DEREVA MTANZANIA AUAWA CONGO MBELE YA POLISI, KIONGOZI AELEZA - "TUNAVAMIWA SANA, HAWACHUKUI HATUA"

  Рет қаралды 53,077

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@kahejashukuru4797
@kahejashukuru4797 2 жыл бұрын
Mimi ni mkongomani lakini iyi kitu inaniuma sana wango tuache ujinga kutokujuwa haki yabinadamu tuchukuwe mfano Kwa ndugu zetu watanza hawaongeyi kifaransa ao kizungu lakini wanamaharifa kituliko. Tugu zangu watanzania poleni sana najuwa Mungu yupo ata wateteya haya hayatokei tu kwenu ninyi ila na wenyeji pia wanateswa Kwa iyo tuzidi tu kupendana na mengine tumuachiye mwenyezi Mungu. I love Tanzania ♥️♥️
@adammwita3150
@adammwita3150 2 жыл бұрын
Sijawahi kusikia Mtanzania ameamua mgeni nchini. Lakini sisi ndo tunauliwa hili suala mpaka lini balozi wetu nchini Congo atusaidie hili
@fatumastephano8782
@fatumastephano8782 2 жыл бұрын
Kwa kweli hawafai hawa watu mungu apige pigo lolote like ili tu wajue kuwa mungu yupo
@allyflavour8005
@allyflavour8005 2 жыл бұрын
My. Rais . Pitisha..sheria...dereva..akabidhiwe..bunduki...kwawanao kongo ilimladi..wasifunje sheriatu...akikutana na watu Kama Hawa..asisubilie...nikujitetea
@chidjosh6056
@chidjosh6056 3 жыл бұрын
Iwekwe utaratibu, mizigo mwisho mpakani, na hakuna gari ya congo kuja bongo
@mlandasymon1980
@mlandasymon1980 2 жыл бұрын
Hilo ndo neno, vinginebmvyo nasisi tuwaanzishie hilo sekeseke waone uchungu km tunavyopata sisi kupoteza wa tz wenzetu, idadi inapungua kijinga tu!! Tulkua m.55/60 akitoka tu mmoja nipengo kubwa sana
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
Haya makongo hayataki kufanya kazi zaidi ya starehe pombe kukata viuno. Na wameshazoea sana wakiona gar yenye plate number T. wanajua ni vibonde wao kwa kuwa mtz ni mutu ya amani sana natafuta makuta kwa nguvu zake. Lazima swala ichukuliwe hatua vita inaanzaga kwa choko choko za hivi
@coolwaveac7659
@coolwaveac7659 3 жыл бұрын
Poleni sana Wana family Kwa kuondokewa na mpendwa wenu
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 жыл бұрын
Gongo hakufai kila siku vita njaa kibao
@ramadhaniabdallah5695
@ramadhaniabdallah5695 2 жыл бұрын
Kongo jamani walindeni madereva wetu kwani huko wanawaletea mizigo yenu tunaomba balozi asimamie hili
@kelvinnjawike1808
@kelvinnjawike1808 3 жыл бұрын
Hawa wakongo wavivu tu wanataka mtelezo kutoboa maisha
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 Жыл бұрын
Maderevabona hampazi sauti tunalipishwa viza boda yakasumbalesa wao wanaingia bule kwetu kwa nini
@TeamKRX
@TeamKRX 2 жыл бұрын
Minsipato picha toka nazaliwa hawa wanauwana mpaka sasa kuna Nini wazungu wamewachukulia Mali nasikia michina wanasafirisha kwa njia ya zimbwambwe sasa si wawauwe hawa wanaowachukulia Mali kila kukicha
@HamidKhan-sb2xk
@HamidKhan-sb2xk 3 жыл бұрын
Tuna msiba sisi huzuni na kupeana pole kwetu kwa wote watanzania. Ila bora na afadhali magari na madereva wa Congo kuja Tanzania kuchukua mzigo wao
@reginamanyangu6682
@reginamanyangu6682 2 жыл бұрын
Baloziwa wa Tanzania kongo anafanya nini jmn
@msafiriomary893
@msafiriomary893 11 ай бұрын
Chamata sio chama cha madereva nyie ni chama matajiri sio madereva
@boazambokile2587
@boazambokile2587 2 жыл бұрын
Sazingine tunachoka wangekuwa wanatuacha nasisi tudili nalo hata huko kitonga
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 жыл бұрын
Kweli nataman Sana Kaz y udereva hasa nikiona wadada wanaendesha maroli Ila kwa haya matukio hapana🙌😭
@priscapeter5434
@priscapeter5434 2 жыл бұрын
Kongo wafate mizigonwenyewe
@jumamohamedikizota8380
@jumamohamedikizota8380 Жыл бұрын
Kwa ayaa matukioo raisii wetuu yukoo wapii mbona ss tupo tupoo uruma mpaka linii tunaviongozii lakinii wanapuuziaa jee kwa mfanoo uyoo balozii angeuliwa ndungu yakee angejiskia raha
@christianchando7041
@christianchando7041 3 жыл бұрын
Sisi pia tutaanzisha kikosi maalumu cha vibaka, kitakua kinashambulia magari ya congo tu, ili serikali ya congo ione uchungu, ichukue hatua kali
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 жыл бұрын
Ukiona unafanya hivo pia unakuwa ni kibaka unatafuta tu sababu ya kuendeleza tabia zako. Badala useme hata tuandamane au madreva wagome unataka watu wageuke vibaka..Yaani mtu aache kazi za msingi awe kibaka au huyo anakuwa ni kibaka tu anatafuta wa kuwaibia. Huwezi kuua watu wengine kwa sababu kuna mtu wako kauwawa labda nawe uwe chizi au muuaji
@christianchando7041
@christianchando7041 2 жыл бұрын
@@faithjonathan3845 Jina lako ni Imani uko vizuri, uko sahihi kabisa. Ila hapo ni kautani tu, hatuwezi kufanya hivyo
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 2 жыл бұрын
@@christianchando7041 hakuna imani wala upole ni mwendo wa kulipiza tu hatakama siyo vibaka wala majambazi hata wananchi wenye asila kali wanaweza vilevile kishelia Tanzania hapo kesi hakuna
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Mungu awalinde ndugu zetu
@evanschapanga9172
@evanschapanga9172 2 жыл бұрын
Inauma sana tanzania mda mwing hatutendewi na nchi jiran tunafanyiwa matukio mengi huyo dreva apumzike kwa aman huko pepon,
@yasintasamson9178
@yasintasamson9178 3 жыл бұрын
Yaan hao wameshalaaniwa na Vita ndo maana Vita aishig kwao uko
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 6 ай бұрын
Yaani inaumasanna barozikongo kaenda kufanyakazigani? Aukaenda kucheza mziki
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 3 жыл бұрын
Poleni sana😭😭
@steramwanakira7183
@steramwanakira7183 2 жыл бұрын
Why Congolese doing this real to kill Tanzanian while in Tanzania there's a lot of Congolese married singing and leaving in Tanzania. Please President look at this issue and put a stop on this. I can't understand they attack innocent people in front if police?? Real?? What are police responsibilities??
