MUNGU akurehemu Dada ukajishushe umrudie MUNGU tulibarikiwa sana na nyimbo zako kabla hujaanguka, kumbuka kuipenda dunia hii na mambo yake ni kuwa adui wa MUNGU, na pia huwezi kumtumikia MUNGU na mungu pesa wa dunia hii (mammon)
@ilovejesus93034 жыл бұрын
Hakuna aliye mkamilifu chini ya jua, shusho I love your interview na jinsi umejibu maswali very konki. Hiyo ya Rose muhando, that's how you feel and I respect your view, hata Kama mimi sidhani hivyo. Endelea kujinyenyekeza mbele za Mungu, utazidi kuwa juu😍😍😍
@catyedokigutu73663 жыл бұрын
Kama mtu anamjua lulu Michael vizuri tabia zake KWENYE INTERVIEW... Awez kumshangaa shushu... Yani shushu anajikutaga perfect sana huyu dada ni kama lulu kbsa anavyojikutaga perfect kuona Bongo movie wenzie kama hawana akili,,, alafu yeye ni mkristo akutakiwa kumuhukumu mwenzie kuwa kalewa sifa... Ni wivu... Rose akulewa sifa ila sifa zilimfata alifanya kitu kikubwa sana kwenye mziki wa injili kwahiyo asisifiwe? Rose aliwafunika wote ndio maana wengi walimchukia na kushindwa kumsaidia.... Walitaka aanguke lakini MUNGU AKAMNYANYUA TENA NA TUNAMUOMBEA..... mtu anafanya vizuri lazima tumsifie... Hata wewe shushu unafanya vizuri sana na tunakusifia.. Ila kujikuta perfect tu ndio unazingua.... Wewe shushu watu wanajua mambo yako hadi ya familia yako ila uwez kukuta watu wanakuzungumzia... Usihukumu usije kuhukumiwa.. Muombe MUNGU AKUPE ROHO YA UNYENYEKEVU.. HAKUNA MKAMILIFU
@johnnswilla57204 жыл бұрын
Shusho hana roho wa BWANA kwasasa na anamnyanyasa sanaa mume wake,anasaka noti tu na yuko tayari kupokea noti yoyote ile.aachane na rose hamfikii hata robo,NA KIUKWELI ROSE SI VIWANGO VYA SHUSHO NI MAPITO TU ROSE ANAPITIA ILA KIUIMBAJI KIUANDIJI HATA KWENYE KIPAJI ROSE MHANDO NI HABARI NYINGINE.
@simphoslyvia25704 жыл бұрын
I like you are speech, Christina beautiful gorgeous ,true believe yourself, protect yourself thank you for your advice and God bless you.
@mishiemishie30864 жыл бұрын
Sijapendezwa vile umesema kuwa Rozie alilelewa sifa, usiseme maneno kupendeza wanadamu maana hujui roho ya mtu mwingine, You're You and Rose will always remain to be Rose... Na Rose deserve kupata sifa ya juu ata kuliko vile sai ako....
@geraldmaleko83904 жыл бұрын
Waefeso 5:22-25 22Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana. 23Maana mume anayo mamlaka juu ya mkewe, kama vile Kristo alivyo na mamlaka juu ya kanisa; naye Kristo mwenyewe hulikomboa kanisa, mwili wake. 24Kama vile kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo, wake wawatii waume zao katika mambo yote. 25Nanyi waume, wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa, akajitoa mwenyewe sadaka kwa ajili yake.
@monicaken2544 жыл бұрын
Shusho you are my all time best ..unikumbuke💞💞💖........tangu niwe mdogo....barikiwa sana
@ssanyuleonce40474 жыл бұрын
I real appreciate you dear
@ishengomanelson4 жыл бұрын
You are such a big- mouthed Shusho. Jifunze kuwa na akiba ya maneno. Mtu akikusikia unaimba na akakusikia unaongea atasikitika sana. You are an extremely Money-monger Gospel singer. Trust me you will fall. Mungu atusaidie
@merryvaleria8643 жыл бұрын
Mropokaji
@olivermfinanga12683 жыл бұрын
Mungu anijalie endapo nkiwa mwimbaj wa injili nisifikie stage ya kumponda mwimbaj mwingn ila niwe na uwexo wa kuwaombea🙏kingn kam point ya kwend fiest kufny huduma n kupata pesa uko right but kwa good luck kwend fiest point yake aikuw hvo yy n goodlck awez kukaa kam mwngn jmn kha kila mtu a play part yke tukutane mbingun😂😂😂
@shillahloice2444 жыл бұрын
Waaaaaaaaaaaaaa kiburi ya hali ya juu
@jacklynechesang52674 жыл бұрын
perfect dialogue!!
@duncanmulu24504 жыл бұрын
Kumsema vibaya mwenzako si vizuri
@lumosinewton93334 жыл бұрын
Huyu aimbe tu na kina Nadia, feni Gitu, nandy..... Ckuiz hanibariki
@AdonisSifa4 жыл бұрын
Amepotoka
@hellenismail43514 жыл бұрын
Mtangazaji huyu ni wakimataifaaa...yuko so good...super congrats dizzim
@suzyjohn89404 жыл бұрын
Kwa hapa nimekupenda sana Tina..Tunza nyumba ya Mungu, na tunza mume
@gladykyaruz27374 жыл бұрын
Atunze mume wap wakat ameachana nae.....
@everlyneiminza57224 жыл бұрын
@@gladykyaruz2737 what kawachana na mumewe🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯
@deograssymwavipa68874 жыл бұрын
Ubarikiwe sana my dada christian shusho
@haggaiaura91294 жыл бұрын
Dizzim Online nimeipenda! Wewe interviewer unaonyesha ukomavu wa kiroho - Mungu abariki sana kipindi na huduma yako!
@dominacassian70604 жыл бұрын
surely you are a bright woman of God nice speech
@SelinaNgele10 ай бұрын
Kwenda hukoo levo za Rose kwanza hufiki hata kwa dawa Mama, cha pili upako wenyewe hunaaaaaaaa yani hunaaa....ulikua wafatilia tu hali zake hungeweza kutoa hata mchango?? Ndo maana uliongeaga kinyume nge'ng'e yakagonga Mwamba😅na roho yako chafu ndo maana hata nyimbo hazisongi kwanza ile ya salama ulioimba nae khaa!!😂😂😂😂 hata nusu milioni haikufika kula chuma hichooo😂😂😂 jiulize kwa nini,,,, Mungu huwapinga wenye kiburi na kuwapa wanyenyekevu neemaaa...kazi unayoooo
@lumosinewton93334 жыл бұрын
Hii n lost sheep from tz.... Hujielewi ckuiz
@TheGospelMelodies4 жыл бұрын
Eti Rozi alilewa Sifa, hivi hujui kilichomkuta mwenzio? Sijapenda unavyomsema Rozi, yeye ana upako kukuliko kweli hiyo
She thinks she's better than Rose Muhando huyu mm nilishamchoka kitambo sana hana Yesu kabisa huwexi ongelea mtumishi wa Mungu kama Rose hivyo rose anaupako kukuliko pia anaekima sana hawezi kukuongelea hivyo that why anapendwa na wengi ushindwe sana pepo
@TheGospelMelodies4 жыл бұрын
Anajiita Crowd puller 😂😂😂
@wangariflorensa75594 жыл бұрын
Woow love this nice advise
@rachelmligwa59224 жыл бұрын
Nakupenda Sana Christina nyimbo zako zinabariki Sana naomba namba yako nataka nije. Kuonana na wewe Kuna kitu utanisaidia
@subirajohn7284 жыл бұрын
Unayumba dada mrudie Mungu!
@evelyneibrahim73974 жыл бұрын
kuna wimbo wa Ee Bwana umenichunguza...yaani huo kwangu umekwa best nikianza kuusikia namuona Mungu..unachosema ni kweli Mama mchungaji..
