SIRI ILIYOFICHWA MAPINDUZI YA ZNZ: MENGI HAYASEMWI/ KWA NINI WANAKESHA?/ WAAMBIWE UKWELI..!/KAKIMBIA

  Рет қаралды 12,187

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#MAPINDUZI #ABEIDKARUME #ZANZIBAR

Пікірлер: 40
@asilclub
@asilclub Жыл бұрын
Nyerere na karume walikuwa wauaji wizi mungu atawalani
@mteweleannon9293
@mteweleannon9293 Жыл бұрын
Mzee anatoa maelezo mazuri na anaeleweka. Naomba ueendelee kutuelimisha vijana juu ya mapinduzi ya Zanzibar. MUNGU akuongoze
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Muungano wa TANU na ASP na kuzaliwa CCM kuliunganisha vyama viwili vilivyopitia historia tofauti, itikadi tofauti na malengo tofauti. Kudhihirisha hili ndiyo maana baada ya Mwl. Nyerere kung'atuka mwaka 1985 na kurithiwa na Mzee Mwinyi mwaka 1986 Azimio la Arusha iliyokuwa dira ya itikadi ya TANU likazikwa rasmi. Kuanzia hapo ndoto za waasisi wa TANU na ndoto za waasisi wa ASP zikayeyuka.
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Wazanzibari wa nataka inchi yao bwana hawataki muongano kwa nguvu zanzibari emetawaliwa NA tanganika zanzibari imepata uhuru wake kutoka wangereza zanzibari ilikuwa NA kiti katika umoja wa mataifa NA elikua NA pasport NA mabalozi duniani NA sasa emetekwa rasmi mpaka kiyama msidanganye watu lazima wazanzibari wafanye uchaguzi kutawaliwa kwa nguvu haitadumu inshalla zanzibari ujuru
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 Жыл бұрын
Mauwaji na sio mapinduzi
@alijuma8009
@alijuma8009 Жыл бұрын
Sio rais kujiuzulu alilazimishwa ajiuzulu Dodoma
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 9 ай бұрын
Hakuna asojua malengo ya mapinduzi ni kuuwa waislamu Zanzibar na kuleta ufisadi ndio lengo la mapinduzi ndio maana mukafanya ukatili mkubwa hakika hayatosahaulika 😢 na Allah anakusubirini kwa mulioyatenda na wala hamutaki kutubia 😢
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 8 ай бұрын
💯% mauwaji yale yaliungwa mkono na muisrail mmarekani muengereza mkenya mburundi mrwanda muithiopia na baadhi nchi nyingi za kikafiri
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 8 ай бұрын
Hata baadhi ya warabu wale wanafik wanopenda maslahi ya kidunia waliyaunga mkono mapinduzi hayoo. Ila tujiulize swali Moja tu walofanya mapinduzi Leo wako wapi? Wapo chini ya ardhi ,Dunia inatufunza Fanya lolote lile ila mwisho wako ni kifoo tu
@IsmailClassictz
@IsmailClassictz 11 ай бұрын
Sio mapinduzi mauwaji ya wazee wetu😢😢😢😢😢
@mohammedjabir6128
@mohammedjabir6128 Жыл бұрын
Ili akili zenu ziwe timamu, mufute sherehe za Mapinduzi, na mutambue siku ya uhuru,kam hamna haya mbele ya Mungu kiama chenu kukutana na Mola wenu kinakaribia!
@comredsmile8698
@comredsmile8698 Жыл бұрын
Nimepitia habari nyingi juu ya mapenduzi....am 100% sure ilikuwa njama ya mabepari wa afrika mashiriki pamoja na muengereza...kwani walijuwa hakika kuondoka kwa muengereza watapokonywa ardh za milki ya Zanzibar (Mombasa ,malindi, lamu,kismayu,kilwa na visiwa vyengine....njama kuu ni kuangusha serekali ya Zanzibar ili waweze kutawala...Mombasa toka 2000 imedai uhuru wao Hadi Leo imekuwa ndoto....if zanzibar will break away from the union,it will force Mombasa,lamu and malindi to demand for freedom from Kenya....
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Ok
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 Жыл бұрын
Lakujivunia kwa mauwaji ya roho za watu walio kuwa hawanahatia
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 Жыл бұрын
Kweli kabisa maneno yako
@111dudi
@111dudi 3 ай бұрын
Jambo la maana lingekuwa ni kusafisha chuki iliyoletwa na mapinduzi. Si rahisi kusahau watu waliouliwa kinyama.mpaka leo waru wanabeba mabango yameandikwa "machotara hawatakiwi" . Huyu anazungumza bila kujua kiini cha tatizo
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 Жыл бұрын
Wanasiasa kuweni wakweli mapinduzi hayakifanya cho chote zaidi ya kuyachafua yaliliyokuwapo
@SCSI523X
@SCSI523X Жыл бұрын
Karume kauwawa kwa kubeba mzigo wa mauwaji wa raia wanyonge wasiokuwa na silaha lkn wauwaji hasa walibakia na ndio waliochochea kifo chake ili kufanikisha lengo la kuiteka dola ya znz wakaunda chama kimoja ili kuendeleza ajenda za bara dhidi ya znz na ndio maana kila uchaguzi huwa hawaogopi kuuwa.
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Жыл бұрын
Mr Miraji anatoa habari kwa ukweli,anasema ukweli utawala wa Karume kulikuwa mauaji ya watu, kasema watu kupotea. Mwalimu Nyerere alisema kuhusu watu kuuwawa na baraza la Mapinduzi.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Жыл бұрын
Sio mapinduzi ni mauwaji ya raia wasiokuwa na hatia.
@yuzzomanboy
@yuzzomanboy 10 ай бұрын
Muungano ni wa watanzania sahihi kabisa
@ashuu7772
@ashuu7772 Жыл бұрын
Mimi nahisi baada yakuuliwa karume hakuna lakujivunia kwahiyo tunasubiri kiama kila mtu atabeba zigo lake
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 8 ай бұрын
Kila alieuwaa kikatili na yeye kifo chake kitakuwa Cha kikatili kama alivyo kuwa karume
@gangmore9091
@gangmore9091 Жыл бұрын
Mapinduzi or Mauwaji wataenda kujibu mbele y Allah insha Allah hayo yote ulosèma yalikuwepo kabla Mapinduzi elimu bure maji bure n.k usiwaite Mashekhe kwa Mauwaji walofanya hao unaoita Mashekhe dhulma haileti maendeleo sema ukweli
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Wee ulikuwepo kipindi Iko mwarabu mweusi
@gangmore9091
@gangmore9091 Жыл бұрын
@@gabrielmdem4271 unatumia Stimu gani bro?
@moxasaidi3398
@moxasaidi3398 8 ай бұрын
Namkubali jamaa amejitahidi uzuri
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Sio mapinduzi ni uvamizi kutoka nyerere kutoka bara NA ungereza NA maadui wa waaslaam hawataki dolah jirani NA tanganika muongano ilikuwa kwa nguvu sio kwa marithiano zanzibari lazima iwe dola peke yake zanzibari imemezwa NA wazanzibari hawataki huo muongano ya mauaji bila hatia NA kutawaliwa
@jimmundakega9480
@jimmundakega9480 Жыл бұрын
Simulizi njema
@LovelyBubbleTea-vz4ol
@LovelyBubbleTea-vz4ol 5 ай бұрын
Mh.Miraji aliiua hana chuki Za kisaiasa
@rashadalharas4080
@rashadalharas4080 Жыл бұрын
Baraza la wakilishi 1980
@TALLUBOY
@TALLUBOY Жыл бұрын
#makabuli yamashujaa yapowapi? achen mba mba mba-mba mba mba achen muungan uwendeleeh
@bakarbakarali-cw3gc
@bakarbakarali-cw3gc 11 ай бұрын
Bunju ile
@alijuma8009
@alijuma8009 Жыл бұрын
Kwangu mm sijaona Cha kujivunia mana malengo ya mapinduzi hayatekelezwi
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 8 ай бұрын
Hakuna madhumuni mamoja ispokuwaa ni kuleta ufisadi tu kama ubaguzi hata wao Leo wanaofanya tena wanaofanya zaidi ya hao warabu na kuendelaa kuuwa Kila ikifika uchaguzi lazima wauwee watu 🤣🤣
@salummzee9739
@salummzee9739 11 ай бұрын
Umesema maneno matamu kaka hio ndilo lengo mapinduzi hao wasio penda mapinduzi wanaasili ya utumwa hao ss tumepindua ili tujitawale wenyewe Zanzibar km tunavyo jitawala sasa ?Mapinduzi daima
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 8 ай бұрын
Na Kwa Allah s.w anakusubiri ukatoe maelezo vizuri ! Unadhani dhambi ya kuuwa waislamu wenzako malipo yake ni nni ! Ni moto wa jahannam milele kwahiyo ruka paaa jivunie ilaa mwisho wako ni kaburi tu huna pakukimbiliaa Wala Allah Hana haraka na wewe Kwa sababu anajua mwisho wako ni kurejea kwake huna ujanja ! Hata hao walofanya mapinduzi na kuuwa raiyaa wemaa asokuwa na hatiaa pia Leo hawapo tena duniani wapo kwenye makaburi na na Imani wanajutiaa Kwa waliyoyafanya ila wewe mjinga endelea kusema mapinduzi daimaa 🤣🤣
Simba yatinga Ikulu Zanzibar
2:40
Azam TV
Рет қаралды 20 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 27 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 31 МЛН
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 238 М.
HIZI NDIZO NYUMBA WATAKAZO PEWA WANANCHI WA ZANZIBAR KAMA FIDIA YAO
4:39
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 66 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН