Mimi muda huu nafanyiwa yote hayo Asante Sana kunifungua macho,💯
@MajidAli-kv5yl Жыл бұрын
Pole sana kijana
@happynescostat7420 Жыл бұрын
@@MajidAli-kv5yl Asante ndg Majid,
@happymathew74143 жыл бұрын
Nmeshatoka kwenye hii hali japo haikuwa rahisi yote kwa yote namshukuru Mungu pengne kuna jambo ameniepusha nalo
@dabratysamwel29132 жыл бұрын
Uliwezaje
@tausihasheem51692 жыл бұрын
Nikwel kabisa mylove hta mimi ivyoivyo uenda Mungu ametuepusha na jmbo kwakwel
@issayacoub1724 Жыл бұрын
How you made it easy
@cathymathew60882 жыл бұрын
Hili somo limekuja kwaajili yangu kabisa. Asante sana Kaka Joel
@tabithamlaponi38203 жыл бұрын
😂😂😂😂hahahaaaa iyeeee unaweza ukajikuta uko kwenye mahusiano ambayo tayari ulishaachwa 4yrs ago
@leahhyera48362 жыл бұрын
N kweli brother..siku hizi kuachana hakuna maneno n vtendo tu
@jkifutu79362 жыл бұрын
Daah 😭 Ali kuwa kilasiku ananipa kesi na watongoza lafiki zake wakat siyokweli Daah wewe bullaza noma ila now allihamdulilah Nina amani kubwa sana
@emmanuelmakindi44093 жыл бұрын
Kaka Joel, hali hii imefanya nipoteze imani kwa mwenza wangu, nimemfanyia hivyo vyote hapo mwenza wangu na lengo langu likiwa ni hilo lakini baadae nimegundua nakosea na inaniwia vigumu kurudisha imani yake kwangu natamani naomba utoe somo namna gani naweza kurudisha imani tena kwa mwenza wangu, utabarikiwa sana kwa kunisaidia mimi na watu wengine kwa ujumla.
@ninjaisma79832 жыл бұрын
Very true brother..na hizi tabia wanazo sana wanawake hilo liko wazi kabisa dalili za kukuchoka
@tatubadi90102 жыл бұрын
Hata wanaume ndugu..
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
Yani dalili zote zipo kwangu ila cha ajabu kabla yeye ajaniacha mim nisha mtoa moyon kwaiyo siumii sana na nipo buys na mambo yangu Asante kwa somo zur
@firdosoman31333 жыл бұрын
Tunao humu humu hata hawako mbali,,,ila tunabidi tuwe waungwana tukioneshwa dalili hizo tukimbie namapema,,mana waswahili wanasema dalili ya mvua nimawingu na akufukuzae hakwambii toka utaona mambo tu yamebadilika,,tuko pamoja kaka jeol 👍
@barakaephraimu7503 Жыл бұрын
Kaka Joel haya mambo yote nayapitia Asante kwa kunifungua kiakili sasa nafanya better decision nitoke kwenye huu utumwa
@giftmunisi-tk8kv Жыл бұрын
Kaka upo vizuri sana kaka tena sana je kwamimi ipo ivi je unanishaurije kaka nichukue hatua gani kaka
@IbrahimShaban-vv8xt Жыл бұрын
Kaka upo vizuri. Nimekuwa nikisoma vitabu vyako. Mpaka Sasa nimesoma vitabu vyako 8. Ila Kuna baadhi ya vitabu vyako vipo shallow, yaani nahic umeniibia Hela yangu.
@suleimanabdallah98232 жыл бұрын
Dah yani hio ishu ni uhakika yni wengi wetu imetukuta
@lilianwanjara45502 жыл бұрын
😭😭😭zote nimekutana nazo mungu akubariki Sana
@shijandelema30802 жыл бұрын
kk upo vzr zaidi ya Sana, kw xx ndoa nyingi Joel ni kaa la Moto.
@linahjoseph645711 ай бұрын
Dah yan we kaka umenigusa sana kila kitu ni leve hakika ww ni jiniathi umeingia kwenye uvungu wa ubongo wa watu ww
@esthermichael6856 Жыл бұрын
Hakika umenifumbua macho kaka. Nashukuru sana na Mungu akubariki. 🙏🙏
@levinaernest43642 жыл бұрын
Wengi hawataki kupatana hasa wanaume , asante kwa somo endelea kutuelimisha zaidi
@janegeogre32342 жыл бұрын
kila kitu ni kweli hasa anapogundua kua unampenda!
@wilifridaminja632 жыл бұрын
Mungu akiweke kaka Kwa kweli daaah moyo unaniuma sana aiseee daah roho inauma sana aisee iyu mtu ananifanyia ivi aiseee roho inaniuma sanaaa sanaaaa
@francesgalinoma7113 Жыл бұрын
Dalili ya kwanza na hiyo yapili zipo sawa kabisa umetisha sana broh
@judithkibwembwele9012 жыл бұрын
Ya kwel kaka umenifungua akili kbs yananikuta saiz
@halimaanab83932 жыл бұрын
Asanti Sana kaka haya nimeyapitia nimepata funzo shukran Sana
@tantinebuloze26442 жыл бұрын
Jamani maneno haya yamenigusa yote yako hapanyumbani kwangu utafikiri umeshaga wahi kutuuzuriya ubarikiwe sana
@AliMohamed-wp1op3 жыл бұрын
Kweli Akufuzae hakwambii toka, ukiona dalili ni bora udistance mwenyewe, BETTER ALONE THAN BEING WITH A WRONG COMPANY
@aminakipande56452 жыл бұрын
Nikweli kbs hata mm yamenikuta hayo nkaona isiwe tabu maana mtu mnaishi pamoja lkn hataki kuongea nawewe muweke mambo sawa anaenda anakojua in then anakutumia ujumbe wakuuma moyo nilichoamua siku moja ni kaondoka bila hata kujibu jumbe zake wala kumuaga kwa sasa niko naamani zote situkanwi sipigwi kma alivyokua ananinyanyasa ila sitamsamehe
@AliMohamed-wp1op2 жыл бұрын
@@aminakipande5645 you made agood decision sister
@SDonmc260code4 ай бұрын
Ni kweli ilishanito mara nyingi tu👍
@elizabethjoshua8869 Жыл бұрын
Nashukuru kunimlikia njia nilikuwa gizan sasa nimepata mwanga!
@elizabethjoshua8869 Жыл бұрын
Ndo niko kwenye wakati huu kwenye ofsi yangu
@libeafyapoint98152 жыл бұрын
Yan hizo zote ulizozitaja hapo nilizifanya nilipotaka kuachana na mpenzi wangu Ila no kwa sababu sikutaka aumie Sana kwa kumwambia direct kuwa tuachane
@afrapallangyo90153 жыл бұрын
Duu kaka Joel uko vizuri. Hiyo ni kweli kabisa Mungu azidi kukuinua ili uzidi kutupa mafunzo zaidi na zaidi.
@winifridakasibu29002 жыл бұрын
Nanauka nimekuelewa
@judithtitomalyeta4000 Жыл бұрын
Mhuuu kwa kweli mungu asimame ukweli mtupu
@Auntybetty_tz3 жыл бұрын
Kaka Joel kwa mada hii, wewe ni jinias wa saikoloji, Kaka umepiga hodi ikulu ya marekani. Barikiwa
@jackmossile80763 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@nasrasuleiman97593 жыл бұрын
Brother Joel MUNGU AKUTUNZE. Unanijenga mno mno mno yaani. Mie ni mmoja wao. Sasa nimeamua kuwa na yesu tu Mtumishi.
@joyceassey23472 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆
@prosmutonyi60382 жыл бұрын
Walai dugu yangu, Yani nikama uliaona Yale nilioyapitia. God bless you.
@mamajdukani64722 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka nimekubali maana yote ulosema yapo
@ucjvvjcjjvih99342 жыл бұрын
ni kweli tumeshapitia hayo yote nimefanyiwa na nimefanya😂😂👍sasa nipo free kwanza naangalia maisha napiga hela tu ndo furaha yang
@tatubadi90102 жыл бұрын
Mmi ndo nilivoachwa hiv.. End of the day nikamwambia kilamtu aaangalie maisha Yake.. Na hutakujakuiona simu yangu kwako..
@ElizabethJoachim-b1cАй бұрын
Nakushukuru Kwa hili nimepata kitu Cha kunisaidia
@vailetheanyambilile97493 жыл бұрын
Kabisa aise kuna mkaka ana nifanyia ivyo all in all asante Mungu kwa yote Mungu wangu ndiye mwenye kisasi
@salumshakur467820 минут бұрын
Ndio hata mm nimeshakutananazo na pia naendelea nazo
@wittymasaidiva85173 жыл бұрын
Yaan hizi tabia zote mume wng alikuwa anaonyesha nikamwambia kafie mbeleeee
@amourtotale7093 жыл бұрын
🤣🤣🤣good job 👸 queen
@huldamichael44452 жыл бұрын
Hahahahaaaa Witness bhana! Eti kafie mbele hahahaaaaa
@shemubinnuhu99912 жыл бұрын
Hayo yote nimefanyiwa #Thankyougenius #unajuaasantefundi
@aidanzowa51033 жыл бұрын
Wewe ni noma kaka..mlemleeee yaani umepita
@jkifutu79362 жыл бұрын
Ebwanae yamenikuta hayo mie na mzazi mwezangu hivo hivo unavoongea yamenitokea yote nikawaka namie nikawa nangojea matokeo tu daah wewe bullaza noma sana
@berthelgeorge11372 жыл бұрын
Nikwer kabisa umenifungua kwahilo
@salmakadede18772 жыл бұрын
Nimeyaona mambo kama haya
@wilifridaminja632 жыл бұрын
Daaaaaaaaaah kweli kabisaaaa daaah inauma sana
@donarddonard52632 жыл бұрын
Daaaah nmefanya hii watatu
@annakisiga8892 жыл бұрын
Hayo yote uyasemayo yote niyaukweli kabisa yamenitokea kwangu kqbisaaa duhu umejuaje
@khadijaramadhani35232 жыл бұрын
Kumbee ndiyo hivyo bc leo hii nasemaa bc tenaa ili nibaki na amani ya moyo wangu
@angelamartine44322 жыл бұрын
nmeachwa bila kujua
@paulinastephano2363 жыл бұрын
Dah!! Nimepigwa nakitu kizito kabisa apa yaan😔😔😔 Mungu nisaidie
@danielnjowoka94123 жыл бұрын
😂😂😂😂
@paulinastephano2363 жыл бұрын
@@danielnjowoka9412 Nihuzun kwakweli mahusiano yasasa ivi Yana makorokoro yaan mpaka unaweza ukajiona upo kuzimni yaan.
@danielnjowoka94123 жыл бұрын
@@paulinastephano236 Pole sana dada njooo WhatsApp
@eddyjuniortz22343 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣poleee
@dorisedom73583 жыл бұрын
Asante sana kaka. Japo naomba uje na mada ya nini nifanye baada ya kuona hizo dalili kwa mwenzi wangu ukizingatia mimi bado nampenda.
@hamisimohamedhamisi32412 жыл бұрын
Ndonipo nazo izo dalili
@fridalaswai10002 жыл бұрын
Tuendelee kutesekaa ad tutakapoamuaa kuachaa
@angelakitimu2722 жыл бұрын
Kuna cku moyo wako utamtema unakuwa gaidi kuliko yy mpe jibu la kimya tu usiongee,usitafute suluhu,usilie akiondoka ndo ulie,kuwa bize sema na moyo wako nenda hata porini kalie aikuone ila itachukua muda kumtoa moyoni
@sharonerick77292 жыл бұрын
Doris
@sharonerick77292 жыл бұрын
Doris kama utapata sms yang naomba unijibu
@teychriss32482 жыл бұрын
Makubwa! Dalili moja tu inatosha kumpa space!!
