Lugha yako ni ya heshima nimeipenda sana,ukarimu mwingi what a lucky Nandi to have a such Man😊 Happy wedding Billnass
@suzanaagustinookelo49532 жыл бұрын
Nakwambiyaa Nandy alilijuwaa ilo kitambo sanaa naamini halimjuwa sanaaa ndo Mahana amefanikisha hilii Mungu awabariki sanaa jamani
@mwanaidsalehe11092 жыл бұрын
Kweli kabisa huyu billnas ana akili sana.
@yassintaibrahim35412 жыл бұрын
@@suzanaagustinookelo4953 Ameen 🙏🙏🙏 Mpendwa Kwa Niaba Yao
@robertathuman38052 жыл бұрын
@@suzanaagustinookelo4953 zZzz see dtizzy zone
@nassoromussa24232 жыл бұрын
Bilnenga: "roho yangu." What a true 💕
@ashanurein54032 жыл бұрын
Nandy congratulations on your beautiful moment I’m soo happy for you 💕🥰🥰Love from Manchester ❤️
@annastaziamosesannastaziam38402 жыл бұрын
Very nice nandi.umetisha Sana.Mungu awaongoze na awapiganie awatetee katika ndoa yenu.mtangurize Mungu kea Kira jambo.mungu ndo kira kitu bira yeye sisi atuwezi.mtangurize Mungu katka ndoa yako.bawaombea muishi kwa amani sku zote.
@faridaf39232 жыл бұрын
Mashalaa Nenga umejitahid sana kutambulisha vizuri💯💯💯💯
@neemamjengi99132 жыл бұрын
Umeongea na heshima na nidhamu kubwa sana hongera nyingi mume wa Nandy
@beatricepallangyo28212 жыл бұрын
Utambulisho mzuri sana Kaka. Nawaombea ndoa yenye kuigwa na wengine kwa uzuri wake. Humbly!!!!!!
@furbenj74052 жыл бұрын
Waoooo congratulations amazing nimewafurahia sana mnastahili asante kwa kumchagua na kumwona bora kuliko wote Mungu azidi kuwatunza na kuwabariki siri ni maombi Dua yawe in silaha kwenu stay in blessing always
@roqayaro94392 жыл бұрын
Mashallah bilinas umemjibu vzr kutukuza mkeo
@omaryalim8952 жыл бұрын
Sichoki kutazama harusi hii sio siri inafurahisha🥰🥰🥰 Mungu awatangulie maombi yangu toka moyoni
@realzeflin64332 жыл бұрын
Hakika ndoa nijambo kubwa na laheshima ,hii ni moja ya sheria kubwa hata vitabu vyakidini jambohili linasistizwa Sana, sisi ambao bado hatujatimiza hili tumuombe mungu atujaarie🙏🙏 tufanyehivyo
@rukiamohd24542 жыл бұрын
Amiin
@patraselemani30972 жыл бұрын
Hongereni sana nawatakia maisha mema yenye amani na upendo
@valaryschebet43592 жыл бұрын
Bravo kaka billnass kwa uthuba yako 👌👌
@jamespilimo89862 жыл бұрын
Speech Kali mno ususani siku yako kama hiyo so mchezo hongera xn Nengaaa
@yassintaibrahim35412 жыл бұрын
Hakika Mmependeza, Binafsi Nawapenda Saana Na Nnawaombea Mema Kwa M/MUNGU 🙏🙏🙏💚💛💚
@fridakimwanya11582 жыл бұрын
Nawaombea sana vipenzi vyangu katika safar mpya ya maisha yenu hongeren sana jmn
@saibabatz73702 жыл бұрын
Umeongea vizur sana mafioso..Billnass..Billnenga safi sanaaaa
@elizabethnimwaka79482 жыл бұрын
Congrats nandi and bill nas may God bless your union 🙏 hongera baraka tele.
@lelaiddy68562 жыл бұрын
Nandy na billnenga mmetukomesha...hakuna shughuli ya star imewahi kufanika Kama yako...mmewanyooosha
@leylagadau33942 жыл бұрын
Kabisaaaa 💯
@matha77502 жыл бұрын
Pisi ya Msela🥰🥰🥰🥰
@eliaikammary75252 жыл бұрын
Kijana mzuri anaonyesha kujali,mchaga wa ukweli Mungu awabariki sana ktk ndoa yenu
@mwajumahchausku82442 жыл бұрын
Nandy loves simple humble men from. Rugee to Billnass. May Allah bless your family.
@mwanahawaomarimashaka1972 жыл бұрын
It's from Billnass to Ruge then after Ruge to Billnas
@neitherherenorthere83672 жыл бұрын
G-R-A-N-D WEDDDING it is!!!
@jamilasalim71652 жыл бұрын
Mashallah mama zao bado vijana
@sarahwenceslaus20242 жыл бұрын
Nawapenda nandy and billinas 🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🌹
@masauletitika3512 жыл бұрын
Mungu akubari Sana kijana billnass
@jumakassim87182 жыл бұрын
Namkubali sana huyu mwamba bill nenga
@theresiamagnius15032 жыл бұрын
Vizuri sana,hongereni wazazi nandugu wote
@saidbwanaalimwanaharakati75082 жыл бұрын
Kila la kheir....May Da Almighty Allah bless ur marriage....
@rebekakalondji25762 жыл бұрын
Hongera sana kwenu
@davidmbwilo49542 жыл бұрын
Bills umeonyesha njia kwa vijana wasikubali kushindwa
@anastasiakifyoga94232 жыл бұрын
Hongera mdogo ang nandy
@halimaibrahim23592 жыл бұрын
Mungu awape Aman ya maisha
@ashrafabasi39502 жыл бұрын
Honger san bro nenga with shem nandy ishin miak mingi
@emmiegee87422 жыл бұрын
So lovelly ❤️
@LetishaRoma Жыл бұрын
Waooo co cut billneng
@tiamasia59982 жыл бұрын
Mapenzi🥰🥰😘😘🔥🔥
@sevianastanley89122 жыл бұрын
Hongera Sana dada nandy
@ireneimbuhira77592 жыл бұрын
Congratulations 👏 ❤
@lucymushi37582 жыл бұрын
Congratulations Billnandy
@meddydoubledi16752 жыл бұрын
You know to talking, For a wisdom
@voiceofwomen_ngo2 жыл бұрын
love you bro
@saidbwanaalimwanaharakati75082 жыл бұрын
Kila la kher Billnass....
@mauricedzombo1562 Жыл бұрын
Wow❤
@kingpiucee69762 жыл бұрын
Congratulations mafioso
@treasureforashes34972 жыл бұрын
Happy for you.God bless your marriage !
@kondwanimwangobora76962 жыл бұрын
Congratulations Nass and Nandy❤️🥰
@mariamalongo88032 жыл бұрын
Congratulations to you both
@victorrespiciusmugizi97062 жыл бұрын
Hongereni maana hadi wazee wa VITOCHI vya uwanjani mliwaalika...😂😂😂
@BeatriceSilau10 ай бұрын
Nawapenda hawa mimi
@FitnaSaid-xb6uv Жыл бұрын
Nawaprnfa sana mimi umeongea vizur beli
@lizahadongo18012 жыл бұрын
Bilnass mpole Ako na heshima
@zillahkawiti6742 жыл бұрын
Am happy for u all mungu awape uvumilivu,but umesahau kumtaja mama mkwe kwanini jamani