Ninamuomba Mungu awape watoto Mapacha wa kike na wakiume ktk Jina la Yesu Kristo.Ameeen. Poleni saana
@FatumaSaid-t4r5 ай бұрын
Mimi ni Islam but nakuombea kwa Allah akupe utulivu wa nafsi.pole sana
@raymondgerald34195 ай бұрын
Wewe ni mtu mwema Mungu akuangalie Kwa jicho lake mpaka ndani ya moyo wako na akupe malipo ya haki ubarikiwe sana.
@DanielYusuph-0715 ай бұрын
Amiin
@juliethfrancis61705 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu….
@ephraimkalanje71055 ай бұрын
Be strong and stay strong, Mbarikiwa! Hakika unayoyapitia ni magumu kuchukulika. Lakini kiimani unapitishwa katika tanuru la moto ili uibuke dhahabu imara na safi! Hongera kwa ushindi wako. Kwa wafahamuo; machozi yako yanaeleweka! Amen to God Almighty!
@regnethmtemanyongo22375 ай бұрын
Mungu mfunike baba yangu
@jumanzumbi12155 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu.Mungu yuko upande wako.usikate tamaa
Huyu baba hakulia kwenye msiba wa mwanae hapa ndo kalia sasa MUNGU bado ataendelea kuitwa MUNGU peleni Sana taji yenu watumishi ipo mtaikuta mbinguni🙏🏼🙏🏼
Ashukuriwe Mungu kwa ajili ya maamuzi ya mahakama, Mungu aliye mwamuzi wa haki , aliye mteteaji wa wanyonge asimame upande wa haki. Mubarikiwe sana, msizimie mioyo.
@obedimunguachiza84345 ай бұрын
Mungu ibariki mahakama ya Tz na ubarikiwe pia rahisi Samia Suluhu. Naiombea serikali ya Tz kujua kutumia huduma ambazo anazozibeba mtumishi wa Mungu aliye hai Mbarikiwa Mwakipesile wetu. Asante sana dada Salome kwa ujasiri wako. Hata sasa damu ya Wokovu inalia kulipiza kisasi.
@goldermeirshoo12285 ай бұрын
Hongereni saana kwa ushindi mkuu, Mungu Baba awape faraja itokeayo kwake, MUNGU ANAWEZA YOOTE
@hellenmsongole-uw4xl5 ай бұрын
Pastor usilie baba nakufatila sana Mungu atasimama nawewe mpaka mwisho Mungu azidi kukutetea baba,ma salome mtumikieni Mungu mutalipwa musipozimia moyo
@nestorypesambili73415 ай бұрын
Mungu akutie Nguvu mtumishi wa Mungu.
@michaelm.mwalusako37245 ай бұрын
Pole sana Mtumishi wa Mungu. Isaya 26:3.,4. 3. Utamlinda yeye ambaye moyo wake umekutegemea Katika amani kamilifu, kwa kuwa anakutumaini. 4. Mtumainini BWANA siku zote Maana BWANA YEHOVA ni mwamba wa milele.
@nmatuja21915 ай бұрын
Pole sana pastor Mungu akubariki na akulinde.
@rosemageka6865 ай бұрын
Poleni sana watumishi wa Mungu hili kwenu lilikua ni karibu na mmelishinda Kwa uvumilivu wenu.. Mungu anayehukumu kwa haki atawapa mengi mazuri maradufu ya mliyopoteza..jina la Bwana libarikiwe Amen,,
@subirajohn7285 ай бұрын
Pole Sana Mtumishi umenifanya na Mimi nalia pole Sana! Mwenyezimungu awe faraja yenu! Poleni Sana!
