Soccer data kaona kuchambua ni kazi maana kila cku vinashuka vyuma .....😂😂😂 Mwendo wa video ili kuendana na mafuriko😂😂❤❤🎉🎉🎉
@kaitiramaingu45785 күн бұрын
Yuko vizuri.
@juliusmsegu33475 күн бұрын
Bado Elie Mpanzu Sasa
@israelmunuo79385 күн бұрын
Kwa hakika kiwango chake ni cha juu anajua kutunza Mali, na kuhifadhi sehemu sasahihi!
@nanjiTv5 күн бұрын
Moto utawaka
@AsumiSwalehe-mh9vj5 күн бұрын
Nice one
@rodgersmwagu2395 күн бұрын
Badao tukimpata. Mpanzu kwisha habari
@nanjiTv5 күн бұрын
Bado Valentino Nouma, Mpanzu, na centre back
@MachafukoKusekwa5 күн бұрын
Tutauwa jitu mwakahuuu
@emmanueljoshua47745 күн бұрын
Yuko poa
@fadhiligasper40675 күн бұрын
Ligi aliyokuwa anacheza sio ngumu kama yetu
@davidfrank90805 күн бұрын
Jamaaa atarudisha soka birian sio kina ngoma wanahamisha mapande tu
@ErickRichard-kh7tj5 күн бұрын
Huyu mwamba kweli. Katili kwel Ana push timu kupanda . Anavyopokea pass ni kama anapoteza ni ngumu kujua mikimbio yake au mwelekeo wa fikra zake kwa mapema Pass za uhakika Ana drive timu anavyotaka au kufikiria yeye Namuona tadeo aliyechangamka
@MssaJuma-p6n5 күн бұрын
Simba kwa usajili huu ubingwa mtausikiatu.
@ayubumbogera83685 күн бұрын
Kama jamaa atukua yuko fiti asilimia 💯 basi yuko poa sanaa
@kessyjoseph52725 күн бұрын
Kampigeni misumari
@AbernegoKikungwi5 күн бұрын
❤❤❤
@user-ri4tf7qk7r5 күн бұрын
Jamaa mtu na nusu
@hamisimtente21265 күн бұрын
Kaka jamaa yupo vizuri ila Kwa uchezaji wake kuumia ni dk tu
@robertsongola60345 күн бұрын
Hapa mchezaji hatuna mpira wa kugongana hawezi huyu
@ErickRichard-kh7tj5 күн бұрын
TULETEE UCHAMBUZI WA KOCHA NA FALSAVA ZAKE JEAN OHUA ubora na udhaifu Kocha falsafa zake na usajili nini jicho la ufundi