No video

Dah! MAGUFULI HOI, Mchungaji MGOGO Amvunja MBAVU Balaa "TUMEKUELEWA"

  Рет қаралды 394,684

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

Dah! MAGUFULI HOI, Mchungaji MGOGO Amvunja MBAVU Balaa "TUMEKUELEWA"
Rais Dkt John Magufuli, leo Septemba 04, amehudhuria mkutano wa mashauriano wa mwaka wa AQRB, CRB, ERB na wadau wote wa sekta ya ujenzi nchini...
Mkutano huo umeitishwa na Waziri mwenyeji wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, Isack Kamwelwe, pamoja na viongozi wengine wa serikali.
kzbin.info?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 81
@bukurur.jeandedieu6688
@bukurur.jeandedieu6688 4 жыл бұрын
Raïs wetu wa afrika baba Magufuli ana eleweka vizuri. Ame chaguliwa na Mungu pekee ili alete tumaini kwa Afrika nzima.
@amonimlele9459
@amonimlele9459 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@magretyshoo9306
@magretyshoo9306 3 жыл бұрын
Ni kweli tumemwelewa Musa wetu atupeleke Kaanani nchi ya Ahadi ya asali na maziwa.
@shukuranikibona5893
@shukuranikibona5893 3 жыл бұрын
Ulimwita Musa,kweli katuacha katikati ya safari,but Mungu ni mkubwa atapa Yoshua atufikishe Kanaani!!!
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 жыл бұрын
Rais wetu wa Tanzania yetu ni Yeye John Pombe Joseph Magufuli safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sanaaaaaaa Rais wetu wa Tanzania
@damianmakala2913
@damianmakala2913 4 жыл бұрын
Tumekuelewa tena sana tu ! Hata wale wanaokupinga wamekuelewa sema wanaogopa kusema tumekuelewa hadharan wanaogopa kupoteza wafuasi wachaaache walio nao ambao nao wamekuelewa pia wanaogopa kusema wanaweza wakafukuzwa na kunyang'anywa tonge walilonalo kwa kusema ukwel ila wanabaki nayo moyon !
@roviykamage5423
@roviykamage5423 4 жыл бұрын
Raisi sisi wenye macho tumeona tanzania ya viwango vya juu juu juu kabisa tumemekuelewa sna
@joshuamwangomo2615
@joshuamwangomo2615 3 жыл бұрын
Wasioelewa bas
@marioofans5147
@marioofans5147 4 жыл бұрын
like zenu hapa wagogo wenzangu
@philemonmgina7327
@philemonmgina7327 4 жыл бұрын
Wew huyu ni mnyakyusa
@johnstonemwesiga236
@johnstonemwesiga236 4 жыл бұрын
Mnyakyusa siyo mgogo
@evelynjohn4764
@evelynjohn4764 4 жыл бұрын
Huyu sio mgogo ni jina tu hilo
@kidotimichael5058
@kidotimichael5058 4 жыл бұрын
Huyo ni mtu wa mbeya wa kina Ugonile ndaga
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 4 жыл бұрын
Sio mgogo huyu
@mako331
@mako331 4 жыл бұрын
Safi sana mchungaji, hebu hawa chadema wasikie hayo, yani ukisikia wanavyoongea utadhani hawaishi Tanzania, piga kazi mkuu na uchaguzi ujao watashangaa
@ireneochieng435
@ireneochieng435 3 жыл бұрын
R. I. P Magufuli. We loved you but God loved you most. Love from Kenya.
@danfordmwangesile9043
@danfordmwangesile9043 4 жыл бұрын
Mgogo nakuelewa sana mchungaji
@binurusm8886
@binurusm8886 4 жыл бұрын
Hee !! kumbe hata Biblia ina Milango kama Msahafu, Kweli sisi sote ni Wamoja, ila basi tu, asante Mchungaji Mgogo Leo umetuzindua wengi, Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu, Aamina.
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 4 жыл бұрын
Kwani ilianza nini si Biblia
@godiebaa6994
@godiebaa6994 4 жыл бұрын
Nimeipenda faslafa yako ya ujenzi dhidi ya uumbaji. Umeihusianisha vema sana
@fabiankyando1189
@fabiankyando1189 4 жыл бұрын
Ukweli humweka mtu huru, Tumekuelewa Rais wetu mpendwa
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 4 жыл бұрын
Safi.Mgogo
@roselynenyanda1757
@roselynenyanda1757 3 жыл бұрын
Dah...life
@alfankyombo2399
@alfankyombo2399 3 жыл бұрын
Alfan KYOMBO
@eliyawilliammagesamarwa8413
@eliyawilliammagesamarwa8413 4 жыл бұрын
Tunakuhelewa Sana rais
@hosrsmkubna8361
@hosrsmkubna8361 4 жыл бұрын
Ubarikiw
@williamuphilipo7447
@williamuphilipo7447 4 жыл бұрын
Safiii...
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
Tumekuelewa,,, walioweka pamba masiko watazitoa tu
@amminamour5187
@amminamour5187 3 жыл бұрын
Buy
@kalungikingalu9694
@kalungikingalu9694 3 жыл бұрын
Nakukubali sana mchungaji
@khadjamangoma9983
@khadjamangoma9983 3 жыл бұрын