@MnanilaMrsmnanila5 ай бұрын
Simama mtumishi wa Mungu,Taabu yako siyo bure utafutwa machozi hayo kwa Muda wa usioujua,usirudi nyumba simama wewe kama wewe,Yesu alisalitiwa na mwanafunzi wake,hata kama watumishi wengine wanakuchalenji usijali wewe mwangalie Yesu tu anatosha ktk maisha yako
@LydiaMuhoja5 ай бұрын
MUNGU wangu nikushukuru tu, Mtumishi songa mbele baba. Usilie, mahakamani nako kuna Malaika wa haki. Aliyetumwa kuhukumu kwa haki,👏🏻
Pole Sana Gwakukaja. MUNGU WANGU WA MBINGUNI AKUTIE NGUVU, INAUMA SANA, ILA WEKA YOTE KWA YESU. YEYE NDIYE FARAJA YAKO. AHSANTE MUNGU MAANA UMEJIBU MAOMBI YANGU NA YA WATUMISHI WA MUNGU, KUHUSU HII KESI. MUNGU AWE NANYI.
@joycekaje87555 ай бұрын
Baba pole tena pole,umelia kilio cha uchungu mno,ambacho kinaguza kila mtu.Lakini ukumbuke kusamehe baba Mchungaji na mama Mchungaji.Mungu awatie nguvu
@annamulungu28765 ай бұрын
Pole sana baba. Nimejikuta nalengwalengwa na machozi. Mungu awafariji mwenyewe!. Tunawaombea.
@josephineokama22005 ай бұрын
we huna machozi Mimi nimelia mpka makamasi mepesi yanatoka
Poleni sana. Pole Mwakipesile Mungu akufute machozi yako akupe faraja, ni yeye tu anaweza kukuondolea uchungu mpe sasa moyo wako., imetosha.
@AGATHACLAVERYMAKANTA5 ай бұрын
Poleni sana wazazi wangu, MUNGU yupo upande wenu na kanisa zima kwa ujumla. Njia iendayo kwa BABA WA MBINGUNI ni nyembamba nayo imesongwa na milima na mabode na adha za kila namna nao waiendeayo ni wachache, tusonge mbele baba na mama usivunjike mioyo tupo nyuma yenu watotowenu, halleluyaaaa. Ninahakika MUNGU HATOTUACHA KAMWE.
@atuganilemwakasangam20185 ай бұрын
Kumtumikia mungu kunafaida kubwa. Kilio chako ni kicheko kwa bwana. Furahi kwakuwa sadaka ya maumivu na aibu yako leo umeonyesha inavyoweza kufanya kazi. Uvumilivu wako katika kuivaa aibu kunautukufu kwa bwana . Inakupasa utumike kwa mungu ipasavyo .
❤ Tunakushukuru Eee MUNGU kwa hatua zote hizi Mpaka kutufikisha hapa hivi leo hii ❤. Amina. MUNGU Nakuomba angalia Machozi ya wajoli wako hawa katika taabu zote hizi. Amina.
@ugalidona-cs2yn5 ай бұрын
Haleluya haleluya. Amina.
@girbetpaul83095 ай бұрын
Mateso ya wenye haki ni mengi lakini Bwana huwaponya, hayo machozi ya mtumishi wa Mungu hakika HAYATA muacha mtu salama. Mtaona
@girbetpaul83095 ай бұрын
Eeee Mungu muumba wa mbingu na nchi tazama vilio vya watumishi wako hawa tenda jambo ili dunia itambue kuwa Mbarikiwa mbingu inamtambua.
Pole sana mchungaji mbarkiwa. Hakija inaumaaaa. Mungu akuoeni nguvu na neema ya kulibeba hili.
@BensonKifwe5 ай бұрын
Pole sana Mtumishi wa Mungu.Mungu akutie Nguvu Mt
@hellenngwilla5505 ай бұрын
Asante sana Mungu wetu kwa kujibu maombi pia asante mahakama kwa kutenda haki tulikosa amani juu ya kesi hii Mungu ambariki hakimu aliyehukumu kesi hii🙏🙏
@thelonewolf44295 ай бұрын
Duuh waovu Mungu anawaona hata uruma hawana walaaniwe MUNGU NI MWEMA MAHAKAMA IMEFANYA VYEMA KUTENDA HAKI
@GROLYKIBONA23 сағат бұрын
Pole kaka inauma sana MUNGU awatie nguvu
@enockkusaga93255 ай бұрын
Mungu ametuweka kwa kusudi lake, siku moja utafutwa machozi, Amani ya Mwokozi izidi daima kukufunika, mateso ya mwenye haki ni mengi lakini BWANA hutuponya nayo, Amina
@rosehaule67655 ай бұрын
Jamani.pole sana nimeumia umelia sana maisha ndivyo yalivyo sote tutakufa aijalishi kwa kifo cha aina gani? Mungu ni mwema sana tumshukuru tu.
@SharifaMohammed-el3ug5 ай бұрын
Nimelia sana. Pole leo ndio anasikia uchungu maskini. Mungu akutunze pastor. Kama unafiwa huwezi kuelewa
@YelikoMsamba4 ай бұрын
Da pole sana Mungu awatoe nguvu wakati huu mgumu ila songeni mbele Mungu ni mwaminifu musimuache poleni sana
@PHILIPOOLEMBAYE-ml4it5 ай бұрын
Pole Sana mtumishi wa Mungu MUNGU akufariji
@zainabusaidi45425 ай бұрын
Pole mtumishi wa Mungu,Mungu ni mwema haki imepatikana
@PendoMatemba5 ай бұрын
Jamani, pole, pole Sana, Hatimae Mungu ametenda
@joycevihenda8565 ай бұрын
Poleni sana na mungu awatie nguvu.ufalme wa mungu ni wa wale wenye nguvu.may God give you strength to continue standing and spreading the true gospel.nafatilia kwa mno.Haki ipo mbele za mungu.
@gmctoktgtr75845 ай бұрын
Poleni watumishi wa mungu tunawaombea mungu awape nguvu mzidi kuendeleza injili na ni asante maana mahakama imethibutisha ukweli katika kupotea kwa mtoto wenu. Tunajua mungu atazidi kusimama nanyi hatawaacha kamwe
@PhinaEdmund5 ай бұрын
Mungu awatie nguvu watumishi wa mungu.. Yesu atayafuta machozi.. Mungu anawajua walio wake
@samkabena4 ай бұрын
Pole sana kwa Yale yote Mtumishi wa Mungu umepitia.lakini kwa yote Yesu amekupa ushindi.jitie nguvu . Naitwa Samuel kabena kutoka Nairobi, Kenya.
@moshiwasua57495 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu Mbarikiwa. Mungu akubariki sana Wanaokukashifu wasamehe bure. , akili yao imewatuma hivyo. Songa mbele mtumishi wa Mungu
@norahmajaliwa38415 ай бұрын
Roho Mtakatifu aendelee kuwafariji na kuwatia nguvu. Poleni sana.
@masikomageta44645 ай бұрын
Pole sana pastor Mungu ni mwema
@danfordMlagala5 ай бұрын
Mungu awatie nguvu. Ipo siku yote yatakoma. Hakuna kitakachodumu isipokuwa Mungu pekee. Ufunuo 14:13; 21:4. Amina.
@faidiapanja95575 ай бұрын
Mbarikiwa,liko jambo ulimwengu umejifunza kwako,Mtumishi umeandika historia pamoja na mkeo ambayo haitafutika,Ninyi ni marungu ya Mungu aliye hai songa mbele.
@masterhptv40655 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu najua mapito ni makubwa nawe uko imara, Mungu yuko upande wako jipe moyo mkuu
@mectridajosephmectridajoseph5 ай бұрын
Pole baba,mungu ndie mtetezi wetu
@josiacharles27785 ай бұрын
Mungu azidi kua upande wako akufanyie amani 👏👏👏
@AGATHACLAVERYMAKANTA5 ай бұрын
Mtumishi David karibu sana kikosi Kazi chainjili sumbawanga tunapatikana kasisiwe
@MerinaMtitu5 ай бұрын
Pole mtumishi, hakika Mungu ni mshindi
@SadikiMvella5 ай бұрын
Poleni sana watumishi wa MUNGU,Yeye MUNGU ni kimbilio na Nguvu msaada tele uonekanao wakati wa Mateso yetu MSIOGOPE.
@Gaynor12345 ай бұрын
Mungu awatie nguvu watumishi wake. Nimejisikia vibaya na uchungu mwingi japo nipo mbali nanyi. Nipo pamoja nanyi katika maombi. DAIMA HAKIKA MUNGU HUMTAZAMA MWENYE HAKI! Mungu awape ujasiri. Toka Seattle, Washington nchini Marekani.
@StivinWambuto-zy5ft5 ай бұрын
MUNGU hawezi kuwaacha Wacha MUNGU, MUNGU amewashindia , hallelujah, jina la MUNGU libarikiwe
@SophiaNdilito4 ай бұрын
Mungu Atawapa Watoto wengine Na awatie nguvu kiroho na kimwili maana Mnapitia majaribu Makubwaa ila Mungu ndo Muamuzi wa yotee
@amashapatrick2115 ай бұрын
Matendo ya Mitume 20:19 [19]nikimtumikia Bwana kwa unyenyekevu wote, na kwa machozi, na majaribu yaliyonipata kwa hila za Wayahudi; MUNGU AKUBARIKI SANA BABA YETU MUNGU ANASITAHILI SIFA KWAKWELI Amen
@johnmtumishi85545 ай бұрын
Poleni watu wa Mungu Mungu awatunze awalinde ktk Jina la Yesu Kristo Bwana amina
@elizaedward18515 ай бұрын
Poleni sana Watumishi wa Mungu, Mungu awakumbuke
@annahaonga32815 ай бұрын
😭😭😭😭😭 mtoto anauma sana, pole sana baba angu Mbarikiwa Mwakipesile ,ila malipo yapo hapahapa duniani
@BenedctSangoda4 ай бұрын
Mungu akubaliki mtumishi watu wanaoongea ukweli kamanyie hampendwi
@MichaelElikana-r1m5 ай бұрын
Mbona umeteseka sana mchungaji aise pole sana Mungu akubariki
@MarthaIpungu5 ай бұрын
Mungu awatie nguvu familia ya kikosi kazi mch Mbarikiwa na mm mch Salome msipozimia mioyo Mungu atawalipa
@fkirumba14635 ай бұрын
Jamani 😮 pole sana pasta.haya yatapita.mtegemee MUNGU daima.haki ya kweli haipo duniani
@rehemakipesile49305 ай бұрын
Hongera sana kwa ushindi Mbarikiwa, mwee umenitoa machozi nimelia pamoja na wewe😢😢
@HatibuEMwamboneke-g7c5 ай бұрын
Pole sana mtumishi wa bwana Mungu yuko upande wako wakati wote.
@samsonmwakipesile9365 ай бұрын
Mungu akutie.nguvu.pole.kwa.kidonda .hicho..Yesu awe faraja yako
Pole baba, Mungu aliyeumba mbingu na nchi akutie nguvu na mkeo.
@mulendakigusile5 ай бұрын
Mungu yu pamoja nawe mtumishi wake, kazi unayoifanya Mungu sio bure, umetuamsha wengi, Mungu akubariki
@TubieSanga-qh7zq5 ай бұрын
Du! Inauma Sana Mungu Akutie Nguvu Mbarikiwa
@lawrenceshekinyashi82435 ай бұрын
Pole sana mch. Mbarikiwa kwa maumivu yanayokupat 😭
@shamimtv2545 ай бұрын
Poleni sana Mungu ameona machozi yenyu 😭😭😭😭😭 may God give you strength
@StelaJohn-nj5yf5 ай бұрын
Watumishi wa MUNGU, Mupo ktk kazi ngumu ya Mungu, Kuikana dunia na mambo yake yote.. Basi sasa Mungu awatie mguvu ktk Dumia Hii ..
