CHONGOLO AHUSISHWA GHOROFA ILIYOBOMLEWA MBEZI BEACH/ WAZIRI ATAKIWA KULIPA BIL 20.570/AMEVUNJA SHERI

  Рет қаралды 37,132

JAMBO TV

JAMBO TV

4 ай бұрын

#JAMBOTV
CHONGOLO AHUSISHWA GHOROFA ILIYOBOMLEWA MBEZI BEACH/ WAZIRI ATAKIWA KULIPA BIL 20.570/AMEVUNJA SHERIA
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 197
@onesmartcars525
@onesmartcars525 4 ай бұрын
Wasubilie waziri mwingine huyu tunamwelewa kwa sasa,,, 😅😅
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 4 ай бұрын
Kumbe hati ya kumiliki hicho kiwanja imetolewa baada ya Nyumba kuvunjwa😮😮Nchi ngumu sana hii.
@danielmwandenga5369
@danielmwandenga5369 4 ай бұрын
Kupewa hati badae sio shida hata miak 50 unapewa kinachotangulia ni offer , unakuta matajiri wana gushi sana vitu hivi alafu wanapnda mahkm kesi inamuliwa ndo unafka mlangoni masikini wa watu , mahkam ndo kichaka cha matajiri
@WilfredKuyonza-jz2nj
@WilfredKuyonza-jz2nj 4 ай бұрын
Kumbe we ni mwanasheria aaah acha kutupotezea muda unatetea tonge lako kwendraaaaa
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 4 ай бұрын
Wakili Matata Mungu akufunike dhidi ya hujuma hizi za watawala,usiitwe mchochezi,kupewa kesi,na baadae watuambie umetekwa na watu wasiojulikana kisa umesimamia haki,Mungu akulinde dhidi ya yote Amina.
@user-ks7bs8yk3p
@user-ks7bs8yk3p 4 ай бұрын
Umeeleweka brother
@markmwakipesile3062
@markmwakipesile3062 4 ай бұрын
Acheni Kujitetea Wanao ones wengine ,acheni Sheria ifuate mkondo wake,,Harafu JAMBO TV Acheni ubabaishaji kicha kimemtaja chongolo ,,maelezo yako tofauti
@LumolaSteven
@LumolaSteven 4 ай бұрын
Waziri hata kama angesikiliza pande zote 2 bado hana mamlaka ya kuamrisha nyumba ivunjwe. Hii ni nchi ya hovyo sana
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 4 ай бұрын
Waziri alikulupuka ndio sehemu zingine waziri anafanya kazi vizuri hapoa kwenye kuvunja nyumba kaka silaa kakosea uongo zambi
@joshuamollel6993
@joshuamollel6993 4 ай бұрын
Dr SLAa piga kazi mawakili tuko hapa 😂
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 4 ай бұрын
Hapo kuna kukomoana, maana haikutumika busara hata kidogo kubomoa nyumba ya mabilion kwa ajili ya kiwanja iliotokea miss communication wangekaa chini na waziri lakini umesikilizwa upande mmoja na hukumu ikatolewa hii ndio bongo kila mtu selikalii ni hakimu
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 4 ай бұрын
Apana atuangalii gorofa tunaa galia haki za watu kwakuwa n gorofa ndo ujenge viwanja vya watu kile kiwanja kingekuwa chakwako ww ungesema ivyo ? Nyoka weh
@egnomsigwa8418
@egnomsigwa8418 4 ай бұрын
Hapa waziri kavunja sheria mwenye makosa niselikali yenyewe kwa nini iuze kiwanja cha mtu mwingine pili kwa nn waziri hakusikiliza upande wa pili ili ajiridhishe
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 4 ай бұрын
Yani imeniuma sanaaa wangefanya hata utaratibu mwingine wamlipe hata kiwanja kingine sidhani kama ingeshindikana.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 4 ай бұрын
Tunaimani na waziri kwa 10000000 percent
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 4 ай бұрын
SIYO KUWEKA KITU KIMOJA WAKILI WEWE WEKA HATI MEZANI MANENO MENGI HAYANA TIJA
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 4 ай бұрын
Wewe na mteja wako wote wezi,mezoea kutumia Ela kuzurumu maskini
@mybrain8940
@mybrain8940 4 ай бұрын
Tapeli na wewe ujenge 😂
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 4 ай бұрын
@@mybrain8940 mi najengea chini😂😂😂
@frankpeter4178
@frankpeter4178 4 ай бұрын
Hata Pilato Alimsikiliza YESU, ni haki ya msingi kumsikiliza kila mtu kabla ya kuhukumu jambo, tusihukumu nasi tusije hukumiwa, mwisho ngoma ikivuma sana hupasuka.
@valentinoswenya748
@valentinoswenya748 4 ай бұрын
Yani sijajua viongozi wetu wanapatikana kwa busara lkn wao busara awana hivi kweli wameshindwa kuwaita wote wawili kwa pamoja ili wafikie muafaka kwa hili mbaka mfikie hapo watanzania nimaskini mno lkn leo waziri anabomoa nyumba iliojengwa kwa garama iliozidi ata garama yake ya maisha yawale anaosema anawatetea hiyo garama sibola angewapa hao wanyonge anaotuita kama sio kiki na maisha ya watanzania
@belak999
@belak999 4 ай бұрын
Nchi haiongozwi na watu wenye akoli km zako, ukiona hivyo jua ilishashindikana, huyo Johnson haumjui wewe, alikuwa amepanga Tabata segerea huyo muache km alivyo
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 4 ай бұрын
Mahakama ndiyo chombo peke yake inayotoa order ya kufanya maamuzi ya ubomoaji Waziri yy ni nani zaidi ya mahakama?
@sapikiwanga6154
@sapikiwanga6154 4 ай бұрын
Tulijua tu haya yatakuja tu,WAZIRI chapa kazi,hii mitapeli ni ya kukomeshwa tu.
@fungwetia2784
@fungwetia2784 4 ай бұрын
Amri hutoka mahakamani tuh, sio kwenye midomo ya watu.
@aminaomary5567
@aminaomary5567 4 ай бұрын
Waziri piga kazi❤❤
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 4 ай бұрын
Viongozi wa nchi hii hawajielewi maana hakuna mfumo wa thabiti wa kuongoza watumia vichwa vyao na utashi wao
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 4 ай бұрын
Kwanini. Mlifanya ujenzi mkubwa kama huo bila hati miliki ya kiwanja husika?
@desderymakoi6595
@desderymakoi6595 4 ай бұрын
Huyu Wakili akamatwe anamchafua Wazir
@magnusmgaya560
@magnusmgaya560 4 ай бұрын
Tuna imani na waxiri slaa mtetezi wa wanyonge piga kazi baba
@user-qn7wq3sm7d
@user-qn7wq3sm7d 4 ай бұрын
Mwenyezi mungo hakulinde mh.wzr slaha mtetezi wa wanyonge
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 4 ай бұрын
ingefaa sana naww ungekamatwa uweka ndani kwakutetea upuuzi nyinyi mawakili kwa tamaa ya feza ndio mnachangia kuzulumu watu ingekua enzi ya JPM ungetoa meno fala ww
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@yapukahassan
@yapukahassan 4 ай бұрын
Hivi mawakili wanakazi gani nchini ,bora wangefuta tu chuo cha mawakili maana majambazi wote kazi kupindisha haki
@user-th4rx2vj6m
@user-th4rx2vj6m 4 ай бұрын
Allah Akber! Mpe kila mja wako haki yake.😢
@eliashibundabalinze2754
@eliashibundabalinze2754 4 ай бұрын
Nachojiuliza ni kwamba.... Wakati anaijenga hiyo nyumba aliyetoa kibali cha ujenzi si serikali? Halafu hiyo hiyo serikali inamkamata? Ushauri wangu, wale wote waliotoa vibali vya ujenzi wakamatwe wahojiwe
@BusinessOne-mf5dj
@BusinessOne-mf5dj 4 ай бұрын
Nilipo soma comment nyingi. Watanzania wengi hatupendi kusikiliza, kusoma sheria,kufwatilia Na kuchambua mambo Kwa kina. Wakili upo vizuri hongera.
@user-fi6hb3lp5y
@user-fi6hb3lp5y 4 ай бұрын
Wewe umepatwa na muhaho una haha huo ni muhaho na usiwe unacheza cheza na serejali utajutia kwanini ulizaliwa Tanzania tena ushukuru Magu alisha fariki ungesha adabishwa kitambo na usione mama anaustahamilivu na watoto wake ustahamilivu pia unakikomo chunga mdomo wako
@ashrafurwegoshora4227
@ashrafurwegoshora4227 4 ай бұрын
Awa ni matapeli tu,waziri wasikuyumbishe piga kazi
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 4 ай бұрын
Kwani ni lazima anunue viwanja vya wat viwanja visivyonawaenyew si vipo tele wenzao wakat wananua huyo alikua wap?
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 4 ай бұрын
Waziri wetu msimutoe kwenye reli.
@romanamassawe814
@romanamassawe814 3 ай бұрын
Huyo kijana Jerry silaha mwisho wake utakuwa wa aibu Sana, tabia zake tunaziona
@leusissa3855
@leusissa3855 4 ай бұрын
Ni Tanzania tu ambako hadi wezi wanaweza kutoka mbele ya vyombo vya habari na kutamba. Mwizi ni mwizi tu bila kujali anafanya shughuli gani nje ya wizi. Halafu km ww ni wakili maneno hayo c uyapeleke mahakamani?
@elioimer8423
@elioimer8423 4 ай бұрын
Sawa Kabisa, unatueleza sisi ili iweje? Nenda mahakama.
@egnomsigwa8418
@egnomsigwa8418 4 ай бұрын
Kaka hayajakukuta yule jamaa cyo tapeli waliyo muuzia aridhi ni maafisa wa serikali kwa hiyo tapeli niselikali yenyewe
@pascalmwano7596
@pascalmwano7596 4 ай бұрын
Usishindane na serikali huyo jamaa ana hela akanunue huko ntumba hii imeenda
@user-ks7bs8yk3p
@user-ks7bs8yk3p 4 ай бұрын
Hujajua ugumu wa maisha wewe huenda unamaslahi na hapo sio bure
@user-eg1pk1sw4j
@user-eg1pk1sw4j 4 ай бұрын
Ahhhh Tz hii ina Mambo!
@onesmartcars525
@onesmartcars525 4 ай бұрын
Hiii imeenda,,,,
@beddaathanas5532
@beddaathanas5532 4 ай бұрын
Slaaaa wanyoooshe tuuu wezi hawa ktk nchi
@EdwardSMsiro
@EdwardSMsiro 4 ай бұрын
Waziri uko vizuri endelea kuchapa kazi wote waliowaonea wanyonge kwasababu ya uwezo wao wang'amue na chukua hatua hapo hapo kwani mahakamani kuna changamoto kubwa sanaa katika kupata haki, wanaopata haki ni wenye uwezo kwa asilimia kubwa
@BusinessOne-mf5dj
@BusinessOne-mf5dj 4 ай бұрын
Kaka tengua kauli yako. Wataka kusema mahakama hazitoi haki Na sio wajibu wake Mkuu. Hapana WAZIRI anawajibu wa kuwatetea wananchi ila mahakama ndio chombo cha kwanza chenye wajibu wa kutoa haki.
@BusinessOne-mf5dj
@BusinessOne-mf5dj 4 ай бұрын
Nani Elie Kwambia Kuna masikini Mwenye uwezo wa kununua ardhi mbezi Beach. Wote Hao wanao ni matajiri. Ardhi ukinunua zaidi Ya 10 m wewe ni Mtu Mwenye uwezo wa kati. Hata uyo Naomi si masikini kama watu wana yo sema
@EdwardSMsiro
@EdwardSMsiro 4 ай бұрын
Achana na hivi vi bush lawyers vimekuwa vingi na ndivyo vina engineer matatizo ili migogoro itokee vipate kazi na pesa, Mh. Waziri tuna imani na wewe kwa zaidi ya 100%
@abuibra
@abuibra 4 ай бұрын
Katika hizo pesa msinisahau Katika mgao.
@mudriqahmed3666
@mudriqahmed3666 4 ай бұрын
Huyu bangi kweli kwani ukikaa kwenye media ndio itakusaidia nn mana hakuna asie jua kma wakili anaweza kumtetea hata muuwaji kwa mujibu wa uwakili wake
@batapoint
@batapoint 4 ай бұрын
Usiaibishe watuba bangi kwani hata wao hawana akili mbovu kama huyu wakili
@user-ks7bs8yk3p
@user-ks7bs8yk3p 4 ай бұрын
Jamani nawaombeni radhi kuhusu hayo yanayofanywa au tunayofanyiwa sisi na viongozi wetu tulio wachaguo au kwa kuteuliwa na mamlaka husika naomba ifahamike mtanzania hana haki ya kumiliki ardhi ndani ya Tanzania ili hali anaetakiwa kumiliki ardhi na hifadhi ni mzungu mchina muhindi na waarabu ndio wana haki ya kupata hati mimi mwenyewe Chongoro akiwa Dc na Dc jamhuri walinitwisha dhambi ktk kesi 5 nikiwa nimepata zabuni ya kutengeneza milango na kujenga kituo cha afya hadi sasa nimenyang'anywa shamba na nyumba tangu 2019 hofu yangu kwanini tuliamliwa kuwatii wenye mamlaka watuumeze na kutujerui na wao watashughulikiwa na nani inapobainika wanatakiwa kuwajibika samahani mniwie radhi majibu yenu tupunguze ukali wa maneno
@dinosiasa5600
@dinosiasa5600 4 ай бұрын
Wakili kuwa makini slaa naye ni mwanasheria najua kafanya ivyo hajakurupuka amemtetea mnyonge ambae hana nguvu ya kifedha
@jeremiahmwanyika869
@jeremiahmwanyika869 4 ай бұрын
Tuko pamoja na slaa mtetezi wa wanyonge.. Nyie kasomeeni utaperi tu.. Tumbafu
@ashanziku3498
@ashanziku3498 4 ай бұрын
Acha kutetea matapeli wanasumbua. Sana
@rosemzava3160
@rosemzava3160 4 ай бұрын
Serikali ya CCM itawajibika Ni mambo ambayo hayana kichwa wala miguu they use power not law unabomoaje nyumba ya mtu bila notice and everything that's abused of power
@chizashungu8364
@chizashungu8364 4 ай бұрын
Wakili hii itakupalia tu.Jerry Slaa yupo makini Sana.
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 3 ай бұрын
Tuleteeni Alhapi jamani kwa hali inayo kwenda Tuleteeni Alhapi
@FadhiliKavindi
@FadhiliKavindi 4 ай бұрын
Selikali unatoasaport kusomesha vija lakin wakisha ona hela ndio wanakuwa hivi Wanawatetea Matajiri kwa jili ya kujinufasha wao na jamii Yao sisi wanyonge tunawatazama tu ila Wazili ww tenda haki usigeuke nyuma hizo kelele za wasaka tonge kwa kuwa zurumu wengine Haya ni maoni tu yangu naomba wakili asinielewe vibaya Naombeni watendeeni haki bac na masikini jamani
@abelritte1808
@abelritte1808 4 ай бұрын
Kwani kazi ya wakili ni nini? Kwa hiyo kazi ya wakili ni kutetea masikini
@subiralema
@subiralema 4 ай бұрын
Mmezxea kuonga sasa uyo waziri anafata aki
@suleimanirajabu8231
@suleimanirajabu8231 4 ай бұрын
Acha ushamba mbona wazili hakuja kuvunja nyumba yako na akaenda kuvunja nyumba husika acheni kubabaisha watanzania katafute kazi ya kufanya
@saidipara4134
@saidipara4134 2 ай бұрын
Waziri kapeleka kesi mahakamani.mahakama ikatoa oda.slaa Hana makosa hapo.katika watu ambao wataenda motoni siku ya kihama ni Hawa mawakili.
@tmt2642
@tmt2642 4 ай бұрын
Mwacheni waziri afanye kazi..Wewe wakili na Maululu wako mtulie kwanza
@desderymakoi6595
@desderymakoi6595 4 ай бұрын
Kimsingi kwa hili lamsingi mwenye haki apewe haki 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 4 ай бұрын
Bado hujasema na utasema tu Hata yule anaemtetea tapeli nae ni tapeli tu
@danielmwandenga5369
@danielmwandenga5369 4 ай бұрын
Unajuwa waziri anaomba document , wala na vitu hivi havifichi mbona tunaona hazarani kuwa lete ati kwa wote wawili na gushi zinaonekan hazarani tu, sasa aside asipewe ati kivipi nawewe mjomba akati mlalamikaji yupo apo mwenye eneo shida mahakamani wenye hela mnashinda waziri piga kazi we ndo mahakama ya wanyonge mana wenye hela hawa , hatuwashindi mahakmani, izo hela uwezi lipwa mkuu kafanye kazi nyingine tu , uyo ni waziri mbona we ulivovamia ukuja na hati og,
@abelritte1808
@abelritte1808 4 ай бұрын
Huyo mama yeye alikuwa na hati ya hicho kiwanja?au document ni kwa upande wa malalamukiwa tu?
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 4 ай бұрын
Piga KAZI waziri, duniani Kuna watetezi wa aina2 yaani wapenda haki na wasio haki
@egnomsigwa8418
@egnomsigwa8418 4 ай бұрын
Wazili wangu jifunze kwa makonda anasikiliza pande zote ndipo haki hutolewa ila waziri wangu unafanya kwa mhemko nakuonea huruma sana kunamaisha baada ya uwazili jifunze kutenda haki pande zote
@user-hd1ws3ds4f
@user-hd1ws3ds4f 4 ай бұрын
Umeliwa
@filberth_Mchilo
@filberth_Mchilo 4 ай бұрын
Sijaona hoja ya msingi hapo Mr. Wakili hamna haja ya kumuona TAPELI kipindi cha uchunguzi nyie ndio mnaompa kiburi Acheni uchunguzi ufanyike. Wewe unaongelea kesi hiyo tuu WAZIRI amebaini kesi zake kibao subirini uchunguzi. Yuko polisi pale Ni mahali Salama hajatekwa hivyo mkae kwa KUTULIA majibu mtapata tuu
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 4 ай бұрын
Lakini slaa ametumia pawa yake ya u waziri huwezi ukavunja nyumba bila ya mahakama kutoa amri, tena huyo aliebomolewa sio tapeli, Ingekuwa ni tapeli angekiuza kiwanja asingepoteza pesa zake kujenga kwenye kiwanja sio chake
@user-eg1pk1sw4j
@user-eg1pk1sw4j 4 ай бұрын
N kwel binafc sijafurahishwa na maamuzi ya waziri
@majaliwawilson9372
@majaliwawilson9372 4 ай бұрын
Wakat yeye anajenga bila hat nakumpola mwenye hak kwa pesazake yeye alitumia hak gan ama nanyi ndio walewale mnaopola hak zawezenu yanaazakuwakuta mnaaza kuteteana
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 4 ай бұрын
Tatizo ni mahakama ndo wanatoa haki sasa waziri atawafikia wangapi na pia waziri ni binadamu tu mifumo imeweka ili iondoe conflict interest sasa hapo mkweli nani Naomi na uyu kama waziri angetaka angempa mawakili na msaada wote wa kisheria ila ivi lazma wataumia wasio husika
@prudencemushi6948
@prudencemushi6948 4 ай бұрын
Inatia hasira sana.....
@LumolaSteven
@LumolaSteven 4 ай бұрын
Wakili Dickson Matata endelea kutimiza wajibu wako. Nchi inaendeshwa hovyo sana hii. Waziri sio Mahakama hawezi tu kutoa amri kama anavyojisikia
@shamimageta6651
@shamimageta6651 4 ай бұрын
Tanzania one
@egnomsigwa8418
@egnomsigwa8418 4 ай бұрын
Hakuna aliye juu ya sheria waziri lazima awajibishwe kwa makosa yake kwa nn alisikiliza upande mmoja na kwanini hakuwajibisha watendaji wake wa ardhi maana matapeli wote ni maafisa aridhi
@juliussuleiman3999
@juliussuleiman3999 4 ай бұрын
Mawakili nyinyi kazi zenu kutetea miharifu tu
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 4 ай бұрын
🎉🎉🎉
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 4 ай бұрын
tuko pamoja na slaa ishu hapa ni hati ni nani mwenye hati?
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 4 ай бұрын
Mbona anaongea sana
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 4 ай бұрын
Huyu wakili kameza kitu
@bonabonala5559
@bonabonala5559 4 ай бұрын
hu ya o tajiri ni mhujumu uchumi tuu
@froma3732
@froma3732 4 ай бұрын
Kwanza huyo alochukuwa kiwanja cha wenyewe alipe fidia kwa mwwnye kiwanja hlf ndio uzungumze kumpeleka Waziri mbele ya Sheria
@festohaule9716
@festohaule9716 4 ай бұрын
Ni haki Kwa uporaji huo.. mnapora Ardhi Kwa kutegemea mawakiri !!!!!
@user-uf6oe3qi6v
@user-uf6oe3qi6v 4 ай бұрын
Mwenye hati yake amepewa shida ikwapi
@user-tm3jl4yx9f
@user-tm3jl4yx9f 4 ай бұрын
Kama ni kwel wazili alikosea alipe
@ElirehemaMbise-zm3pm
@ElirehemaMbise-zm3pm 4 ай бұрын
Mzee tafuta kazi nyingine ya kufanya umuwezi waziri wetu piga kazi waziri Jerry Slaa tumekukubali kaka mkubwa
@tinershayo6191
@tinershayo6191 4 ай бұрын
Nyie wężu tu mnawaibia wanyonge kwendaaa kuleee
@user-wq8kw7wb1n
@user-wq8kw7wb1n 4 ай бұрын
Ko ww ni nani unaekaidi maagizo ya waziri wetu mcha mungu ? Kikubwa acheni kuwaibia na kujimilikisha maekali yani ukifa eneo tunalokuzima ni kadogo2 yanini utapeli maheka na maheka muogopeni mungu.
@AwaziRajab
@AwaziRajab 4 ай бұрын
Sasa Wakili Kama Uwakili Wako Itasibitisha Ukua Sahihi Kutete Je Wewe Utasitaili Kuwa Wakili Kweli Kwenye Taifa Letu Hili Mana Utakua Ufai Kabisa Kuendelea Na Cheo Cha Uwakili Kabla Ujavamia Jambo Akikisha Umeangalia Mbele Zaidi Ukifeli Ufai Kuwa Wakili Ugomvi Na Hati Vitu Viwili Tofauti Ugomvi Auna Mipaka Hata Mtoto Na Baba Wanaweza Kukombana
@bilid4128
@bilid4128 4 ай бұрын
Kwenye hizo Bilioni 20 na hizo Milioni 500 ni zako wakili ....ndiyo maana ndugu wakili unapiga kelele hapo ...njaa inakusumbua sana....
@hassanmally2744
@hassanmally2744 4 ай бұрын
Mbona wasio na hera wakizurumiwa Wakili usimami kutetea mpaka upewe hera
@BusinessOne-mf5dj
@BusinessOne-mf5dj 4 ай бұрын
Kaka ivi una uhakika. Uyo Naomi ni masikini, Au uyo alie dhulumiwa. No way naomba kaa chini fwatilia. Ardhi mbezi Beach shillings ngapi tokea Mwaka 1990 ndio hutapata jibu kua ametetewa. Masikini au Pesa ndo Zina ongea.
@MotibaMashana-hv3tf
@MotibaMashana-hv3tf 4 ай бұрын
acheni ushabiki kwa maelezo hayo huo ni uonevu kwa kutumia madaraka vibaya mama samia angalia wanakuchafua
@marymanoni5536
@marymanoni5536 4 ай бұрын
Lakini Mimi naona na uyo aliesema kiwanja chake snaroho mbaya sn Tena sn nyumba kama iyo wangekaa waongee
@chemstry409
@chemstry409 4 ай бұрын
SLAA PIGA KAZI KIONGOZI...KURUKA RUKA KWA MAHARAGE NDIO KUIVA KWAKE.....
@user-ji8ol1og2h
@user-ji8ol1og2h 4 ай бұрын
Mamluki huyo Wakili !! Weka ndani huyo na mteja wake, mtu anazulumu ! Ananunuwa kiwanja na kesi, kwa mipango yao ( mawakili + baadhi ya Mahakimu, balaa unafanya kesi na mtu, mnakwenda Mahakamani, lakini mwezako anajuwa kuwa leo kesi itafanyika, anajuwa Hukumu itakuwaje " halafu tuna wajasiriamali mabilionia; Takukuru wafanyie kazi, mpaka anayempa hizo tenda za aluminum windows and doors
@leobalige7069
@leobalige7069 4 ай бұрын
Mawakili kazi yenu kutetea washenzi.
@kurasinikurasini1661
@kurasinikurasini1661 4 ай бұрын
Kwahiyo Hana hati
@tinershayo6191
@tinershayo6191 4 ай бұрын
Wewe wakili unatetea ujinga huyo Mateja wako ni mwizi anawaibia wanyonge hauna ishu toka hapo au na wewe mwizi tu
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 4 ай бұрын
Hii nchi ukiwa mtu makini ni ngumu sana kuiishi
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 4 ай бұрын
Ww piga makele tuu ...upo kazini Umelipwa kumtetea tapeli wa viwanja...Slaa sio mjinga kama nyinyi...anafuata taratibu na haki....inatakiwa Jonson afugwe kwa kumtesa mwenye kiwanja na alipe fidia...
@amisindondi4549
@amisindondi4549 4 ай бұрын
Sisi hatukuelewi kabisaa mbona haukuongea mapema mwizi hakosi kujitetea huwezi kupewa hati wakati kiwanja kina ukolofi
@andreap.assenga8480
@andreap.assenga8480 4 ай бұрын
Huyu ndio tapeli hamna Mtu hapo dish la mombasa
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 4 ай бұрын
Ishu siyo tajiri. Eneo hilo lilikuwa la mjane. Na amepambana sana ila fedha ndio zilikuwa zinafanya kazi. Waziri ameshachunguza na majirani wa eneo hilo wamethibitisha kiwanja hicho ni cha mjane. Waziri anatekeleza kazi yake. Hapa mahakama zinachelewesha kesi ili wenye haki wafe. Wacha waziri afanye kazi yake
@abelritte1808
@abelritte1808 4 ай бұрын
Kwani waziri ni mahakama,au waziri ni judge..unaendaje kutoa hati kwenye ambalo bado lina mgogoro Unaendaje kuvunja nyumba ya mtu bila kuwa na kibali cha mahakama,we ulishawahi kuona wapi kitu kama hicho
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 4 ай бұрын
Sasa mbona huyo naomi anajulikana na majirani wa muda mrefu.? Na majirani wakiulizwa wanasema kiwanja ni cha huyo mama? Hati za nchi hii kaka si unajua hazitoki hivyo kwa haraka?
@user-yk5gm5qj4u
@user-yk5gm5qj4u 4 ай бұрын
Kwa nn wabomoe wakati kesi iko mahakamani c wangesubiri wanaharaka gan
@egnomsigwa8418
@egnomsigwa8418 4 ай бұрын
Kiukweli waziri alivunja sheria nahuu niuonezi kabisa lazima alipe
@user-ef7hs4sb7w
@user-ef7hs4sb7w 3 ай бұрын
Nyinyi mawakili wezi
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 ай бұрын
Jeshini amri, sheria mahakamani.
@esmailesmail4319
@esmailesmail4319 4 ай бұрын
Wewe mbwa! Slaa ni mwanaume, huyo jhonson zulumati, na weww ni mpambe.
@menyemusic
@menyemusic 4 ай бұрын
Acheni tu hata hawa Mawakili ni janga la kitaifa
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 4 ай бұрын
Hata huko suma yeye tu ndio anapewa tender? Hakuna wengine wanajua kutengeneza vioo. Hao ni wale wale Wacha waziri afanye kazi
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 4 ай бұрын
Uyo jamaa ni tapeli na mwenye kiwanja anajulikana muwe mnauliza hata majirani ili muambiwe wewe na huyo mteja wako hamna akili shenzi
Mfahamu Aliyebomolewa Ghorofa na Waziri Silaa 'Ni Tapeli?'
12:17
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18
KIFAHAMU KISIWA ADIMU ZAIDI TANZANIA (DOCUMENTARY)
15:16
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 14 М.
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 4,1 МЛН
ARMENIA-AZERBAIJAN | Close to Peace?
14:11
Prof James Ker-Lindsay
Рет қаралды 26 М.
КОМПОТ В СОЛО
00:16
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 31 МЛН