MCHUNGAJI HANANJA afichua mazuri na mabaya ya TB JOSHUA ,kama aliwabaka kwanini hakusema akiwa hai ?

  Рет қаралды 10,903

Bongo Touch

Bongo Touch

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@felixmluge3211
@felixmluge3211 8 ай бұрын
TB Joshua ajawai kuamini kwenye kuponya watu pasipo kuwafundisha..... ukifatilia vzr utapata ufahamu uwo.
@jacksonmwangi9491
@jacksonmwangi9491 8 ай бұрын
The wisdom and sobriety in this man is on another level. Jesus loves you.
@protasraphael6961
@protasraphael6961 8 ай бұрын
Huyu mchungaji anaongeaga vitu muhimu Sana hachoshi kumsikiliza
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 8 ай бұрын
Mafundisho ya kiislam haya masha'allah
@jacksonmwangi9491
@jacksonmwangi9491 8 ай бұрын
"soko lipo...ntatengeneza bidhaa.." 😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 8 ай бұрын
Hichi kizazi cha mahangaiko 🤣🤣tunapend short cut
@peterblessing006
@peterblessing006 8 ай бұрын
Mara tatu nikubakwa kweli 😂😂😂😂
@OscarDzombo
@OscarDzombo 8 ай бұрын
Huyu mchungaji hua napenda sana kuskiza interviews zake yaani yuaongea points kbsaa, huwez bakwa mara tatu na unazaa tu
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 8 ай бұрын
Eti DONA la UPAKO 😅😂😂 Dah .. kijiko buku10
@wamisangi2801
@wamisangi2801 8 ай бұрын
Kiwanda mdomo hakina tofauti na wauza upako. Utalijua hilo siku ukiwekwa huru kweli kweli na Yesu Kristo.
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 8 ай бұрын
Mch. Hananja unayo Hekima na Ucheshi inayopelekea Nisichoke Kukusikiliza.
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 8 ай бұрын
Mar Tatu ni kubakwa kweli hahaha tena anamfat mwenyew nyumbn kwake
@joackimmutulu
@joackimmutulu 8 ай бұрын
Hekima tupu!
@DavidBernard-uk7ss
@DavidBernard-uk7ss 8 ай бұрын
Uwa napenda mchungaji wetu anavyo jilamba mdomo
@ismailally2549
@ismailally2549 8 ай бұрын
Hahahahahha wapuuzi bado mpo tu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 8 ай бұрын
Kweli kabisa Tb Joshua amefarik ndio wanaanz kumchafua wakt yupo hai mbona hawakusem
@wamisangi2801
@wamisangi2801 8 ай бұрын
Farao wa Misri waganga/wachawi wake walifanya miujiza hadi leo wameandikwa wanaongelewa. Huyu na umri huu hajui kuwa uko uchawi na nguvu za giza za kushikia akili watu. Kabla ya kumlaume aliye rudia kubakwa ambaye anatoa ushuhuda baada ya kufunguliwa ajitafakari kwanza yeye ni wafungu lipi? Kesha kufa kweli lakini huduma inaendelea watu wanaendelea kwenda. Ujinga mtupu ni kuongea kila kitu bila hofu ya Mungu ili kiwanda chako cha mdomo wa kunena uongo na kweli kikusaidie mkono uende kinywani. Hunana tofauti na nabii wa uongo TB Joshua kuchanganya mema na maovu ili auze upako. Mlipokea Bure Toeni Bure.
@messoayubu347
@messoayubu347 8 ай бұрын
Sio bure una shida ya afya akili.
@wamisangi2801
@wamisangi2801 8 ай бұрын
@@messoayubu347 Mdogo mdogo Tanzania bila manabii wa uongo inawezeka si kwa nguvu wala kwa uweza bali kwa Roho wa Bwana Mungu. Zekaria 4:1 Wewe mwenye akili uende ukabatizwe ubatizo wa utupu SCOAN na wiseman Daniel maana mikoba ameridhishwa.
@davidmembedalamethepsalmis2885
@davidmembedalamethepsalmis2885 8 ай бұрын
Hakuna muujiza WA kichawi unafanyika Kwa jina la YESU KRISTO
@wamisangi2801
@wamisangi2801 8 ай бұрын
@@davidmembedalamethepsalmis2885 Manabii wa uongo watakuja kwa jina la Yesu kufanya nini na hilo jina la Yesu? Hilo nalo hujui?
@peterdeus6093
@peterdeus6093 8 ай бұрын
Wew unashida na utakuwa umetumwa na wale wachungaji makanjanja, umekuja kutuandikia essay hapa
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 117 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
MCHUNGAJI HANANJA AMPA ONYO MASANJA KUISHI NA MWANAMKE MSALITI
16:56
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 110 М.
UTACHEKA UFE MISEMO YA MCHUNGAJI HANANJA
20:55
Mbengo Tv
Рет қаралды 28 М.
Orijino komedi na kisa cha chips zege.
9:12
Kennedy Kimaro
Рет қаралды 539 М.