chid benz ageuka mbogo kisa Nabii Mkuu Geo devie/ Kanisa lina Security kama Club

  Рет қаралды 30,011

Mnazi Tv

Mnazi Tv

6 ай бұрын

Пікірлер: 56
@elgringo8592
@elgringo8592 6 ай бұрын
Kule sio kanisani chid ni kiosk kile ama kilinge cha giodev
@jeffhard5773
@jeffhard5773 6 ай бұрын
Chid benzii wewe sio mbwaa wewe Ni umbwaaa! Ng'ata wote wasio jua namna ya ku interview
@amaniyona3134
@amaniyona3134 6 ай бұрын
Tatizo waandishi wa habali mnaferi Sana unaniuliza mswali gani hyo yauchonganishi shenzi wewe😊
@erickngatunga2359
@erickngatunga2359 6 ай бұрын
Huyu anatakiwa kujihoji mwenyewe
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 6 ай бұрын
Fala sana. Huyo Geodavie 2008 ana motorcade kama ya rais we unasema alikuwa hana pesa?!! Hili chizi benz mnalipa sana airtime linajifanya kama lina akili. Halina lolote. Linasaidia alafu bado lina jeuri. Makabila ya pwani yana shida sana.
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 6 ай бұрын
Haujaelewa, yule mchungaji mtoto wake aliyekufa ndiye aliyekuwa hivyo, yani hakuwa na kitu kipindi hicho Chidibenzi anatamba, na hata wao ndiyo waliomkaribisha kwenye ulimwengu wa mziki alipofika Dar. Chidi aliyaeleza hayo mbele ya baba yake pale kanisani.
@robartifabiani
@robartifabiani 6 ай бұрын
​@@rayisadesigns2646akili zake kisoda ni mlokole uyo
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 6 ай бұрын
Khhaaa chidi anamnyea mzee wa wangu
@user-xf1xq3ky2w
@user-xf1xq3ky2w 6 ай бұрын
1:03 📌📌📌📌📌📌📌📌 Vijana hatuna ubunifu
@ZuberSalum-mq4jy
@ZuberSalum-mq4jy 5 ай бұрын
Nyie waandaji habari au watangazaji jipangeni pindi mnapo fanya mahojiano na ujue mtu unaoe hojiana nae na muulize maswali ya msing sio kwa kufuata upepo wa story za mitandao icho kichwa kakosea ajawatukana 😢
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 6 ай бұрын
True kabisa hizi media siku hizi huwa hawana content wanapofanya mahojiano na watu maarufu zaidi ya kuongelea pesa na mahusiano ya watu. Yaani pesa imemeza kabisa uwezo wa kufikiri wa vijana hawana vitu vingine vya msingi vya kuhoji!
@user-xf1xq3ky2w
@user-xf1xq3ky2w 6 ай бұрын
Point kubwa
@giningionlineTv
@giningionlineTv 6 ай бұрын
Nabii analindwa na Mabaunsa kama Shetani Diamond na hata uombe kupeana mkono nae hakuna ruhusa mpaka atake mwenyewe, hii ni ishara kuwa hawa watu ni wahuni tu kama wahuni wengine wa mjini hakuna cha Unabii wala Utumishi wa Mungu ni wasaka tonge tu, Mtumishi wa Mungu ni viongozi wa dini ya haki katika uislamu hawana mabounsa kama hao na wala hawadhuriwi na yeyote coz hawaja mdhulumu mtu yeyote na wanaishi maisha ya
@user-hf7id2oi7g
@user-hf7id2oi7g 6 ай бұрын
Huyu siyo Fara mnavyo zani, Yuko sawa Sana na Nina muombea Kwa Kristo amurehem, ndioma kila siku uwa nasema Hawa watangazaji wetu uwa awajui kumuoji mtu......watangazaji jifunzeni mna aibusha ntasinia
@kwisa4899
@kwisa4899 6 ай бұрын
Watangazaji wengi shule hakuna
@smarty1064
@smarty1064 6 ай бұрын
@@kwisa4899 kuna shule na kuna uwezo wa kufikiria...naona kama vyote hakuna vile, ngoja nipite kushoto
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 6 ай бұрын
Chidi ni chiz kwann mnamlazimisha kuongelea masuala ya simba na Yanga??
@azp5199
@azp5199 6 ай бұрын
Wataka kila mtu aongea local pesa pesa ,mahusiano !..ukiongea more intelligent wanakuona kama unatumia kama madawa😅
@petercostakisoka
@petercostakisoka 6 ай бұрын
Daah kapewa kibunda alf ajarizika labda kaona ni ndogo kuliko alivo tegemea
@MM-pb7fw
@MM-pb7fw 6 ай бұрын
ni kweli mzee..jamaa alitegemea kupewa hata ndinga kama wengine🤣
@pulikisia7963
@pulikisia7963 6 ай бұрын
Khe!!😮
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 6 ай бұрын
Juzi mmemtetea akifanya Ile behind the scene hapo kanisani na nabii wenu kuhusu ngoma yao Leo tena mwamtukana, tuwaelewe vipi, enyi wafuga kunguru.
@josephandrew3444
@josephandrew3444 6 ай бұрын
Watangazaji wa hovyo kbs kwann amjamuhoji kuhusu marehemu Nisha alimjuavp, nyie wootee pesa pesa hivotuu jmn hovyo kbs!
@huseinaly5163
@huseinaly5163 6 ай бұрын
Shida ya vyombo vya habari siku hizi vipo kwaajili ya skendo tu na sio kingine
@demask3423
@demask3423 6 ай бұрын
Mnaoona mtangazaji kakosea kumuhoji mngepewa nyie nafasi ya kumhoji chid mngemhoji nini? Acheni kumpamba chid mavi mavi. Watangazaji hawajakosea popote sema tatizo ni hawa wasanii watumia madawa kama chidi wanapenda kujiona sana. Ndio maana hana ata kitu japo anajua kuimba chizi tu huyo
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 6 ай бұрын
kipofu au
@user-vh7qq1gx4k
@user-vh7qq1gx4k 6 ай бұрын
🎉
@barakae.n6418
@barakae.n6418 6 ай бұрын
Pesa mguu pesa mguu .... 😅 Ask vitu vya msingi
@salomonmo7866
@salomonmo7866 6 ай бұрын
😅
@gazzomaster9462
@gazzomaster9462 6 ай бұрын
Hahaaahaaa
@user-qz5yh1dl1n
@user-qz5yh1dl1n 6 ай бұрын
Mbona interview zenu vipande vipande aisee
@gadyetheboss8738
@gadyetheboss8738 6 ай бұрын
Ndo washapigwa za uso na chidbenz sasa wawezaje kuitoa full interview itabid wa stop tu
@NoelChambo
@NoelChambo 6 ай бұрын
Hiyo 2008 Geordevie alikuwa anakusanya Arusha nzima kisongo
@ZuberSalum-mq4jy
@ZuberSalum-mq4jy 5 ай бұрын
We unaongealea ukanisa
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 6 ай бұрын
Huyu kijana fala hata wanao muhoji nao wote nisawatu
@muhsiniamiri9310
@muhsiniamiri9310 6 ай бұрын
bra kam unaakil chid kwel anamapungif lkn kaongea point security wann kanisan wakat nisehem ya ibada yup M. MUNGU
@gadyetheboss8738
@gadyetheboss8738 6 ай бұрын
Sasa wew deo mamlaka yaoi yanakuruhusu kutukana? Au ndo shetan amekutawala sana
@bushbabytz
@bushbabytz 6 ай бұрын
we chidi acha ufala we kenge umeenda kuomba hela halafu unamyea alokupa hela..acha zako wewe kabla hujawa supasta huyo nabii alokupa hela alikuwa supastaa na hela kabla yako, acha bangi we kenge kuwa na shukrani, mimi sio shabiki wa huyo nabii ila uwe na shukrani hayo madawa yatakufanya mbaya mda sio mrefu, umefata hela ndio acha kubwajabwaja ba umepewa ndio maana ukaichimbia haraka mfukoni bila aibu😂
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 6 ай бұрын
Wewe Acha ujinga unamtetea muabudu shetani mkubwa jodev NI wakala wa kuzimu
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 6 ай бұрын
Ndomana anamabodigad
@bushbabytz
@bushbabytz 6 ай бұрын
ukisoma kwa makini utanielewa mimi nimesema sio shabiki wa huyo nabii freemason ila ninachosema Chidi anazingua awe na shukrani
@johnsosy3128
@johnsosy3128 6 ай бұрын
Chid ni legend sematu wa tz wengi Wana dharau wamefocus kwenye mapungufu yaketu ubora wake hamuuoni Tena wanafiki
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 6 ай бұрын
Duniani kuna nabii miaka hii?
@binseif2216
@binseif2216 6 ай бұрын
Mskitini hakuna bodyguard
@raymondmunis3553
@raymondmunis3553 6 ай бұрын
Uwatoe wapi
@josephandrew3444
@josephandrew3444 6 ай бұрын
Jmn alienda kutoa pole ya msibatuu babaake na marehemu akampa hela ya chakula shida nn hapo jmn!?
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 6 ай бұрын
Makanisani wanatumwa sana majambazi kuwadhuru watumishi km hujui fatilia. Na wanaotuma ni upande wapili kosa ni kupokea waumini wao, kama Bulldozer kaondoka na kijiji jamaa wana mind na ukiacha bodyguards msafara wake una polisi, yule sio mjinga kufanya hivyo keshaingia vita ya kiimani na uchumi, wengine wanaponda mafuta ya buku wao wanauza 4000 hiki nini sasa? Kwanini msiwe na amani km kipindi cha Yesu alokua akisali Synagogue ambayo ndio misikiti siku hizi. What went wrong? 😂😂Anyways peace!!
@salimkingu2108
@salimkingu2108 6 ай бұрын
Acha ufala wewe mwehu njaa kali nabii anayo hela kitambo sana
@nasibshabani7740
@nasibshabani7740 6 ай бұрын
Hujui lolote
@zmclassictv
@zmclassictv 6 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/paa8cpaQf9l8qs0si=wHHRICKdPl4swbdN Umeona hii duuuh
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
MSANII CHID BENZ KWA NABII MKUU - GeorDavie TV
3:19
GeorDavie TV
Рет қаралды 48 М.
MPAKA HOME: Cheki Anapoishi CHID BENZ, Afanya VITUKO, Amtaja DIAMOND!!
32:49
#MC_PILIPILI  AFIKA KUJITAMBULISHA KWA NABII MKUU - GeorDavie TV
8:15
Легендарный прыжок 😱
0:15
Story-Bytes
Рет қаралды 5 МЛН
🙀Неймар Изменили Правила Пенальти #shorts
0:23
Рамос неповторим 😂 #апл #лигачемпионов #футбол
0:40