No video

Chris Mauki: Madhara ya kuwa na baba asiyejali

  Рет қаралды 2,018

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Пікірлер: 6
@rosemarychrist8672
@rosemarychrist8672 Жыл бұрын
Asante Yesu baba yangu nakushukuru saana kwa kuwa baba yangu, maisha yangu, urithi wangu, mshauri wangu Yesu UTUKUZWE NA KUHIMIDIWA MILELE, BILA WEWE YESU KUNIOKOTA NA KUWA BABA YANGU SIJUI NINGEKUWA WAPI SAA HIZI MIMI
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu baba yangu alikuwa ni best Dad kwangu, rafiki na mshauri mzuri sana
@user-tk2ot3ch5h
@user-tk2ot3ch5h 3 ай бұрын
Niliachwa na mamangu nikiwa na umri wa miezi mitatu, nimelelewa na wazazi wa babangu Kwa kuwa baba aliowa mke mwingine, baada ya babu kufa nikiwa na miaka tisa ndipo maisha yangu yalipoyumba kwani niliishi kama yatima ambaye sina wazazi mana niliteswa hata na babangu mzazi, Kwa kweli sina imani naye Wala hata kumtamani kama babangu
@mehtamwanza2317
@mehtamwanza2317 Жыл бұрын
😭😭😭💔
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 Жыл бұрын
Baba yangu ameniacha nina miaka 9 nakumbuka yote ya baba yangu alikuwa ananijali sana akiwa likizo kunipeleka shule akanisubiri nitoke tunasafiri wote mpaka leo sijawahi msahau baba yangu nina mengi yakumuelezea
@leilaassey1726
@leilaassey1726 Жыл бұрын
Hii ipigie kelele kabisa baba zetu wakichaga wengi wanawaza tu helaaa hawana muda kabisa mke kijini baba mjini ya tumekuwa kwa shida mno 😢
Dr. Chris Mauki: NAFASI 5 ZA BABA KATIKA MALEZI
48:13
Chris Mauki
Рет қаралды 2,2 М.
Dr. Chris Mauki: Sababu 6 za wengi kulelewa bila baba
8:44
Chris Mauki
Рет қаралды 3 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 18 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 71 МЛН
DALILI NA TIBA ZA MTU MWENYE MSONGO WA MAWAZO (STRESS)
9:26
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 13 М.
Dr. Chris Mauki: Tabia 5 zitakazo kusaidia kustahimili mapito
8:47
Chris Mauki: Dalili 5 ameshakutoa moyoni mwake
6:27
Chris Mauki
Рет қаралды 157 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16