ndio maana nakupenda Yesu wangu maan hujawai kuniangusha naomba umbariki kaka jack na mtoa ushuhuda nawoote watakaowatch ushuhuda huu amen yohana 3:16
@jojosky3372 жыл бұрын
Bwana Yesu alikua na kusudi la kukuokoa Ili uje utushuhudie Dunia jina la Bwana Yesu lihimidiwe milele
@peninahkariuki11362 жыл бұрын
What a great Testimony with revelations ,am really blessed may God bless you both 🙏🇰🇪
@lydiamichael55092 жыл бұрын
Jameni kuna faida gani kuuzia shetani nafsi yako kwa ajili ya faida za hapa duniani badala ukimbilie Bwana kwa haki na ukweli huko kuna maisha ya milele nachochote utataka utapata hapa duniani sisi niwapita njia makao yetu yako huko juu kwa Baba yetu aliyetuma mwanae kuja kutufilia dhambi zetu ili tuokoke.
@VoiletMazon4 ай бұрын
Amen pastor katekela umenisaidia kabisa nimesikia ushiuda wako pastor kwazia 1-9 mimi Alfred David chauma (Lilongwe Malawi)
@apostlerebeccamunguaniinul7073 Жыл бұрын
Hallelujah muchungaji Katekela na barikiwa sana kabisa
@Hellennafula482 жыл бұрын
Hii story imenielemisha na kupenda yesu wangu kweli kwa Yesu kuna makao mazuri na ya milele oooh yesu mm nakungojea ili niende na wewe mbinguni ,asante yesu kwako kuna makao mazuri Sana Amina yesu mungu ñi mwema sana kila wakati ,utukuzwe milele daima,,
@emmanuelngajilo36742 жыл бұрын
Huu ushuhuda umeniongezea Imani kiukweli Mungu akubariki mtumishi
@deborahcharles65072 жыл бұрын
Mungu awabariki sana !!!Mtumishi alianza kuelezea kwa habari ya rasta kwa wanawake hakuendelea ,kwa NEEMA YA Mungu tungependa kujua ili tupone,
@heritier51192 жыл бұрын
Lengo la rasta Ili wanawake wawe na mapepo rasta ni maroho nyingi ni nywele za majini
@Faraja20232 жыл бұрын
Alielezea Sana Kwa group lake
@josephmutemi74942 жыл бұрын
Huu ushuhuda umenifundisha sana, BWANA awabariki sana
Karibu Tanzania, nitakupa sehemu ujenge nyumba Yako ya kuishi Ili uhubiri injili
@ndavadumayai42502 жыл бұрын
Mungu awabariki watumishi wa Mungu aliye hai,Hakika Yesu umeinuliwa juu
@ann-ann-2 жыл бұрын
Amen. Thank God for your deliverance so that your testimony could encourage us at a time like this.
@lucylyale7169 Жыл бұрын
Asnt MUNGU kwa zawadi hii umetuletea ukombozi kupitia mch Amiel ili tupone kwa makusudi yako hutaki tuangamie mtunze na kumlinda ili utukuzwe kupitia yeye,, ameeeeeeeeen🙏🙏🙏
@highzacknnko96852 жыл бұрын
" nakushukuru YESU kristo kwa kunipa ufahamu na akili ya kusikia shuhuda
@rehemaabinelynyagawa28782 жыл бұрын
Mungu awabariki sana nimebarikiwa sana na ushuhuda huu toka mwanzo Mungu atusaidie
@Mariejo123-g2x2 жыл бұрын
Mwaka uliokubalika kumtaka bwana na nguvu zake. Mpinge shetani atakukimbia, amen, and amen 🙏🏻
@conqueror41072 жыл бұрын
Jacktan tunaomba mchungaji aongee zaidi kuhusu ndoto... Asante sana kwa kipindi
@claudineniyonzima30142 жыл бұрын
Wooooow Mungu akubariki sana kwa testimony hiyi ya kutujenga na kutukumbusha kuomba kwa bidhii
@lucykarebe15672 жыл бұрын
Neno la Mungu ni kweli na Amina, injili ya Luka 8:17, Yesu akasema "whatever is hidden away will be brought out into the open and whatever is covered up will be found and brought in to light". Wapendwa tudumu katika maombi. Mbaarikiwe sana promover tv team tunaendelea kuwafuatilia.🙏🙏🙏🇰🇪
@daisymuthoni6752 жыл бұрын
Wow what a testimony been following from Kenya be blessed guys have learned alot...
@maryandason18152 жыл бұрын
Asanten Sana promover tv.n brother jacktan.its done.ushuhuda mzurii.san but nawasubr zipporah na Rachel.
@rakaieva54722 жыл бұрын
Amen Amen 🙏Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu 🙏na Mungu azidi kukurinda na kukuvika nguvu zaidi shalom Shalom.
@wemamanikana97912 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wake. Umeelezea, umenifanya nizidi kusimama kwa Yesu Kristo.
@millicentnaliaka2 жыл бұрын
Waah so intrest asanteni sana kweli kwani tunajifunza kweli kweli
@elizabethsimbenga47732 жыл бұрын
Namtaka Bwana Yesu na nguvu zake
@macklinakabyazi30362 жыл бұрын
Ahsante mtumishi Jacktan kwa ushuhuda huu, hakika Mungu ni mwema.
@joannanekesa77582 жыл бұрын
AMEN AMEN barikiwa jackat ushunda huu umenpa amani sana 🙏🙏
@neemanyasary10722 жыл бұрын
Ameen, Ameen. Jina la Yesu libarikiwe
@wkjshsxbbsbs63922 жыл бұрын
I thank God the more munatoa Siri za kuzimu the more watakuwa powerless in the name of Jesus Christ of Nazareth with hope wote walio naswa watafunguliwa kwa jina la Yesu
@wilsonkakili24812 жыл бұрын
Usisahau kuwakutanisa na shee omary kuna vitu hawajavisema wakikutana watakumbushana
@faze_narq68902 жыл бұрын
Oooh do I love this man of God!!! He has soo much insight and it’s so much information! I can’t have enough of his urgent warnings about the coming back of Jesus Christ!! About the wile’s of the enemy and about what to do!! He is phenomenal! God bless you man of God!! Question: I had a dream and I saw a woman holding a baby and when I looked keenly at her face I noticed that she had maggots coming out of her eyes, Then I said oh she needs prayers and I immediately started rebuking the illness and casting out what had held her captive in the name of Jesus and I pleaded the blood of Jesus,,,, suddenly she roared like a lion and she knocked out my breath then I immediately realized that she was an evil spirit and I kept on binding it in Jesus name and the blood of Jesus then I got up!! While I know it’s witchcraft do I have to do more? I was hit by witchcraft about 4 years ago and my spirit man became more sharper cause I can sense an attack even in my sleep. Please help.
@faze_narq68902 жыл бұрын
Satan has no free gift never!! He mission is to steal kill and destroy! But God !! Christ came so that we can have life and have life more abundantly to the glory of God!!
@shamim-shammy2 жыл бұрын
Dah shuhuda nzuri Sana na nimejengwa mnoooo
@miria6592 жыл бұрын
This is horrible shetani ako na vituko mbaya Sana Kwanza hiyo sehemu ya kujilinda Kwa Kula kinyesi cha mwanadamu wakristo tujitakase I hope mmeskia🤭Asante jactan Mungu akubariki
@rhodahsavayi51462 жыл бұрын
I love the testimony and I feel like bei g saved
@happykajeli54532 жыл бұрын
Asante mtumishi kwa ujumbe mzuri jactan ubarikiwe sana
@tatumluv60542 жыл бұрын
Amen barikiweni watumishi wa Mungu
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Hallelujah amen
@salimaechessa89332 жыл бұрын
Am encouaged by this great testimonies,its an eye opener.
@mindenlightenment2 жыл бұрын
That's right✓✨
@beatricenyiro59132 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda Mungu akubariki
@annnyakio72312 жыл бұрын
Wow nice God bless you pastor 🙏🏾🙏🏾
@rebeccanashoni46182 жыл бұрын
Mmmmmh ushuda mzito Sana unanifanya Niongeze bidii ya kumtafuta Mungu zaidi
@liliananyango8342 жыл бұрын
Haaaaaa!!!!! barikiwa sana
@gracewahu87412 жыл бұрын
Ushuhuda wa kubariki kabisa , Big up !yesu kristo nimshidi bwana wa mabwana . Tuko pamoja twaedelea kusikiliza.
@florencebalongo69572 жыл бұрын
Hata mm Niko diaspora,nafuatilizia.
@carolinederi56902 жыл бұрын
Amen my God bless all the promover stuff
@sallymumia84252 жыл бұрын
Glory to Jesus Christ.
@sarahjacobs88142 жыл бұрын
MUNGU akubariki akutende mema joctan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@shadrachkamyori99116 ай бұрын
Amen amen amen amen
@jossyayielo75762 жыл бұрын
Asante Jacktan 🇰🇪🇰🇪
@rmaryp62692 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu nakushauri uachane na huo ushanga mkononi haijarishi umetengenezwa kwa rangi za bendera ya Tz. Shanga zinatoka huko huko kuzimu maana pana mtumishi wa Mungu Emma Mushi wa Arusha naye alikua akimtumikia shetani kama wewe, naye ktk ushuhuda wake kaeleza kua shanga zinatoka kuzimu, hakuna kiwanda cha shanga Duniani. Na pia tunaotaka kuingia Mbinguni; hatutakiwi kuvaa chochote mkononi zaidi ya saa tu.
@ivonaevarista46542 жыл бұрын
ata saa haturusiwi Bwana alinikataza nilikua napenda sana ila niliacha
@rmaryp62692 жыл бұрын
@@ivonaevarista4654 Inategemea aina gn ya saa uliyokua unavaa. Yesu yuko makini sana! Anataka saa siple tu, za mikanda ya plastic au ngozi. Ukisikiliza ushuhuda wa Rachel na Sippolah pana sehemu ameeleza.
@ivonaevarista46542 жыл бұрын
ilikua ya plastic tena yakawaida sana mimi bnafs niliambiwa nisivae sasa kwamaelezo zaidi nikumuuliza Mungu mwenyewe,barikiwa.
@rmaryp62692 жыл бұрын
@@ivonaevarista4654 Ok! Muulize Mungu atakwambia 7bu! Barikiwa.
@glorymziray19152 жыл бұрын
Umenena vyemaa
@angelibrahim55392 жыл бұрын
Mngu akubariki sana
@ipyanadanny99592 жыл бұрын
Mungu wetu utusaidie bila wewe hatuwezi
@frankinspired64862 жыл бұрын
Mch Amieli bado ako na mengi yakueleza, Jacktan jaribu kumleta tena kwa maelezo zaidi...
@dokasa91762 жыл бұрын
Huu ushuhuda uko na maswali mengi kila sehemu Sasa tutafanyaje kaka Jacktan
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Asingeweza kujibu yote siku moja.Endelea kufatilia
@noellanduwimana512 жыл бұрын
Mungu akubariki mutumishi
@stamilinchimbi65472 жыл бұрын
Amina mtumish kwakutuletea shuhuda nzuri za kumjua adui wetu Mungu akubariki sana
@mwasimayombo96732 жыл бұрын
Kaka jactan ukikutana nae tena jaribu kumuulizia kuhusu uzazi wa mpango kama sio mpango wa kuzimu
@MaggieG2762 жыл бұрын
Kazi nzuri jacktan.Barikiwa
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@maryjoviny69912 жыл бұрын
Yesu awabriki kwa kazi njema
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@doricemrema21772 жыл бұрын
Tupe ukweli tupone baba🙏
@phaniceariviza43992 жыл бұрын
Mungu awabariki
@gilbertbada83852 жыл бұрын
Ndugu ungefanya special show ya ndoto.
@conqueror41072 жыл бұрын
Naakuunga mkono
@barakamanu15142 жыл бұрын
Jacktan naomba utengeneze kipindi kingine kwa undani na mchungaji huyu juu ya mbinu 21 za kuangusha walokole. ubarikiwe sana.
@rmaryp62692 жыл бұрын
Ina maana ile ishu ya Mch. Gwajima haikua kweli walimtengenezea!? Yaani sura ilionekana yake kabisa! Hadi leo anataniwa kwa kuitwa "Gwaji boy"! Kweli shetani hafai kabisa, tukae mbali naye kabisa..!usalama wetu upo mikononi mwa YESU pekee.
@trophywilson72112 жыл бұрын
wali edit tu
@trophywilson72112 жыл бұрын
na leo ameshinda corona imempa ushindi katika Kristo
@MertusVellyprofits2 жыл бұрын
Mungu azidi kumlinda
@mundelemuzuri96232 жыл бұрын
Akika wacha Mungu aitwe Mungu yeye ndie mwanzo namwisho akika
@veronicastanley39552 жыл бұрын
Barikiwa sana Jacktan
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@HalleluYAH-972 жыл бұрын
@@PromovertvTz THANK you so much for this .kindly are u able to ask about the hairs he said..that are made there ?
@naomimunanga63632 жыл бұрын
My God bls you all, thanks so much.
@alexnyigo8864 Жыл бұрын
Ameni
@VoiletMazon4 ай бұрын
Tena kanisa langu ni Malawi Assamblies of god (full armor temple) malawi lilongwe
@virgiliasumbai4822 жыл бұрын
Ameen
@edsoncharles69502 жыл бұрын
Jacktan Bwana Yesu Asifiwe, hii part -9 ungeandika kifo cha shalom milionea ingesomwa na watu wengi sana, kuliko hivi ulivyo andika. Ndio maana clip ulizotaja mtu au tukio kubwa zinaendelea kusomwa na watu wengi sana.
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Asante kwa maoni
@trophywilson72112 жыл бұрын
uongo wa nini kujitafutia kuingia motoni?
@AlfaSanga2 жыл бұрын
Sio taarifa ya uhakika
@trophywilson72112 жыл бұрын
@@AlfaSanga ipi si taarifa ya uhakika?
@AlfaSanga2 жыл бұрын
@@trophywilson7211 taarifa yoyote ile usiyoweza kuthibitisha Mf: mtu mmoja alisema alimuona fulan kuzimu, mwingine fulan alishimdwa kumtoa mama yake kafara na ndo akafa Kesho inazuka mpya Kwa kuzingatia hamna njia ya kuthibitisha Basi sio taarifa ya uhakika
@gulfvacancy79762 жыл бұрын
Twangojea mwendelezo
@preciouslissahparis13522 жыл бұрын
Duuuu,hatareeeee,sharo na kanumba
@generosakinemo54902 жыл бұрын
Amina
@victoriaamosi84302 жыл бұрын
Shetan anatapatapa sri zake zavuja
@heritier51192 жыл бұрын
Siku za mwisho ya giza yatakuwa wazi
@harunigaitani3382 жыл бұрын
Duh. Yesukristo akutunze ufike mbinguni
@beatricesanga79942 жыл бұрын
Nikwaneema tu Warrington tunaisha
@zenataashura7922 жыл бұрын
Amen
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Naombeni namba ya huyu mtumishi WA Mungu Jamani na mapito magumu sana
Dah mbona kama imewahi kuisha hivi! Yaani ni kama kuna vitu flani bad havijachimbwa kwa kina vile
@mwasimayombo96732 жыл бұрын
MUNGU tusaidie
@capteinchuimchafu78942 жыл бұрын
Pasta kanyerere alisema hapo mwaka 2030 shughuli kwel kwel
@dadaz46532 жыл бұрын
Mwambie afungue account awe anatufundisha ndoto maan tunaota sana
@CostaValenci Жыл бұрын
Kwa wewe kama mchungaji kuvaa hicho kishanga mkononi haileti maana nzuri
@JacksonLukelesha9 күн бұрын
Ame
@sharonwalubengo76282 жыл бұрын
Muulize je kama jamaa wako mmoja yupo kwenye secret society waezaje vipi kuepuka kutolewa sadaka?
@castrokassoga72712 жыл бұрын
Kabisa wengi waliotoka huko wanahubiri falaki
@charletsada87792 жыл бұрын
Wee umenionfezaa nguvuu za kirohoo
@gestinabunganiekuya63002 жыл бұрын
Jactani naomba namba ya huyu mtumishi
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Ametaja namba zake kwenye dakika ya 34. +255 756 275 511
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Naomba namba za mchungaji kuna ndugu yangu anataka kuombewa
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Sikiliza vizuri namba zake ametaja
@pericykiko61982 жыл бұрын
Je mama kanumba akiomba mwanae anaweza kurudi?
@japhetthabit94282 жыл бұрын
Kabisa mathayo 7:7
@pharesgervas31412 жыл бұрын
Maubiri matamusana
@goodluckisack85059 ай бұрын
Sasa hapa nimeshindwa kuelewa kuwa mlitengeneza korona nyie afu wewe uliopona mwaka 2008 na corona hilingia 2009 hapo sijaelewa
@chingaboy69172 жыл бұрын
Nyie makifili ni sawa na washikilina na mtaingia motoni milele waongo wakubwa nyie
@pirminmatumizi54642 жыл бұрын
Ndugu jisalimisheni kwa Bwana Yesu Kristo haraka. Huko mnakoabudu na huyo mnayemwabudu, siye; Ni FAKE GOD.
@happinescharlesmabeyo91642 жыл бұрын
Katumwa ashindwe kwa jina la Yesu
@chingaboy69172 жыл бұрын
Alie waambia yesu ni mungu ni nana makafili nyie
@egospeltz94862 жыл бұрын
@@chingaboy6917 Ubarikiwe sanaa, hatuionei haya injili ya Yesu Kristo maana ni uwezo wa Mungu uletao wokovu. Yesu ni yeye yule jana, leo na hata milele.
@chingaboy69172 жыл бұрын
Yesu sio mungu na mnadhalilisha kwa uongo wenu mungu awezi kupigwa na viumbe wake na kuchomwa misumali aiwezakani ata mala moja nyie na uwongo wenu mnadanganyana utalatibu wa vitabu waliovileta ni watu kama mimi naww ata kama yesu akuwa na baba uwo ni uwezo wa mungu tu lakini mama anae kama mbegu uwo ni ushilikina kushilikisha mungu na kiumbe wake yesu alikuwa mtume na tunampenda kama mtume sio mungu acheni kufuru nyie nakafili