DANKIDANKI AUAWA na KUKATWA SEHEMU za SIRI kwa KOSA la KULAWITI MGONJWA,- ''ALIMWAMBIA TOA MPIRA"...

  Рет қаралды 21,819

Global TV  Online

Global TV Online

2 ай бұрын

DANKIDANKI AUAWA na KUKATWA SEHEMU za SIRI kwa KOSA la KULAWITI MGONJWA,- ''ALIMWAMBIA TOA MPIRA"...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 133
@globaltv_online
@globaltv_online 2 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 ай бұрын
Mungu Baba tunaomba Rehema zako
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 2 ай бұрын
Alhamdulillah jmn kumbe Kuna watu wana matatizo Yarraby tusitiri waja wako
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 ай бұрын
Adui ya mtu ni JIRANI au mtu wa karibu tu sasa kwa nini amfanyie mgonjwa hivyo ripoti tayari ameshafariki. Kwa hiyo fundisho liko kwetu Sisi. Sasa ni kumsaidia tu mgonjwa na mama kuishi pengine. AMEEN
@zayumar2955
@zayumar2955 2 ай бұрын
Ya Allah kama kuna siku nimewah kulalamika maisha magum nisamehe yarrab 😢🤲 Wallah kuna watu wanapitia magumu😢💔😭😭😭
@Official83640
@Official83640 2 ай бұрын
Mm napenda sana wananchi km hao hakuna kuchekea uhalifu wa namna hii maana jela wanaenda kula ugari wa bure tu na kuwaachia
@minazsaid2470
@minazsaid2470 2 ай бұрын
Kuna watu wanaishi kwenye matatizo makubwa sana yarab wape wepesi waja wako na ss tujaaliwe nguvu tuweze kusaidia 🙏
@OkwSunzu
@OkwSunzu 2 ай бұрын
Jamani sisi masikini tunahali mbaya dawa elf 75 inakosekana yoyote atakae guswa awasaidie huyo mgonjwa na huyo mama jirani yake.
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Nchi hii basi tu Lini mnyezi mungu atatuondolea hii selikalii isiyojali watu wake, wanaishi maisha ya kifahari, raia wao wanakufa kwa shida
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 2 ай бұрын
Yaaaani bora umesema maana haya mambo yanatisha
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Safi sana wananchi! hongera xenu.
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 ай бұрын
Pole sana bi mkbwa....ila Kama dankidanki kapindishwa ni vizuri sana...!..angepelekwa polisi angekula ugali wetu wa Bure...!
@claudiajames2003
@claudiajames2003 2 ай бұрын
Kabisa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 ай бұрын
Bora ameuwawa
@eveliynejoseph7944
@eveliynejoseph7944 2 ай бұрын
Yaan😢😢😢
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 ай бұрын
Hongera sana wananchi kwa kuchukua maamuzi maana Mahakama inawatetea Hawa mbwa wanaowalawiti na kubaka. Bora mlivyoliua
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 2 ай бұрын
Haswa wameamuwa mamuzi mazuri ya kumuwa mana mshahara wa zambi ni mauti
@awaynaaaa3490
@awaynaaaa3490 2 ай бұрын
Wallah bora hivy walivyomuwa mana haya mamb yamezid kuwa makubwa
@user-zl3we4si9q
@user-zl3we4si9q 2 ай бұрын
Lakini walivyomkata sehemu ya siri mmefanya vizuri sana na hawa wanaobaka watoto wadogo na wagonjwa wakateni pia hizo sehemu za siri adabu nzuri sana
@nancyg8664
@nancyg8664 2 ай бұрын
ata mimi nimependa sana
@user-vt4vd5rh8u
@user-vt4vd5rh8u 2 ай бұрын
Hyo nzuri wote wanaonajic wenzao wakatwe hzo sehemu zao kabixa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Imelda Mungu azidi kukubariki, pole sana, asante kwa namba ya cm ya mgonjwa angalau atakaeguswa ajiguse, Pia huyo dada wa figo, muhoji peke yake utoe simu namba yake asaidiwe..
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 2 ай бұрын
KUUUWAWA KWA HUYO MTU NI SAWA! SAWA KABISA;
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 2 ай бұрын
Tena wa ngemtupa maiti yake Ili mbwa wale maiti yake wasinge mzika shetani sn
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 2 ай бұрын
​@@ziadasalimu1730Hakika tuko siku za mwisho😢😭😭😭
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 2 ай бұрын
Wakati wananchi wenye hasira Kali wanafaa sana.
