Chris Mauki: Makosa 5 yanayo wagharimu wanawake wengi kwenye ndoa

  Рет қаралды 26,488

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@RehemaIdd-gi9ix
@RehemaIdd-gi9ix Жыл бұрын
Kutekwa na simu( addicted na mitandao) Kutokukielezea wanachohisi wao( weka unachofikiri kwny maneno Kuchukulia poa tendo la ndoa Kutokujua umuhimu wa mguso( touching/ kugusana) Kutomsifiwa( kuto kumu appreciate)
@christopherbasili1146
@christopherbasili1146 Жыл бұрын
Laiti ningekufahamu siku nyingi nisingeteseka na mahusiano,Honngera sana broo kwa mafundisho mazuri, Mungu akubariki sana.
@florenciaastariko2113
@florenciaastariko2113 Жыл бұрын
Kweli kabisa unayosema kaka Mauki hasa kwenye swala la simu hapo wooii🙌tupone kwa kweli, Asante sana ubarikiwe
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
Big up Dr chris Mauki 🤝🤝
@BibianaNdunguru
@BibianaNdunguru Жыл бұрын
Asantee doctor Kwa mafundisho mazuri
@benjaminbakunda8251
@benjaminbakunda8251 Жыл бұрын
Mafundisho kama haya yanatakiwa kurushwa live wakati wa taarifa ya habari maana yanaweza yakaokowa ndoa za wengi
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 umenichekesha sana😅😅😅😅
@FaithSimon-cs3ek
@FaithSimon-cs3ek Жыл бұрын
Hahaha haha ha haha hiiiii kaliiiiii😄😄😄😄
@amosibilingi4299
@amosibilingi4299 Жыл бұрын
Du! He he he he! Hatareeeeeee
@heavenlight5084
@heavenlight5084 Жыл бұрын
Hata wanaume jamani ,much bize na mitandao, unaweza mkaribisha mtu karibu chakula,hadi dk 5,zinakata anasema tu okay asante
@janethurio2453
@janethurio2453 Жыл бұрын
Asante Sana. B blessed brother
@rehemasharifu8985
@rehemasharifu8985 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana dr chris asnte somo tumelipata
@d.abigail.j4127
@d.abigail.j4127 Жыл бұрын
I give you a very big SHUKURANI 🙏
@ndavadumayai4250
@ndavadumayai4250 Жыл бұрын
Asante nimepona🙏🙏🙏
@evemeeshow.
@evemeeshow. Жыл бұрын
Thank you so much for this.....am learning alot.....
@kastangonyani4068
@kastangonyani4068 Жыл бұрын
Nashukuru Kwa Somo zuri kaka,hakika Kuna haja ya kuendelea kujifunza Ili kupata uponyaji ktk ndoa,Asante Mungu akubariki
@DoriceRamadhan
@DoriceRamadhan 11 күн бұрын
Yupo Mme wangu mpk anaboa unachat mda wote Hadi kero
@RoseKifaru
@RoseKifaru 10 ай бұрын
Nimelipenda somo asante
@hedayakagoma9133
@hedayakagoma9133 9 ай бұрын
Somo zuri sana
@joxeesety2616
@joxeesety2616 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏DR Umetisha sana..ThANKS
@winnielifted1888
@winnielifted1888 Жыл бұрын
I thank God,I got understanding ....maeneo hayo yote Mungu ameniwezesha....😊😊😊
@nassirkhalfan3166
@nassirkhalfan3166 Жыл бұрын
Hili somo la leo ni moto sanaa yaani nahisi umemaliza kila pahali umegusa zile sekta zote muhimu
@purityrehema543
@purityrehema543 Жыл бұрын
Asante kw somo lako
@janemhando1858
@janemhando1858 9 ай бұрын
Kaaa mi wangu ukimkumbatia anaondok halaka iku anasema Asante haonyesh kuaplishiet😂
@HelenDanga-d1b
@HelenDanga-d1b 8 күн бұрын
Poreee
@priscerjohn5788
@priscerjohn5788 Жыл бұрын
Bora tu.
@chrissg4026
@chrissg4026 Жыл бұрын
Kosa kubwa kuliko yuto ni kutokuwa watiifu kwa waume zao! Mwanamke akiwa mtiifu kwa mme wake anapunguza migogoro kwenye ndoa karibu kwa 50%
@salimzumamangale9843
@salimzumamangale9843 Жыл бұрын
Mafundisho mazuri sana
@MS.independent8934
@MS.independent8934 Жыл бұрын
Ahsate 🙏🏼
@shellwqueen1852
@shellwqueen1852 Жыл бұрын
Asante
@rehemalambikeki2667
@rehemalambikeki2667 Жыл бұрын
🙏tutapona kwa kweli
@chikumbwilo9565
@chikumbwilo9565 Жыл бұрын
Ohooooh au basi!
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 Жыл бұрын
NAPENDA PRESENTATION ZAKO ZIKO DIRECT...
@NyangiKaniki-dj7kb
@NyangiKaniki-dj7kb Жыл бұрын
Kuna kitu nimepata nakujifunza
@magdalineNakhungu
@magdalineNakhungu Жыл бұрын
DR CHRIS tafadhali naomba ushauri wako tafadhali nangamia mimi naomba unijibu please
@MariamObote
@MariamObote Ай бұрын
Acha kujiendekeza wewe, unaangamia kisa mtu?, kwani ulizaliwa nae😂😂😂😂😂
@RahmaMasudy-hd7dw
@RahmaMasudy-hd7dw Жыл бұрын
Dr samahan naweza pata no zako plz
@happinesstesha7061
@happinesstesha7061 Жыл бұрын
Ok ok
@SaumMtuka-m1u
@SaumMtuka-m1u Жыл бұрын
Kiukweli nimependezwa na masomo yako yaani yamenigusa mno
@masulu
@masulu Жыл бұрын
Broo umetugusa,at wangu anazngua ,sna KWENYE tendo la ndoa
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
Khaaaaaa makosa yote yapo then brain 0
@raphaelsanga6365
@raphaelsanga6365 Жыл бұрын
Baba kuna wanaume wengine hawana muda wakuongea na wake zao,,
@reinfridaakangumisa-sr5ck
@reinfridaakangumisa-sr5ck Жыл бұрын
Very interesting
@NyangiKaniki-dj7kb
@NyangiKaniki-dj7kb Жыл бұрын
Asante
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
Khaaaaaa makosa yote yapo then brain 0
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Why Someone Is Always on Your Mind, It Means...| C.S. Lewis
18:09
The Motivation Station
Рет қаралды 100
SIFA TATU (3) ZA MKE | DEO SUKAMBI
1:03:07
Deo Sukambi
Рет қаралды 154 М.
Chris Mauki: Kwa dalili hizi hafai kuwa mume
7:15
Chris Mauki
Рет қаралды 89 М.
MCHUNGAJI HANANJA: MWANAMKE WA AINA HII HAFAI KUOLEWA NA MWANAMME WA HIVI HAFAI
27:05
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 183 М.
Dr.Chris Mauki:Hatua 5 Za Kurudisha Imani Kwa Aliyekuumiza
9:22
Chris Mauki
Рет қаралды 32 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН