Chris Mauki: Kama baba anatabia hizi nne (4) watoto wapo hatarini

  Рет қаралды 8,862

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@senimanjale
@senimanjale Жыл бұрын
Hongera Doctor kwa masomo mazuri
@espesifa5661
@espesifa5661 Жыл бұрын
Chris unacho kiongea ni kweli baba hanampinga mama mbele yetu na Kunya pope mbele yetu hata kumtusi mama mbele yetu hata hakirundi kazini nibali hata Sisi watoto hatufurai kwa haya baba huwa anamtedea mama yetu ni mengi tuu.hingi wezekana shris umshaurie baba humpe pia na school maybe hanawez changi na hana marafiki wabaya saaanaaa hasante Sanaa kwa mafundicho thank you so much
@MS.independent8934
@MS.independent8934 10 ай бұрын
Naviatu vyake vina onekana na mkanda wake una onekana 😂😂😂😂 but thank God my Dad hi was the best Dad❤❤ I miss him so so much rest in peace papa 😢
@Justsimplystarlight
@Justsimplystarlight Жыл бұрын
Mungu atusaidie
@chrissg4026
@chrissg4026 Жыл бұрын
duh! Uko vizuri sana!
@AsteOon
@AsteOon Жыл бұрын
Mm.napenda mafundisho
@lilianawino8176
@lilianawino8176 Жыл бұрын
Ama kwa kweli idadi kubwa ya baba angalau Wana mojawapo ya tabia hizi. Dr. Ubarikiwe kwa mafunzo ya mara kwa mara.
@gracemarry4598
@gracemarry4598 Жыл бұрын
My dady was the best dady ever 😢 keep rest in peace 🕊️🕊️
@RashedaSalem-mk3yb
@RashedaSalem-mk3yb 5 ай бұрын
Mwalimu ni ukweli sana bwanangu ako na hiyo tabia sana.
@RashedaSalem-mk3yb
@RashedaSalem-mk3yb 5 ай бұрын
Wangu kazi yake ni kulewa na kukombanisha watoto mimi nilishindwa na yeye.
@gaudensiadickson7631
@gaudensiadickson7631 Жыл бұрын
Umenigusa sana mpendwa ndani ya familia yetu
@exodusforex1984
@exodusforex1984 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@jacklinemurenjekha9253
@jacklinemurenjekha9253 Жыл бұрын
ukweli mtu wa mungu tuna yaona hayo yote hapa kenya.
@thaxxenash
@thaxxenash Жыл бұрын
Kweli ile baba amen🙏🇨🇩🙏🙏🙏🙏🙏
@rehemasharifu8985
@rehemasharifu8985 Жыл бұрын
Asnte dr chris
@rosemarychrist8672
@rosemarychrist8672 Жыл бұрын
Yaan ningeweza mngempelekea baba yangu kitabu hicho, maana sijawahi kumuelewa na nimeamua YESU TUU NDIYE AWE BABA YANGU MAANA SIJAWAHI ONA BABA KAMA YULE ANA TABIA HIZO ZOOTE NAHISI NA NYONGEZA PIA MMMH NI UCHUNGU SAANA WATOTO WOOTE WAMEMTENGA
@hdhdhdhdhdh3264
@hdhdhdhdhdh3264 Жыл бұрын
Jameni hio namba Tatu ni Mama yangu,ni mlaanaji,mpiga kelele,na maneno yake hayapendazi,,,our father is the best father jamen sisi tumechoka na mama yetu🤔
@lahatimuga6836
@lahatimuga6836 Жыл бұрын
nadhani wamama wengi wana hili tatizo tena hasa kwa watoto wao wa kike , na mama akiwa mlaanaji mafanikio ya watoto huwa hayaji kirahisi.
@hdhdhdhdhdh3264
@hdhdhdhdhdh3264 Жыл бұрын
@@lahatimuga6836 mimi mamangu alinilaani sitawai kaa na mwanaume yeyote hii dunia,,,i have count many men's in this world nikikumbuka chuki inanimaliza nahisi kama singezaliwa na mama aina hiyo.i have never have peace at all
@magrethminja1309
@magrethminja1309 Жыл бұрын
Unaadhubutu kumsema umechoka mama bado hujajielewa
@magrethminja1309
@magrethminja1309 Жыл бұрын
Epuka laana ya mama na mama hawez laan from knw where ,mama ana mamlaka mskubwa ya baraka Zako na anaweza ku,zuia isipite Kwa baraka epuka maneno ya mama 🧏🧏😷😷itakusaidia
@hdhdhdhdhdh3264
@hdhdhdhdhdh3264 Жыл бұрын
@@magrethminja1309 she's like that,,,,nyanya yangu pia alikuwa mlaanaji,,wajomba wangu na my auntie hakuna aliye fanikiwa juu ya laana,,,,,naweza ita hiyo ni laana ya uko ya kina mamangu watu hao ni Sumu🤔🤔
@muznarashid6301
@muznarashid6301 Жыл бұрын
Hawa ni Baba na mama yangu🥹
@puritymunyao74
@puritymunyao74 Жыл бұрын
Thanks for good advice
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Wababa badilike i
@christinentinyari5108
@christinentinyari5108 Жыл бұрын
Doc wewe sio mkenya kweli?
@kamarhelo
@kamarhelo Ай бұрын
Wewe unamuona mkenya huyo mana wakenya tunawajua mna kiswahili Cha kwenda mbele na kulud nyuma 😂😂😂😂😂
@doedoyne-te6ty
@doedoyne-te6ty Жыл бұрын
Bwanangu ako na hizo tabia zote mungu ni saidie
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Жыл бұрын
Ni laaana kubwa Sana hata afanye biashara hawezi mubarikiwe
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Жыл бұрын
Wanakela Sana na ndo maana hayabarikiwi
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 94 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 3 МЛН
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 22 МЛН
Chris Mauki: Madhara ya kuwa na baba asiyejali
7:45
Chris Mauki
Рет қаралды 2 М.
UKIONA HIVI UJUE ANAKUPENDA SAANA ILA ANAOGOPA KUKWAMBIA
11:54
FAFANUO MEDIA
Рет қаралды 267 М.
NAMNA YA KUDHIBITI HASIRA.
3:18
Riziki Mwaikugile
Рет қаралды 2,1 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Hapa ndipo wazazi wengi wanapokwama kwenye malezi
10:02
Chris Mauki
Рет қаралды 4,3 М.
Njia Tano (5) Unazoweza Kuzitumia Kuongeza Ujasiri
9:37
Joel Nanauka
Рет қаралды 187 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kujenga tabia njema kwa mtoto wako
8:43
Dr. Chris Mauki: Siri Za Wapenzi Wanao Dumu Pamoja
8:32
Chris Mauki
Рет қаралды 11 М.
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 94 МЛН