@baranimkara39072 жыл бұрын
ndio ovyo ninavyo fanyia sai but me nimeshutaka mapema sana nime shajitoa
@rashidamikono10042 жыл бұрын
Kaka misisemi sana mana wanaume jamani baazi yao sio wakweli
@erickgeorge29072 жыл бұрын
Kweli weeeee umenenaaaa yamenikuta hayo hapokei cm hajibu sms pia hataki suluh mkosaji yeye nimebwaga manyanga
@magrethjohn49292 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 nicheke kwanza but 🙏🙏🙏
@lizzybryxon85322 жыл бұрын
Kwel kabisa Kaka mm mwenyewe nilichelewa kulijua hil
@mikeroh4892 жыл бұрын
Dalili zote ni hai kabisa
@jackmossile80763 жыл бұрын
Duh nimefunguka!!! Kumbe ndio Nia yake
@prisilatarimo7454 Жыл бұрын
Kka joeli hii hali mmi hadi ssa inanikuta na inanitesa sana kwakwel ,.umenifungua akili yang sana kama hyo ya mwisho mwenzangu hataki hata kusikia .nabaki tu naumia
@teddylameck212 жыл бұрын
Duh yaani unaakili aisee
@nkambamadata603 Жыл бұрын
Huko sahihi mtumishi
@kundiseleman66702 жыл бұрын
Yaani nimecheka Sana
@AbiraiLunje3 ай бұрын
Ndy naanza kuziona sasa
@emmanuelmwandu.31262 жыл бұрын
Shule nzuri sana mtumishi
@ماريعامله2 жыл бұрын
Nimepigwa na kitu kizito kichwani imenikuta hii ila akuachae anakusukuma mbele nimejifunza kupitia hii video asante sana
@sakinaamani14862 жыл бұрын
Exactly yani nakukwambia manno yakukuumiza moyo hata ukijishusha kwake n bure
@sistertrashid24882 жыл бұрын
Yaani Asante nimeelewa Sasa kumbe nimeachwa mie 😄😄😄😄
@maryamhamis7762 Жыл бұрын
Asante sana kwa ushauri wako mzuri
@wenimsigwa93663 жыл бұрын
Ni sahihi, generally anakuwa mtu asiye na ushirikiano mzuri
@asiajuma57842 жыл бұрын
Yani km umeingia Akili mwangu kabisaa Kuna watu unafanya hayo yote Ila anajitoa ufahamu
@salehali4saleh193 жыл бұрын
Kiiiiiiiru,kamwene,yaani umegonga ndipo kabisa
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother
@fatmasaid48065 ай бұрын
Me nshakutana nayo na naendelea kuyaona
@frankbenandi87642 жыл бұрын
kiukweri mambo Kam matatu mwezangu ndo anayo najipa moyo kwakumpa mda naisi atabadilika
@shamsaog29982 жыл бұрын
Yote hayo yalishanitokea ila nikanga'angania labda atabadilika kumbe ndo najipalia makaa nikaja kubwagwa😭😭😭 ctasahau
@pendojoram60394 ай бұрын
Yan nmejifunza kutokunga'ng'ania mtu coz ymenikuta lkn kwangu haina mbya kikubwa nna uwezo wa kujimudu tu kwa kila ktu
@najayohana21112 жыл бұрын
Mbona Kama umesema na mm Asante sana
@sakinaamani14862 жыл бұрын
Ananiambia asa kwani c u move on lazima na mm kwa hujiamini
@alonerider7164 Жыл бұрын
Yaani mapenzi jinsi yalivyo tu ni changamoto balaa.Muda mwingine vitokee vitu kama ivo ili viendelee kukukomaza.
@plumbingtanzaniaplumber7570 Жыл бұрын
Mimi nishawahi kutana na hizo dalill mara kadhaa lakn nimegundua baadh yao ka ulivosema lakn mwingine sio kusudi lake hiyotabia n kama imejijenga ndan mwake anashndwa jirekebisha au tuseme ni kama kapandikiziwa shetan hivi lakn ili afeli maisha yake sasa huyu wa pili anahitaj apate mtu atayewza kumvumilia wanawza ishi
@aksaphilipo65932 жыл бұрын
Upo sahihi kabisa kaka
@mercyrusy6584 Жыл бұрын
Kweli kabisaa Sai.. Sai napitia iyo tatozo
@kitengealmas4085 Жыл бұрын
Dalili zote naonyeshwa
@nassoromussa24233 жыл бұрын
Mimi nimeachwa hivi karibuni,, dalili zote zimetokea..