CASSIN ACHUKIZWA NA WAIMBAJI WANA TANGAZA USHOGA

  Рет қаралды 13,049

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

9 ай бұрын

#0766998994 #call0688199370 #call0688199370 #0688199370 #

Пікірлер: 114
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 9 ай бұрын
Eeh ysu tuhurumieeee!!!! Tumekosa sana!! Mmhhh! Tusamehe waimbaji, katika wingi wa ghadhabu yako kumbuka rehema
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 9 ай бұрын
Ni kweli mama tunahitaji rehema ila lazima tuchukue hatua za kutubu na kuiacha dhambi
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 9 ай бұрын
BWANA AKUKUMBATIE MTUMISHI NINA IMANI UPO DUNIANI ILI KUWA KIELELEZO KIZAZI HIKI KINA KUTEGEMEA SANA MAANA USHA ACHA ALAMA MYOYONI MWA WENG NA KUOMBEA
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 9 ай бұрын
BWANA AKUKUMBATIE MTUMISHI NINA IMANI UPO DUNIANI ILI KUWA KIELELEZO KIZAZI HIKI KINA KUTEGEMEA SANA MAANA USHA ACHA ALAMA MYOYONI MWA WENG NA KUOMBEA
@esterpeter8556
@esterpeter8556 9 ай бұрын
Mama nawewe sikuizi kuvaa kwako mmmmmh!
@simonmdune9066
@simonmdune9066 9 ай бұрын
​@@esterpeter8556😂😂WWE unatabu aky
@ngugimundia6306
@ngugimundia6306 9 ай бұрын
Tumbua...mtumishi hawa ni wasanii si watumishi...kemea kabisaaa...kutoka kenya 🇰🇪 tunasema ubarikiwe!
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 9 ай бұрын
Wachungaji wengi kenya wako biashara
@furahag3098
@furahag3098 9 ай бұрын
Kweli kabisa mtumishi tunakubaliana na wewe mmi ni mkenya umefanya vizuri eka wazi Amen mungu akulinde azidi kukupa ufunuo huo god bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 9 ай бұрын
Aki bahati na willy paul wamezidi kuaribu kizazi hawa watu wawili wangefanya vijana waokoke but😢😢😢😢😢
@dorcasasia2819
@dorcasasia2819 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi kweli mtupu hii ni sodoma na gomora ee BWANA YESU tusaidie na utuokoe
@gahungubertin1214
@gahungubertin1214 9 ай бұрын
Ni wengi sana kenya baba, wakina madame twendi twendi(2020), tena uzinifu unapita kipimo kenya, iwe kwa wa kristo ao kwa wapagani hakuna utofauti...Mungu aturehemu kweli
@estermalembwamalembwa1936
@estermalembwamalembwa1936 8 ай бұрын
Mtumishi cassiani ubarikiwe kwa ujasiri ulionao kama Simba ukiunguruma na kusema ukweli bila kuogopa kitu chochote mtandaoni oohaleluya umenifurahisha sana
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 9 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu kemea kwa nguvu zote maana ukikaa kimya kama hao wengine utatoa hesabu mbele zake! Kumbuka Hata hapa Nchini walitokea,mfano: mfalme Zumaridi lkn si kwa sura ya ushoga...
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 9 ай бұрын
Kaka cassian, biblia inasema tutawatambua kwa matendo yao hao ni maagent wa ibirisi 100%.
@BerylSeer1
@BerylSeer1 9 ай бұрын
Arambwe, Mungu Mkuu amhurumie, pastor mimi ni mtumishi Mungu Mkuu anasema Kenya 🇰🇪 itaanguka kwa janga
@yohanamp-ec7im
@yohanamp-ec7im 8 ай бұрын
Hakika tunge kuwa na watumishi wengi wanao tumiwa na mungu kama pascal na amin maelfu wangebadilika lakin injil za saiz watu weng wanahitaji kubembelezwa na kutabiliana jinsi kua matajil. Ndugu zangu lazma tujue yesu amekalbia saaana kulud. Mungu tujaze nguvu tusikose kweny unyakuo.
