Ahsante Mwenyezi MUNGU. Damu Nzito. Pongezi na Shukurani za Dhati Kwenu Team Leo Tena - Kipekee Boss Joe!
@joycenjoki64092 жыл бұрын
This is God's doing. Baba Mungu pokea sifa na utukufu kwa kuwawezesha. 🙏
@rajah93282 жыл бұрын
Kazi poa endleeni ivyoivyo Mungu atazidi kuwabariki cio nyngne umbea mtupu kila kipindi
@amneshi2 жыл бұрын
Mimi na mama yangu tumefatilia kipindi Hadi mwisho. So emotional 😭 😍
@petermboje58392 жыл бұрын
Huyo baba ake ni mjinga anamuiba mtoto anafaa kufunguliwa kesi ya utovu wa nidhamu katka haki za kinamama wazazi
@vero572 жыл бұрын
Hii safi sana, sio munationyesha, wakina baby nai, na mama wa 49 na 21,
@raphaelsikumbi55172 жыл бұрын
Duu hili ni shule nzuri sana
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Mziki. Mpo juuu kuliko saut ya muhusika, hik kipind kinaunganisha watu waliopotezana mashallah Kaz iendelee
@khadijamisayo74762 жыл бұрын
jamani leo nimelia mwenzenu, inatia uchungu
@trifoniambilo24002 жыл бұрын
Unalia mpka unalia ten
@zukrahamady74662 жыл бұрын
Nzur San
@maggiesteer66552 жыл бұрын
Kwanza niwapongeze sana kwa.kipindi hiki. Mmegusa jamii kwa namna ya faraja ya ajabu sana. Mungu azidi kuwatunza . Daaah inauma sana kupotezana na mwanao. Yaani nawapongeza sana. Bora sasa, bora na huyu baba ni mtanzania mtoto kakulia Tanzania. Kuna mmoja alipelekwa Malawi miaka mingi sana hajarudi/kurudishwa mpaka leo.
@upendowakwelinaamani10602 жыл бұрын
Asante sana kipindi cha leo tena kwa kudumisha hichi kipindi cha kuwakutanisha wazazi na watoto wao mbarikiwe sana jamani wazazi tuwe na huruma tuache kuwatenga watoto na mzazi mmoja wapo hata km mahusiano yamekwisha basi watoto wawe na haki ya kuwaona wazazi wote kwa pande zote mbili inauma sana jamani mtoto anachukuliwa na miaka mi 4 mzazi anakuja kumuona akiwa na miaka 33
@jarsjam88942 жыл бұрын
Toweni music hatusikii
@hadijajohn74342 жыл бұрын
Mama Bonifasi Daressellam sio.mbali HAPPY vp ulimuacha boniface jaamani MUHAYA haachi mtoto wake nyyma miaka minne alikuwa ni mdogo sana pole mama Bonifasi yani tangu mwaka 1989 mmmmmm pole mama bonifasi
@mwanahawaomarimashaka1972 жыл бұрын
Hivyo hujaelewa alivyosema ...sema kungojea nauliii
@evachuw80922 жыл бұрын
Msiwe mnaweka miziki kwenye vitu muhimu kama hivi jamani
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Ni kweli kabisa ili tusikie vizuri.
@abelharry_tz2 жыл бұрын
Background song huwa ni muhimu Kwa ajili ya kupunguza Kama sio kuondoa kabisa. Sauti na kelele zisizotakiwa kusikika Kwa msikilizaji.
@halimajamaniamekuwamndeme96172 жыл бұрын
Nimelia kwa uchungu sana, kwanza tumetoka eneo moja , wilaya ya hai,
@فاطمةجوهر-ر8ش2 жыл бұрын
Nawachukia kina mama wakutelekeza watoto unalia nn angekufa ungemuona nn
@maromedia62722 жыл бұрын
Jamani hata mm mamtafuta Mdogo Wang alipotea na Mama yangu
@jenifersawe25132 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki sana
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Furaha kweli kweli, hakuna kama mama.
@souksoukeventsandmarketing6532 жыл бұрын
Next mtuletee wa baba waliopoteza watoto
@minakhamiskhamisi61932 жыл бұрын
Make hp kwaz nichek umeon wanawk tuu ndio wanalia unatk kulia n ww
@minakhamiskhamisi61932 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zuleikhakhamis33032 жыл бұрын
mmmh nyie ndo mumebeba mimba au vp
@mwanaasharamadhani71652 жыл бұрын
Wanaume hakuna haja cos nyie ndo huwa mnakuwa chazo ya yote
@munakhamis9822 жыл бұрын
Mashaallah kwel milima haikutan ila binadam hukutana
@lailawaso24212 жыл бұрын
Nakijua hicho kijiji cha Mudio,,,,pole mama
@nadrahassan52412 жыл бұрын
Masha Allah Mwijaku nimcheshi kwawa geni😍
@salimudhahabu3032 жыл бұрын
mashallah!! it's too emotional mm mwenyewe nimetoa machozi mengi Sana najua maumivu na Kua Mbali na mama/mtoto
@samwellupimo11252 жыл бұрын
Mkiwa mnaweka video punguzeni sauti kwa background pumbafu mnaondia radha ya video zenyu.....
@mankamushi45882 жыл бұрын
Mbona huyo mwijaku Ana kiherehere sana
@renildevenerand94732 жыл бұрын
Kweli nyie wavivu wakutembea sisi wenzenu tunaoishimbali tumezoea safarindefu.tunatoka Uku tunakoishi mpakakufika Africa tunamaliza sikumbili kwenye ndege.
@pilimusa32172 жыл бұрын
Unakaa nchi gani
@nyotastar102nyota22 жыл бұрын
Jaman naomba na mm
@stelladomani44292 жыл бұрын
Yaani muwe mnawapa muda jamani walie watosheke inauma inauma.
@shamzone3882 жыл бұрын
Kweli nimekia sna nimeona kama ni mimi Pole ndugu yangu Kweli mungu ni mungu kawakutanisha mama na mwana hongereni wahusika
@lilianmartin50752 жыл бұрын
Nimelia aiseee
@alhamdulillahalhamdulillah75292 жыл бұрын
Mnapenda miziki Sana hadi inakera
@maikonuronu58822 жыл бұрын
Daaaah inauma jmn najikut nalia
@ukhutfatumah11542 жыл бұрын
Leo tena mmejua kunikatia kitunguu machon 😭😭😭Jana nilikosa kwa ajili ya mb Leo nimeweka ili nijifunze vitu 😭😭
@ramadhanmohamedi97932 жыл бұрын
Gea hata mimi machozi yananitoka mwenyezi mungu awazidishie na awape afya muunganishe wengine
@kelvintembo7342 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 wanafanana
@melissa_garden2 жыл бұрын
Sana
@shamsaismaily34762 жыл бұрын
😭😭😭😭namimi iposiku nitampata mwanangu ...nimelia sana leo wanawake tunabeba maumivu makubwa😥😥😥😥
@swaumdodoma75912 жыл бұрын
Da pole sana Aunt Mungu akufanyie wepes umeshawahi kwenda apo Leo Tena?
@husnamtitiko93122 жыл бұрын
Inshallah Aunt na pole sana usikate tamaa💔😢
@ukhutfatumah11542 жыл бұрын
Pole sna wallah Iko siku mumy
@shamzone3882 жыл бұрын
Shamsa Ismaily @ pole wa jina langu niambie mtoto wako yupo wapi na wewe upo wapi tusaidiane in sha allah mtakutana amin