Рет қаралды 2,371
Ni kipindi cha Al Jawaabul Kaafy {Jawabu lenye kutosheleza} kinachoruka hewani Mubarashara kupitia Channel yetu ya KZbin na Radio Ihsaan Fm, 102.1 Kila siku ya Jumatano kuanzia saa 03:30 usiku hadi saa 05:00 usiku.
Namba za kuuliza maswali ni +255 773 277 444