@ZubedaVicent5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu hajawahi kushindwa Mungu akiwa upande wetu inanimate aliye juu yetu, mtetezi wetu YESU KRISTO BADO YUHAI KUTUTETEA
@patrickmathiasnsalanga34015 ай бұрын
Mungu asante kwa ajili ya wema wako, leo ameyafuta machozi ya watoto wako, sisi ni wako na wewe ni Baba yetu, Naendelea kukuomba Mungu maana unasikia, tunakushukuru sana Mungu kwa ajili ya jambo hili, .Watu wako wamekuwa wapweke kwa kudharauliwa na kudhihakiwa kila mahali, lakini Mungu umetuasa tusikate tamaa katika kutenda mema. Mungu tunaahidi kuendelea kutenda mema kwasababu wewe ndiwe Mungu pekee uwezaye kutupa tumaini nafaraja ya kweli .Asante Mungu kwa wema wako. Amen.
@BeniJohn-xd3cn5 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe Sana yote yatapita lakini neno litasimama
@stellatwaah32425 ай бұрын
Waooo Munguu ni mwema sana Hongera sana🙏🏻🙏🏻
@ReginaMsoka-pj4jc5 ай бұрын
Gehova ww ni Mungu ambae hujawahi kushindwa na jambo lolote, lihimidiwe jina lako Takatifu🙏🙏
@RichardDamas816795 ай бұрын
Mungu tunaomba utusaidie kwa hiri mbarikiwa awenaamani pamoja na famiria yake amen
@VickyMgeni5 ай бұрын
🙏🙏 Atukuzwe MUNGU MILELE.
@VictorNgosi5 ай бұрын
😂😂tunalia wote wanyenyekevu wa MUNGU ❤furaha Hira mbaya imeshidwa kufanya kz ewe mungu atusaidie Kwa wenye haki
@janewanjira-ki6ib3 ай бұрын
That pain i can feel it pole sana Mbarikiwa may God strengthen you and family
@florarwegerera80255 ай бұрын
Pole sana baba na mama najuwa Mungu hatawaacha nimtetezi wenu, nimejikuta nalia sana
@zipporahmibei90075 ай бұрын
Pole sana watumishi wa Mungu awatie nguvu na kuwashindania kwa yote
@sisifaty91835 ай бұрын
Pole pole baba Mungu Hana h7yana ukweli umedhihirika
@FadhiraGold5 ай бұрын
Pole sana baba Mungu wa mbinguni akufunge mkanda
@MarryKiula4 ай бұрын
Pole Sana Mtumishi Wa MUNGU Akutie Nguvu Mtoto anauma Jamanii 😢😢😢
@RonaldOkulo-g6m17 күн бұрын
Great is ur reward in Gods kingdom rejoice in ur spirit it is Gods pleasure to give you kingdom
@florabuzoya39485 ай бұрын
Pole Sana Mtumishi wa Mungu🙏🏿
@neemamwalende97405 ай бұрын
Pole mama py jina la YESU libarikiwe
@EzekiaMichael-jn5np5 ай бұрын
Mbarikiwa Mungu akubariki sana kaka yangu kipenzi
@CHRISTIANMWANAMFIPA5 ай бұрын
Paulo mungu amekusimamia jasili mungu kakupa haki naazidi kukupa falaja amen amen
@davidmwaipopo51715 ай бұрын
Naungana na nyinyi kumshukuru mungu Kama usinge Lia basi yesu asingetuahidi kutufuta machozi usiogope kumbuka Petro yeye alisurubishwa kichwa chini miguu juu nawapenda Sana Sana karibuni sumbawanga
@LidyaSilaa5 ай бұрын
Amen mungu hatawaacha wala kuwapungukia
@annaesterkasyanju65735 ай бұрын
Mungu utukuzwe kabisa kwa hili. Umetenda Baba.
@GraceJulius-qy2qz5 ай бұрын
Pole mtumishi wa Mungu ila binadamu tukumbuke kunakufa yan kila roho itaonja umauti tujuwe kuwatunapita hapa sipetu