@SarahMauka-ii1gd
@SarahMauka-ii1gd 9 ай бұрын
Mungu wangu
@benjaminmahega
@benjaminmahega 9 ай бұрын
Mungu tusamehe watoto wako tumekosea sana waimbaji tumesahau nafasi yetu
@user-ii1qk9xn9z
@user-ii1qk9xn9z 9 ай бұрын
Umebarikiwa kuwaliko wote mtumishi... uko na upondo wa ajabu kwa wote... maana bila upendo huwezi kuwaonya na kurekebisha kizazi hiki kilichopotoka. Wachungaji wengi kenya wapo tu kwa sababu ya faida zao. Mungu msaidie mtumishi kuona kila mtu kupitia macho yako. Na uwasaidie kukuona kwa mtumishi wako eeh Bwana. Naomba Amani, furaha, upendo na subira vitaongoza. Kwamba wema utakuwa masahaba; uaminifu huo utakuwa kauli mbiu, na upole vikaonekane kwa wote.... Mungu awe pamoja nawe mtumishi.
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 9 ай бұрын
Aaamen amen
@BintiMwambapa-ev6kw
@BintiMwambapa-ev6kw 9 ай бұрын
Bwana YESU azidi kukutunza mtumishi
@user-ro1tg1zn2j
@user-ro1tg1zn2j 9 ай бұрын
Ee Mungu turehemu Wana wako tusikengeuke na kuifuata mambo ya dunia hii 😢😢
@LameckLameckmjwanga
@LameckLameckmjwanga 9 ай бұрын
Kabisa nidhahilikabisa hakunajambo litakalositilika ambalo halitafunuliwa amina mtumishi
@davidwambura5915
@davidwambura5915 9 ай бұрын
Sio Bahati tu hata Guardian Angel.
@Crabtree1844
@Crabtree1844 9 ай бұрын
Eti kuna mwingine aitwa 'Guardian Angel?' Ndoto kutoka shetani.
@BerylSeer1
@BerylSeer1 9 ай бұрын
Huyo ni guardian angel na pia willy Paul
@Crabtree1844
@Crabtree1844 9 ай бұрын
Nena kwa sauti kuu, Mtumishi. Mungu ainuliwe na tabia nzuri. Asante
@sarahkishaluli6087
@sarahkishaluli6087 9 ай бұрын
MUNGU wa rehema aturehemu,ni kweli huwezi kumtambua mtu kama hana cash, na pia huwezi kumtambua mtu mpaka awe katikati ya wengine, ni kwamba wengi tunajidangaya eti Mungu haangalii nje kwa kuwa eti mwili wa nje unabadilika yaani sisi wanadamu ni wapumbavu kama YESU KRISTO alivyowaambia mafarisayo (Luka 11:40) alisema "Enyi wapumbavu; aliyevifanya vya nje,siye yeye aliyevifanya vya ndani pia?", tuache ujinga mwili huu tuliopewa si wetu ni hekalu la Roho Mtakatifu anaishi ndani yetu( 1Wakorintho 6:19) "Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe;
@addamsuleiman8667
@addamsuleiman8667 9 ай бұрын
Amina
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 9 ай бұрын
❤❤amen
@TuaircachimoNantola-po7oo
@TuaircachimoNantola-po7oo 9 ай бұрын
Amina
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 9 ай бұрын
Sema kweli maana watu wamechanganyikiwa shetani amewateka watu kwa fedha na kufanya watu wamuasi Mungu,Ee Mungu tusaidie
@ClovisMushagalusa-b7v
@ClovisMushagalusa-b7v Ай бұрын
Asante kwamafundisho mungu azindikutiya. nguvu
@diana56-lorient
@diana56-lorient 9 ай бұрын
Asanti sana mungu, ubarikiwa sana MTUMISHI 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 ❤❤
@Crabtree1844
@Crabtree1844 9 ай бұрын
Umesema ukweli mtupu kuhusu wanaojiita wachungaji nchini Kenya. Wao ni kundi la walimwengu, wanaojihusisha na uchawi, wake wengi, na wanavaa kama wale waliopagawa na mapepo. Jambo la kusikitisha zaidi ni kwamba washarika wanawaruhusu kuwawekea mikono. Huwezi kupata mchungaji kama Yohana Mbatizaji ambaye alimwambia Herode ukweli kuhusu uhusiano wake na Herodia.
@joannekesa1835
@joannekesa1835 9 ай бұрын
Amen amen mtumishi wa MUNGU 🇰🇪
@michaeljm-dz7nh
@michaeljm-dz7nh 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji 🙏
@agnestunu5527
@agnestunu5527 9 ай бұрын
Sio kenya tu dunia nzima,inafanya matukio ya ajabu sana Mungu turehem
@joannekesa1835
@joannekesa1835 9 ай бұрын
MUNGU aturehemu na atuongoze amen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU 🇰🇪
@judithnakoli
@judithnakoli 9 ай бұрын
Kwa sababu ya mahubiri potovu watu wamepokea wokovu feki, Roho Mtakatifu anapokaa ndani yako hawezi kukuongoza kuvaa jaini, rastafara, kanisani, hao wanamatatizo na Mungu.usiano wao sio Muzuri
@TuaircachimoNantola-po7oo
@TuaircachimoNantola-po7oo 9 ай бұрын
Asante mungu anisaidie nimalize salama safari ya kwenda kwake, nikiwa Moçambique nayapenda sana mafundisho ya bwana.❤
@salesianamlowe1751
@salesianamlowe1751 9 ай бұрын
Mungu atuhulumie
@johnngana7207
@johnngana7207 8 ай бұрын
Amen
@samisaya9819
@samisaya9819 9 ай бұрын
Amina Mtumishii wa Bwanaa
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 9 ай бұрын
Mungu atusaidie, pekeyetu hatuwezi,hivyo barikiwa sana baba
@elizabethnzula6704
@elizabethnzula6704 9 ай бұрын
Kweli kabisa hawaeleweki wanaenda wapi ama wanamtumikia nani
@ABIGAIL67-tria
@ABIGAIL67-tria 2 ай бұрын
Waaambie mtumishi,,sisi wakenya tukisema tunaambiwa tuna wivu na mafanikio ya wengingi.🥲💔
@estherwairimu8760
@estherwairimu8760 9 ай бұрын
Imagine afadhari wache kuwazia na nyimbo injili waazie nanyimbo za dunia because wanalihaibisha kanisa la mungu
@rogersjoseph7363
@rogersjoseph7363 8 ай бұрын
Waimbaji wengi wamegeuka na kuwa vibaraka vya kuzimu badilika mala moja yesu anarudi yeye ajaye anakuja wala hatakawia
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 8 ай бұрын
Yani Mimi nilinyoa nywele zangu jamani nilikuwa mbishi Mungu hataki nisuke nilivyolazimisha hahaha nikisuka nasukwa hovyoo napoteza pesa yangu aah nikaamua kutii na kunyoa nikaacha kupaka mavipodozi malipstik nikaacha Bwana Yesu kanitengeneza nilikuwa siwezi kuacha ahsante Yesu, vipodozi, mavazi ya hovyo na kusuka huendi mbinguni mwanamke.
@neemamsanga253
@neemamsanga253 19 күн бұрын
àmina 🙏
@lilymwashumbe4890
@lilymwashumbe4890 7 ай бұрын
Mungu akubariki tunaendelea kutubu ili Mungu aturehemu
@maryandason1815
@maryandason1815 8 ай бұрын
Amen blessed❤
@OyengelaMariam-wk6qm
@OyengelaMariam-wk6qm 9 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 mtumishi Mungu aturehemu
@lawmaina78
@lawmaina78 8 ай бұрын
Shukrani sana nduguye.
