Dr.Chris Mauki:Hatua 5 Za Kurudisha Imani Kwa Aliyekuumiza

  Рет қаралды 31,704

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Пікірлер: 110
@neemamunisi1116
@neemamunisi1116 2 жыл бұрын
Mwl kila somo unalotoaga naona km unanigusa😊ubarikiwe sana kwa utumishi mwema
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 Жыл бұрын
Mungu na akutunze Dr.hakika umekuwa msaada Sana kwang najikuta kubadilika kila ck
@janethmtuka7157
@janethmtuka7157 2 жыл бұрын
Mwenyez mungu akutunze uwe na afya njema iliueenderee kutufundisha mambo mazuri🙏
@veronicamigera5227
@veronicamigera5227 2 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa uwepo wako, lakini nahitaji kuongea na wewe ana kwa ana🙏
@teddy-iq6lh
@teddy-iq6lh Жыл бұрын
Asante sana doctor kwa somo zuri Mungu akutunze
@aishazahoro5437
@aishazahoro5437 2 жыл бұрын
Kwa kweli mungu atakulipa kwa haya mazuri nnayopatà kutoka kwako. Umekuwa mwalim wangu wa kudum jamn. Hii ni shule na dunia nyengine kabisaaa...
@HasaniSalumu-rc6zg
@HasaniSalumu-rc6zg 4 ай бұрын
Dr hofu naitoaje maana nateseka mimi naweza nikawa nampenzi wangu naingiwa na hof,nashindwa kufanya tendo 🙏
@داماالعنزي
@داماالعنزي 2 жыл бұрын
Asante sana dr.chris umetoa fundisho zuri sana nmesaidika asante tena barikiwa
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Mauki moyo ! Wangu unauma ! Kila nikimfikilia mmewangu ! Nimemsamehe Ila kunamda nakumbuka ! Amenisaliti ! Sikua na tegemea hyo nilimuamin Sanaa ! Kumbe wanaume ndivyo walivyo ! Nawaza kuondoka ! Niishi pekeangu nawaza Sanaa !
@MwasiKiselya
@MwasiKiselya Жыл бұрын
Asante kwasomo zuri namungu akulinde Mimi mmewangu kanikosea ila kuomba msamaha hajawahi kabisa nitafanyaje iliatambue kosa lake
@عبدالعزيزعبداللهالفغم
@عبدالعزيزعبداللهالفغم 2 жыл бұрын
Nmelipenda sana somo limenisaidia sanaaaaaaa ntalifanyia kazi
@MariamBakariy
@MariamBakariy 10 ай бұрын
mariam dr chris asante sana kak angu maana umenitoa kwenye kiza nampenda sana mume wangu lakini tangu alipo. nisaliti sina hata hisia nae lakini nimeelewa somo lako kak ubarikiwe kwa yote
@dannyabs8983
@dannyabs8983 2 жыл бұрын
Asante sana dr.chris....leo umegonga ndipo kabisa....i really appreciate job .God bless you with much more...tuendelee kujifunza kutoka kwako
@salmasulleysh7101
@salmasulleysh7101 2 жыл бұрын
Asante Dr nimekuelewa
@emmanuelvungwa3787
@emmanuelvungwa3787 2 жыл бұрын
Asantee Sana docter kubali
@ismailmutisya1079
@ismailmutisya1079 5 ай бұрын
Following from kenya,i like this man
@irennyamanda7465
@irennyamanda7465 2 жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho, Mungu azidi kukutunza sana 🙏
@doricejohn4648
@doricejohn4648 2 жыл бұрын
May God blessing you Doctor
@felistermahugi2902
@felistermahugi2902 2 жыл бұрын
Ulinisikitisha Sana, 4 months ago nilikupigia nilikuwa na shida, hukurespond. Jitahidi kujali simu.
@hellen1323
@hellen1323 2 жыл бұрын
Yan hata ukiuliza anapatikana wapi kiofice hajibu
@queenmakere2849
@queenmakere2849 2 жыл бұрын
Asanteee kwa somo zuri sana hakika tunajifunza mengi
@asmaafamau9293
@asmaafamau9293 2 жыл бұрын
Shukran Sana Dr mngu akubariki
@madlynerose6493
@madlynerose6493 2 жыл бұрын
Asante doctor umeponya maisha yangu may God bless you forever
@HappinessKiondo-ii7sw
@HappinessKiondo-ii7sw Жыл бұрын
Doctor najivunia Sana masomo Yako najengeka tena kwenye ndoa nilikuwa nimeanguka nataman kusahau yaliyopita niwe na Iman tena na ndoa yangu
@hassanjuma7104
@hassanjuma7104 2 жыл бұрын
Doctor kris's.kuna bint nilie mpnda sana.lkini yye akaniambia ni mpe mda ata nijbu basi nilikua nikiongea nae kma kawaida.ila jbu lilokuja kwangu lilinivunja nguvu.aliponiambia kua Mimi kunae kijna nilimpnda sna mpka sioni jinsi yakumxalti.kwa ukweli niliumia doctar na uyu bint nampnda je nifanyeje
@annamwakilembe5683
@annamwakilembe5683 2 жыл бұрын
Asante Sana Dr,
@williamdanny4325
@williamdanny4325 9 ай бұрын
Mm ni mmoja wapo napata shida sana kurudisha Imani
@danielminangu9440
@danielminangu9440 2 жыл бұрын
Mwalimu Asante Kwa SoMo zuri ila naomba unisaidie nimefunga ndoa nimefatilia SoMo lako la mahusiano feki ni alisi kabisa na maisha yangu ya ndoa
@anithamsoke2329
@anithamsoke2329 2 жыл бұрын
Dr Chriss msamaha unahitaji neema ya Mungu ili kumweka mtu huru. Tofauti na hapo ni ngumu mtu unakuta kakuhumiza mara kibao kosa hilo hilo. Mungu atuhurumie wengine hawabaridiki
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 жыл бұрын
Yaan we acha tu
@bill_ambrose4806
@bill_ambrose4806 Жыл бұрын
Hii imeniponya san dr....shukran sana
@dativakiiza9559
@dativakiiza9559 2 жыл бұрын
Asante sana Mimi nimekutana na ili SoMo maana nimeumizwa sana na mme wangu na nahisi maumivu makali moyoni mwangu. Ila kupitia haya mambo matano niliyoyasikia ngoja nistragle kuzifanyia kazi
@neemawilfred
@neemawilfred Жыл бұрын
uko vizuri sana kaka mafunzo yako ni mazuri
@hadijaMussa-sc1tk
@hadijaMussa-sc1tk Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@stelinahlina4780
@stelinahlina4780 Жыл бұрын
somo nzuriii sana ubarikiwe
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 2 жыл бұрын
Asante sana dr
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Mmmh umenitoa mbali Sana, nilikuwa na visasi na uchungu Sana, ninaanza kuchukulia hatua haya uliyofundsha,
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 2 жыл бұрын
Baba gharama za kukuona ni shilling ngapi
@happymgasa3876
@happymgasa3876 Жыл бұрын
Dr nakuelewa sana nimejifunza na hata mm nitabadilika na kumpa mda mpenz wangu
@shangweamonkango1977
@shangweamonkango1977 2 жыл бұрын
Ngumu sana mungu atusaidie
@fatumaabduly5086
@fatumaabduly5086 Жыл бұрын
Dahh thanks dokta
@hdhjdh775
@hdhjdh775 Жыл бұрын
Asante sana 🙏❤
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 2 жыл бұрын
Best Doctor!! Thank you
@patriciacosmas5944
@patriciacosmas5944 2 жыл бұрын
Unamsamehe anarudia Tena unampa mda lakini bado tatizo Ni lile lile.hapa nimeerewa hakuna kitu.
@NellyYuda-ev5ts
@NellyYuda-ev5ts Жыл бұрын
Kama mm unamsameh anarudia Tena Sasa hapo inakuwaje
@Mahene-w1l
@Mahene-w1l 3 ай бұрын
Shida Sio kumsamehe tu Bali tatzo lolote au Tabia Yoyote Inaweza kurekebishwa Cha kwanza kaeni Chini Muulize kama Anatambua Tabia Hasi aliyo nayo Cha pili Je yupo tayari Kiasi Gani Kushughulikia Hiyo Tabia.. Changamoto tu Huwa inakuja pale Ambapo Mtu ana​ona Yale anayofany ni sawa ilihali tuna Kasoro ambzo tumerithi kutokana na mapito yetu pia kutok kweny familia...jambo la Muhimu Kwa nyinyi wawili ni Kutambua Kuwa Mmekutana mkiwa na Tabia Tofauti hivyo Kil Mmoja akubali Kuwa hayupo kamilifu so inapotokea Mmoja wenu Ameonesh Tabia isiyomfaa mwingne awe na Moyo wa Kukubali na Kuwa tayar Kufanyia Kazi Ili kujenga Tabia ya pamoja@NellyYuda-ev5ts
@beathagurthi4432
@beathagurthi4432 Жыл бұрын
Appreciate you
@josephatybennedictor5396
@josephatybennedictor5396 2 жыл бұрын
Thanks Dr
@janenkhwazi2457
@janenkhwazi2457 2 жыл бұрын
Nimeipenda somo hili maana usiku I fought with my man.....yani angekuwa mke mngine should have given up him coz it's too much disrespect me but I forgiven him more times....Besides I don't trust him anymore.
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 2 жыл бұрын
Pole Jane yanatukuta wengi men are not faithful my dear
@shibalubela6500
@shibalubela6500 Жыл бұрын
Am healed from what I was going through
@cosmasbenadr
@cosmasbenadr Жыл бұрын
Amina ndugu
@edethkekekeke910
@edethkekekeke910 2 жыл бұрын
Wangu anarudisha uhusiano kwa mawasiliano..pia kutaka tufanye miradi naye ilihali alioa..nitajuaje..bwana mauki..mawaidha tafadhali
@NeemaFaustine-e6q
@NeemaFaustine-e6q Жыл бұрын
Mimi kwakweli nimechoka na mapenzi😢 unanisaidiaje😢
@happynescostat7420
@happynescostat7420 9 ай бұрын
Nimeipenda Sana hiyo😂 jipende mwenyewe!😅
@happynescostat7420
@happynescostat7420 9 ай бұрын
Karibu tuwe marafiki nipo kagera,
@paulinambeleselo6099
@paulinambeleselo6099 2 жыл бұрын
Hapo kwenye kumpa muda wa kubadilika inaweza ikafika hata Zaid ya miaka mitano kweli
@mwetafils8875
@mwetafils8875 2 жыл бұрын
Sasa Dr, Na endapo mtu liye niumiza hataki hata kunisikiliza namuomba msamaha hataki kabisa kunisikiliza nafanyaje ?
@محمدعلي-ش3ج8خ
@محمدعلي-ش3ج8خ Жыл бұрын
Mm nimeshindwa kusamehee😢 mum wangu tunaye watt 4 nipo kuja saudia..nimekuwa namutumiya pesa iri tunikwamuwe ira arico nifaniyi n Mungu tu nimerudi sikutaka hata pesa moja hata hakufanya cocote zaidi yaurevi ss nimeshindwa kusamehee
@priscamhina6624
@priscamhina6624 2 жыл бұрын
Why sikusubir nisikilize hili somo nimeruhusu hasira initawale
@zerishtz1110
@zerishtz1110 2 жыл бұрын
Sasa Kama ameomba msamaha alafu bado anarudia kosa lile lile la usaliti nifanyeje dr
@efrasianjiro6261
@efrasianjiro6261 2 жыл бұрын
Weka namba za sim basi
@happyyusuph6477
@happyyusuph6477 2 жыл бұрын
Daa MUNGU atupe neema ya kusamehe
@judith-ni1yd
@judith-ni1yd Жыл бұрын
Mm nataka unisaidie Nina mpenzi ninaempenda sana lkn sahii simuelewi kabisa ukimutumanishia massage hajibu ukimpingia hasiki simu.ukimuuliza analeta Sababu zisizo eleweka na bado nampenda Yani moyo Wang inakataa kupenda mtu mwingine
@damarinjeri4407
@damarinjeri4407 2 жыл бұрын
Thanx for your advice Mr Chris ,,I have been in this problem for a long time till now ,,,I have not being able to forgive my husband 😪my heart bleeds each time I remember what he did even if he's asking for forgiveness after he realised his mistakes ,,,God help me 🙏🙏🙏
@anithamsoke2329
@anithamsoke2329 2 жыл бұрын
Same to me dear
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 2 жыл бұрын
Pole Damari but women have real love most of men cheat their lover please do not allow your heart to be broken please
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 2 жыл бұрын
Ndio ninachokipitia muda huu😢
@fathiaabdallah4106
@fathiaabdallah4106 Жыл бұрын
😭😭
@MaryAddam-my8nh
@MaryAddam-my8nh Жыл бұрын
Asante doctor.
@anithajoseph2757
@anithajoseph2757 Жыл бұрын
Mm naomba ushauri wako, mwenzangu hashauriki na anakuwa na misimamo yake hata kama anakuwa anakosea. Nifanyeje.
@liliannyangau964
@liliannyangau964 2 жыл бұрын
Ninakushukuru sana,ningependa unisaidie jambo fulani ulilala rafiki ambaye anataka kujua historia yako yakitambo anauliza kama nimewai kuwa na mpenzi na nini ilifanya tukakosana anatakakujua kila kitu kuniusu ninaomba unisaidie kujua ni kwa nn anaulizia
@kambindahilda628
@kambindahilda628 2 жыл бұрын
Hivi unaweza kumsamehe aliyekuumiza kweli?
@AminaGarnoon-lk4wz
@AminaGarnoon-lk4wz Жыл бұрын
Please nataka kukuona mm nimuhanga
@stellahmelkiony8890
@stellahmelkiony8890 2 жыл бұрын
Hapa nimeshindwa Dr. Inabidi nikuone private labda ntaweza funguka ukanipa tumaini tena
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 2 жыл бұрын
Pole Stella hunishindi Mimi dear
@stellahmelkiony8890
@stellahmelkiony8890 2 жыл бұрын
@@leahjohnsimba4088 Asante mpenzi Mungu atusimamie ni ngumu mno mno kuelewa hii kitu ikishakupata duh
@leahjohnsimba4088
@leahjohnsimba4088 2 жыл бұрын
Mimi nilisalitiwa Mara nyingi na mume akazaa nje watoto wawili nikutie moyo Mahuki anasema ukweli Dada same he maisha yaendelee nimepoteza uzuri woote kwa hiyo anachosema Kris zingatia utafanikiwa
@stellahmelkiony8890
@stellahmelkiony8890 2 жыл бұрын
@@leahjohnsimba4088 Duh pole sana mpenzi ngoja nijaribu njia za mauki ila kwa kweli ni ngumu mno kusamehe
@stellahmelkiony8890
@stellahmelkiony8890 2 жыл бұрын
@@leahjohnsimba4088 na watoto unawalea au umewaacha kwa mama zao ni kwa mwanamke mmoja au wawili tofauti
@reyshabani6006
@reyshabani6006 2 жыл бұрын
Nimejifunza kitu
@nuruchande8848
@nuruchande8848 Жыл бұрын
Yan doctor, some times mtu unashindwa kurudisha Imani kwa mtu wako kwa sababu anarudia the same mistake!!...sasa hapo tuseme n wao wanashindwa kushughulikia mazingira ya wao kucheat au kukosea makosa yaleyale Co Siri inaumiza mno Dr. Mtu unampenda unamuheshimu na unajitahid kwa Hali na Mali kutimiza majukumu yako kwake lkn yy anakazi ya kukuumiza tu😭😭 Na hiii ndo inapelekea kumkumbusha makosa yake ya mwanzoni! Hata mm hii tabia ya kukumbushia kosa nnayo coz mtu anakuomba msamaha na unamove on hee!!😳after few days anarudia kitu kilekile au kinachofanana na kile😭so pain
@lucymponji9946
@lucymponji9946 Жыл бұрын
Na km ww ndio mkosaji unafanyaje ili akupe tena nafasi na kukuamini tena?
@zeanasabri7994
@zeanasabri7994 Жыл бұрын
Kaka nitakupataje maaan maneno yako yamenigusa
@semenichaula371
@semenichaula371 Жыл бұрын
Dokta unakuna umemsamehe mumewako lakini bado analudia tena kufanya ivyo je nitafanyaje
@rehemachagiye7397
@rehemachagiye7397 2 жыл бұрын
Nahitaji msaada wako doctor ,nakupataje wapi?
@frolarafaeli7956
@frolarafaeli7956 2 жыл бұрын
Minaomba unisaidie namba WhatsApp yako
@neemamushi3980
@neemamushi3980 2 жыл бұрын
Sasa mie ata kuambiwa tu samahani ajawai , unafanya nini hapo
@PeterJoseph-e6r
@PeterJoseph-e6r 9 ай бұрын
Kiukwer Kaka una npa ubora zaidi katka masomo yako
@themembinga3996
@themembinga3996 Жыл бұрын
Mada imenigusa itabid nianze kurudisha moyo
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 2 жыл бұрын
Mh! Sijakuelewa hata kidogo!
@TivahAlya
@TivahAlya Жыл бұрын
😅😅😅😅
@budodiatoni4496
@budodiatoni4496 2 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔nakubari hakika ubarikiwe
@jamesobedy3940
@jamesobedy3940 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@jfr2444
@jfr2444 2 жыл бұрын
name upenda mada hii
@joventmichael9161
@joventmichael9161 2 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa somo nzur sana Mungu akubariki limenisaidia sana
@alyakassim8201
@alyakassim8201 Жыл бұрын
Inauma maneno mazuri Dr 😭😭
@alyakassim8201
@alyakassim8201 Жыл бұрын
Yananipa utulivu maneno yako Allah akubariik subra tu ndio ngumi kama usemavyo
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 2 жыл бұрын
😀😀😀Una gusa mle mle Unafunza kwa kuleta faraja kwa kweli, kwa kweli tukiombwa msamaha tunataka iwe hivyo hivyo mabadiliko ya haraka
@hshshsshjdjejjejejejej9823
@hshshsshjdjejjejejejej9823 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 472 М.
Dr. Chris Mauki: Mambo 5 kamwe usiendekeze kushirikisha watu
8:15
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,1 МЛН
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 108 МЛН
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 214 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kujipa furaha mwenyewe
8:08
Chris Mauki
Рет қаралды 34 М.
Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanaume yanayo waudhi sana wanawake
10:20
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki
Рет қаралды 130 М.
JOEL NANAUKA: JE, UNAJUA KUSUDI LA MAISHA YAKO?
13:32
Joel Nanauka
Рет қаралды 57 М.
Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanawake yanayo waudhi wanaume
10:15
Chris Mauki
Рет қаралды 250 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,1 МЛН