Hii video umeitengeneza kwa ajili yangu kabsaa kkangu ahsante sana 😢😢
@mbekitv6939 ай бұрын
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
@fatmasaid48065 ай бұрын
Dah jmn king'ang'aniz ni mm jmn kwa mumewang nafanya kila jema lkn wapiii😢😭😭😭😭😭
@ReginaIsaka2 ай бұрын
Asant kam
@fatmasaid4806Ай бұрын
@@mayaashassan3918 na mm pia mana dah hili ttz lipo kwa dunia now watu wasio nahuruma wanatumikisha wenzao ktk mapenz uckubal kutumikishwa kimapenz mm mpk leo hii nmetumuwa sms yakujuliwa hali kwakuwa nae nmemdharau sasa zamu yake ametaka mwenyew coz nlikuwa namthamin sana mumewangu nabaksha pesa ya kula cjinunulii mm chochote namnunulia yeye nguo nkimaliza napamba chumba nafukiza maudi nakoga nakaa nammsubiria ili tu nimfurahshe lkn looooh amenidharau sana mpk ananidhalilisha kunitukana mbele za watu na kunitukana matus makubwa aiseeeh nmejfubza kutokanana makosa ukimjal mtu ndipo anapokuumiza yy hakujal anamjali mtu mwengne😎
@huzaimakhamisiАй бұрын
dah tujuane @@fatmasaid4806
@hawamohammed97408 күн бұрын
Yaani kakaang ubarikiwe wewe ni mtu mzur sana wa maisha yetu
@TiffFatma-lw5mf9 ай бұрын
nimejifunza jambo ambalo nahisi kama nilikuwa sijitambui.... ubarikiwe kaka
@mbekitv6939 ай бұрын
Amina mpendwa
@UshindiNathanael2 ай бұрын
Ni mara ya kwanza kukusikiliza unafafanua vzr sana
@mbekitv6932 ай бұрын
@@UshindiNathanael asante sana
@linnahcasmir5275 Жыл бұрын
Nimekupend buree broo
@mbekitv6936 ай бұрын
@@linnahcasmir5275 Nimekupenda pia😊🤝
@JeniphaFredrick-hz5ll11 ай бұрын
Thank you brother nimekuelewa Sana zaidi ya sana kweli wanajizimaga data
@mbekitv69311 ай бұрын
Karibu sn sn
@افااقع11 ай бұрын
Umenisaidia kaka nilikua njia panda saa hii niko katika njia moja nyororo ubarikiwe sana❤❤
@mbekitv69311 ай бұрын
Amina🙏 and nafurahi sn kusikia hivyo👏
@kithajungu13895 ай бұрын
Nilikuwa natafuta ufumbuzi wa nini nifanye Asante sana bro wewe niwa maana sana umenifanya nijitambue.Wakola mno❤
@mbekitv6935 ай бұрын
@@kithajungu1389 wow good😊. Chalz👏
@agnesspaul1866Ай бұрын
Kaka kaka narudia ubarikiwe umeponya vidonda vya tumbo vya wengi Asante ❤❤❤❤
@Bintmwafurani Жыл бұрын
Sijutiii kukufahamu kaka mungu akubariki sana katika kazi zako uzidi kutufumbua macho
@mbekitv693 Жыл бұрын
Amen mpendwa nawe ubarikiwe sn🙏
@Doreenkanario-o5u3 ай бұрын
Duuuh Asante sana kaka maana hii umeileta kwa niaba yangu nimeacha kuwa king'ang'anizi tena 😂
@mbekitv6932 ай бұрын
@@Doreenkanario-o5u asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
@pilikipengele9635 ай бұрын
Big up 💯 nimekukubali sanaa!!!
@mbekitv6935 ай бұрын
@@pilikipengele963 asante sn
@lissahford-w4b11 ай бұрын
yamenikuta jana khaaaa wanaume shkamoo,nakupenda sana kaka angu una mafunzo mazur sana ubarikiwe sana
@mbekitv69311 ай бұрын
Ilikuaje tena
@dvjkelly844911 ай бұрын
Marahaba
@MmMm-u8v3i Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@mbekitv693 Жыл бұрын
Amen ☺️🙏
@merykyungai255110 ай бұрын
Asante nimejua my value
@mbekitv69310 ай бұрын
I like it..
@ShasaKalinga10 ай бұрын
Hapa nimesha juw ukweli wote asante kaka
@mbekitv69310 ай бұрын
Karibu sn mpendwa😀
@JumanneBendera-b6o11 ай бұрын
Asant ndug umenitoa kwenye kiza Kunene sana asant san
@mbekitv69311 ай бұрын
Karibu sn
@IrankundaDevotte-yu4nm11 ай бұрын
Asante san kakangu kwa maneno yako❤
@mbekitv69311 ай бұрын
Karibu sn mpendwa🙏🏼
@Augustinepeter-q6q2 ай бұрын
Waooo nimependa hiyo ushauri
@mbekitv6932 ай бұрын
@@Augustinepeter-q6q asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
@fatmasaid4806Ай бұрын
Dah kwel kakaangu nmeamin jmn Allah azd kukueka ckuw na aman but now nmekuw na aman sana😘thnx❤
@mbekitv693Ай бұрын
@@fatmasaid4806 woow nafurahi kusiki unaamani😊🙏
@fatmasaid4806Ай бұрын
@@mbekitv693 m.mungu akujaalie umr twaweel wenye manufaa umr mref inshaallah
@mbekitv693Ай бұрын
@ amina amina😊🙏
@ConsolataFaustina4 ай бұрын
Dah ahsante sana kaka
@mbekitv6934 ай бұрын
@@ConsolataFaustina karibu sana mpendwa
@RenaldaZeramula5 ай бұрын
Umetisha mwanangu GOMBEA UBUNGE KURA YANGU UNAYO
@mbekitv6935 ай бұрын
@@RenaldaZeramula 🤣🤣🙌.. asante sn
@ANGELINAWIBOGA-c7c11 ай бұрын
Nashkr sana ndugu Kwa elimu ya mahusiano,hata mm umenisaidia.
@mbekitv69311 ай бұрын
Karibu saana 🤝
@MiguelMwalulhinoMwalulhinoАй бұрын
Duu Asante ndugu yangu kwa kuniponya na hili jambo, maana ninalo Hilo ila kwa hili somo limenitoa kwenye utumwa huu
MUNGU akubariki sana, umeongea vitu vizito sana kuliko mtu yeyote aliewai kuongea,HATARI,
@mbekitv69311 ай бұрын
Asante sn mpendwa🙏
@JaqlineKihongo-ox3vj11 ай бұрын
Asante kaka umenitoa kwenye kiza asante
@mbekitv69311 ай бұрын
Karibu sna
@SarahWangoi-nj9vp6 ай бұрын
Kweli kabisa sisi tunatamani sana asante
@mbekitv6936 ай бұрын
@@SarahWangoi-nj9vp karibu sn
@dazboy-sl7cm Жыл бұрын
Ndyooo unatisha sana umeukonga moyo wangu❤
@mbekitv693 Жыл бұрын
Asante sn
@AzizaNzovu-x7j20 күн бұрын
MIMI nisha uambia. Moyo wangu komanyokooo mapenzi sitoweza kupenda tena
@ثامركعبي-ي1ق2 ай бұрын
nimepata funzo kubwana Asante sana papa
@mbekitv6932 ай бұрын
@@ثامركعبي-ي1ق karibu sana
@PitapitaMacha Жыл бұрын
Mafunzo mazuri broo
@mbekitv693 Жыл бұрын
Shukrani🙏
@PatrisaKatherine2 ай бұрын
Asante sana kaka mm hapa nimenzaa kupata ujasiri wa kumuacha niliekua nashindwa kabisa kumsahau kwenye maosha yangu
@mbekitv6932 ай бұрын
@@PatrisaKatherine asante sana mpendwa, ila usisahau ku subscribe😊
@LuciaPhinias-wy3do8 ай бұрын
Ubarikiwe sana kakaa❤❤
@mbekitv6938 ай бұрын
Amen 🙏 Nami nakukaribisha katika darasa letu la WhatsApp tuzidi kujifunza pamoja.
@DoriceDoriceopyo2 ай бұрын
Munguu akujaliwe maisha marefu kaka
@mbekitv6932 ай бұрын
@@DoriceDoriceopyo amina amina mpendwa
@alimatambwe34026 ай бұрын
I really learn something important in my life,thanks bruh 😎
@mbekitv6936 ай бұрын
@@alimatambwe3402 Karibu sn😊
@happynessmassawe472110 ай бұрын
Asante sana kaka nilikuwa ivyo but now all its over.
@mbekitv69310 ай бұрын
Pole sn mpendwa Mungu akuongoze sasa
@Amyomy-od5ry Жыл бұрын
Shukran broo ....mafunzo mazr walai 🎉🎉🎉
@mbekitv693 Жыл бұрын
Asante mpendwa karibu 🙏
@ZabronManunda3 ай бұрын
Aiseee da umenisemea mimi kbsa , nilikuw sijielewi bro asant
@mbekitv6932 ай бұрын
@@ZabronManunda eeh😀
@DelilaKazamaso-bq4hy Жыл бұрын
Sanatu unani Jenga Sana Kaka ntakutumia tu na hela ya bando🙏🙏🙏
@mbekitv693 Жыл бұрын
Asante sn mpendwa wangu
@alimsela37611 ай бұрын
Kweli kabisa kaka nimimi kabisa yamenikuta
@mbekitv69311 ай бұрын
Pole sn
@Zubeda-h1m Жыл бұрын
Asante sana kaka mana umefumbua akili za wengi
@mbekitv693 Жыл бұрын
Karibu mpendwa wangu
@IreneSantu-fd7kb9 ай бұрын
Asante saaana kaka nimepona🥰
@mbekitv6939 ай бұрын
Karibu saana, na usiache ku subscribe🥰
@KikuletwaPump4 ай бұрын
Da shukran brother
@mbekitv6934 ай бұрын
@@KikuletwaPump karibu sana
@shamsijuma50508 ай бұрын
Hongera sana
@mbekitv6938 ай бұрын
asante mpendwa
@MauwaSuleiman9 күн бұрын
😢😢😢😢mm nateseka Sana na haya mahusiano
@EsterMsiba5 ай бұрын
Asante kaka umenifungua akili jaman
@mbekitv6935 ай бұрын
@@EsterMsiba good😀👏
@AzizaNzovu-x7j20 күн бұрын
Niko najipanga😂😂😂😂😂 nikifanyikiwa. Nasepa😂
@faiza10667 ай бұрын
Wueeh asante kaka
@mbekitv6937 ай бұрын
Karibu sn
@sein.20810 ай бұрын
Jazaakallah kheiry
@HekimaFesto11 ай бұрын
Kaka ahsant sana nakusikiliza piaaa naumia coz nmekumbatia hayo matatizo
@mbekitv69311 ай бұрын
Basi achilia.. usiendelee kukumbatia mchongoma na ukabaki kuulamu unakuumiza kumbe umeamua kujiumiza mwenyewe.
@AminaAdalai11 ай бұрын
Dah asante bro.umeniamsha akili
@mbekitv69311 ай бұрын
Karibu sn mpendwa
@halimasondiАй бұрын
Sio kwa kunichamba huko mpaka nimecheka thanks
@mbekitv693Ай бұрын
@@halimasondi 😀
@AzizaNzovu-x7j20 күн бұрын
Nisha sema siwezi kuushi bila yeye 😂😂😂😂ndoa yamyaka 14na wa toto 4 naogopa kwenda sijuwi nani atanioa tena duuuuh niko namyaka 27 nimeona tu nipambame
@Mnyalu947 ай бұрын
Kujichekesha bila kutekenywa Aaah nmecheka sana 😂
@mbekitv6937 ай бұрын
😀
@DianaAlly-j9h2 ай бұрын
Asante sanaaa umeniamsha usingizini jamani
@mbekitv6932 ай бұрын
@@DianaAlly-j9h haya amka😀
@RehemaAsukile Жыл бұрын
Kaka Mungu akulinde daima
@mbekitv693 Жыл бұрын
Amina mpendwa
@ShugweRyimana10 ай бұрын
Asante kaka😢😢😢😢😢😢
@mbekitv69310 ай бұрын
Karibu sn mpendwa
@ZariaJuma-g8m2 ай бұрын
Ahsante hii video imenifunza coz nilikuwa na mngangania mtu kupiga cm na text zisizojibiwa kumbe najishusha thamani ngoja nipotezee sasa
@mbekitv6932 ай бұрын
@@ZariaJuma-g8m pole sn
@MariamAbuubakar-e5o Жыл бұрын
Kaka mungu akubariki xna
@mbekitv693 Жыл бұрын
Amina 🙏
@SaidyusuphYusuphsaid3 ай бұрын
Yani nashukuru Sana bro hii video imenisaidia sana 😢
@OffclLidya4 ай бұрын
MUNGU akupe maisha marefu
@mbekitv6934 ай бұрын
@@OffclLidya amina mpendwa 🥰🙏
@nusuphatYusuph4 ай бұрын
Thank u alot❤❤
@Khadijah-eq2oe Жыл бұрын
Asnte broo umenifungua mahli wallAh
@rutinginyaneysam.50877 ай бұрын
🤣🤣🤣 I like it so much
@mbekitv6937 ай бұрын
Good😀
@hawamohammed97408 күн бұрын
Yaani kaka umenigusa 😢mungu tuletee watu wema ktk mahusisno yetu jaman tunaumizwa sana
@MelinaJohn-j9y5 ай бұрын
Kaka Asante
@mbekitv6935 ай бұрын
@@MelinaJohn-j9y karibu saana
@BarakaissaJohn Жыл бұрын
Kaka ubarikiwe
@mbekitv693 Жыл бұрын
Amina
@JulianaKigadye Жыл бұрын
Nimekupenda Bure ulisema ni mm bro wangu tupe madini
@mbekitv693 Жыл бұрын
Karibu sn😀
@JulianaKigadye Жыл бұрын
@@mbekitv693 Asante nimefunguka sana akili nimeijua Thamani yangu sasa
@gloriadunstan71908 ай бұрын
You are correct brother God bless you
@mbekitv6938 ай бұрын
amina mpendwa
@annamshana4893 Жыл бұрын
Mungu akutuze uzid kutuelimisha
@mbekitv693 Жыл бұрын
Asante mpendwa nawe ubarikiwe🥰🙏
@judithmwambe47673 ай бұрын
Mungu wangu lile lijamaa sitaki nilikumbuke tena na kama lilijifanya kucare kwa kuniescort nyumbani na usafiri wake ili achukue kitu kwenye maisha yangu Ameshindwa, na akome kabisa ata ikitokea akiniona asinisogelee kabisa kenge maji yule.Sikuwa na shida na msaada wake, kwani nilimwambia siwezi kutembea kwa miguu hadi ajikute kila akiniona napita barabarani anajileta na gari yake na kujikuta mwema sana kumbe shetani tu kama mashetani wengine. Amekutana na upako umemuaibisha, panya kwenye bonet ya gari anawezaje kukaa kama sio uwongo kiwe nini.
@mbekitv6932 ай бұрын
@@judithmwambe4767 eeeh
@delinevamwakapasa6948 Жыл бұрын
Hatariiii
@mbekitv693 Жыл бұрын
Na nusu
@teckilaThomasy9 күн бұрын
Kweri kaka angu mm nimeumizwa sana na mpenzi wangu saizi nakuwa kama mm ndo nilimutogoza
@ElfridaMatozi5 ай бұрын
Duh! kaka unajuaje kama ndo hali yangu niliyonayo sasa.asante sirudii tena kunyenyekea mwanaume
@mbekitv6935 ай бұрын
@@ElfridaMatozi pole sn
@elizabethnjau69705 ай бұрын
Noted with thanks
@mbekitv6935 ай бұрын
@@elizabethnjau6970 karibu saana
@NaomiMngazijaАй бұрын
nimejifunza kitu hapa
@mbekitv693Ай бұрын
@@NaomiMngazija woow good
@FrolaJoram-eg1ng4 ай бұрын
Asante 🎉🎉
@mbekitv6934 ай бұрын
@@FrolaJoram-eg1ng 😊🙏
@GraceChazy-p2i11 ай бұрын
Thanks broo
@mbekitv69311 ай бұрын
Karibu sn
@hawamohammed97408 күн бұрын
Huyu kaka jaman mbona ni mwema sana umetuponya wengi
@Vestina-q5r4 ай бұрын
😂😂😂😂umejua kunifrahisha
@mbekitv6934 ай бұрын
@@Vestina-q5r 😀Asante
@DOTTOJAMES-k1u3 ай бұрын
Weka waz kaka yote uliyosema yapo 😂
@HosianaRaphael2 ай бұрын
Naomba no yako jmn unishauri
@mbekitv6932 ай бұрын
@@HosianaRaphael 0659152333
@GladlyZacharia7 ай бұрын
Thanks broo he is my first boy lakin daah
@mbekitv6937 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@shuuvuoni7427 Жыл бұрын
Cjui kwnn nimechelewa kukufaham
@mbekitv693 Жыл бұрын
Ujachelewa mpendwa😀
@furahachristopher7 ай бұрын
Uko sahh kakaaa
@FurahaRuwa7 ай бұрын
😢😢😢😢 waaa mimi hata sielewi kabisa nataka ushauri
@mbekitv6937 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@FedhaJohn7 ай бұрын
Kweli kabisa acha nijipende mwenyewe 😅
@mbekitv6937 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@SophiaMeizon-kq3bp9 ай бұрын
Broo nakukubali sana umeongea kitu cha mihimu sana, ambacho kitawasaidia weng, mojawapo Mimi hapa kwa namna fulan nimejifunza mengi kwenye mahusihano
@mbekitv6938 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
@ElizabethMutuku-qt2vj2 ай бұрын
Mapenzi changamoto usipompata anae kupenda na kukuthamini
@mbekitv6932 ай бұрын
@@ElizabethMutuku-qt2vj hakika
@NasraMrisho-z4o2 ай бұрын
Weka group kaka wasapu lakulipia talipa tu❤
@mbekitv6932 ай бұрын
@@NasraMrisho-z4o hatakimbia😀
@merykyungai255110 ай бұрын
Now I know my value
@MoureenWilliam-g6j10 ай бұрын
Kaka unaniongelea mimi kabisa 😢😢
@mbekitv69310 ай бұрын
Oh pole sana
@AnnaNaasi-o3e3 ай бұрын
Nataman npate no za huyu kaka. Anishaur mana najiona Nina hali mbaya sana video zake zinaniliza.
@mbekitv6932 ай бұрын
@@AnnaNaasi-o3e 0659152333
@MercyDaniel-h7hАй бұрын
Mimi nimeambiwa nijiandae kwa kuishi pekeangua maan aliaza kuishi na mimi bila kifikilia kwhy kaon aweZi kuishi na mwanamke
@mbekitv693Ай бұрын
@@MercyDaniel-h7h pole ni vyema kakwambia ukweli
@rehemasilasi29855 ай бұрын
Huyu Kaka anajua mpaka anajua tena
@mbekitv6935 ай бұрын
@@rehemasilasi2985 asante sana😊🙏
@FurahaRuwa7 ай бұрын
Huyo nimimi kabisa 😢 nifanyeje mimi
@mbekitv6937 ай бұрын
Karibu whatsapp
@triplem-x5d3 ай бұрын
❤❤❤❤
@mbekitv6932 ай бұрын
@@triplem-x5d ❤️❤️❤️
@benithaosward569910 ай бұрын
Yani kaka paka umenifanya nilie,ongera sana
@mbekitv69310 ай бұрын
Asante sana mpendwa 🙏
@OffclLidya4 ай бұрын
Kaka maisha haya ya kung'ang'ania nimechoka na umenipa mwanga wa matumaini
@mbekitv6934 ай бұрын
@@OffclLidya pole sn😰. Ila Nafurahi umenielewa😀👏
@EmeraldZanzibar-i8l5 ай бұрын
Najiona Mimi TU hapo
@mbekitv6935 ай бұрын
@@EmeraldZanzibar-i8l eeh
@JeniphaFredrick-hz5ll11 ай бұрын
Yaani we Kaka ni kiboko ndo zangu izo uwa siofu kumpoteza mtu asiyenithamini