Fata shuhuda za Davister na pia promover TV ndio utaelewa walokole ile nguvu wako nayo sio mchezo wakisema fire 🔥 jua nifire kweli 😊
@rerisamba Жыл бұрын
Yani huyu Mungu nae kweli ni Mungu hachunguziki wala haeleweki kabisa
@LadislausOdilo Жыл бұрын
Nyie shetani ana ushenzi huyu?!! Yaani haachi kutesa watu hata kama ni wa Mungu katika Yesu Kristo ila mara zote ushenzi wa shetani anaishiaga kuaibika sana
@essy4664 Жыл бұрын
Kwani vipi
@kahindiwanje90 Жыл бұрын
Safi
@essy4664 Жыл бұрын
Kwani hii Story imeisha
@kefamsafiri1028 Жыл бұрын
Tunataka tujue jinsi ulivyojiunga na freemason
@rerisamba Жыл бұрын
Mbona una post picha ya mama na msimuliaji ni msichana mdogo halafu golden boy baba Ronaldo vipi mkumbuke
@LoFi_120 Жыл бұрын
Thumbnail (picha), Title na stori ni vitu vitatu tofauti😂, mdada wa watu kaokoka anamtumikia Bwana Yesu😅.
@tututz100 Жыл бұрын
J.B.B.1999
@SarahWilson-g2u Жыл бұрын
Jamani hii stor mbona kichwa Cha habari na stor tofauti, msimuriaji ni mdada kwenye profile ni Mama why??
@MaryamMaryam-wp5yk Жыл бұрын
Ngojeni tu hadi Mwasho pengine huko Mwasho Ndo alibadilika akawa kiongozi wa hao wanga