Day1_"Jinsi ya kutoka kwenye roho zinazofatilia"||SEMINA TABORA TZ NA MCH.AMIEL KATEKELA

  Рет қаралды 13,169

PROMOVER TV

PROMOVER TV

2 жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp.com/DjZYNtGlQSE...
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp.com/Jzfy3pn4CyB...
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 49
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
Wapenzi wa promover TV naomba tuchangie japo 🔊 speaker Na bati 48 Hilo kanisa
@annacharles2842
@annacharles2842 2 жыл бұрын
Bwana akubariki sana mtumishi wa Mungu kazi yako si bure .wengi wanakimbilia mijini ,vijijini wamesahaulika hongera sana mtumishi wa katekela na promoter tv. Huduma yenu si bure mtafika mbali na Bwana asiwapungue kitu.Ameeen!
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Mungu Aendelee kukutunza pastor Amieli. Jacktan Barikiwa sana kakangu. Unafanya kazi ngumu na nzuri . Mimi binafsi Nimebarikiwa.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@elizabethconstantino6056
@elizabethconstantino6056 2 жыл бұрын
Pastor Amiel, ubarikiwe sana, tunakupenda pia kaka Jactan Mungu akuinue katika maono haya.
@carolynmutenyo6984
@carolynmutenyo6984 2 жыл бұрын
Kweli jina la yesu Lina nguvu kweli, kuna wakati jini linanivamia usiku linanikalia Hadi kuamka nashindwa kwa kiroho nalitaja jina la yesu linaondoka
@annegimoi5415
@annegimoi5415 2 жыл бұрын
God bless you brother, najifunza mengi sana kutoka kwako
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 2 жыл бұрын
Haleluya Haleluya Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu .
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 2 жыл бұрын
Amina Amina Yesu asifiwe sana
@rebecashidika7801
@rebecashidika7801 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana timu yote kwa utumishi huu, ninabarikiwa na mafunzo ya meno la Mungu nakuzidi kumtafuta Yesu zaidi na zaidi. Mungu awatunze na kuwapigania in Jesus name.
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 2 жыл бұрын
Mungu awa inuwe zaidi na zaidi
@bucumielizabeth4463
@bucumielizabeth4463 2 жыл бұрын
Mtumishi sema ukweli mungu atakubaliki, unajuwa kutuelimisha ubarikiwe sana
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Mtumishi WA mungu Amiel na jacktan be blessed...nasoma saana hapa kwenu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@sifaodette565
@sifaodette565 2 жыл бұрын
Asante sana kwa utangulizi wa semina hii yesu akutangulie kwa kazi yake
@shedrackthoya7643
@shedrackthoya7643 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana MTUMISHI wa mungu,mungu akupe nguvu.
@shedrackthoya7643
@shedrackthoya7643 Жыл бұрын
Natamani mungu akupe nguvu uzidi kunena ukweli wa mungu watu watoke katika vifungo va shetani.
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah barikiweni sana watumishi wa BWANA
@rachelnasimiyu4296
@rachelnasimiyu4296 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie na utusamehe kwa kutumikia roho zinazofuatilia
@roselynemutimba8191
@roselynemutimba8191 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mchungaji am blessed kwa neno takatifu mungu atuondolee maroho chafu inayofwatilia maisha yetu in Jesus name 🙏
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 2 жыл бұрын
Roho ya utumishi naiona ndani yako Hubiri.. usichoke eee Mungu natetemeka mbele yako maana bila wewe Yesu hakuna NJIA mbele yetu hakuna TUMAINI wengi wangetamani wahubiri mjini sio huku lakini umeamua kumsikiliza Roho Mtakatifu
@anitasamson7850
@anitasamson7850 2 жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi wa Mungu tunajifunza mengi na kufunguliwa, sauti ni nzuri, God bless you Promover TV
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Pendaaaa SANA wewe na Aston Adam Mbaya Jac
@sarahsonny9240
@sarahsonny9240 2 жыл бұрын
Halleluyah glorious Jesus following,,,,,,
@ZaitunMaji-fj3sq
@ZaitunMaji-fj3sq 10 ай бұрын
Mnakata kata Sana watumishi, tunakosa point za msingi
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 2 жыл бұрын
Aki promover mlikata hii video sana
@emelivaly1720
@emelivaly1720 2 жыл бұрын
Hi jacktan. Msafiri Mimi. Nko. Life. Kutazama. Shukran. Sana. Kwa. Kutuletea. Seminar. Life. Everlyne. Wali. Nikiwa. Oman 🇴🇲. Be. Blessed. Somuch. Amen 🙏
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@RoshaniLifeStyle
@RoshaniLifeStyle 2 жыл бұрын
Hello! Powerful message. I'm learning a lot. Please stop editing some places especially the prayer. I wanted to pray some prayer he was about to pray in the end but it was cut off! Thank you for these videos. GOD BLESS YOU!!
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
Ameeeeen
@edwardmwalukware9734
@edwardmwalukware9734 2 жыл бұрын
Hii message imekua edited sana mmekata sehemu nyingi mno
@sarahsarai8690
@sarahsarai8690 2 жыл бұрын
Amina.
@rusimackems9820
@rusimackems9820 2 жыл бұрын
Tukomboe eee Yesu twaomba
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 2 жыл бұрын
Amen
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Amina
@janendegwa1748
@janendegwa1748 2 жыл бұрын
There some things you are hiding which are very necessary to know. let him expose everything as the holy spirit
@marcelastephen4247
@marcelastephen4247 2 жыл бұрын
Naomba namba zako mchungj Amiel
@ellyitete938
@ellyitete938 2 жыл бұрын
Niko Tabora hapa ...inafsnyika wap hii seminar
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Imeisha ilifanyika Sikonge
@juliuskalama2746
@juliuskalama2746 2 жыл бұрын
Wewe Jacktan umekatakata hapo alipokua akifichua hio siri ya wachawi basi umenikosea ajabu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Tunaomba utusamahe bure 🙏Siyo Jacktan amekata, Jacktan hata hakuwepo kwenye semina.Video ilirekodiwa tu na watu wengine ambao walihudhuria ndio hivo tena vipande vingine hawakurekodi vingine havina sauti,sisi promover hatukufanikiwa kuwepo tumetumiwa tu video.Ubarikiwe
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Sema tupone baba
@petermageta4987
@petermageta4987 2 жыл бұрын
Sasa ndio naanza kumwelewa mchungaji amieli
@peninahmwendwa2519
@peninahmwendwa2519 2 жыл бұрын
Lakini mungu anawapa nafasi ya kuroga
@IANA2030
@IANA2030 2 жыл бұрын
Jack telagram link please
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
t.me/+7frm8plBghg4Yjg8
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
Shalom samahan naomba kuuliza kaka Jactan Ni Kwasasa mtumishi ndo yupo Tabora ama ilishafanyikaga hii semina?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Ulishafanyika mwezi uliopita
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
Sawa
NGUVU YA KUZIFUNGUA KAMBA ZA MAUTI MCHUNGAJI AMIEL KATEKELA
49:17
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 193 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
REV. DR. ELIONA KIMARO: USHUHUDA KUTOKA KENYA
9:58
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 30 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE : MAOMBI ENDELEVU UFUNGUA MALANGO YA FURSA KWA MUOMBAJI.
1:21:14
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН