I love you so much mum❤ christina ni mugure from Kenya 🇰🇪 much love
@BenalyNgoy Жыл бұрын
Mère merci bcp que l'Éternel bénis votre carrière
@gideon546 Жыл бұрын
🙏 🇹🇿 👉 CHRISTINA SHUSHO Nimemuona na kumsikia leo tu wakiwa na ROSE MSANDO na Diamond PLATNUMZ siku ya ku-Celebrate HAPPY EASTER huko DER LAS SALAAM . Nilikuwa Sikujuwa kama Christima SHUSHO dio aliiba wimbo was "UNIKUMBUKE". MAY "GOD" ALMIGHTY BLESS YOU ALWAYS.⛪ HALELUYAH AMEN.✔️👌👍 🙏🙏🙏 🇰🇪🇨🇦
@willimahmongoni52733 жыл бұрын
Congrant may God bless you
@vicentjoseph75107 жыл бұрын
wow shusho.you are great nakupenda.amekaa sana Kenya.Ameimbaa na wakenya think influence.
@sylviesylvieleonardoliveas61384 жыл бұрын
My sister for another mother we love you in DRC Congo
@georgemasanja37504 жыл бұрын
barikiwa dada endelea kumtumikia Mungu. amekupa kipaji unakitumia, unajua kutumika hongera sana dada . karibu Mwanza maeneo ya Igoma.
@rizikitito30244 жыл бұрын
Nakupenda sana Christina maombi yangu Mungu akuweke juu zaid
@geofbeka16697 жыл бұрын
namkubali sana Christina Shusho, she is a blessing to many
@suzanbisare73666 жыл бұрын
Dadangu huyu mungu wa mbinguni azidi kukufanya baraka kwetu kupitia Huduma ya uimbaji. Barikiwa sana shusho.
@rhinaregina58066 жыл бұрын
Christine shushu Mungu akubariki sana kwa maana wewe njoo una ukweli ndani yako wapi iuli zaliwa
@dignamaren39432 жыл бұрын
Nakupenda Sana Dada ni digna Tarimo,
@nyigulilamwaipopo91917 жыл бұрын
Mungu akubariki,unanibariki mtumishi!!
@SuzieMahalu6 жыл бұрын
Napenda Mungu anavyoonekana kwako,Christina Shusho,Mungu alete kitu kipya kwa ajili ya watu wake
@dorcasmideva49424 жыл бұрын
Naupenda sana huyu wimbo wa ni kwa neema ,ubarkiwe sana.
@nyanteburadeborah44386 жыл бұрын
Nakupenda sana Shusho Nikomwana muke mujane nyimbo zako zinanisaidiya njyina Na itwa DEBORAH
@irenemakau9035 жыл бұрын
Sister shusho good Lord bless you, and keep you,
@bevinmtendo87145 ай бұрын
Huna jipya Christina umeshayatinyanga! Hakuna cha kukusafisha zaidi ya damu ya Yesu, tubu kwa toba ya dhati usamehewe
@judypretty52747 жыл бұрын
Niongoze njia zangu ee bwana naupenda sana wimbo huo barikiwa Mrs Shusho
@damariszuckschwert94897 жыл бұрын
Nakukubali sana Shusho. Mungu akusimamie usijeukabadilika kama waimbaji wengi wa siku hizi. Wanaimba nyimbo mbili mwisho wanafanana na waimbaji wa dunia, hata nyimbo zinaisha upako na hata hazibariki ukizisikiliza.
@amanilema714 жыл бұрын
Nakubali San dad yngu huyo asnte kwa kunibarik
@christinedisii6267 жыл бұрын
Huwa nyimbo ya nangoja inanibariki sana pia huwa machozi hunibubujika be blessed
@meenatumaini63367 жыл бұрын
Uko poa penda sana wewe Christina Shusho
@حسامالراشدي-د9ن7 жыл бұрын
+Meena Tumaini napenda sana zinaniweka Happyy
@cupcakesanddounuts65557 жыл бұрын
christina shusho nakushauri usikatae kabila lako mimi ni mmarekani lakini pia ni mkongamani najivunia ilo na sitaki kusema uongo please kama binti wa yesu unatakiwa kuwa mkweli.
@aishajumaaisha27697 жыл бұрын
nice love
@samsonbomani84596 жыл бұрын
Cupcakes and dounuts mumuache shusho wetu ni tz.
@maureenestozaitun23527 жыл бұрын
Gd bless you Christina for the Great job you are doing for the Lord . I like this.
@hellenmaiyo25164 жыл бұрын
I like her the way i like Aic changombe.
@peninamayanzi67026 жыл бұрын
Hongela Dada ningependa unifundishe kuimba namimi
@nyanteburadeborah44386 жыл бұрын
Mungu akuongeze mibaraka ukipenda unaweza nipanamba ni Deborah nyatebura asande
@penninahthegrace30364 жыл бұрын
Nawatch hii leo,I used to love this lady like crazy
@christinedisii6267 жыл бұрын
uniite kwa hyo movie i like it
@agneshassan47124 жыл бұрын
Tina hongera sana
@veronicamajaliwa16407 жыл бұрын
Goog Christina
@japhetseko5634 жыл бұрын
Christina shusho n nomaaa
@susanaatienoochieng37534 жыл бұрын
Inanifraishaga sana mungu alipo mumba adamu nafikiriaga sana kea nni?.ha kumwacha awe peke yake
@darcinmubeza15604 жыл бұрын
Songa mbele mama
@progresskanchele85994 жыл бұрын
Mm nikiwa Zambia je .umetoa nyimbo mpya
@pamelanabokolweojuma19645 жыл бұрын
ubarikiwi sana
@elisamwangi31467 жыл бұрын
I love u shushu
@aminakassim82725 жыл бұрын
so cute
@veronicamajaliwa16406 жыл бұрын
Upo vizuri dada
@rosekageha28396 жыл бұрын
Kikaangoni, remind Christina Shusho about my story my song she promised to release.
