Poleni makamanda hii ni shida poleni mungu amlinde sana
@AbdulhaamisSoud3 күн бұрын
Haya asubiri kupotezwa ss mungu amuhifadhi
@StephenMpallange4 күн бұрын
Mahakama Sasa zinafanya Kama enzi za Magufuli kwa faini za kukomoa wapinzani.Lakini Mahakama inajidhalilisha katika medani ya kimataifa.
@exaverysimon10643 күн бұрын
ILA MSIJE MKAWA MMEMTOA AF BADAE MUMPOTEZE AF MSEME M POLICE 😢😢😢 TUNAJIA HUYU MNATAKA KUMTUMIA KISIASA KWAN KUNAWATU WANGAP WAKO JERA WANAHITAJ DHAMANA NA HAWAJATOLEWA😢😢😢
@denisipaulo77854 күн бұрын
Sasa alindwe mana utasikia yale ya chaura
@JosiaMsechu4 күн бұрын
Wapinzani wanatafsirika kama maadui
@RehemaMbilinyi-i2e3 күн бұрын
Uwe makini maana usije ukatekwa SI unajua
@ceciliamagalabajimmy43914 күн бұрын
Mtaji wa kampni.😢😢😢
@AyubuChacha-u6u3 күн бұрын
Chadema nyie mnatafuta pesa mnawapa ccm kwaajili ya kufanya kampen lengu la ccm ni kuwafilisi tu maana wanakusanya pesa za kuhonga watu ila muwe macho wasimpoteze tena mungu amsaidie atakuja kuwa kiongoz mkubwa sana.