@ElizabethMuia-ro9yh
@ElizabethMuia-ro9yh Ай бұрын
Bahati agemuoa mwanamke mucha mungu,ata wa waleo agekuwa ana mtukuza Mungu but akapatana na mpeda rahaha
@akothchristine4752
@akothchristine4752 9 ай бұрын
You are right God bless you so much
@erickrao
@erickrao 8 ай бұрын
Amen 🙏 man of God 🇰🇪 asante napenda ukweli wako
@faridashabanifaridashabani5950
@faridashabanifaridashabani5950 9 ай бұрын
Amina sana baba Mungu atuongoze sana
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 9 ай бұрын
Hao ni wana wa giza, alama ya Mungu iliwatoka.
@annijulius4953
@annijulius4953 9 ай бұрын
Mkristo utafugaje nywele kama mwehu kwanini ku act kama mad person wakati uko mzima? Kuna Nguvu chafu inawasukuma wa chane hiyo style.
@IsayaBienvenu
@IsayaBienvenu 9 ай бұрын
Good
@gracegasper6694
@gracegasper6694 9 ай бұрын
Amina!
@joramndirangu2263
@joramndirangu2263 9 ай бұрын
No pastor here in Kenya can say that .washirika watakimbia
@user-qf9uj2oc1b
@user-qf9uj2oc1b 9 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu 🙏
@selinageogre2881
@selinageogre2881 9 ай бұрын
Mungu aturehemu sana ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@cristinarashid1245
@cristinarashid1245 9 ай бұрын
Ameen
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana paschal.
@laickwilinerd5375
@laickwilinerd5375 9 ай бұрын
Piga kelele usiache pazasautiyako kama tarmbeta uwambie watu wangu kosalao 🙏🙏
@estonmnthali3719
@estonmnthali3719 9 ай бұрын
Amen 🙏
@JedidaNdutuu-ys3lx
@JedidaNdutuu-ys3lx 4 ай бұрын
Tuombeeni sisi, ushonga umejaa nchini Kenya,
@doricemrema2177
@doricemrema2177 9 ай бұрын
Eee MUNGU mwenye rehema uturehemu,,,utupe moyo wa kupondeka na kunyenyekea MBELE zako BWANA YESU KRISTO,,,,weka hofu na woga ndani yetu tukuogope wewe zaid kuliko kuwaogopa wanadamu,,,,tukimbie dhambi,,na tukukimbilie wewe YESU KRISTO TUBADILIKE KATIKA ROHO,,NA KATIKA MWILI PIA.
@AyubuFumbi
@AyubuFumbi 8 ай бұрын
Kaa jamani sema
@margretchipkwemoi8297
@margretchipkwemoi8297 8 ай бұрын
Asante mtumishi ume gonga ntipo mungu akuinue 😭🖐️
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 8 ай бұрын
Wala sisikii gospel ya Kenya maana hakuna
@BoscoMbungu
@BoscoMbungu 9 ай бұрын
Kwakweli unatufunulia mengi, ubarikiwe baba Casiani
@user-dc8xl3ti2d
@user-dc8xl3ti2d 9 ай бұрын
Huyu Mungu aturehemu sana maana tunasikia lkn ni kama hatusikii au kuona jaman jaman 🙆🙆🙆🙆🤷🤷🤷🤷🤷🤷🙌🙌🙌🙌🙌
@bonfaslazaro2289
@bonfaslazaro2289 9 ай бұрын
Sema Baba tunakuombea
@Nani-ww8yg
@Nani-ww8yg 9 ай бұрын
T Aman of God you are saying bitter truth Expose them they are many hiding like guardian angel namushangaa huyo mwanaume hadi anatapoa masikio end times
@user-rj2sh1hg4f
@user-rj2sh1hg4f 2 ай бұрын
Mchungaji nimekubaliana na wewe unasema kweli kabisa linet Mimi ni mkenya siezi tetea dhambi
@geoffreyembasa8483
@geoffreyembasa8483 6 ай бұрын
Samson,John the baptist wore dreadlocks. Everyone in Nazareth,all Nazarenes like Jesus wore dreadlocks. Waafrika tembeeni mataifa mengi muone na kujua mengi
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 8 ай бұрын
Diana shes not good wife for bahati
@elmasroj9712
@elmasroj9712 9 ай бұрын
Eeeh Bwana katika wingi wa gadhabu yako kumbuka rehema
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 8 ай бұрын
Umesema kweli kabisa Kenya waimbaji hamna MUNGU atuokoe
@AlfredMilinga
@AlfredMilinga 8 ай бұрын
Ubalikiwe.onya kalipia kemea dhambi kabisa
@geoffreyembasa8483
@geoffreyembasa8483 6 ай бұрын
Bahati alivalishwa marinda 😅😅
@user-qq8bk8iv7l
@user-qq8bk8iv7l 3 ай бұрын
Hiyo ni ukweli kabisa
@daudilangat6123
@daudilangat6123 7 ай бұрын
Pastor kale kajamaa kanaitwa bahadi ni kaajendi kaa shetani kaambie ukweli
@estherwairimu8760
@estherwairimu8760 9 ай бұрын
Nikweli kabisa amepotoka kabisa
@farajafleva
@farajafleva 9 ай бұрын
Waimbaji wengi wanaodai kuwa kwa yesu hawapo naye tena
@carolinederi5690
@carolinederi5690 8 ай бұрын
By the way tusiangalie waimbaji tu though ni role model ila kila mtu atabeba msalaba wake so tujiengalie pia
@brighterantony8707
@brighterantony8707 9 ай бұрын
Ee Mungu tunusuru tumekosa tusamehe kumbuka rehema
@faridashabanifaridashabani5950
@faridashabanifaridashabani5950 9 ай бұрын
EeeMungu nisaidie nimalize huu mwendo salama😢🙏🙏🧎🧎
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 8 ай бұрын
Bahati alikuwa amesimama hadi pale Hawa alipopindua maandiko kule Bustani akampa tunda😂my Kenya land sihami😂Ila SIO KENYA TUUU NI DUNIA YOTE
@Dukeswanya-vm7cb
@Dukeswanya-vm7cb 9 ай бұрын
Cassian, ni ukweli mtupu unasema. Kwa mfano humu Kenya kuanzia Disemba watoto watakaozaliwa wataanza kupandikiziwa Micro-chip
@lucywilson5875
@lucywilson5875 9 ай бұрын
Mungu wangu!!!!!!!!!!!
@carolinederi5690
@carolinederi5690 8 ай бұрын
It will not happen in Jesus name we demolished every evil plan upon our country
@user-cd9dx6sm4j
@user-cd9dx6sm4j 8 ай бұрын
Amen
@joannekesa1835
@joannekesa1835 9 ай бұрын
N ukweli kabisa mtumishi wa MUNGU 🇰🇪
ONYO KWA WAKENYA MUOGOPEN HUYU PASTAR NGAN'GA SHETANI ANAMTUMIA EV PASCHAL CASSIN
41:46
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 17 М.
KUENI MAKINI NA HUYU WAKARA WA SHETANI ANAPOTOSHA WENGIEV PASCHAL CASSIAN
33:14
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 27 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
HUYU NDIE MUNGU WAKILA SHABIKI WAMPILA DUNIANI EV PASCHAL
1:06:57
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 10 М.
TAREHE NA SIKU YA KU UWAWA KWA CASSIAN  HADHALANI EV PASCHAL CASSIN
55:39
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 13 М.
KILICHO NYUMA YA WASAFI TV CHA FUNULIWA KAFARA WATAZAMAJI  EV PASCHAL CASSIAN
40:25
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 20 М.
HATIMAE MTU ALIE MPA SUM MAKOMDA CASSIAN AELEZA KWA UCHUNGU NA MACHOZI
45:10
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 59 М.
MILANGO YA KUINGILIA MAPEPO MAJINI MSHETANI EV  PASCHAL CASSIAN
16:00
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 105 М.
USIJE KUOWA MKE ASIE WA IMANI YAKO KIFO KITAKUKUTA EV PASCHAL CASSIAN
49:07
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 3,3 М.
ROHO WAKUZIM ANAE WA ONGOZA DUNIANI. PESA ZA MASHETANI. MAJINI  EV PASCHAL CASSIAN
54:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 55 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН