Mwanahabari mkongwe Jenerali Ulimwengu Akiifungua Shajara yake mbele ya Babbie Kabae katika mahojiano maalum #ShajaraCloudsTV
Пікірлер: 28
@hansdedes19036 ай бұрын
Jenerali Shukrani Sana kwa kipindi chako unafumbua wa Tanzania macho kweli mzalando wakweli mwenyezi mungu akubaliki na usichoke niko pamoja na wewe Amani na upendo 🇹🇿🇹🇿!!**
@mwasakafyukasamson6 ай бұрын
Jenerali , asante kwa kazi njema na uaminifu kwa Taifa lako
@user-ii9jl9vi5i6 ай бұрын
Shajara hii inanikumbusha makala za Daily News enzi hizo zaidi ya miaka 50 iliyopita.. .... The way I see it, .. With A Light Touch.... nk Nakumbuka waandishi wa enzi hizo - Adam Lusekelo, Philip Ochieng, na Jenerali Ulimwengu!. Walikuwa wanandika makala nzuri sana. Nakumbuka mada mojawapo iliyoandikwa ilikuwa " Be ye A Good Messiah" na ilitoka baada ya Ochieng kwenda Kenya.
@user-nt4ov8uv4n6 ай бұрын
Culture image na Fred Macha!
@aloycemwambwiga23186 ай бұрын
Elimu degree moja! Maarifa zaidi ya elimu yoyote. Asante Ulimwengu.
@barakafundo92086 ай бұрын
Siku zote ni wakati mwema sana kumsikiliza Jenerali Ulimwengu.Asante sana Babie Kabae Kwa shajara
@eacoratz23316 ай бұрын
Huyu Mhenga nilimkuta Tabora Boys' Secondary School, Tabora School, a.ka. Berlin, meals 1968,nikijiunga na shule hiyo ambayo awali ikianzishwa mwaka 1925 wasome wana wa Machifu. Mhenga Jenerali Twaha Ulimwengu alikuwa House Prefect wetu, na alina Lipumba [mwaka 1968 akiwa Form III] bweni la Mkwawa. Mhenga Ulimwengu alikuwa gwiji wa kuigiza plays za William Shakespeare, k.m. JULIUS CAESAR, MERCHANT OF VENICE, nk ndiyo ilikuws speciality yake, akiutema Ung'eng'e ile mbaya. Na ile Column ya THE WAY I SEE IT ililifanya Gazeti liuzike. Shughuli nyingine Ulimwengu alifanya Tabora School ilikuwa masuala ya burudani, yaani madansi na pia sinema za 007 Bond, James Bond. Wana TS tulishikwa na butwaa alipozuliwa la si raia!
@hajimnubi45816 ай бұрын
Duh kumbe muigizaji mzuri toka shuleni ...ndio maana bongo movie wamewahi kumtumia kwenye movie kama mbili hivi na alifanya vizuri sana ...he is a good actor
@tassyulimwengu40496 ай бұрын
Hii interview ilipaswa kuwa ndefu, Jenerali ametuacha kiu kubwa ya kujua zaidi....
@giztony20096 ай бұрын
Brilliant!@ Ulimwengu
@jumamdoe30906 ай бұрын
Ahsante Sana General!
@boniphacetesha11526 ай бұрын
Andaa part 2 mulize kuhusu nchi @baby kabaya
@dominickyaruzi91916 ай бұрын
Huyu ndiye Jenerali. Asante Clouds kuongea na huyu nguli
@user-zd5pc5nc9c6 ай бұрын
Kweli kabisa dini hazina majina,,,,,! Hata ukristo ungeanzia tz bible ingebeba majina ya kichaga,kigogo na makabila mengine,,,,,,! So haya ni majina ya kizungu na kiarabu.
@childrengospelmissiontanza14746 ай бұрын
Namheshimu sana huyu Mzee,nimekuwa nikimfatilia sana toka zamani nikiwa mtoto.
@uwezokinahi78706 ай бұрын
Nimemfuatilia tangu nikiwa Primary
@user-ii9jl9vi5i6 ай бұрын
Babies muulize Phillip Ochieng yupo wapi? .... "Be ye a Good Messiah"
@user-sl2dr6iy8n4 ай бұрын
mzee ulimwengu wee muongo mohme swallahu aleyh waslam hakiazisha dini ya uisilam bali aliikutoa dini ya kiislam ni toka kwa adam aleyh salam afu unajiita mtoto wa sheikh daah mtihani kweli huyu mzee
@eliasnganira76616 ай бұрын
Kumbe Ndivyo ilivyo kwa Ulimwengu!
@jumamkwanda80316 ай бұрын
Binadamu anaongozwa na mambo mawili tu hapa Ulimweguni Nafsi na Akili na mara kwa mara nafsi inakuelekeza mambo ya Ovyoovyo lkn Akili ikiveshwa joho la Elimu nafsi haina Nafasi
@ndalahwakulwa45176 ай бұрын
Je unakumbuka tarehe uliyosafiri kwenda Algeria?
@begukulemosobe96856 ай бұрын
Huyu mzee ni hazina ya tz
@ephraimndelwa40736 ай бұрын
Kumbe Bebie Kabae bado yupo Clouds?
@Jefa_Adili6 ай бұрын
@39:25 Pan Africanist = Mmajumui wa Uafrika
@user-vz4xv7lg3x6 ай бұрын
Generali ww utabaki kua Generali tu siku zote
@Kim19onlinetv6 ай бұрын
Mzee umri wako uko mbali sana kwahiyo chagua kua upande. Mbona kwenye itikadi zako za kisiasa uko bayana?