
uko juuuuu sana bashe we ndie mbunge sahihi tena sana
@babarebecca304
@babarebecca304 7 жыл бұрын
huyu jamaa anaongea point sanaaaa sio LISU KERERE TUPU
@kashindyesamadali7717
@kashindyesamadali7717 7 жыл бұрын
daaaaa ulikuwa wapi Basheeee waambie baba hawaelewi haoooo
@focushamza3374
@focushamza3374 7 жыл бұрын
bashe salute
@denismatemba4691
@denismatemba4691 7 жыл бұрын
good bashe
@excelguru23
@excelguru23 7 жыл бұрын
nimekuelewa sana mkuu
@joshuanyonyi8820
@joshuanyonyi8820 7 жыл бұрын
safi sana...siyo kama huyo Sugu anatetea eti Bongo flava et wasanii et awatendewe haki wakiusiswa na issue ya drugs!,,cjui mbeya mmekosa mtu wa kumchagua
@erickhaule8680
@erickhaule8680 7 жыл бұрын
umeongea point sana bashe watu tunakufuatilia sio huyo zito
@naftalichacha5393
@naftalichacha5393 7 жыл бұрын
ILA ONGEZA SPEED YA KUONGEA ILI UWE UNAYATOA YOTE YANAYOKUKEREKETA MOYON
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 жыл бұрын
samahann jamani kunawilaya moja Dodoma inaitwa BAHI haina mwakilishi bungeni? maana cjawahi hata kumsukia wala kumwona bungeni
@MoneyMaker-iv8wt
@MoneyMaker-iv8wt 7 жыл бұрын
Mi unaona hata Pombe ipigwe marufuku maana inalevya pia.
@sphrb1063
@sphrb1063 7 жыл бұрын
nice
@evancemawazo1485
@evancemawazo1485 7 жыл бұрын
Jamaaa nakuelewa sana@aa
@majirdmasare2855
@majirdmasare2855 7 жыл бұрын
bashe in mfano was kuigwa katika mbuge letu LA tz kwa kweli yuko sawa kwenye kusema ukweli
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 7 жыл бұрын
Mashallah wafunue macho hao wengine wanaopiga makelele
@giftofhope7782
@giftofhope7782 7 жыл бұрын
unyanyapa kwa watumizi wa dawa za kulevya. eti kufunga Huduma za sober house. inawekana wkt unaomba kura hao watumizi wa dawa za kulevya ndio wakuchagua.support don't punish
@giftofhope7782
@giftofhope7782 7 жыл бұрын
Huduma za sober house na zingene ni muhimu .elimu lkn hata. pombe ni tatizo.ngono.its all about addition
@angelangel4119
@angelangel4119 7 жыл бұрын
mashoga watapelekwa wapi? au watafanywaje ??
@babarebecca304
@babarebecca304 7 жыл бұрын
Bongo sasa tutafikaaaaaa .... watu wachapa kazi wapo ! tuwasapoti
@farajambwiga7237
@farajambwiga7237 7 жыл бұрын
hapo kwenye mkopoooo kaziaaaa babaa aaaaaaa
@imanuelichapo8121
@imanuelichapo8121 7 жыл бұрын
good
@emmanueljaphet6232
@emmanueljaphet6232 7 жыл бұрын
Mimi naishangaa sana ile inayoitwa tume ya madawa ya kulevya ,unaongeza kiliniki mana yake watumiaji wabaongezeka na wauzaji wanaongezeka hatuwezi kuwavumilia hata kidogo, Rais avunje hiyo tume
@ernesttizongumbi8636
@ernesttizongumbi8636 7 жыл бұрын
points on drug abuse
@jumamashavu9429
@jumamashavu9429 7 жыл бұрын
uko sahihi
@evelynekada5792
@evelynekada5792 7 жыл бұрын
watoto wamearibika baba
@kelvinmapesa4909
@kelvinmapesa4909 7 жыл бұрын
Kweli ww ni mmbunge
@rashidseif6786
@rashidseif6786 7 жыл бұрын
Vizuri
@bremo3241
@bremo3241 7 жыл бұрын
udumu sasa wabunge kama wewe wenye hekima ati mnapatikana wap bro
@mfaumeabdul1004
@mfaumeabdul1004 7 жыл бұрын
keep it up Hussein Bashe
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 жыл бұрын
Bashe ue unaongea haraka basi maana ake unatuachia njiani asee
@dkchannel4697
@dkchannel4697 7 жыл бұрын
Kabsa kijna
@boniphacelaurian3847
@boniphacelaurian3847 7 жыл бұрын
Nipe hata namba yako mh mbunge
@mfaumeabdul1004
@mfaumeabdul1004 7 жыл бұрын
Boniphace Laurian hahahahaaaaaa
@omarymwigula5479
@omarymwigula5479 7 жыл бұрын
Nukuu:amfate mzee kikwete msoga ha ha haaaa
@worldposts3377
@worldposts3377 7 жыл бұрын
Huyu MTU ni mzalendo tosha si MTU Wa kupelekwa na upepo
@jamesmiyoyi8902
@jamesmiyoyi8902 7 жыл бұрын
duhhhh huyu jamaa nouma
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 7 жыл бұрын
ww ndio mubungeeee
@dukulai
@dukulai 7 жыл бұрын
kwenye madawa umepuyanga bashe
@humphreynzundanzunda6850
@humphreynzundanzunda6850 7 жыл бұрын
ka puyungue wew
@dukulai
@dukulai 7 жыл бұрын
naona umeamua kuropoka
Dakika 12 za Hussein Bashe bungeni kuhusu wizara ya fedha
12:48
Millard Ayo
Рет қаралды 256 М.
“Nasema haiwezekani tunaadhibu wananchi” -Hussein Bashe
10:40
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Povu la Hussein Bashe Bungeni Kuhusu Sakata la Madini, Msikie Hapa
5:13
Global TV Online
Рет қаралды 40 М.
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 34 М.
Where Are Laid Off Tech Employees Going? | CNBC Marathon
41:28
BUNGENI: Bashe na Sugu kuhusu ishu za kutekwa
11:41
Millard Ayo
Рет қаралды 666 М.