CHEKECHE | China na Urusi wana ajenda gani kwa Dunia?

  Рет қаралды 12,336

UTV Tanzania

UTV Tanzania

Күн бұрын

Imekuwa ni ziara yenye gumzo baada ya Rais wa Urusi, Vladmir Putin kuzuru China kwa siku mbili na kuteta na mwenyeji wake Rais Xi Jinping mjini Beijing.
Ajenda kubwa ambayo wameiweka hadharani baada ya kukutana kwao ni suala la vita vinavyoendelea nchini Ukraine kwa zaidi ya miaka miwili sasa huku wakisema mgogoro huo unahitaji suluhisho la kisiasa.
Lakini inafahamika kuwa wamekuwa na mazungumzo juu ya uhusiano wao wanaosema unazidi kuimarika na watauendeleza.
Katika uchambuzi huu tutaangalia ajenda za mataifa haya mawili na je zina maana gani kwao, kwa mahasimu ama washindani wao wa mataifa ya Magharibi na Dunia kwa ujumla wake?

Пікірлер: 34
@DodomaTanzania-r5z
@DodomaTanzania-r5z 4 ай бұрын
Mwenyezi mungu awabariki urusi maana tumechoshwa na nchi za magharibi hata aibu hawana kweli rais wetu anapokelewa na viongozi wa Tanzania akiwa ugenini nchi ufaransa...je kama sio dharau ni kitu gan
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 4 ай бұрын
Mkome kujipendekeza kisa viongozo wa kiafrika wanaenda kuficha hela na rasmali nakujenga ulaya wazungu lazima wakudharau wanajuwa hii ngozi nyeusi haijithamini wao wakuthamini vipi?
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 4 ай бұрын
Alipoenda china airport alipokelewa na nani? Kwasababu ziara ya Samia ufaransa haikua ya serikali na serikali Bali ni ziara ya agenda iliyokutanisha viongozi na wadau
@khalidmhina67
@khalidmhina67 3 ай бұрын
Acha kutetea Agenda Rais anapostaaf ndio anatembea popote anapokua Rais hata msibani anaingia kama rais
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 ай бұрын
Waka mzike ebraim rais
@SaidyMwajeka-tr7oj
@SaidyMwajeka-tr7oj 4 ай бұрын
Huyu mchambuz smart anajibu kwa utulivu
@danstanirubazibwa2494
@danstanirubazibwa2494 4 ай бұрын
Mwandishi wa habari upo na akili nyingi naweza kufananisha na Tucker Carlson
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 4 ай бұрын
Mashabiki wenu tunawafutilia sana
@mohamedally121
@mohamedally121 4 ай бұрын
Huyu jamaa anajua anachokiongea,yuko vizuri sanaaa
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 4 ай бұрын
Ajenda yetu tunaingia fezi ya 2 kati yetu na china
@HalfanMaulid
@HalfanMaulid 4 ай бұрын
❤🎉😂mpo vizuuri
@yusufmsilapo3486
@yusufmsilapo3486 4 ай бұрын
Prof.yuko vizuri
@ManyaSumaili
@ManyaSumaili 4 ай бұрын
Uyu muchambuzi sirafiki wa marekani nirafiki wa urusi
@sayokahwege2520
@sayokahwege2520 4 ай бұрын
Vizuri sanaa
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 4 ай бұрын
Mupo bora saana kwa taharifa zenu za uchambuzi
@noahlameck1564
@noahlameck1564 4 ай бұрын
Imesha ipita marekani mkuu ni suala la muda tu
@Lx-fd1tp
@Lx-fd1tp 4 ай бұрын
nakubali
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 4 ай бұрын
Uchambuzi wamaana kabisa
@KabenyaMafugu
@KabenyaMafugu 4 ай бұрын
Kaka mutafute sabiti kwenye uchabuz happy anafaa
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 4 ай бұрын
MFAA KWENUE MAJI HAKOSI KTAPATAPA. HAO WALALAMIKAO SASA WANAKUFA . NA KINACHOWAUWA NI UWONGOWAAO UDHWAALIMIWAO NA WIZIWAO NA UTAPELI WAO NA USHENZIWAO.
@Hija.F.A
@Hija.F.A 4 ай бұрын
nic yuo
@Africaamkenitznawenuso
@Africaamkenitznawenuso 4 ай бұрын
Vzr mtangazani na mchambuzi mmetulia ssanten
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 ай бұрын
✌️👊👍.
@kimbwapulekig8126
@kimbwapulekig8126 4 ай бұрын
mungu awape umli mrefu putin na xi mutimize malengo yenu
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 4 ай бұрын
China tangu mwanzo mwavita alisema kwanza mazungu muzo.mazowezi,kununua bidhaa baadae.
@AjudeKaluwa-bp1zz
@AjudeKaluwa-bp1zz 4 ай бұрын
Kwanini lisiangizwe kombola la kuimaliza marekani yote
@ManyaSumaili
@ManyaSumaili 4 ай бұрын
Wewe auijuwi marekani vizuri urusi anaijuwa marekani kuliko wewe asubutu aone gisi atapigwa nakuuwisha. Raina yake yote
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 ай бұрын
Kiboko ya mashoga,shenzi wamagharibi na haki zao za binadamu eti LGBT+,kama wanasagana na kufirana wao wasiwalazimishe nchi nyengine tukubali upumbavu wao.Sema kuna viongozi maboya hayaelewi yapo yapo tu kila kitu ndiyo kisa misaada yao.
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 ай бұрын
Wajinga wote waende msiban
@HalfanMaulid
@HalfanMaulid 4 ай бұрын
❤🎉😂mpo vizuuri
@ManyaSumaili
@ManyaSumaili 4 ай бұрын
Uyu muchambuzi sirafiki wa marekani nirafiki wa urusi
Is Xi Jinping’s China on a path to war? Mehdi Hasan & Victor Gao | Head to Head
47:26
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,1 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 91 МЛН
MAONI: Yapi ni malengo ya Putin nchini Ukraine?
41:04
DW Kiswahili
Рет қаралды 10 М.
Nigeria Billionaire Dangote on Fuel Subsidy, Oil Prices, Football
26:00
Bloomberg Television
Рет қаралды 185 М.
This is How Sanctions Changed Russia's Car Market
27:28
Real Reporter
Рет қаралды 1,2 МЛН
John Mearsheimer and Jeffrey Sachs | All-In Summit 2024
54:05
All-In Podcast
Рет қаралды 1,3 МЛН
Hezbollah's Nasrallah in 'Precarious Situation'
4:06
CBN News
Рет қаралды 125 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17