@anajohn81322 жыл бұрын
Na mimi pia. Hata ule wa Neno
@augustinepaschalmrema88584 жыл бұрын
Pamoja dada .Upo powa sana. Majibu yako yanaonyoosha imani UDUMU
@amanijosiah52054 жыл бұрын
Dada umeyumba sana ww huwezi mfikia rose hata kwa uchawi acha wivu msaka tone hakuna mungu hapo pesa tu
@SelinaNgele10 ай бұрын
Mwambie Tenaaaaaaaa
@SuperNdanu4 жыл бұрын
This presenter asking questions is really good at her job
@TREASUREZION84 жыл бұрын
Yes indeed ⚘⚘⚘⚘❤I like her
@dinaelias37284 жыл бұрын
Dada Christina nimekuelewa,,, I appreciate!!!!
@jacklinemueni38534 жыл бұрын
I love your music but may The Almighty God help you come back to your senses before its too late.
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
Indeede
@monicawanza21004 жыл бұрын
Nlikukuwa nakupenda but kwa hili nop. Kumaanisha wamuongelea Rose vibaya behind the scenes,,, '' eti MALKIA wa GOSPEL Rose alilewa sifa KWENDA KWENDA''
@georgeosumba3163 жыл бұрын
Her Mouth And Attitude Will Always Be Her Downfall
@funguozetu39784 жыл бұрын
Money money 💰 fulusi gulusi
@victoriachaula39214 жыл бұрын
Farisayo alienda mbele za Mungu, akisema nakushukuru Mungu, kwa kuwa mimi si kama watu wengine, wanyang'anyi,wadhalimu, wazinzi, ,mimi nafunga mara mbili kwa juma wala si kama huyu mtoza ushuru.BWANA YESU TUPONYE
@atupakisyemapuli86374 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana kuhusu watu kulewa sifa nanimependa umekuwa muwazi sana katika hilo. Naamini hatorudia tena maana Neema kwake bado ingalipo
@shillahloice2444 жыл бұрын
Wewe wakaa kwa sababu ya pesa ama uliitwa sikuelewi shusho
@mr.yahzadochuno79144 жыл бұрын
My favourite msanii
@simphoslyvia25704 жыл бұрын
Napenda mahojiano hayo pia Christina shusho God bless you so much.
@neemachalamila5904 жыл бұрын
Hivi huyu dada mbona kama anachanganyikiwa jamani? Mhhh ukistaajamu ya Musa ya Firauni yatakufanya ufe kwa mawazo
@safielmsuya46734 жыл бұрын
Hahahaaa
@hellenalex95414 жыл бұрын
😀😀😀
@lumosinewton93334 жыл бұрын
Huyu ajiunge tu na kina Nadia mikami na nandy.... Tujue tu
@subirasaid7534 жыл бұрын
Kristina Mimi ni shabiki wako lkn sijapenda ulivyomsema mwezio alilewa sifa ww ni mkristo hupaswi kumhukumu mwenzio zaidi ya kumuombea tuombeane jmn pale tunapoanguka sisi ni wanadamu tu tumeumbwa kila mtu ana mapungufu yake rekebisha hiyo tna
@olivermfinanga12683 жыл бұрын
Amekosea kwel maan hakun anayejua nn alikuw anapitia tatzo tunakurupuk tu kuhukumu jmn😭ila nyuma ya pazia yapo Meng magumu aisee akupaswa kusem hvo dah
@catyedokigutu73663 жыл бұрын
Yani kakosea... Dada anajikutaga perfect sana huyu anaboaga sana.. Anataka kujifanya yeye ndio msanii wa gospel mwenye roho nzuri na hekima...
@siamuchunguzi4 жыл бұрын
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa ama kweli huna Ukristo ndani yako, ungekuwa na UPENDO wa Kimungu usingesema mwenzio alilewa sifa,,,,,,wewe umesimama kiasi gani?????
