Dakika 12 za Hussein Bashe bungeni kuhusu wizara ya fedha

  Рет қаралды 256,089

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Wakati tukiendelea kuzifuatilia headline za bungeni Dodoma ni vyema usikubali kupitwa na maoni ya mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe aliyowasilisha wakati akichangia hotuba ya wizara ya fedha na mipango kwa maendeleo ya taifa kwa mwaka wa fedha 2016/2017

Пікірлер: 169
@muhammadsalaam1373
@muhammadsalaam1373 4 жыл бұрын
Ipo siku Bashe atakuwa rais wa Tanzania insha Allah.
@awadhally1052
@awadhally1052 2 жыл бұрын
InshaAllah
@leonardkapati3125
@leonardkapati3125 2 жыл бұрын
Amina
@edwinchama9211
@edwinchama9211 7 жыл бұрын
absolutely.. you stand up, you say the truth fearlessly... thank you.. be blessed kaka bashe
@stevenayo4742
@stevenayo4742 7 жыл бұрын
Bashe nakuelewa sana fanya kweli nchi ibadilike
@franksomanga8759
@franksomanga8759 7 жыл бұрын
I salute you Bashe you're always stands on truth and facts
@sharifaoisso2094
@sharifaoisso2094 6 жыл бұрын
Waaah I have never listened u before.Allah akujalie kila LA kheri
@jeromefelix7741
@jeromefelix7741 7 жыл бұрын
(kaka tumehaidi wananchi sisi chama cha mapinduzi,au kwa sababu kaka yangu wewe ujaenda kuomba kura?)yani ni moja ya maneno yenye ukarimu sana.daaaah yani kaka hussein bashe ningekuwa na uwezo wakukutana nawe ningekupa mkono wangu ili uendelee kupata baraka na maneno mazuri kama haya,manake kwa muonekano na hayo maneno yako inaonesha ni mtendea kazi mzuri japo me sikufuatilii...kaka husseini fanya kazi hiyohiyo kwani wananchi walikupa kura ili ukafanye kazi nzuri...nakuombea Mungu akulinde na kukubariki kokote uendako na kuuweka mkono wake kwenye shughuli zako zote ufanyazo,ziwe zako na za wananchi kwa ujumla zote ubarikiwe.
@ephraimathanas7833
@ephraimathanas7833 7 жыл бұрын
we nakuombea kwa mungu akupe maisha marefu sana bashe
@medlucas7397
@medlucas7397 6 жыл бұрын
tamaa yangu ni kuona kila kiongozi anajituma kuliko mwenzake asante Husehn Bashe
@athumangullam3854
@athumangullam3854 7 жыл бұрын
linapokuja suala la nchi tuweke vyama pemben...hawa ndio wawakilishi tunaowataka bungeni
@moheqadday8123
@moheqadday8123 7 жыл бұрын
big up bashe uko vizuri hata kama wewe ni ccm nakukubali kwny hoja zako mungu akubariki
@marcojoel5217
@marcojoel5217 7 жыл бұрын
big up sana hussein bashe kwa kutetea masilahi mapana ya nchi.
@lapelyepota5572
@lapelyepota5572 7 жыл бұрын
well spoken MP. tunapenda wabunge wanaojiamini kama wewe. sio wengine waoga ka kunguru. sipendagi kusikiliza speech za wanaccm. but hapa👍👌
@gabrielchowo8070
@gabrielchowo8070 7 жыл бұрын
Wewe ni mbunge shupavu sana na unasimamia ukweli wala sio siasa nakukubali sana na Allah akulipe kwa ukweli unaosimamia
@awadhally1052
@awadhally1052 2 жыл бұрын
Amiin
@allyomary2636
@allyomary2636 7 жыл бұрын
mungu akulinde mbunge ww kama tungekua na wabunge wa ccm 15 tu hii nchi ingekua mbali
@hermanmwailanga3912
@hermanmwailanga3912 6 жыл бұрын
upo vzr brother wananchi tumekuelewa (siku zote tuna hitaji watu wa kweli wanao weza kusimamia maslahii yanchi yetu )nawapa shukran watu wa nzega kupata bonge la kiongozi
@frankmlawa4156
@frankmlawa4156 5 жыл бұрын
We ni mashine bashe mungu akulinde daima mpango n kilaza uyo
@annamwamlima894
@annamwamlima894 7 жыл бұрын
Mwenyezi mungu aendelee kukutunza na kukupa afya njema wewe ni muwaz na unachoongea nakuelewa
@jumayahaya8609
@jumayahaya8609 6 жыл бұрын
uko vizuri sana mh Bashe
@janekivivilo1851
@janekivivilo1851 7 жыл бұрын
Hii ni nchi yetu ambapo Mungu alipenda sisi wstu weusi tuzaliwe hapa,HIVYO tunataka viongozi wanaosema ukweli katika kutetea maslahi na maendeleo ya wananchi!wabunge wetu simamieni vizuri sheria za nchi yetu.unganeni na kufanyakazi kama wabunge wa binge LA jamhuri ya muungano, na si vinginevyo !kwa pamoja na kwa sauti moja tunaweza.
@frankmlawa4156
@frankmlawa4156 5 жыл бұрын
Magufuli umefanya vema sana kumteua uyu jamaa anaakili kama zote ani MPE nafasi kubwa atakusaidia sana mzee bashe
@maxv5047
@maxv5047 7 жыл бұрын
Napenda sana viongozi kama hawa bungeni kungekuwa na wabunge wengi tungefika mbali sana mungu akuweke miaka mingi Mh. Bashe
@imamollel8494
@imamollel8494 6 жыл бұрын
pamoja xana bashe,,
@jacksonsospeter-cg2of
@jacksonsospeter-cg2of Жыл бұрын
bro bashe you are upcoming Magufuli, Utakuwa rais nimekutabilia mimi.
@potypooty38
@potypooty38 5 жыл бұрын
Kaka mungu akuzidishie maisha malefu
@realrealadventurestz3348
@realrealadventurestz3348 7 жыл бұрын
Umeongea ukweli kaka big up!
@jumahassan273
@jumahassan273 3 жыл бұрын
Kweli mungu ameshuka kwa watu wachache bashe mungu akubarik kwa kututetea wananchi wengi
@NabiiKelvinSittaSitta
@NabiiKelvinSittaSitta 7 жыл бұрын
maarifa iko Juu Yako! Be Blessed Baahe.
@itmanager1119
@itmanager1119 6 жыл бұрын
asante kakaangu Bashe bungeni natamani hata uwe ndgu unakomboa taifa la 2018
@annacarlos7925
@annacarlos7925 7 жыл бұрын
hongera sana kaka ubarikiwe mungu akupe afya njema utumikie wantanzania kwa haki
@obadiaalbetus620
@obadiaalbetus620 7 жыл бұрын
aksante sana kwa kazi ulofuata kwaajili ya watanzania 'heshima'kwa ulo waambia wakuelewa ataelewa
@nestarlameck9561
@nestarlameck9561 7 жыл бұрын
i do respect u bro...unajua mpaka sio vzuri
@erickkihuru4529
@erickkihuru4529 7 жыл бұрын
nimekuelewa sana big up!!!!
