Kumbe bwana harusi ni Yanga basi ndoa itadumu hongera sana
@sitiabubakar28922 жыл бұрын
Aaah....😂😂😂
@salomewandya72572 жыл бұрын
Dah namuona Bilinas kachangamka Mashaallah 🔥🔥🔥
@evaristkiiza19382 жыл бұрын
daaaaaah hili bonge la harusi
@ladyt14712 жыл бұрын
Wana Yanga hatunaga stress 💛💚💛💚
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Saaana aiseee 💚💚💚💚💛💛💛
@Userog2542 жыл бұрын
Mbele ya pesa hata Mimi nakubali baada ya hapo ntaenda kubadilika nje🤣🤣🤣
@josminimsigwa51462 жыл бұрын
Yanga utitili mpaka bib harusi 💚💚💚
@mcback4384 Жыл бұрын
Hii nchi mtaniamisha kwa winchi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 😂😂😂😂😂
@nadrahassan52412 жыл бұрын
Nime muona na sheikh masai akicheza kama Mayele 😂😂😂
@lulually52092 жыл бұрын
Daah mapenzi bwana bwana harusi anaipenda yanga mpk kajisahau km yupo kwenye wedding lkn raha sana imependeza
@salomewandya7257 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣umeonaee
@abdallahsuleimani74162 жыл бұрын
Ukisema Hali ni ngumu.kwa wezako wanachezea pesa !! Yaani haya maisha we acha tu?
@rosephidelis55262 жыл бұрын
😂😂 kweli tutafute hela
@deborapeter91882 жыл бұрын
Haswa pesa watu wanazoo
@hassanbokero7691 Жыл бұрын
Afu hawajali
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Acha tu
@happydudahog2196 Жыл бұрын
Bwana harusi atakuwa kashtua kidogo siyo kwa vaibu ilo😅😅😅
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Dah huu wimbo una vibe sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mariumbonifasi72812 жыл бұрын
Baba revo😂😂😂😂😂👍👍👍👍👍umechangamsha sana
@jamilahjamilah41572 жыл бұрын
Yani waa laah watanzania tunaiga Uzugu sasa biharusi hilo nivazi ngani mbele ya wazazi tena pande zote mbili
@fatmasaleh95162 жыл бұрын
Kakaa vibaya alitaka tulione tumbo ovyooo
@aishakimaro97582 жыл бұрын
Yaani usanii ukizidi sana mmh ameboa yaan hapo wazazi ndo wanaona aibu
@yassintaibrahim35412 жыл бұрын
Mtihani Kwa Kweli 🤔🤔🤔 Aibu Naona Mimi
@happynelson1180 Жыл бұрын
Wakiwa na pesa wanavaa wanavyotaka sio wazazi na watu wanavyotaka wazazi walete maneno halafu wakale wapi chezea pesa wewe Rihanna alivaa kichupi mbele ya waandishi na dunia nzima wakaona wenye pesa wanadharau sana
@privadinhodomician6661 Жыл бұрын
Usanii mwingi
@vyizigirorachel22412 жыл бұрын
Babalevo kapewa pesa akaepa 😀😀😀😀
@sabrajob8469 Жыл бұрын
Mungu akujaharie kizazi chema nimimi sabra jobu Niko zanzbari I love Nandi mwaaaaaaaaaa
@faithjonathan38452 жыл бұрын
Makabila anajua kuchangamsha👌👌
@salmamicky9632 жыл бұрын
Jamn kwan hela wenzangu wanatoaga wap za hivyo mmh 🤔 maana c kwa hali ii
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Hahaha Baba levo jmn umejua kunogesha🔥🔥🔥🔥🔥
@Veni5842 жыл бұрын
Yanga raha sana
@minaelnathanael18462 жыл бұрын
Ahsante kijana huu ni mziki wetu wenyewe. Made in Tanzania 🇹🇿 . Tunasubiri Nigeria na amapiano nao waige tu
@salomewandya72572 жыл бұрын
Yaan hadi raha
@salomewandya7257 Жыл бұрын
❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@zenamsumeno73022 жыл бұрын
😂😂😂😂😂watu wanaluka singeli n suti
@officialbntrasool52232 жыл бұрын
Mmsai kaingia n shuka 🤣🤣🤣🤣
@rosegodlove19562 жыл бұрын
Aaah weee nani hataki hela pesa ni kitu kingine kwan kuapa ni sh. ngap jaman ❤❤❤ aaah wooooteee wapi bwanaharusi 😂😂😂
@zuriathabdallah94922 жыл бұрын
Wasanii wa kwanza kufunga ndoa
@lulually52092 жыл бұрын
Kwa upande wa bongo fleva ama km kwa hip hop wapo kina prof j mzee wa mitulinga
@zuriathabdallah94922 жыл бұрын
@@lulually5209 bongo fleva
@lulually52092 жыл бұрын
@@zuriathabdallah9492 ok
@minaelnathanael18462 жыл бұрын
Wapili. Lwiza Mburu na mumewe walifunga RC
@mashamasha28542 жыл бұрын
ᴛᴜɴᴅᴀ ᴍᴀɴ,ʜᴀᴍᴏɴɪsᴇ ᴋᴀᴡᴀʜɪ ɴᴀᴇ ᴋᴜᴏᴀ
@Cheche_Boy2 жыл бұрын
😂 😂 😂 Daah Asee baba Leo kwel ni chawa
@tabukassim32922 жыл бұрын
Hongereni kwa harusi lakini kwa hilo vazi tena mbele ya wazazi mmmh hapana
@aminipangani142 жыл бұрын
Ni shida kipenz
@yassintaibrahim35412 жыл бұрын
Kwa Kweli Co Pouwa Yani
@salomewandya72572 жыл бұрын
Baba Levo kalewa jmn🤣🤣🤣🤣🤣
@ashachitemo78162 жыл бұрын
Nmuona Masai nyeupee kwa mbaliii
@calfocojabeer761 Жыл бұрын
Kwan uyu masai kaalikwa kweli🤷♂️🤷♂️ Nakama kaalikwa hizi dharau sisi Binadam hatujaalikwa alafu masai kaalikwa me Tanzania ntaama😇😇❤🇹🇿#jokes
@ummylahlove3418 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣raha sana sipat pich walioudhuria wali enjoy kiac gan
@hushbtz33102 жыл бұрын
Ila baba levo ni chawa Kaingilia show ya dula daaaaaa 😂😂😂😂😂
@ashaali71542 жыл бұрын
Njaa inamsumbua anajiweka kila sehemu huyu mpuuzi babu levo.