@safielmsuya46734 жыл бұрын
Huƴu shusho hajielewi ameniboa Rose atabaki kuwa Queeen
@faustatave32784 жыл бұрын
Kwani dada umefuatilia interview au umesoma tu hapo walivyoandika mm sijaona Kama kaongea vibaya na ameongelea general hajamuongelea Rose pekee
@safielmsuya46734 жыл бұрын
@@faustatave3278 kutoƙana na swali aliulizwa kuhusu Rose asingesema mambo ya kulewa
@siamuchunguzi4 жыл бұрын
@@faustatave3278 hata kama sio Roz aliyemwongelea, kwani kama tuna UPENDO wa kweli twaeza kujiona safi kuliko wengine??? Cha msingi hakuna mtu kamili na tujue kuwa wakati mtu anapitia ktk shida haimaanishi kuwa yeye ni mdhambi kuliko watu wote, KUNA KUANGUKA NA KUSIMAMA TENA!!!!
@damariszuckschwert94894 жыл бұрын
Usisahau ameacha mume. Hakuna aliyelewa sifa zaidi yake. Siku hizi anajifanya kizungu kingi.
@kechuagrosupplies4 жыл бұрын
Yaani rafiki angu mungu akutunze
@shelomaday46334 жыл бұрын
Mmmh haya mama salute kwako...unajibu vzur kila swali
@rebeccamapunda84544 жыл бұрын
Umeanguka wewe
@mariasongea55184 жыл бұрын
Really Mungu anamtumia sana huyu dada!!
@michaellagwen81984 жыл бұрын
Huyu mama ana akili sana Christina Shusho be blessed mama
@biblianenolaukweli56164 жыл бұрын
Ulisha feli shushu urafiki gani mkristu na mpagani pole sana shushu rudia panafasiyako yazamani dada
@geraldmaleko83904 жыл бұрын
Good advice thank you, atubu arudi maana maanguko kama haya kishindo chake huwa kikubwa sana, anaongea kama kipofu kabisa hata Maandiko matakatifu hakuna halafu anataka kukutana na celebrities wadunia!!!
@glorylimo86954 жыл бұрын
Naomba wakirsto tuache kuona au kutazama Mambo kwa Hali ya kibinadamu na pia tuache tamaa ya kutaka kua Kama watu wa kidunia jaman..tambueni hizi Ni nyakati za mwisho Linda Sana Moyo wako kuliko chochote ukilindacho Mana uko ndiko kunatoka chemichemi za uzima au mabaya
@jackyavoga16514 жыл бұрын
Sijaelewa Kama ni ndiye ninaye mjua😭😭
@insidetanzania74434 жыл бұрын
Mckenzie you used to sing gospel at school, do that too.. i hope umepata something from her.
@semasema2184 жыл бұрын
My sister that satanic hair you are putting on your head that lipstick,do you know they are de....to the devil?the devil has lied to many Gospel singers,they paint their mouth put on satanic hair weave,the devil is a liar repent and burn the things of the devil you should be a good example sister don't defile God's children
@nancynyaga76754 жыл бұрын
Assignment ipi?
@dianaulomi63354 жыл бұрын
ni mtanzania kwan hyu Dada?
@dianaulomi63354 жыл бұрын
shusho ni mtanzania?
@tumainiaretas25594 жыл бұрын
Sema tu anajikuta anaongea kikenya😅😅
@nahyialetomia92844 жыл бұрын
tumaini aretas, anapendwa Kenya sana tena wakati mwingine huwa yuko Kenya
@khadkhad23394 жыл бұрын
Hi mkongo ,mume wake ndio mtanzania, wa kigoma, nandie alimleta dar
@nahyialetomia92844 жыл бұрын
Khad Khad, tunamzoea hapa kenya kwa mambo za gospel
@noelashaoona4 жыл бұрын
Mcongo I think
@everlyneiminza57224 жыл бұрын
Nandio maana mmi huwa sisifii mtu sana mi humuombea ili Mungu amuinue zaidi na zaidi,
@jackmichael19534 жыл бұрын
OOooohhhhh yes baby Kanisa mpaka YESU arudi
@lilianwalupupu2094 жыл бұрын
Wow!mungu apewe sifa napenda maongezi hayo that is true
@padamar14 жыл бұрын
You are a wonderful servant of God.
@elizabethkayombo77814 жыл бұрын
Amina Christina nimekuelewa🙏
@frasiashabani56724 жыл бұрын
nakama mnatumia kiswahil kiwe swahil tu michanganyiko hatuitaki
@simphoslyvia25704 жыл бұрын
I like you,umeongea ukweli umenifanya nilie ukweli kuna watu tunaish hatui ndani yetu tunanini and I believe yote uliongea ni kweli I steal leaning to your speech, good talent, balance sifa hauko mature enough thank you my dear sister.
@victorlaiser15124 жыл бұрын
Nakukubali dada tena nimepata ushuhuda na nimejifunza kitu.
@drcelinekavira56544 жыл бұрын
Christina I like the way you are speaking big. I love you so much
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
Kweli hizi siku mwisho! Kwahiyo we ambae ndoa imekushinda ndo ume-mature enough? 🤔 (Hebu mengine tuyaweke kwenye mabano) Mungu akusaidie urudi kwenye mstari!
Nimerudi kuskiliza hii interview the way alijibu kuhusu matatizo ya Rose baada ya tamasha la mtoko wa pasaka juzi
@SelinaNgele10 ай бұрын
Levo za Rose hafiki huyoo bure kabisa
@biblianenolaukweli56164 жыл бұрын
Suruwali nizambi sana christina mh mhmh
@shillahloice2444 жыл бұрын
Umeitwa kwenda kuokoa mioyo na wataka kulipwa mwanzo nyie chungeni sanaaa
@kennedyngusa88904 жыл бұрын
Dada wa mie ungea kiswahili 2. Jamani dada kwani kaachana na mumewe ? .naona wengine mnamuongelea vibaya mtumishi
@mtanzaniahalisimungunimwem6734 жыл бұрын
Christina mpendwa wangu unafunga siku 7 kavu?? Yaani bila maji Wala chochote? Hii inawezekana? Mm huwa nafunga kwa mujibu wa Isaya 58.je nakosea?
@olivermfinanga12683 жыл бұрын
Unafunga ila weng wanaenda mlimani MBL na makz mnaandaa mahema then unafunga ila kuanz gafla n ngumu unaeza kuanz kidogo kidogo mwsho mwl unazoea baadae unaanz kufunga mbil kavu,mpka tatu,mwsho NNE,kila unapozd kuzoea unaongez Siku moja ila inahtaj moyo kwa kwel
@pirminmatumizi54644 жыл бұрын
Tabia ya mtu asiyejua/mwanafunzi wa lugha, lakini anajifanya anaijua, ni kuchanganya lugha yake ya asili na hiyo ngeni. Wazungu noma maana ukitaka kumtawala mtu mfanye aichukie hadi lugha yake mwenyewe.
@damariszuckschwert94894 жыл бұрын
Mpuuzi sana huyu.
@sarayusufu2564 жыл бұрын
Kabisa mzungu lazm akutenge na ligha yako, utamadun akuteke kisaikolojia kwamba chake ni bora kuliko yako ndio kilichopo Tanzania mtanzania yupo radhi kuacha lugha yake na kujisifia mwingerez hatuwez kumwiga hata mzee wetu Nyerer ambaye alikuw anazungumza lugha yake hata nchi za nje aonekane proud na lugha yake
@mercynamusia6224 жыл бұрын
She thinks that she's better than Rose Muhando huyu mm nilishamchoka kitambo sana hana Yesu kabisa huwexi kuongelea mtumishi wa Mungu kama Rose hivyo rose anaupako kukuliko pia anaekima sana hawezi kukuongelea hivyo that why anapendwa na wengi sio kama ww mwenye uko after money na Mungu atamuinua mara dufu
@salomemchewa51874 жыл бұрын
Hampendani Sana nyie .mnaoneana wivu
@benjaminosumba45563 жыл бұрын
@@salomemchewa5187 Akuna Wivu, She Is 😈
@hellenmary4644 жыл бұрын
Christina Shusho u got a lovely answer, I love it
@neemaloy8894 жыл бұрын
AMEN MTUMISHI WA MUNGU
@ngetichevans14124 жыл бұрын
Napenda majibu yako shusho....mwanamke wa busara na hekima nimefunzwa kitu leo
@ngetichevans14124 жыл бұрын
Kwa Rose Muhando Mungu huleta majaribu ili tuimarike so ...Mungu ndiye hakimu tusimhukumu mtu jamani Shusho
@stellamoraa16214 жыл бұрын
I am looking forward to seeing and meeting you in heaven my dear.
