No video

Dr. Chris Mauki: Usifanye mambo haya 5 unapokuwa kwenye mgogoro na mpenzi wako

  Рет қаралды 34,946

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Mara nyingine migogoro kwenye mahusiano na ndoa haiepukiki lakini kwanini migogoro mingine inakuwa na athari zaidi na hata kuwatenganisha wapenzi? Kuna makosa tunafanya labda bila kuju. Haya hapa mambo matano usifanye kabisa unapokuwa kwenye mgogoro na mpenzi wako
#DrChrisMauki#Mgogoro#Mapenzi

Пікірлер: 94
@VeronicaThomas-pb1cp
@VeronicaThomas-pb1cp 11 ай бұрын
Kiukweli tokea niwe mwanafunzi wako nimejifunza mengi mnooo, Mungu akubariki Sanaa na akupe maisha marefu Dr chris
@user-gt9eu2hg8f
@user-gt9eu2hg8f Ай бұрын
Doctor naomba no zako
@user-gg7bg5ov3h
@user-gg7bg5ov3h 10 ай бұрын
Nimeteseka sana kwa ajili ya mahusiano,lakn nashukuru Mungu nimepona na sasa nina amani, Shukran kwa ushauri wako.Alla akulinde daima
@youngpaincompany1440
@youngpaincompany1440 2 жыл бұрын
Daaah kumbe niko sawa ban nlikuwa nahofu San 😁😁😁😂😂 shukran doctor
@neemashirima6121
@neemashirima6121 2 жыл бұрын
Asante mkuu
@carolchitech4244
@carolchitech4244 Жыл бұрын
waaah haya mafundisho kw kweli nice kali God bless you
@Esthermwalimu7732
@Esthermwalimu7732 Жыл бұрын
Asante kwa hilo some,nimejifunza jambo.barikiwa
@nahnaally6932
@nahnaally6932 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa kuwa naelewa unachozungumza🙏 ubarikiwe
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 2 жыл бұрын
Nasubiri madini Dr. Mauki
@user-pq9yu8hp8n
@user-pq9yu8hp8n 11 ай бұрын
Ubarikiwe nimepona sana
@salomemasue5506
@salomemasue5506 Жыл бұрын
Daaah ubarikiwe Kwa somo nzur Kaka!!!
@smay9
@smay9 2 жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe mno kaka
@smay9
@smay9 2 жыл бұрын
Ila Nina swali moja kwako, huwa una seminar za vijana wanaomaliza shule au kuwasaidia waweze kuingia vyuoni wakiwa wanajitambua!? Kuna topic moja sensitive sana ya maisha ya chuo ulieahi kuzungumxia hapa, Mimi nimekuwa subscriber wako muda mrefu
@pilinade6203
@pilinade6203 2 жыл бұрын
Asante Dr. Kwa elimu hiyo.
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@user-jf8gn3gz8u
@user-jf8gn3gz8u Жыл бұрын
najifunza sana asant doct
@rukkyshabani9500
@rukkyshabani9500 2 жыл бұрын
Asante Dr
@jacobkilimba748
@jacobkilimba748 2 жыл бұрын
Thank you
@hammybrown6311
@hammybrown6311 2 жыл бұрын
Shuqraan sanaa... Dr🙏❤
@user-hf9fh6nk6h
@user-hf9fh6nk6h 3 күн бұрын
I wish mme wangu angeona hii nimechoka sana
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Kila siku najifunza vingi kwako ! Asntee ivyo vitabia vyote ninavyo Ila najilekebishaa maana! Niligombana na mpenz wangu Nika changanya family yote
@victoriamerura9382
@victoriamerura9382 Жыл бұрын
May God bless you 🙏
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 Жыл бұрын
Good lesson, be blessed Dr.
@user-rj7yp9fj3o
@user-rj7yp9fj3o 7 ай бұрын
No zako Dr mi Nina shida
@mwendelwaaline1444
@mwendelwaaline1444 2 жыл бұрын
Asante sana
@musaaliymhd8090
@musaaliymhd8090 2 жыл бұрын
Daa yan doctor kwa kweli nahitaji msaada mkubwa kutoka kwako nina tatizo kubwa mm
@chrissg4026
@chrissg4026 5 ай бұрын
Safi
@samkaskakongesaja-boy7837
@samkaskakongesaja-boy7837 2 жыл бұрын
On Point,🤔🤔🤝
@samkaskakongesaja-boy7837
@samkaskakongesaja-boy7837 2 жыл бұрын
Que Jéhovah te bénisse abondamment
@user-gt9eu2hg8f
@user-gt9eu2hg8f Ай бұрын
Je Doctor upo kwenye Mgogoro mwenzako akaondoka kufika kwao akabadili mawasiliano na hataki mawasiliano na wewe ila anawasiliana na watoto wake na Makosa mengi ni yake ila kamwe ana mambo ya nyuma kwenye kila mgogoro
@user-ck7sm5zm2v
@user-ck7sm5zm2v Жыл бұрын
Kwer kabisa
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 жыл бұрын
Nilikuwa wapi siku zote jmn nisije uku...nashukuru eatv. Maana ndo nilikuona huko sasa nimeingia kujifunza
@joycemourice1582
@joycemourice1582 Жыл бұрын
Hapo kwenye kisasi kama umeniona vile .
@Mamatee7013
@Mamatee7013 Жыл бұрын
Ni sawa lakini mtu ameshakwambia move on na do done sipo upande wako tena na amekukalia kimya mieziii karibu miwili mitatu na haonyeshi ushirikiano wowote tena..bdo tu unatakiwa kujirudii??? Nachanganyikiwa dr.chris
@mwendelwaaline1444
@mwendelwaaline1444 2 жыл бұрын
Kweli mimi kwa leo niko namigogoro na mpenzi sijuwi nifanye nini sababu mpenzi wangu iko wakukasirika saaaana. Naomba mashauri
@bahatimateru1276
@bahatimateru1276 2 жыл бұрын
Uko wapi
@mwendelwaaline1444
@mwendelwaaline1444 2 жыл бұрын
@@bahatimateru1276 mimi niko Belgique
@masturasudi7394
@masturasudi7394 Жыл бұрын
Tafuta rafiki yake wakaribu umuhusishe awakutanishe myaongee
@sheillamwinyi7349
@sheillamwinyi7349 2 жыл бұрын
Dr Chris sijui huwa unasoma comment zetu ila migogoro mengine ni jambo hilo hilo miaka yote na umeshasema ila mwenzio kubadilika hataki,unafanye katika hali kama hiyo
@hadijahamisi3359
@hadijahamisi3359 2 жыл бұрын
Kwakweli em Dr jibu na hili kwanza maan kila siku ba dullah anarudia kosa Hilo Hilo kila siku mpk anaboa jaman mweeh
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
Uwiiiiiiiii Leo ni leooooo khaaaaaa
@mamaafrika1481
@mamaafrika1481 Жыл бұрын
Iyo tabia ata Mimi ninayo ya kukumbuka yanyuma mpaka sasa atupo ote anatamani tukae ote lakini Mimi bado naogopa nakumbuka ya nyuma naona kama yatanitudia umeongea ukweli
@ilhamrashid1125
@ilhamrashid1125 9 ай бұрын
Umenispire mnoo mpk nimeamua kusoma saikolojia
@dancansaka5004
@dancansaka5004 2 жыл бұрын
Nimekaa na yeye miaka mingi Niko na mawazo
@marselinarweyemamu4034
@marselinarweyemamu4034 2 жыл бұрын
Asante mtumishi yahaan naona km umenigusa mm lakin jamni yataka moyo yahaan yu ajinunishe mie nijikombe kwake wakati kosa lake ? Kweli.kabisaa
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ ndo Ivo Ila kuwe na masilai Hana madirai namuacha aende😢😢😢😢😢
@YunusSalum-wq1eu
@YunusSalum-wq1eu Жыл бұрын
Dr yeye ndie alinikosea na Mimi nikabadirika sana😔😔..Hakuniomba hata msamaha mpaka Leo,Namtumia msg hajibu,sim hapokei,na akipokea ananijibu shit saaana,nifanyaje
@queenbhanji4152
@queenbhanji4152 2 жыл бұрын
Dr nin kifanyike ikiwa mwenzako hatak ama hakupi ushirikiano ili kutatua mgogoro uliopo
@JimmyJoel-ht1jk
@JimmyJoel-ht1jk Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi nimjifunza vingi kupitia vipindi vyako yutubu
@rev.musabalalarogersmusabalala
@rev.musabalalarogersmusabalala Жыл бұрын
Doctor Mauki naomba namba Yako
@ditormario2420
@ditormario2420 2 жыл бұрын
What if unapomwambia mtu shida tatizo harafu mtu anakua mkali na hataki kukusikilkza anafoka tu
@nancykimaro3845
@nancykimaro3845 2 жыл бұрын
Defence mechanism hio ili asiadmit kosa lake anakwepa au anageuza kibao be careful such people hurt people so bad
@roycejohn7001
@roycejohn7001 2 жыл бұрын
Dockta me naomba unisaidie Niko kwenye mgogoro mkubwa mno
@EditaMkabajuna
@EditaMkabajuna Ай бұрын
Dokitamauki mugogoro
@neemafrenk8966
@neemafrenk8966 2 жыл бұрын
Kwer ata mi mme wng anasemaga Ivo Ivo yani
@user-ui9xh9mu8p
@user-ui9xh9mu8p 3 ай бұрын
Mimi ninamgogo na mume wangu
@shedy_marie
@shedy_marie 2 жыл бұрын
Mm naona nipo kwenye mgogoro wa kati
@tabithajoseph6800
@tabithajoseph6800 Жыл бұрын
Dr ubarkiwe sana,🙏 umesema usikae kimya,je kama unatumia sms hakujibu hata ukipiga smu hapokei utafanyaje ?
@catherinenchimbi8303
@catherinenchimbi8303 Жыл бұрын
Hapa sasa
@masturasudi7394
@masturasudi7394 Жыл бұрын
Tafuta rafiki yake wakaribu umuhusishe awakutanishe myaongee yaishe
@Value902
@Value902 Жыл бұрын
😂😂😂, yani kama ulikuwepo kwenye mgogoro wetu tunao upitia sasahivi.
@mishi1829
@mishi1829 Жыл бұрын
Naeza mbebeleza Hadi nkachoka aky
@baluhyaandrew1564
@baluhyaandrew1564 Жыл бұрын
Kwa nini unapotafuta ufumbuzi wa mgogoro hupaswi kukumbushia makosa ya nyuma?
@lucianajoshua4989
@lucianajoshua4989 2 жыл бұрын
Nimeongeza kipya
@dianajuma2734
@dianajuma2734 Жыл бұрын
Doctor number please nahitaj
@mishi1829
@mishi1829 Жыл бұрын
Wangu haezi kusamehe kabisa
@heriethkusigwa3996
@heriethkusigwa3996 2 жыл бұрын
Me Mpk Leo nimenuna.😂😂😂Nikija kushtuka Mshikaji kaoa huko😝😝😝😝Ahsante Dr ntalifanyia kazi hilo swala
@janethkomba4485
@janethkomba4485 2 жыл бұрын
kabisaaaa
@ZuenaMussa-qc1un
@ZuenaMussa-qc1un Жыл бұрын
Mwingine unamuliza na Bado anakuona mkosefu eti mwanaume haulizwi
@herminachrispas888
@herminachrispas888 2 жыл бұрын
Jaman wewe baba ubarikiw3ee khaaa nilikuwa kwenye mgogoro,tukaboaanaaaa lakin umenisaidia Ushukuriwe🙏sasaivi Kama Juliet na Julio hhahaaaha
@neemaabeid452
@neemaabeid452 Жыл бұрын
Ni kweri je naruhusiwa kuntafta Kama yy hantafti nisaidie kwa hlo
@masturasudi7394
@masturasudi7394 Жыл бұрын
Ndio fanya hivyo
@dancansaka5004
@dancansaka5004 2 жыл бұрын
Alisima simu yake
@theopistandela7493
@theopistandela7493 Жыл бұрын
Sasa kama hataki muongee???
@LilianMinja-qm8ut
@LilianMinja-qm8ut 3 ай бұрын
Utashughulikia VIP tatizo kama amechepuka........ Una deal na mchepuko au?????? Au yeye mwenyewe????
@eunicecharles8378
@eunicecharles8378 Ай бұрын
Deal na yeye kuwa mpole usitumie ugomvi
@user-bc3lh5ss6c
@user-bc3lh5ss6c Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@thomasmgaya9934
@thomasmgaya9934 Жыл бұрын
M.his.mkenilienaenawezakuachana
@ReinaEspeerance-jg9hc
@ReinaEspeerance-jg9hc Жыл бұрын
Umemufuma kisha husemi kitu cocote na yeye hasemi .itakuwa aje??mimi wiki 2 zinaisha na nimemufuma na mwingine kisha nikabaki kimya na yeye kimya .itakuwa ajee
@shufaamushil8886
@shufaamushil8886 2 жыл бұрын
Nawezaje kumwalika mwenza wangu asikilize mada zako?
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
Nenda sehemu ya clip hii iloandikwa "Share" kisha bonyeza hapo na mtumie kwenye WhatsApp yake. Atakapoingia ataona unachotaka aone na hapo ataona na clip zingine.
@user-ck7sm5zm2v
@user-ck7sm5zm2v Жыл бұрын
Nilikuwa na mke na nimezaa nae watoto wawili,kosa mpaka nimeachana nae,Ni hivii nikimuhiliza kwa utaratibu yeye hupandisha saut,matukio mengine mala anipeleke kwa mjumbe,mara polis hatimae hadi ustawi wa jamii nikimuhiliza shida nn asemi,hatimae nimeamua kumwacha,sasa hivi ananipa shida kulea watoto ,utakuta sasa hivi ananpigia sim uta sikia tuma pesa ya matumizi tena kwa ukari, je Ni sahihii apo??
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 4 ай бұрын
😂😂😂😂nechekaaa
@marylisso2822
@marylisso2822 2 ай бұрын
Hasira ya kuachwa na aibu hawa huwa wanajidefend kwenye makosa yao,ukiona mtu anakimbilia watu kueleza matatizo kaa nae mbali,umeshamjua wewe tuma coz ya watoto lakini usiongee chochote anazidi kupanic
@tausihasheem5169
@tausihasheem5169 Жыл бұрын
Nimeblokiwa na sms alikuwa ajibu nitafanyaje
@salomemwakilima421
@salomemwakilima421 3 ай бұрын
Pole 😢
@dancansaka5004
@dancansaka5004 2 жыл бұрын
girlfriend wangu alitoroka nifanye Nini
@user-zo8sk1ht4v
@user-zo8sk1ht4v 11 ай бұрын
😂😂
@azizauheche5944
@azizauheche5944 5 ай бұрын
😂😂 unacheka @user-zo8sk1ht4v
@barikimatbishi4193
@barikimatbishi4193 Жыл бұрын
Kama mambo yike ni ya ku ku angamiza wewe Bwana Uta amua je?
@Johnsonkayila
@Johnsonkayila 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@thomasmgaya9934
@thomasmgaya9934 Жыл бұрын
Nambayacm.
@Johnsonkayila
@Johnsonkayila Жыл бұрын
@@thomasmgaya9934 namba yangu au ya nani mkuu maana sijaelewa
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 462 М.
Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani
28:57
Chris Mauki
Рет қаралды 40 М.
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 30 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 71 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 27 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
Dr. Chris Mauki: Mbinu 6 za kukusaidia kumpata mpenzi sahihi
9:26
Dr. Chris Mauki:  Usifanye makosa haya mara tu mnapo achana
8:21
Chris Mauki
Рет қаралды 12 М.
Dr. Chris Mauki: Faida 4 za migogoro kwenye mahusiano na ndoa
8:37
Dr. Chris Mauki:      Mambo 5 mke wako angependa umfanyie faraghani
9:17
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 30 МЛН