@mgendela2416
@mgendela2416 7 жыл бұрын
Bashe anajua achosema..💪
@jisandumanyakenda3666
@jisandumanyakenda3666 2 жыл бұрын
Braza uko vinzur sis wakulima nakupa hoger kazi iedelee kaka
@oresluaw6607
@oresluaw6607 7 жыл бұрын
mungu akutangulie ktk uongozi wako nimejifunza kitu
@godlucktesha2676
@godlucktesha2676 7 жыл бұрын
kaka ww ndio unahitaji wa tz tukuombee maana upo sereous na maaendeleo ya nchii hii
@sebastianitz2178
@sebastianitz2178 6 жыл бұрын
Uyu ndie mbunge anajua kazi yake wote wangekuwa kama Bashe Tanzania tungekuwa mbali sana ila wengine hawatimizi wajibu wao
@wilsonamandus1567
@wilsonamandus1567 6 жыл бұрын
mungu akulinde na kuongoze mh.h bashe we ni muwazi na si mnafiki kama walivyo wabunge wengine
@anastanciamalema9406
@anastanciamalema9406 7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka umeongea points sio brabra usichoke kutenda Mema vivyo hivyo ili wananchi tunufaike
@jaliwakope1949
@jaliwakope1949 7 жыл бұрын
Niliwaza pia suala la kuongeza kodi hasa kwenye sekta za kibenki, utalii, na n,k kama ndio njia pekee ya kuongeza makusanyo na matokeo yake tunaona utalii na huduma za kibenki kushuka nchini. Serikali isikilize maoni haya
@gezaulole7988
@gezaulole7988 7 жыл бұрын
go ahead Bashe, go wakikuzingua hama na Chama kbs
@eliudkimokezi8538
@eliudkimokezi8538 7 жыл бұрын
Hon. Bashe 👏👏👏
@capelohamadi5273
@capelohamadi5273 7 жыл бұрын
Huyu ndie mbunge......
@lwiticomwalukumba4148
@lwiticomwalukumba4148 7 жыл бұрын
you are real man ....Bashe
@drisayaambulatoryvetclinic1514
@drisayaambulatoryvetclinic1514 3 жыл бұрын
Ccm mtunzeni huyuu MTU ndo rais ajae ,mie nasema wacha tumpe nchii nyota njema hiii .....big up bashe am learning facts in politics via u bro .....my vote will not lost in ballot box
@rehemapaulo9427
@rehemapaulo9427 5 жыл бұрын
Mungu akulinde mheshimiwa
@lawisonjameskaleme6243
@lawisonjameskaleme6243 6 жыл бұрын
Very thick minded, hiki kichwa achana nacho.. tungepata hata robo ya wabunge wa CCM... kama hawa hakika
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 5 жыл бұрын
Mh uko vzr sana 100% ila punguza lugha ya magaribi huko, tumia lugha mama ya kiswahili tukuelewe vzr Mh H.Bashe
@erickhaule8680
@erickhaule8680 7 жыл бұрын
daah aisee wanatuua na haya makodi
@yusufumpepo5836
@yusufumpepo5836 5 жыл бұрын
Bashe. samahani ,naomba nikuulize swali bro, hivi unahisi kwann wabunge wezako hawafanyi kazi ya kibunge kama we we?
@hasanngwindi3237
@hasanngwindi3237 7 жыл бұрын
Waambie nakukubari sana bashe
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 Жыл бұрын
Safi sana big mungu pamoja nawe
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c 7 жыл бұрын
constructive contribution
@edwinmoshi2523
@edwinmoshi2523 7 жыл бұрын
mi naona huyu mh. apewe kabisa hiyo wizara. inaonekana waziri Mpango ana vyeti vizuri tuu ile anashindwa kuviweka in practice
@fathiyasaleh2639
@fathiyasaleh2639 7 жыл бұрын
kodi zinatuumiza wananchi WA chini
@davidkalinga5580
@davidkalinga5580 7 жыл бұрын
shida ni kuwa wazir mpango amepangwa
@gastordominic410
@gastordominic410 7 жыл бұрын
Hongera Sana kaka hussein bashe ww ni mzalendo baada ya jk yaan nyerere
@denniskiboko2502
@denniskiboko2502 7 жыл бұрын
Ukwell nikwamba Inchi hii inaitaji watu Jasiri kama Bashe. tuache ushabiki tutete Taifa. Mungu akubariki Bashe
@YOHANAKASARA
@YOHANAKASARA 7 жыл бұрын
Huyu ana neno zur kwa nchi
@Msonjo
@Msonjo 7 жыл бұрын
big up umesoma
@nathanmapunda1052
@nathanmapunda1052 5 жыл бұрын
natafuta kila neno la kukuambia kaka bashe, zaidi ya ahsante.
@ezekiamaluma6091
@ezekiamaluma6091 6 жыл бұрын
Ungekuwa jimbo ni kwangu ningepanga foleni kukuchagua
@meryjohn7120
@meryjohn7120 4 жыл бұрын
Nakupenda sana kaka
@kephasnaftal
@kephasnaftal Жыл бұрын
Hussein Bashe his president
@omarymwigula5479
@omarymwigula5479 7 жыл бұрын
Huyu jamaa huwa namuelewa sana pamoja na kuwa yeye ccm
@user-oj1vp9vd4j
@user-oj1vp9vd4j 7 жыл бұрын
ɷɷɷɷ Heeyy Friends I Havee Just Won Branddd New Samsung Galaxy From visitttt : - t.co/wnm5Vtayxv
@tanstoretz
@tanstoretz 7 жыл бұрын
big up Beshe
@mangibusiness6771
@mangibusiness6771 7 жыл бұрын
J.P.M akitumia busara na hekima... Tutafika... Akitumia sifa tutamtoa 2020......
@nasseralhabsi1483
@nasseralhabsi1483 4 жыл бұрын
Msema kweli mpenzi wa Mungu.
@awadhally1052
@awadhally1052 2 жыл бұрын
Kwel Allah amuhifadh
@kamkubwa
@kamkubwa 7 жыл бұрын
what we call a leadership.
@yassinponera4271
@yassinponera4271 5 жыл бұрын
nice kaka
@tinooscar9981
@tinooscar9981 7 жыл бұрын
safi sana
@ambakisyemwanjemba6501
@ambakisyemwanjemba6501 7 жыл бұрын
mbunge makini sana
@stelaamosi2549
@stelaamosi2549 7 жыл бұрын
nimekuelewa kaka semasema habari iwafikie
@rosehillary8742
@rosehillary8742 7 жыл бұрын
Hussein Bashe Hawa ndio viongozi Na Wabunge tunaowataka. wawe CCM ila wakweli. hatutaki unafiki Mungu akulinde kijana mwenzangu. tears for really
@edgerkinyaga8202
@edgerkinyaga8202 7 жыл бұрын
d
@aibansaidy4497
@aibansaidy4497 6 жыл бұрын
mungu akubariki mh bashe kwkwel unaongea vitu vyenye ukwel ndani yake
@paulkusaya8476
@paulkusaya8476 6 жыл бұрын
MUNGU akupe ulinzi mh bash
@jamesmwaisondola6745
@jamesmwaisondola6745 6 жыл бұрын
Bora kuwa na mmbunge mmoja kuliko wabunge mia wasio na elimu by mwaisondola chief
@ajayommy279
@ajayommy279 Жыл бұрын
Liumbwa linacheka kwa zarau dar inaumaa mungu ww wajua
@MohamedHassan-zc5bl
@MohamedHassan-zc5bl 7 жыл бұрын
mkuu bashe ndelea hivyo yani ni filosis filanyoso
@rashidabrahamani5860
@rashidabrahamani5860 6 жыл бұрын
kaka nakupongeza sana kwa kucmamia haki kweli tunaumia
@sskbmtbk4901
@sskbmtbk4901 7 жыл бұрын
Lait wabunge wa cc ...wangekuwa na hoja kama hz za mheshimiwa klio knachoskika xaiv kisngekuwepo
@kabaitijunior2642
@kabaitijunior2642 7 жыл бұрын
Bashe ni mtu makini sana namuelewaga harakati zake hasa pale anapooona ujinga unatendekaa
@robati.majwajwamajwajwa4152
@robati.majwajwamajwajwa4152 6 жыл бұрын
Huseen. Bashe. Ninomasana. Namkubari
@mafoleb.8562
@mafoleb.8562 7 жыл бұрын
basheee kula tanooo
@mojakabenga6270
@mojakabenga6270 5 жыл бұрын
Saruti sana mbashe
@fathiyasaleh2639
@fathiyasaleh2639 7 жыл бұрын
Hakuna professionalism inayoweza kusimama peke take bila msaada kutoka fani nyingine. kwa mfano ni mhandisi gani asiyehitaji mpishi WA kumuandalia chakula.
@danielphares3089
@danielphares3089 5 жыл бұрын
Nakukubari brother yani dah one day naomba mungu anisaidie nije nilitetee taifa langu kama unavyo litetea wewe
@salisali3738
@salisali3738 3 жыл бұрын
2021 lita kuwa bunge kama tembere
@hamismartin5011
@hamismartin5011 7 жыл бұрын
hii ndio inaitwa hadhi ya bunge
@emmanuelpanga943
@emmanuelpanga943 6 жыл бұрын
Bashe wewe ni kiongozi bora ndoto ya watanzania..Uzalendo kwanza Mr. ccm mjipime kwa mwenzenu jamani
@petermsogot4905
@petermsogot4905 7 жыл бұрын
mzalendo waukweli
@ibrahimmwasomola4130
@ibrahimmwasomola4130 7 жыл бұрын
daaaah uyu jamaa
@dinomussa635
@dinomussa635 6 жыл бұрын
Nakukubal bashe in mzalendo
@odetatz3050
@odetatz3050 7 жыл бұрын
tungekuwa na watu kama hawa wa5 tz tungefika mbali
@pastorydaudi1388
@pastorydaudi1388 Жыл бұрын
NEXT PRESIDENT
@renatuscharles4524
@renatuscharles4524 5 жыл бұрын
Pengine naona huyu ndo miongoni mwa waheshimiwa wa kweli,wabunge wetu wamuige Mheshimiwa Bashe,nchi yetu ikiwa na wabunge wengi kama Huyu ni lazima nchi yetu isonge mbele tu ,sasa niwakati wakufanya utekelezaji sasa Tanzania mpya izaliwe.
@salimmasatu6839
@salimmasatu6839 7 жыл бұрын
kaka kweli we ni mwanaume haung'atagi maneno kabisa cyo km hao wanaccm wengine wao ni ndiyo hata km ni baya ili wachanguliwe kuwa mawaziri. tutetee kamanda tunakuombea ufike mbali
@pauldeogratias1037
@pauldeogratias1037 6 жыл бұрын
NAKUPONGEZA SANA BASHE KWA UZALENDO WA KUWA MKWELI BILA KUJALI ITIKAD ZA CHAMA CHAKO
@imraanhaji5982
@imraanhaji5982 Жыл бұрын
jembeee aisee....
@ayoubmponzi2859
@ayoubmponzi2859 7 жыл бұрын
umetukuka na unafanya kaz kwa weledi mkubwa sio mkulupukaji mungu awe pamoja nawe kwa kutusaidia wanyonge
@omarymussa4506
@omarymussa4506 7 жыл бұрын
huyu jamaa kaongea facts saana
@yusufumpepo5836
@yusufumpepo5836 5 жыл бұрын
kwa ifahamu wa elimu yangu, kama hutaku kushauriwa au kukosolewa basi hutafanya vitu kwa maendeleo na kitu utakuwa unapata hasara. na huh mfumo ndio serikali yetu ilivyo.
@maliyamungukimaro5211
@maliyamungukimaro5211 5 жыл бұрын
unasifa ya Kuwa rais
@eliaselias726
@eliaselias726 6 жыл бұрын
Basheee kazn
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 5 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 15 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 5 МЛН
VIDEO: Naibu spika vs Mbowe bungeni kwenye swali kwa Waziri mkuu
5:29
“Kiongozi ni kusikiliza watu, Serikali mnaficha nini?” - Bashe
16:39
BASHE KIBOKO, AWACHANA LIVE VIGOGO WA SERIKALI BUNGENI
16:34
Msombe TZA
Рет қаралды 67 М.
UTACHEKA vituko vya kiongozi  magufuli / Bashe Toa darasa Mbele ya JPM
5:16
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 5 МЛН