Amen
@shukrankifyasi1500
@shukrankifyasi1500 4 жыл бұрын
Pamoja sanaa
@joahkimmkilila4145
@joahkimmkilila4145 4 жыл бұрын
tuna mkubali Rais wetu
@spirianjohn810
@spirianjohn810 3 жыл бұрын
Add a public comment...mungu aifanye ncji ytu iwe ya aman
@godenlusekelo1794
@godenlusekelo1794 3 жыл бұрын
Kweli huyu andendekisye
@imatobosso9483
@imatobosso9483 3 жыл бұрын
Afadhali walimuenzi rais alipokuwa hai.
@DolikasiYusufu
@DolikasiYusufu Ай бұрын
Nakunda samchungaj unsemakweli
@jomwenomkali6626
@jomwenomkali6626 3 жыл бұрын
Ongera mwamba
@josephmlela9757
@josephmlela9757 4 жыл бұрын
sawa mch tumeelewa
@hamisikaisi461
@hamisikaisi461 4 жыл бұрын
tumekuelewaaa babaaa
@anthonyfaru9908
@anthonyfaru9908 4 жыл бұрын
WATU wakiw bize kumpa presha jamaa anazidi kutabsamu tuuuu
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 4 жыл бұрын
Wateja wako?
@raymondphillipo4485
@raymondphillipo4485 2 жыл бұрын
R.I.P
@jumapjuma3020
@jumapjuma3020 3 жыл бұрын
RIP
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Tumekuelewa
@reginacharles1913
@reginacharles1913 3 жыл бұрын
WaTz tumekuelewa
@pamphilherman2913
@pamphilherman2913 3 жыл бұрын
Good mgogo
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 жыл бұрын
umeeleweka mgogo
@alfredlimu308
@alfredlimu308 4 жыл бұрын
Tumemuelewa sana tu
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 4 жыл бұрын
Amen
@benichanga6750
@benichanga6750 3 жыл бұрын
Maneno meng sana wewe
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 4 жыл бұрын
Tumekuelews
@baltazaraxwesso8675
@baltazaraxwesso8675 3 жыл бұрын
Tony kapola
@jomwenomkali6626
@jomwenomkali6626 3 жыл бұрын
Uncler magu we ni mwamba ndo mana kijana wako nimekupa surprise ya wimbo. KZbin. Andika Jomweno.momba.tazama kazi yako baba.
@lwitikomwakibete7525
@lwitikomwakibete7525 4 жыл бұрын
Piga makofi
@tabufredmakunga8436
@tabufredmakunga8436 3 жыл бұрын
Niyeye eee
@harounmtaki3814
@harounmtaki3814 3 жыл бұрын
R.i.p rais wetu leo 17 ume2acha namajonzi
@baracklukas8830
@baracklukas8830 3 жыл бұрын
Ubalikiwe
@florachogo5537
@florachogo5537 4 жыл бұрын
Raisi tumekuelewa
@togetherchristiansmedia3437
@togetherchristiansmedia3437 3 жыл бұрын
Hahahahaha
@hilalisaidseif8483
@hilalisaidseif8483 4 жыл бұрын
Wateja wake hahahaha
@samsongabriel8733
@samsongabriel8733 3 жыл бұрын
Wachungaji mmeshachanganyikiwa badala ya kufanya kazi ya mungu mnafanya siasa.ajabu sana
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
Umechanganyikiwa ww
@mozejcs9160
@mozejcs9160 4 жыл бұрын
Ongea ukwel km ww ni mtumish wa mungu, na sio njaa! Ongea pia na khs ukabila, ukanda, undugu ulioshamili serokalin' na pia maendeleo yanayopelekwa kwa upendeleo bila kubalance siasa za chuki na ajue kwa sisi wote ni watanzania na nchi ni yetu sote sio ya kabila au kikundi cha watu! Na pia ajue kwa sifa anazopewa ni tofauti kabisa na uhalisia
@nicholouskuyenga7607
@nicholouskuyenga7607 4 жыл бұрын
Pole sana
@kajuakitu
@kajuakitu 4 жыл бұрын
moze jcs kayaongee wewe sio mpaka akusemee!
@douglasjackson373
@douglasjackson373 4 жыл бұрын
moze jcs -Daah ww jamaa ni mzima kweli? Anyway ni maoni yako:
@mozejcs9160
@mozejcs9160 4 жыл бұрын
Tatizo wakubwa mmekaa jikon hamtaki kujua ukwel wa mambo yanavyokwenda! Nyny mnalipwa kwa kusifiA kila kitu sisi wananchi ndo tunaumia!
@esperanceruziga1990
@esperanceruziga1990 4 жыл бұрын
Mchungaji ana njaa. Moze sio Raisi ndo ana mlisha kila siku
@maggykavata9439
@maggykavata9439 3 жыл бұрын
baba tumekuelwa
@alfankyombo2399
@alfankyombo2399 3 жыл бұрын
Alfan KYOMBO
@hurumagideon8335
@hurumagideon8335 3 жыл бұрын
Tumekuelewa
DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....
11:32
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 43 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 586 М.
HARUFU MBAYA INAHARIBU UJASIRI WA MWANAUME KATIKA NDOA "PASTOR MGOGO
22:40
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 219 М.
MCH DANIEL MGOGO - JIFUNZE KUTUBU (OFFICIAL VIDEO)
1:02:27
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 1,3 МЛН