@agneskatuma9934 жыл бұрын
Zamani nilikuwa nakupenda lakini siku hizi wee siyo humebadilika sana Tina wew ni pepo linatafuta pesa
@lumosinewton93334 жыл бұрын
Waaah! 😂😂
@hidayachele99923 жыл бұрын
What do you mean unajuwa how to print your own money, na hivi hizo hazitakuwa za bandia
@isabellamethod18424 жыл бұрын
Kunavingi nimevipata vyenye faida kwako christina
@baptistaseverinonchamocose23594 жыл бұрын
Mama nakuombea
@neemaloy8894 жыл бұрын
AMEN MTUMISHI
@carolinepeter9614 жыл бұрын
Ameongea point tupu ..ambazo hata kama ww sio mwimbaji au star unaweza kuimarika ..hakika roho mtakatifu alikuwa anasema ndani yake .
@mercynamusia6224 жыл бұрын
Roho alikuwa anaongea my foot, 🙄
@agneshans43614 жыл бұрын
Very true ma dia Sister
@shadiyagifty56194 жыл бұрын
Nafulayi sana nimejifunza bingi kutoka kwake
@lotegeluakilengai54434 жыл бұрын
We all know what happened when the enemy started loving himself!
@frasiashabani56724 жыл бұрын
WE CHRISTINA UNA WIVU SANAAANA WEW.UNAMPONDA MWEZIO HIVYO?
@jjmooo41864 жыл бұрын
Shusho you are not sure with your marriage. Nipe number basi.
@mamaboss1234 жыл бұрын
hahaha
@neemakisumo98674 жыл бұрын
The first one to comment
@janohjanice71224 жыл бұрын
siezi amini eti kumsaidia lose financial..eti nikufuatilia hali yake tu...🙄🙄
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu gani ? Acheni masihara ashatoka kwenye mstari huyo!very stupid! Mtumishi gani anaweza kumuongelea mwenzie vibaya instead of kumuombea? Acheni kulitukanisha jina la Bwana
@lepa3tv8324 жыл бұрын
Mmmh mweee daaah
@scholasticamboje21554 жыл бұрын
Safi dada Shusho
@noelashaoona4 жыл бұрын
She didn’t mention Rosa name but those word are related to rose.
@dainesimkombo92184 жыл бұрын
Maneno ya watu ni shida dada
@MaggieG2764 жыл бұрын
Nice show.
@dorcaschelimo60654 жыл бұрын
That so wrong kwa nini christina she is not proud of her husband and yet that were the lydershipe starts from
@giftkipilimba78564 жыл бұрын
Yaani shusho unaboa, jifunze kwa waliopita
@safielmsuya46734 жыл бұрын
Huombi kwasababu unavyo
@lepa3tv8324 жыл бұрын
Muombee mwaya
@robertnkyalu99274 жыл бұрын
Tina is talented woman
@lepa3tv8324 жыл бұрын
Kabisaaa
@georgeosumba3163 жыл бұрын
But Her Mouth Is Her Downfall
@raymondmkandama114 жыл бұрын
Afu watangazi walivyo wajinga nashindwa ata kumuuliza maisha yake ya zamani na ni mzaliwa wa wapi? We need her background. In short huyu mbembe kwa baba na mama. Ila kesho kesho atasema eti yeye mnyakyusa wa Mbeya hahahha. Mrudie mungu wako shusho. Acha kuvimba wew.
@safielmsuya46734 жыл бұрын
Youtuɓe ilikuepo sema wewe tuu ulikua mshamba
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
😂😂😂
@baptistaseverinonchamocose23594 жыл бұрын
Amdiko la timia watu upemdo kupoa
@nurupaul18454 жыл бұрын
Hakunaga mtu yeyote hapa duniani apate pesa na imwache salama.