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt 2 ай бұрын
Dawa ya dankidanki ndiyo hiyo tu hakuna nyingine ya kumfaa zaidi ya kufa.
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 2 ай бұрын
Poleni sana Dada..Ongea na MKUBWA wa kijiji aripoti hii ifanyiwe matengenezo
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b 2 ай бұрын
Dunia hi inamambo mengi yahovyo naviongozi wapo kimyaa wanakula maisha tuu allha atulinde sie masikini
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Pole jirani mwaya,km co wewe jambaxi sugu lingetokomea licjulikane Mungu akawaponye.
@monalisaally4387
@monalisaally4387 2 ай бұрын
Allah bariki familia hii jaman huruma sana
@user-lt7yx2ms7h
@user-lt7yx2ms7h 2 ай бұрын
Mmmmh mtihani sana Wallah hii Dunia sijui tunaelekea wapi MUNGU tusaidie
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s 2 ай бұрын
Safi sana wamemkata vizuri wakatwe wote
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 2 ай бұрын
Lakini aliye fanya icho kitendo kasha fariki kama kauwawa fresh.poleni
@josephineokama2200
@josephineokama2200 2 ай бұрын
wanaobaka na kulawiti dawa ni kuwauwa tu hakuna kupeleka mtu police
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 2 ай бұрын
Kuwaua kabisa kumamake
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 ай бұрын
Subhannallah subhannallah subhannallah. Nadhani haya masahibu haya elezeki kwa mwenye kumuogopa ALLAH. Mnaizungumza Arusha vip hili hili nalo niarusha upande gani?. .nadhani kila sehemu ya mitaa yote tanzania maadili yamekuwa na hatar kimaadili nadhani hali nimbaya mno inaskitisitisha .
@salma-fc2mq
@salma-fc2mq 2 ай бұрын
Hii imetulia Sana ingekuwa kila mbakaji wa watoto au wagonjwa au wabibi wafanye hivi hakuna police wala nini kupunguza wajinga jela
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 ай бұрын
Kabisa maana hizi tabia hazina dawa kabisa
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 ай бұрын
Innalillah wainnah lillah rajun msibq mzito huu jqmn😢pole sana mama juma
@teedullah5708
@teedullah5708 2 ай бұрын
Poleni vzr km kauwawa inge kuwa wakipatikana hivyo wanauliwa wangewacha
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 2 ай бұрын
Na mim nimefurahi alivyouliwa sio wa kupeleka police mtu kama huyo
@ZawadBumalwa-it8cj
@ZawadBumalwa-it8cj 2 ай бұрын
Hatari sana jamani!!!
@AminaLibisa
@AminaLibisa 2 ай бұрын
Yani maisha aya Mungu asaidie tu na pia umasikini mbay wanakaa na mgonjwa na nyumga inajaa mani na kodi wanalipa ila nimefurah kusikia uyo shetwani ameuwawa tena ningefurah wangemchoma moto kabisa
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Na ikiwezekana tuguswe kwa chochote
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 2 ай бұрын
Pole sana mgonjwa mungu atakuponya
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 ай бұрын
Ikiwa wanadamu wataendelea kumkataa mungu na Neno lake alilowapa wanadamu liwe mwongozo wa Maisha kweli tutashuhudia maovu mengi ya kutisha maana shetani yupo
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 2 ай бұрын
Poleni sana
@user-zl3we4si9q
@user-zl3we4si9q 2 ай бұрын
Subhana llah Allahu akbar
@CristinLyanga
@CristinLyanga 2 ай бұрын
Poleni mama.
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 2 ай бұрын
Mungu baba yangu,Dunia imekuwa sio sehemu salama tena😢
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 2 ай бұрын
Heeeeeh mungu tuhurumie dah ad nimesisimka
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 2 ай бұрын
Subhanallah 😭 😭 😭
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 ай бұрын
Upwiru wa aina gani huo jamani😢
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 ай бұрын
Ni ushirikina huo 😏😏
@Ambwene
@Ambwene 2 ай бұрын
Nimeumia sana Jamani tena sana 😢😢😢😢😢
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 2 ай бұрын
hongereni wananchi kwa mamuzi, kazi nzuri, huyo jamaa itakua ndo ilikua mchezo wake.
@annamussa185
@annamussa185 2 ай бұрын
Jamani 😢
@user-ky5wu4gc9g
@user-ky5wu4gc9g 2 ай бұрын
Aisee kuna watu makatili jaman bora alivyokufa hiyo ndio dawa yake
@neemareuben311
@neemareuben311 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢yarab yarab yarab tustiri tupe misho mwema😢😢😢matukio huya yameshamiri sanaaa😢😢😢😢😢
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 2 ай бұрын
75000 Mwanadamu nnpesa ya kukosa matibabu Allah atakupa shifaa😢😢😢
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu tusaidie,haya majanga ya ubakaji yamezidi.
@fsaad5116
@fsaad5116 2 ай бұрын
Jamani wasaidie serikali tembeleeni watu kama hawa jamani jamani huruma hakuna jamani
@jjjhhb4300
@jjjhhb4300 2 ай бұрын
😢😢
@ullujaffariyohani1186
@ullujaffariyohani1186 2 ай бұрын
Mhhhhhhhh hii siyo Tanzania yetu 😢😢😢😢
@user-yj3gy4jc1t
@user-yj3gy4jc1t 2 ай бұрын
Yarabi wasimamie hiifamilie
@julithausiri1211
@julithausiri1211 2 ай бұрын
huzun kwa kwel, dah Mungu wang
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 2 ай бұрын
Duh mtihan wallah ndoman tafaran hii dunia
@rehemamohamedy4007
@rehemamohamedy4007 2 ай бұрын
Duuuh. Haya maisha jamani!!!
@annamussa185
@annamussa185 2 ай бұрын
Huyo mwenye nyumbani naye mpumbavu tu,sasa wahame kwanza kwa nyumba Gani hiyo Kaa biscuit zisizo na sukari wahame tu
@sikukuuchuo3093
@sikukuuchuo3093 2 ай бұрын
Huruma hapana mjinga Sana ndio Kuna watu watabaki maskini milele
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 Ай бұрын
NAFIKIRI UKAHABA UWEKWE HURU HAYA MAMBO YAOSHE😢😢
@Mlokoz_twangalatwz
@Mlokoz_twangalatwz 2 ай бұрын
😢😢😢
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft 2 ай бұрын
Huyo baba atasimama hapo hadi mwisho wa einterveiw 😃
@HalimaTheMuslim
@HalimaTheMuslim 2 ай бұрын
SubhaAllah afanye wepesi
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
InshaAllahAamina
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Subuhanallah
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 2 ай бұрын
Hao sio wa kuuwa ni kukata izo dudu zao na mikono miguuu alafu waachiweeeeeee mafirauni hayo
@Ambwene
@Ambwene 2 ай бұрын
😢 😭
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 ай бұрын
POLENI SANAA JAMAANI. DAA!. JAMANII.
@winnesakara6957
@winnesakara6957 2 ай бұрын
Duuuu 😢😢😢
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 ай бұрын
Huyo mbwa mpaka sasa yupo jehanam
@user-rh5iy3ei3g
@user-rh5iy3ei3g 2 ай бұрын
Umaskini aiseee unadhalilisha sana, yaraby tujaalie rizik njema waja wako 😢😢
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 2 ай бұрын
IInahudhunisha Sana sana
@Byme6434
@Byme6434 2 ай бұрын
Huyu Mwenye Nyumba ni Binaadamu Wa Sampuli Gani?Anawahamisha kwa Tatizo la kubakws?Au Kuna kitu kinajificha?
@nesielias9493
@nesielias9493 2 ай бұрын
Mtu unamatatizo Bado unaongezewa matatizo😭Ee Mungu turehemu watu wako😢
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t 2 ай бұрын
Ache Tu ndugu yangu "nyongeza huja juu ya fungu yani
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 ай бұрын
Nadhan wabakaji wengine mmesikia dawa yenu ndiyo hiyo kukata kichululu tunatupia mbwa na tunakuchoma serekali imeshindwa kazi😮😮
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 ай бұрын
Kabisa kuna usumbufu mwingi kwenye sheria
@sophsoph4740
@sophsoph4740 2 ай бұрын
Mi nimependa sana asafiri salama yan halistaili kabs kufa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 ай бұрын
Binadamu sasa hivi hatuna hofu ya Mungu kabisa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Kila mbakaji na mlawiti ni adhabu yenu hangereni raia wema pole uliyejeruiwa
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 2 ай бұрын
Huyo atakuwa ni muhuni kibaka msela mavi bangi nyingi
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 2 ай бұрын
Haynilishawahi ongea! Mtu na Watu watakuwa ktk msiba mkubwa.mnaingia kuwahoji!!! Wacheni hii nu biashara yenu
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 ай бұрын
Hy nyumba ata huruma huna unawapa notice nadhani una mtihani ndgu mwenye nyumba
@user-ky4rb2lg3h
@user-ky4rb2lg3h 2 ай бұрын
Mimi nashauri kama wana kwako Kijijini waludi kwanza, halafu tulioguswa na jambo hili, tumsaidie
@swabiaa1489
@swabiaa1489 2 ай бұрын
Astagafilullah yan kitendo hiki hata mnyama hawez mfanyia mnyama mwenzake wallah dah😢
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 ай бұрын
Elimu na umaskini na kukosa maadili matikeo Ndo haya. Nchi ibaki elemes na ilipofikia ni ngumu.
@claudiajames2003
@claudiajames2003 2 ай бұрын
Yani dawa ya wabakaji ba walawiti iwe ndii hiyo tu! Maana wakioelekwa polisi wanaachiwa
@user-is4xo4pp8v
@user-is4xo4pp8v 2 ай бұрын
Kama ameuwawa mama msijal muhimu sasa mgonjwa apone. Iwe fundisho kwa wote
@aishatest4451
@aishatest4451 2 ай бұрын
😢😢😢😢😢😭😭😭😭
@user-xq6rg2pb1x
@user-xq6rg2pb1x 2 ай бұрын
Jamanii jamani uo mpira alokuwa anamvuta mwenzake unavouma na unawekwa kitaalamu uku mbere me nimewekewa najua maumivu yake na unastaili ya kutoa kitaalamu bora kafa
@nasrasaid9120
@nasrasaid9120 2 ай бұрын
yaan huo mpira unavouma kutembea shida Hadi kukaa tabu mh mtu ndo akuvute aseee😥😥😭
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 2 ай бұрын
Poke sana mama
@Bashitetako
@Bashitetako 2 ай бұрын
Maskini kwenye nchi hii amekuwa anateseka sn 😢
@ericamkoba9101
@ericamkoba9101 2 ай бұрын
Wasingemzika jaman wangemtupa baharini Kama mzoga au ata msituni
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 2 ай бұрын
Hii nilaana au nini hii jamanì. Binadamu hawana huruma. Selikali muko wapi?.jamani.
@user-vq1qx1dr4e
@user-vq1qx1dr4e 2 ай бұрын
Yani kunawanaume ni mashetani hivi kwahali hiyo ya huyo mgonjwa nabado mtu anapata ujasili wa kusimamisha dude lake. Na kumfanya hivyo mama wawatu bola alivyouliwa
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 2 ай бұрын
Samia alibebe hili mbona anatoaga milioni kumi kwa mwanahawa muimba taarabu hata hawa awasaidie
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 2 ай бұрын
Huyu baba mpaka leo maskini hana hata eneo kapanga
@SharonGodwill
@SharonGodwill 2 ай бұрын
Mkiambiwa siku za kuishi hapa duniani zimeisha hamsikii tuliyobaki nayo ni nyongeza tu ya kutubu
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 2 ай бұрын
Wanaume wengine wanaupwiru wa hovyo kuzui dude lako huezi
@aishajuma7813
@aishajuma7813 2 ай бұрын
😥😥😥😥😥PORENI
@user-zl3we4si9q
@user-zl3we4si9q 2 ай бұрын
Kuna watu wana laana hivi
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 2 ай бұрын
polenisana sasamtukamahuyo kauwawakwakipigo kwaalichokifanya halafuetiselekari inawakamatwa walompiga wakatikitukinajulikana
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 2 ай бұрын
wanahitajimsaada jamanihawawatu watanzaniya nawasokuwa watanzaniya tumsaodiyeni hawawatu piyanaselekaritunawomba iwasaidiyejamani
@Ayuminchasi
@Ayuminchasi 2 ай бұрын
Bora wamemuua lait wanaolawiti wangekuwa wanauliwa kma hivi wangeisha
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 2 ай бұрын
Huku ni wapi? Kulikotokea hili tukio
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 2 ай бұрын
Hapa ni dar_es_salama
@ericamkoba9101
@ericamkoba9101 2 ай бұрын
Akawe mali ya fisi
@user-qn3cf2bg4u
@user-qn3cf2bg4u 2 ай бұрын
selekari iwasaidiyeulizihawawatu wasifanyiweukatili
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
KUNA VITU VINGINE VYA KUSIKITIKA LAKINI TUKIO ALIOFANYA DANKIDANKI SAIZI YAKE KUUWAWA POA TU HONGERA MAUAJI WALIOKUJA NA VISU NA MWENYENYUMBA WOTE WAMOJA FUNGULIENI KESI
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 791 М.
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН