DALILI 4 UNALAZIMISHA MAHUSIANO💔

  Рет қаралды 21,169

liza Media

liza Media

Күн бұрын

DALILI 4 UNALAZIMISHA MAHUSIANO NAE, DALILI NNE KWAMBA UPO IN ONE SIDED RELATIONSHIP
#lizamedia #mahusiano #lizbeth #trending
leo kupitia liza media tumekuandalia dalili 4 kama unaforce mahusian na mtu ambae hakutaki tena, pengine anashindwa kukuambia kwasababu kuna vitu vingi unamsaidia
#Mapenzi #Mahusiano #Lizamedia
KWA MAONI NA USHAURI PLS 👇🏾👇🏾
PIA PLEAS NAOMBA USUBSCRIBE NA KUTUFOLLOW KUPITIA 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
Subuscribe hapa-
/ @lizamedia
Tufollow kupitia - ....
....
/ lizamedia_
igshid=MWI4MTIyMD LizbethSimon
#Mapenzi #Mahusiano #Lizamedia
KWA MAONI NA USHAURI PLS 👇🏾👇🏾
PIA PLEAS NAOMBA USUBSCRIBE NA KUTUFOLLOW KUPITIA 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
Subuscribe hapa-
/ @lizamedia
Tufollow kupitia - ....
....
/ lizamedia_
igshid=MWI4MTIyMDE=LizbethSimon
#Mapenzi #Mahusiano #Lizamedia
KWA MAONI NA USHAURI PLS 👇🏾👇🏾
PIA PLEAS NAOMBA USUBSCRIBE NA KUTUFOLLOW KUPITIA 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
Subuscribe hapa-
/ @lizamedia
Tufollow kupitia - ....
....
/ lizamedia_
igshid=MWI4MTIyMDE=
@lizamedia

Пікірлер: 49
@lizamedia
@lizamedia 9 ай бұрын
Karibu kujiunga na group letu la USHAURI kwa Ada ya shilingi elf 2 tuu chat.whatsapp.com/J9TmVsMHxqn9xnjO9TIQqo
@LovenessMotta
@LovenessMotta 5 ай бұрын
Umetisha sana mama,,ya kweli sana sana dah mapenzi yanahitaji moyo tunakushukuru mama kwa somo zuri
@InnocrownBaloz
@InnocrownBaloz 3 ай бұрын
kuna maua hapa 🌹🌹yanakufaa san big up lessons
@mudypatrick
@mudypatrick 4 күн бұрын
hv mwanamke akikwambia hana hisia naww kwl atakuwa anakupenda ilaa sms ananitumia picha zake ananitumia huyu atakuwa nn
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 8 ай бұрын
Mimi naumizwa sana nahiyohali nanimekosa dawa sana ,hanijali kabisa najua ila hanitoki moyoni😢
@RamadhaniBendera-j1s
@RamadhaniBendera-j1s 7 ай бұрын
Ushauri wangu kwako ongeza bidii kwenye kutafuta ela utakuja nishukuru
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 ай бұрын
Utakuwa sawa tu niswala la muda tu ipo siku itakuwa istoria tu mungu atakusaidia hata mim ilinitokeaga tulipendana but ghafla akazingua ila niliumia Sana kabisa but now nishamsau nishamtoa moyon but imebakia stor tu...simpendi tena...naamin nawewe ipo siku utamsahau japokuwa sio rahisi but u will be fine dear..mungu akusaidie
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 Ай бұрын
pole sna
@barnabasdotto6752
@barnabasdotto6752 4 ай бұрын
MIMI NIMEPOKEA SMS "SAMAHANI BUT NINA OMBI MOJA!!!!! Naomba tusitishe mahusiano yetu naongea hivi namaanisha kutoka moyoni coz sielewi niko wapi,,naomba tusitishe tu kwa amani nianze moja nikiwa peke yangu!! Najua umepambana sana juu yangu Asante nashukuru🙏🙏 but naomba nibaki peke angu!!! Kusalimiana kuwepo na kama kuna lolote utanishirikisha na mimi kama ntakuwa na chakukushirikisha nitakushirikisha coz hatuna ugomvi!!!! But OMBI langu tusitishe mahusiano. Na mimi naomba ushauri nahofia kukurupuka kujibu ombi hilo
@FetyhajjMuck
@FetyhajjMuck 3 ай бұрын
😢🎉
@USAIDAfyayangu-h2q
@USAIDAfyayangu-h2q Ай бұрын
Daah polee sana baba
@daddynamombas3898
@daddynamombas3898 5 сағат бұрын
Huyo amesha monkey branch yaan anatawi lake tayari, nmwmpenda mkweli mwambie sawa na mtakie Kila la kheri.
@Shavuseahop
@Shavuseahop 3 ай бұрын
Daah kumbe ananipenda ila mapepe yangu tyyu
@barakamatias1691
@barakamatias1691 6 ай бұрын
Unajielezea vizur tatizo vingereza vyenu munazenguwa sana ungea Swahili
@SmilingBabyPenguin-sp9ro
@SmilingBabyPenguin-sp9ro 4 ай бұрын
Kweri Asante sana iminikuta iyo
@Muddy-v4l
@Muddy-v4l 18 күн бұрын
Dada ayo yote yamenitokea mimi kuna sehee nafoc mapenz uwezi amini anadiliki kunambia nimwqche atulie
@Tatufadhili-ud6se
@Tatufadhili-ud6se 6 ай бұрын
Jamen mm wangu n wa online hatujamit sasa nikimuambia shida zangu anastuk yaan tunasaidian kam wapenzi ansem anatk kuniowa lakin yuko na mawasiliano hafifu sn achangamki niliongea nae ansem wew kua free na mm sas m ata naishiwa nguvu sms mara hajbu had ajisikie ndo ajbu lakin kiupnde mwengin yuko saw ananieshim sn tuko na miez7 nakutok tumeptn online mawasiliano yke yalikua hvyo had saii siongei ten nikinyamz anasem nimenyqmz mhhhhh😢😢😢😢
@Zenampande
@Zenampande 4 ай бұрын
😢😢
@boniphacejoseph3908
@boniphacejoseph3908 25 күн бұрын
òngera nakupata vzr
@GilbetrMhenga
@GilbetrMhenga Ай бұрын
Oky so tunafanyaje kujua kuwa ulie nae nakupenda
@KapitulaErisha
@KapitulaErisha 3 ай бұрын
Amen🎉
@ShamimAbdul-tf3fw
@ShamimAbdul-tf3fw 5 ай бұрын
Dada tangu nimeanza kusikiliz naona yote ni Mimi nafanya lkn sifanyiwi
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 9 ай бұрын
Daah, dada mimi nikilasiku ndonaaza kumtafuta😢😢😢.
@lizamedia
@lizamedia 9 ай бұрын
Jaribu pia kutomuanza uone mahusiano yenu yamesimamia wapi.
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 9 ай бұрын
@@lizamedia dada nipe mawasirianoyako nipate ata ushauri kutokakwako napitia maumivu sana nisaidie kwahilo😥😥
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 9 ай бұрын
@@lizamedia nimejaribu hiyo link kila nikitaka kujoin inafel cjajua nini tatizo ila nisaidie ushaur fasaa dadaangu ninamengi yakukueleza
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 8 ай бұрын
Mimi yupo ,anatabia hizo ila hana siku nyingi nitampiga chini
@AgnesFredrick-i5g
@AgnesFredrick-i5g 3 ай бұрын
Vp jaman mtu anakuachia hela kila ukikutana nae haraf hakwambii anakupenda
@FabianKhamisi
@FabianKhamisi 2 ай бұрын
😂
@Jembaba-z
@Jembaba-z Ай бұрын
Tatizo wengne waoga
@MNYARUALIM
@MNYARUALIM 2 ай бұрын
Mimi na mpezi wangu akinitafta jua anataka hera na kila mwisho wa mweZ lazma aombe pesa
@AishaMohamed-q3l
@AishaMohamed-q3l Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ndayambajefikirini7252
@ndayambajefikirini7252 3 ай бұрын
Nimeyahama mazima ya nauzi unaandika hujibiwi hatari sana
@AishaMohamed-q3l
@AishaMohamed-q3l Ай бұрын
Pole sana
@AishaMohamed-q3l
@AishaMohamed-q3l Ай бұрын
😂😂😂😂
@yassirkhamis1165
@yassirkhamis1165 7 ай бұрын
Uhakika sis ta apo umeongea kwely
@MaulidSaid-zd1nh
@MaulidSaid-zd1nh 8 ай бұрын
Sana
@rahimuamrimrisho909
@rahimuamrimrisho909 9 ай бұрын
Kwer Hinaboa Afu Unampa Mpensiwako pesa Ajiunge Bando Atajiunga Afu kwenye kuku check Kwa sms Au tafazali Nipigie
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 8 ай бұрын
Yaaani wote wako hivyo😊
@EmmanuelMadumu
@EmmanuelMadumu 8 ай бұрын
Mm. Kunakitu kinaniumiz san kwamweza wangu make hanipi md wakuwa kalibu na wewe nifanyeje
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 8 ай бұрын
Yaaani mapenzi yanatutesa sana
@Zenampande
@Zenampande 4 ай бұрын
Mapenzi bhana tuwaachie wenyewe
@bintimwerevu
@bintimwerevu 9 ай бұрын
@pallangyofamily
@pallangyofamily 9 күн бұрын
Hi
@pallangyofamily
@pallangyofamily 9 күн бұрын
Mamb
@HenryMwalugala
@HenryMwalugala 3 ай бұрын
Unaongea kichoovu,uzungu mwiingiiii,
@MamuuTwahir
@MamuuTwahir 7 ай бұрын
Mm kuna mwanamke nampenda cn na nilijarib kumwambia akanijib kwamb mm siko tayar kuw na ww ila upo yawezekan wakuw marafiki na mm siwez kukaa bila yee je unawez kulisemeaj ili suala
@samwelidomayo6195
@samwelidomayo6195 6 ай бұрын
Nakuomba msome ana penda Nini hasa na angalia msimamo wake
DALILI ZA MTU ANAE TAKA KUKUACHA - FIDELIS RUGARABAMU.
11:06
Fidelis Rugarabamu
Рет қаралды 288
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
NJIA 3 ZA KUMUACHA MTU UNAYEMPENDA.
8:50
Mbeki TV
Рет қаралды 47 М.
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 493 М.
SABABU 3 ZA MWANAMKE KUKUACHA
12:56
Mbeki TV
Рет қаралды 46 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanawake yanayo waudhi wanaume
10:15
Chris Mauki
Рет қаралды 271 М.
Dr.Chris Mauki: Maneno haya 6 yatakufanya upendwe Zaidi.
8:11
Chris Mauki
Рет қаралды 508 М.