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 2 жыл бұрын
Mmh vijana wanashindwa kufanyakazi wamekalia kukaba wenzao tu ambao wanatafuta pesa zao kwa halali.Walaaniwe vibaka wote waliosababisha kifo cha mtanzania mwenzetu.R.I.P
@jamilamohammed2771
@jamilamohammed2771 2 жыл бұрын
Pole kwa familia
@fetychina3273
@fetychina3273 3 жыл бұрын
Kwani huwa wantembea na pesa??😭😭😭dah poleni sana
@TeamKRX
@TeamKRX 2 жыл бұрын
Huko Kongo jamani kuna usalama gani wao kuuwa kama maji tu hawajali ni wafrica wabaya sana si wafanye kwa wazungu wenye kuchukua Mali zao anamuuwa mwenziwe sasa hivi kwao ni kilio tu daah inalilah waina ilaih rajiun
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Bora viongonzo wetu waachane na ushiriliano na congo kabisa maana wacongo SII waelewa usalama WA madereva hamna kabisaa waacheni na nchi Yao ya laana hakuna usala congo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Hiyo nchi yakivita lazima tu mambo ya jinsi hiyo yawepo
@abdallahsuleimani7416
@abdallahsuleimani7416 3 жыл бұрын
Kama hakuna amani Kuna haja gani ya kupeleka malori fungieni mipaka tuangalie upande mwengine WA biashara waachieni nhi Yao ya kijambazi
@sikujuasikujua9036
@sikujuasikujua9036 2 жыл бұрын
Kabisaaaa mkuu wao mbona hukukwetu tunaishi nao kwaamani tunafanyanao mpaka kazi kwann kwao tufanyie ivo
@exaudp.j970
@exaudp.j970 3 жыл бұрын
Poleni sana, na ndio kwanza juzi tumewakaribisha kwenye jumuiya yetu ya Afrika Mashariki sasa kama wanakua watu wa hivi tutawezana kweli.
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 Жыл бұрын
Kwanza tunalipa viza kwao wakati wao kwetu hawalipi viza wanaingia bule kabisa kwa nini wameingizwa nasisis wanatunyanyasa
@hamisimohamedhamisi3241
@hamisimohamedhamisi3241 3 жыл бұрын
Muache kwenda uko jaman bas
@merymwakunja464
@merymwakunja464 3 жыл бұрын
Polen sana
@husseinmfinanga8501
@husseinmfinanga8501 3 жыл бұрын
Congo hakuna amani sheria hazitumiki madereva wananyanyasika sana hakuna kauli yoyote ya serekali yan sisi madereva tumekuwa watu wa kukandamizwa tu
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Hayo mashetani yakikamatwa yauwawe
@godfreymbuya2659
@godfreymbuya2659 2 жыл бұрын
Kwani Balozi wetu anafanya nini huko?
@victorernest7702
@victorernest7702 3 жыл бұрын
Kwan wakongo huku Tanzania hawapo walau na watangaziwe kuwa watanzania waua wa congo 7 ili twende sawa,,, maana niwiki mbili nadhan zimepita,, kauwa dereva wetu
@nyembomajidi3027
@nyembomajidi3027 3 жыл бұрын
achana na kuwatanganzia watu uchochezi kwani kila mcongo ndo anatabia hizo ao kila watanzania wote ni wabaya ao ni wazuri.
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 3 жыл бұрын
Wakongo makuma tu
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Januari hii wa 2 huyo kweli utafutwe ufumbuzi
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 3 жыл бұрын
Duh
@mussamayawa817
@mussamayawa817 3 жыл бұрын
Ndio mchezo wao kila siku
SIMULIZI YA KUSISIMUA MADEREVA WALIOTEKWA CONGO
4:30
Azam TV
Рет қаралды 19 М.
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
True scale of Assad’s slaughter revealed at Syrian mass grave
22:33
Channel 4 News
Рет қаралды 1,3 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН