Hahahahhahah nimecheka kiboyaa tobaa karne hii bado watu wanatepeliwa ivi unaanzaje kumtongoza demu kwenye simu afu mbaya zaidi hujawahi ht kuonana nae Mamayee huyo mbaba ni chenga afu buguruni sio wa hivii ni wajanja kahhh huyu kwelii alifaa kuliwa hela
@farahfarah-vk5cl4 жыл бұрын
😂😂😂😂wau imegeukia mkia😂😂😂😂gea nimecheka sana from oman
@maryamswaleh1777 Жыл бұрын
wau kweli😂😂😂
@marygaspary1995 жыл бұрын
Nampongeza sana huyo aliyekutapeli
@smsalama65403 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂😂
@aishaabdillah40932 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@zayyatiyussuf95666 жыл бұрын
Mtihani hauna mmoja unakila mtu hakuna anaejua huwenda akajianda mtihan ukimfika hakuna, asohili analile unapo muona mtu kapatwa na jambo ukae utafakri hujui kesho yake. Hakuna anapenda jambo baya limfike kilamtu anaomba salama katika maisha yake, lakini hakuna mkamilifu ukikoswa na hili unapatwa na lile
Mmh miaka ya leo bado tu unataftiwa mke jmn,, kwel akili ni nywele kila mtu na zake pole baba kwa kuuziwa mbuzi ktk gunia.
@smsalama65403 жыл бұрын
Ipo iyo my sema watu wengine hawan utu
@husnaiyasulesh46873 жыл бұрын
Uyo Bibi hakumpend babu harus mim Kaka angu alioa mkea hajamuon live Zaid yapich
@patrishadickson33655 жыл бұрын
laki na nusu ni mahali au pesa ya bia
@reyham17225 жыл бұрын
Pesa ya biaaaa😀😀😀😀tena hata haxitoshii
@zulfamohamed45494 жыл бұрын
Mahar unajua ainaga kiwango marumu kilicho pangwa kwaiyo ata msaafu waweza toa mahara ila mukikubaloan t
@hemedwalid65702 жыл бұрын
hahahahahahaha nimecheka kwa nguvu kwa kweli hili jamaa boya kweli halaf mwili mkubwa akili hamna unaweza kupanga ndoa na mtu ambaye hujawahi hata kumuona hili boya kweli
@fatumaomari81156 жыл бұрын
Jamanii mbavu zangu embu uje uniowee🙋
@pascalruwa77334 жыл бұрын
Mambo
@mjombamjomba18874 жыл бұрын
Naleta Mahari natuma jiandae
@rehemarajabu35906 жыл бұрын
😅😅😅bi harus alipata pesa yakuhamia doooh😅😅😅we muoaji nae loooh
@suzanalucasemanuel7006 Жыл бұрын
Hili kaka kweli ni zamwamwa 😂😂😂
@zaituniabdallah1948 Жыл бұрын
Wakwetu pale Ghana mwang'anyu muuza matunda daah mtihani 😢
@kitonekantasha16876 жыл бұрын
😅😅😅😂😂😂 atakuwa Shoga huyo akina Jamesdelishaz na wakina shoshito wa wema sepetu 😂😂😂
@credo78373 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ummykulthum16726 жыл бұрын
Yaan wee kaka jaman duuuh!hukutaka ht kuomba pcha umuone, wenzio walivyo fasta kuomba pcha au cm Nokia toch?Lkn ht km ni hivyo si ungeomba kuonana nae ht cku moja?aaàh me hapo nakutoa akili kwa kweli😏😏😏
@niachiemahehee25234 жыл бұрын
Heeeee!!!2020 mungu anakuona nisamehene wote niliowatakia heri ya mwaka 2020 sikujua itakua na mauzauza hivi.,,,😭
@mwatangachuma90692 жыл бұрын
Nimecheka kwa sauti
@huktyasnaty40234 жыл бұрын
Ex wangu naomba yamkute ayaa mungu skiaa kilio changu
@rahemaheri16153 жыл бұрын
Haswaaa
@sophsoph47409 ай бұрын
😂
@hemedwalid65702 жыл бұрын
hili jamaa mwili mkubwa akili kisoda bwege kweli hili unamuoaje mwanamke ambaye humjui au hujawahi kumuona sasa
@janethkiswaga58476 жыл бұрын
Huyo kweli mang'anyu na akili zake kama jina lake
@demetriushenry35855 жыл бұрын
Hahahhaha mang'anya
@jacklinebrightness45133 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@zakiamaungazakia7206 жыл бұрын
We mwanaume hujielewi unaoaje Mke humjui kama mgonjwa Wa wazimu
@maryamabdullah91693 жыл бұрын
Matapeli hao huyo mshenga mke na huyo kaka lakini na huyo Mume Ana makosa Mpaka Unatoa Mahari mke hujamuona ilibidi siku yakutoa Mahari umuone mke hio itakua Funzo kwa wanandoa
@salmasalim60556 жыл бұрын
ulilala? maskini wee njoo nikuozeshe ndugu yangu
@ashajuma9705 жыл бұрын
Kisa kime tokea jilani yetu uyu mang'anyu muuza mihogo pale gana buguruni katapeliwa mwanamke
Sema Nini huyu bwana Chamsingi Aludi kijijini kwao Aliko toka ili Asienderee kuuaibisha mji Mkubwa kama huu!
@wazirilongo29973 жыл бұрын
😂😂😂
@sarahgeorge57605 жыл бұрын
Jamani wau imekalia mkia😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mankamushi45882 жыл бұрын
Wwwe ni fala kabisaaaa
@fediliaulomi49694 жыл бұрын
Ulikua unaenda kuoa mlikua mmepima?
@msetyntorah8046 жыл бұрын
Hii ingetokea mikoani kwetu wangesema ni ushamba unasumbua,.... 😂😂😁😂
@hawababy45856 жыл бұрын
umeonaee
@tatut38896 жыл бұрын
Msety Ntorah 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mgeniali36374 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaa hajieliwe huyo bwana
@aminahamisi86726 жыл бұрын
Kali ya mwaka
@thresherjordan68294 жыл бұрын
Jamn ghana rahaaa 🤣🤣🤣naona uyooo mshadad n mpembaaa
@rechommbaga79106 жыл бұрын
Hahahaaa jamani acha nicheke maana hili tukio nijirani namda anahamisha vitu namuona khaa ila tulikuwa hatujui Kama kunandoa ila watu matapeli
@mjombamjomba18874 жыл бұрын
Mungu atamlipia tu madogo tu hayoo
@avax57176 жыл бұрын
Utatoaje mahali hujamwona hata mke mwenyewe. We nawe unamatatizo.
@jennifermdabi37164 жыл бұрын
Siwezi kuamini kama mtu anaweza kuoa kwa style hii, utawezaze kulipa mahalil kabla ya kukutana na mwanamke, SASA wewe huna taste, unaingia kit tendon mkubwa maisha na mtu ambaye hujawahi kukutendea mate hata humjui anaonekanaje, jamani acheni mambo ya ajabu
@loner_wolf3 жыл бұрын
HAINA KUTEST MITAMBO....? Hili domo zege litakuwa.... Walilipanga wakijua litaingia tu kwenye box
@niachiemahehee25234 жыл бұрын
Eemungu 2020 uishe tu umeleta vioja vingi duniani
@beatricemapunda25196 жыл бұрын
Ukome kabisaaa MAANA huna akili unakurupuka tu.
@strongwoman97305 жыл бұрын
Mmh makubwa😅😅😅
@سعودهرمضان6 жыл бұрын
😂😂😂kayatak atoendajee nyumba au kuoa ck yandoa tuu alafu nimeoa shogaa hy ilikuwa zaman uaminif ulikuwep sahv mmh hatar jmn
@naymahh35045 жыл бұрын
Hahaha nimecheka mpaka basi sas ukikuta mwenzako nimu adhirika je mtu hatujawahi kuonana eti tukutane siku ya harusi
ukimwiiiiiiii MTU ujamwona umjui hamjapima kweliiiii
@munilahamisi78696 жыл бұрын
Chizi kweli ww kaka
@mamaketumu41546 жыл бұрын
pole sana kaka kwa asara kwani kupotea njia ndio kujua njia
@patrishadickson33655 жыл бұрын
kifaa cha laki na nusu hahahahaa
@rukaiyaadinan81326 жыл бұрын
Mimi nauliza kwani huyo bwana harusi hana wazazi
@dorsandollah33845 жыл бұрын
Ila waislamu mbona mnarisk maisha yenu hivi, mnapenda kuzoa zoa tuu wake, mnaoa hata kupima afya jaman.