@pamelanabokolweojuma19645 жыл бұрын
ukweli dadangu
@tuntufyewilson84867 жыл бұрын
Tuntufye Wilson,je elimu yako ikoje
@janemumbi70364 жыл бұрын
Hii picha inaudhi mbona picha isiwe katulia inamfanya anakaa soo unreal
@bostonogoti14602 жыл бұрын
MBNA wakati ulikuwa unafanyisha bahati bukuku interview hatukuwa tunakupata ulikuwa unaongelelea kutoka mbali
@anordlubanga42997 жыл бұрын
asant madamu napenda sana kaz zako nazipenda
@fafi90927 жыл бұрын
Naipenda nyimbo yako ya nipe mocho nione macho eeeh
@JohnJames-rp1gr5 жыл бұрын
She's Congolese and Mubembe
@SergeVannydj4 жыл бұрын
🤗🤗
@Jizams7 жыл бұрын
Hi madam. umeanza wapi harakati za muziki mpaka ulipofikia kufaamika kama christina shusho mwinjilisti kwa upande wa nyimbo
@nyau71867 жыл бұрын
Ubarikiwe dada angu
@hamcjunior71436 жыл бұрын
Hongera Dada mungu akubark kwa uumbaji mzuri
@irenei14505 жыл бұрын
My best female artist,ebeneza,nataka nimjue huyu yesu.love them.
@theonlyonebeautiful37265 жыл бұрын
Hapa bado hajakolea ujanja kama leo mh aende studio hivyo sio shusho
@gracethomas6834 жыл бұрын
😂😂
@christinahaule97267 жыл бұрын
umezaliwa mwaka gani?
@neemamartine11766 жыл бұрын
muwe munatia volume
@SetiBongwa8 ай бұрын
Naitwa SETI BONGWA, Niko UsA, swali langu Ni kwamba : unaongea lugha ngapi?
@mariaezekieli45207 жыл бұрын
NAPENDA SANA DADA NYIMBO ZAKO HONGERA SANA
@albeleenalberto1584 жыл бұрын
Hii video inatetema
@robertjoseph89682 ай бұрын
Wacha wee
@pamelanabokolweojuma19645 жыл бұрын
si Kila mtu mwaminifu
@piuskyando4207 жыл бұрын
Hogeka dada
@sahaabalsahaab13735 жыл бұрын
Christina chuchu majibu yako hayako sahihi kila swali unakosa jibu umeniangusha dada haujiamini???
@kipepelebonally4665 жыл бұрын
dada napndasana nyimbozako unapoimba nafarijika
@noxlosingida23697 жыл бұрын
Jamani sauti ya Christiana haisikiki mie simsikii kabisa au nikamuone Doctar?
@neemamoses92387 жыл бұрын
Neema Daudi Ahahahaaaaa,!! inabid umuone dokta.
@christellealphonsine33354 жыл бұрын
Wewe ni muchristu shusho kwa nini kusema uongo? Hivi unawafunza nini ma shabiki zako? Unajulikana kwamba wewe ni mukongomani tena wa kabila la wa bembe kwa nini kukana kabila lako dada yangu? Pili kwa nini hautaki kujibu maswali za washabiki zako uko na kwepa maswali na uongo njoo uko mwingi kwenye majibu zako sasa mahana gani ya kuja kwenye maojiano kama uliona hauko tayari kujibu swali za sisi mashabiki zako?
@happymlelwa88307 жыл бұрын
mbona rafudhi kama sio mtanzania
@Renee-lh8nc7 жыл бұрын
bad quality video 0 to 45
@petergeorge99177 жыл бұрын
Nocrine 21 huyu ana rafudhi ya kikenya mbma
@cindybahati86767 жыл бұрын
Christina sio mtanzania asijekuwa anadanganya media.. yeye ni mkongo wa DRC pia ni kabila la ubembe wa bukavu.. huyu mtu ni muongo lakini ni muimbaji.. aliishi kambi ya nyarugusu, kigoma wala sio mtu wa kigoma.. she doesn't wanna tell the truth about her biography coz they might kick her out of Tanzania smh..
@wardamutanu12007 жыл бұрын
Cindy Bahati shut up
@christinahaule97267 жыл бұрын
Cindy Bahati umjibia wewe
@johnwilondja56427 жыл бұрын
Cindy Bahati kama sio mtanzania wewe ayakuusu alafu kunawatu wana umbea jamani maayakuusu umejitwika mzigo usio wako mwanze kutuliya angaliya maisha yako koma kabisa
@stuatspruce18616 жыл бұрын
Cindy Bahati I thought she's Muha tribe from kigoma
@fbhj4436 жыл бұрын
mwache hakuna atakekufa natz wala congo, wote tutafukiwa tu