@anithaedwin72386 жыл бұрын
Boys hyu
@maureenmuhonja7226 жыл бұрын
tafashi, vry sad
@marygaspary1995 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎩 😁 👕👍Great! 👖
@everjohn11364 жыл бұрын
Kweli wewe mang'anya
@jamilamgasa90216 жыл бұрын
unaumwa akili hivi kuna kuoa kwa staili hiyo binti humjui ukoo wake huujui wakati dini inasema chunguza kwanza ukoo we kaka fala utafungaje ndoa na mtu ambaye humjui hujapima hata ukimwi acha ushamba
@maureenmuhonja7226 жыл бұрын
😅😅😅😅makubwa haya
@zaituniyusuphjuma4156 жыл бұрын
Hivi nyie naukimwi huu unaoaje kabla hamjapima mtaoa hatamajini haya atakuijia ramadhan
@saidaali93796 жыл бұрын
Zaituniyusuph Juma anacheza huyu kaka
@mamysadaalihinai89385 жыл бұрын
Huyu kaka mjinga tu baba zima lipumbazwe na lipumbazike
@aishachambo32936 жыл бұрын
Kaka mwehu uyo
@mankamushi45882 жыл бұрын
Huyu amelogwa
@joharjohn50955 жыл бұрын
Duh hatari nimecheka sana
@janewadelanga56536 жыл бұрын
Na ukimwi wote huu MTU humjui
@oman35276 жыл бұрын
Huyo mjinga tena mbumbavuuuu
@damarisedna5326 жыл бұрын
Karongwa
@rozeeroz25156 жыл бұрын
Mapenzi yamutanbao sio kabisa
@nihalimohamed18756 жыл бұрын
Nimecheka atal
@نصرىعبدالله-ع2ك6 жыл бұрын
Dunia imeisha
@domtella35076 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Bintimrembo-y1v5 жыл бұрын
Ulioa jini
@mjukuumaiige85595 жыл бұрын
Kama mambo ya fb
@bintiiddy70436 жыл бұрын
Duh pole kaka
@marryfrizba59376 жыл бұрын
arafa iddy huyo.nae
@marryfrizba59376 жыл бұрын
Duuuu
@lissamsalu21796 жыл бұрын
Ndoukome elimu inafaida
@happyarooun60376 жыл бұрын
toba
@tumainpeter38055 жыл бұрын
Mang'anyuuuuuuuuu
@jocelyneniyonzima65995 жыл бұрын
Haaaaa yani dunia inavituko yani hii ni kali
@janewadelanga56536 жыл бұрын
Si wakumuonea huruma kayataka
@nahdamohd29656 жыл бұрын
kama ana ukimwi je hamjapima
@mamatuishi-mamatuondoke88226 жыл бұрын
Watu hatuna hata hofu ya MUNGU
@ayshamahariq81266 жыл бұрын
Hiiii kali
@saidaali93796 жыл бұрын
GH cat fish hiyo
@nayigaagnes7466 жыл бұрын
Uyo mukaka ni mwehu unaowaga je mtu humujuwi
@shanisaidy50336 жыл бұрын
😂😂😂
@hawababy45856 жыл бұрын
Mambo mengine mnajitakia jamani
@mamatuishi-mamatuondoke88226 жыл бұрын
Haram
@tatunaally15106 жыл бұрын
Uyu mtu wa yanga anamatatizo
@witnessmollel21696 жыл бұрын
TATUNA Ally 😂😂😂😂😂
@tatunaally15106 жыл бұрын
Witness Mollel jaman kweli uongee na mwanamke adi upeleke mahari bila kumuona kweli ata km katafutiwa