DEREVA MWANAMKE wa LORI la MAFUTA, Asimulia Alivyotekwa- "Nilipigwa Risasi"

  Рет қаралды 264,929

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

DEREVA MWANAMKE wa LORI la MAFUTA, Asimulia Alivyotekwa- "Nilipigwa Risasi"
Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Stella Aradini ameelezea safari yake ya udereva pamoja na changamoto alizokumbana nazo mpaka sasa alipofikia..
Mwanamke huyo ameomba msaada wa ulinzi kwa makamu wa Rais mama Samia Suluhu na kusema "nimeshawahi kupigwa risasi"
#DEREVA WA LORI
www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 415
@lusajokafuko3450
@lusajokafuko3450 5 жыл бұрын
Shangazi yangu, dereva mahili Shabby line umeacha historia, summry napo hukuwa nyuma.....ninajivunia wewe najua unataka kustaafu kaz yako hakika umeitumikia kitambo sasa na unaipenda ukimaanisha, hujawah kuniangusha matunda ya kaz yako ni hakika. MUNGU akupe maisha marefu, afya njema na furaha na aman......kuwawakilisha wanawake madereva bungeni na sehemu zingine kiserikali na kitaifa pia n moja ya mafanikio ya kaz yako. Keep it up 👍🏻
@husseinjohn5553
@husseinjohn5553 5 жыл бұрын
Kumbe amewai kufanya kazi kwa shabiby?
@silvanostephen8504
@silvanostephen8504 5 жыл бұрын
Woote tumwambie"Stela Aradini ni malikia 👸wa nguvu💪
@nadirseif8679
@nadirseif8679 5 жыл бұрын
Nakumiss wa nguvu
@sandraasafisana811
@sandraasafisana811 4 жыл бұрын
Malikia wa nguvu
@meddyzambetakis
@meddyzambetakis 5 жыл бұрын
Stela dada Mungu awabariki wewe na familia yako ,bless
@sophiandumbaro7741
@sophiandumbaro7741 5 жыл бұрын
Nimekupenda sana dadangu, mungu akulinde kwenye kazi yako
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 жыл бұрын
Masha Allah hongera sana mama wanawake tunaweza usidharau wembamba wareli kitu mchuma mtupu 💪💪👌👌mama umenipa ujasiri wa kupambana
@ashasiraji.poledada.futama1140
@ashasiraji.poledada.futama1140 5 жыл бұрын
hongera mama yangu mungu akulinde pia nataman niwe kama we na umenitia ujasiri
@luckydube5090
@luckydube5090 4 жыл бұрын
Pambana dada angu mara nyingi wanawake madereva wanafanikiwa sana pambana
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 жыл бұрын
Nimeku salute na magoti nimepiga. Hongera kama zote.
@babyyshayo3633
@babyyshayo3633 5 жыл бұрын
Jamani hongera sana dada yangu, MUNGU akulinde kila upokwenda, wabaya wasipate kukuona ktk jina la yesu kristo wa Nazariti. Wewe ni malkia wa Tanzania
@adelinadeogratias1841
@adelinadeogratias1841 5 жыл бұрын
Hongera sanaa mama wa nguvu,dah!Mungu akutunze sku zote my dear.
@margarethsaramaki1100
@margarethsaramaki1100 5 жыл бұрын
Be blessed na ufunikwe na damu ya Yesu uepushwe na mabalaa yote ya njiani.Amen
@mwaimunyundo2034
@mwaimunyundo2034 4 жыл бұрын
Ni kweli changamoto kubwa ni boda ya tunduma .na nchi tulio pakana nao I mean Zambia wanaubaguz na usumbuf barabaran ukiacha ubovu Wa Barbara na askar pia ni wasumbufu na maderva wengi hatuna mikataba,ndio maana mishahara y baadhi ya makampun ni midogo na haikidhiiiii hayooo
@isunga1964
@isunga1964 5 жыл бұрын
Wow mwanamke wa nguvu hongera mama nimekupenda bure mama yangu kazi zipo ila tatizo tunachuchagua tu
@moodless6506
@moodless6506 5 жыл бұрын
😁😁😁
@jumaidi4850
@jumaidi4850 5 жыл бұрын
Pongezi kwako mama wengine waige pia
@annawasbile2202
@annawasbile2202 5 жыл бұрын
hongera mwanamke Wa nguvu
@veronicamassay3063
@veronicamassay3063 5 жыл бұрын
Daaah hongera mamy nimependa ujasir wako
@luckydube5090
@luckydube5090 4 жыл бұрын
Natamani nije nimpate mwanamke dereva kama huyu mama Mungu akubariki na iyo kazi yako
@mohameddamka922
@mohameddamka922 5 жыл бұрын
safi saana mama mungu akubariki
@hamisisha
@hamisisha 5 жыл бұрын
Hongera sana mamaangu MUNGU akujaalie ktk kazi yako🙏
@mcmwasha9668
@mcmwasha9668 5 жыл бұрын
Hawa ndo malkia wa nguvu sasa
@luganomwambulukutu5311
@luganomwambulukutu5311 5 жыл бұрын
Clouds wameshiba viazi vyao vya dar wanatuletea malkia wa nguvu wasio eleweka
@kidodosimichael349
@kidodosimichael349 5 жыл бұрын
KABISA KABISA AISEE !!!! HAO WENGINE NI WA KUBUMBA BUMBA, HONGERA SANA MADAM STELLA.
@michaelchillambo2383
@michaelchillambo2383 5 жыл бұрын
B
@hamisisha
@hamisisha 5 жыл бұрын
Kweli bro
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
Kabisaaaaaa,yaani kuna malkia kweli wamejificha hatuwaoni.wanatuonyesha wa kuamka na kupaka makeup
@saadakhamis3329
@saadakhamis3329 5 жыл бұрын
Hongera mama Allah akusimamie katika kazi yako
@bakarybeka4788
@bakarybeka4788 5 жыл бұрын
b bless my dr God bless you.
@lusajokafuko3450
@lusajokafuko3450 5 жыл бұрын
that's my aunt, keep it up😍🥰😘
@maraklaraferinando657
@maraklaraferinando657 5 жыл бұрын
Mungu akulinde uingiapo na utokapo dada hongera
@mohabatkhanmalak1161
@mohabatkhanmalak1161 5 жыл бұрын
She is very brave and determined lady. She and all the drivers should be supported by the government. They are the people who work outdoors in all weather and situations to transport supplies of the economy. She talked about the border crossing where the wait was long, then hooligans on the road etc. The drivers should consider fitting CB radios in their trucks so they can communicate with each other. Also use GPS and computers to send messages to the base and each other. Well done and thumbs up
@am12ghh37
@am12ghh37 4 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah am proud of u sister u a great mum so smart lady
@mariammussa2540
@mariammussa2540 5 жыл бұрын
Hapa kaz tu 💪💪💪 Hongera mama yangu😍😍
@zwinsalhabsu264
@zwinsalhabsu264 5 жыл бұрын
Mungu akupe kila la kheir chapa kazi mama wanawake hoyeeeee
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Hongera Sana Madam Stella.
@fatmakungu2160
@fatmakungu2160 5 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kumbarik Sana
@wacykas6365
@wacykas6365 5 жыл бұрын
Woman power ,...hongera mama chapa kazi
@mustulaumjaphari3524
@mustulaumjaphari3524 5 жыл бұрын
Nimekupenda bure mama angu. Hongera sana
@summanelson5523
@summanelson5523 5 жыл бұрын
Big up my sister!!!! Hongera sana!!! Umedhihirisha kuwa wanawake tunaweza.
@mariamkizenga1625
@mariamkizenga1625 5 жыл бұрын
hongera mama yangu, big up sana
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 4 жыл бұрын
Hongera mama Kwa kujituma na pole Sana Kwa ulio yapitia Mungu akusimamie
@jojomoo7248
@jojomoo7248 5 жыл бұрын
Good blessing you mama🙏🙏
@josenchimbi3065
@josenchimbi3065 5 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu zaidi na zaidi na zaidi na akujaze mapesa mara nyingi kapu lakh lijae. Kwakuwa umechagua fungu jema.
@hoprakinjavi8250
@hoprakinjavi8250 5 жыл бұрын
I love you strong mama
@edakiputa8529
@edakiputa8529 5 жыл бұрын
Good job, waaoo nimekupenda mdogo wangu, Mungu akulinde kwenye kazi aliyokupa na damu ya Yesu ikufunke.
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 жыл бұрын
Mtangazaji hpo kwenye kutekwa ndo ilikua umuhoji vzr alitekwa vp lkn chakusikitisha hauja mkazia maan mpk risas alipigwa minakushauri rudi collage tena
@malkiabintmfalme8682
@malkiabintmfalme8682 5 жыл бұрын
Yaaani,, mtangazaji kaniudhi,,, kaniacha na hamu
@mamajecha7856
@mamajecha7856 4 жыл бұрын
Kabisaa
@omaryommy404
@omaryommy404 4 жыл бұрын
@@malkiabintmfalme8682 duuh kakuacha na hamu zako jamani!!
@rashidomarypawa9096
@rashidomarypawa9096 4 жыл бұрын
Mungu akubariki dada
@joycekasakisya7755
@joycekasakisya7755 5 жыл бұрын
Hongera sana Mama angu, Mungu akutangulie katika kazi yako.
@charlesmurimi592
@charlesmurimi592 5 жыл бұрын
Mama nimemkubali sana, hongera kwako mama, na hii channel. big up sana.
@prettyh7509
@prettyh7509 4 жыл бұрын
Hongera dada , Mungu akupiganie na maderva woote wa malori na mabas 💞
@lilliannonny9112
@lilliannonny9112 5 жыл бұрын
Waaaah 😳 umenishangaza sana 🙏🏾 you have inspired me mummy.nakutakia Kila la heri... you are sooooo BRAVE SWEETHEART. I don’t know you but I bow 🙇‍♀️ 🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️ for you . Girl POWER 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@alijuma6502
@alijuma6502 5 жыл бұрын
HONGRA SANA DADA. NIKO PAMOJA NAWEWE NAMUNGU AKUTANGULIE KTK SAFARI ZAKO DADA YANGU
@naimasadiki1358
@naimasadiki1358 5 жыл бұрын
Hongera sn mama
@mtumishiwake4006
@mtumishiwake4006 5 жыл бұрын
Hongera sana mama mwenzetu. Mungu akuepushie kila baya
@arlinekuradusenge4279
@arlinekuradusenge4279 2 жыл бұрын
Respect mum
@eladymwakanyamale
@eladymwakanyamale 5 жыл бұрын
Mnapochagua malkia wa nguvu chagueni watu kama hawa.
@pastorvincent9851
@pastorvincent9851 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa, na hata sijui huwa wanaangalia nini kama watu hawa wanaachwa
@zuberigasper6493
@zuberigasper6493 5 жыл бұрын
ELADY MWAKANYAMALE kabisaaaa
@deogratiusmwanicheta9957
@deogratiusmwanicheta9957 5 жыл бұрын
@@pastorvincent9851 kwli kabisa
@mrliverpool1099
@mrliverpool1099 4 жыл бұрын
Et malikia wa nguv wanamchaguwa msusi😂😂😂😂😂
@humphreyalbano3349
@humphreyalbano3349 4 жыл бұрын
Umeongea point San .uono wa Mbali uo
@shamilamuhogo7542
@shamilamuhogo7542 5 жыл бұрын
Hongera mama nimekupenda bure
@michaelmasalago8068
@michaelmasalago8068 4 жыл бұрын
Daaaa hongera Sana Stella ni mwanamke wa nguvu.
@hedayaabeid3196
@hedayaabeid3196 4 жыл бұрын
Malkia wa nguvu mungu akulinde bigup
@hawatodos3133
@hawatodos3133 5 жыл бұрын
Hongera mama tuko nyuma kama tai
@sarahobed8673
@sarahobed8673 5 жыл бұрын
Mumy love you napenda sana mamaz like u Mungu awe nawe ktk kila jambo
@fatumadonath2068
@fatumadonath2068 4 жыл бұрын
Mashaallah hongera mamy wangu mungu akutangulie
@danneismail5442
@danneismail5442 5 жыл бұрын
Hongera Sana madam Mungu azidi kukulinda
@scholasticamabena7239
@scholasticamabena7239 5 жыл бұрын
Hongera sana Dada mungu akulinde
@ernestukokhe7378
@ernestukokhe7378 5 жыл бұрын
hongera mama,,, kazi nzuri
@marygaspary199
@marygaspary199 5 жыл бұрын
Mama angu hongera sina chachakukupa Mungu akupe hitaji la moyo wako!
@kweliumesemailanaowangetul1933
@kweliumesemailanaowangetul1933 5 жыл бұрын
Amina🙏
@happykimaya2762
@happykimaya2762 5 жыл бұрын
Amen
@faudhiamwenga8880
@faudhiamwenga8880 5 жыл бұрын
Nimekuelewa
@faudhiamwenga8880
@faudhiamwenga8880 5 жыл бұрын
Hongera San mama
@ramog6132
@ramog6132 4 жыл бұрын
Noma sana
@zinaibrahim7004
@zinaibrahim7004 5 жыл бұрын
mashaallah 💪👌
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Hongeraaa kampuni hiyo kujali wanawake
@onikajulius9335
@onikajulius9335 5 жыл бұрын
Dada stella malkia wangu wa nguvu 💪
@shabaazbikorwa2580
@shabaazbikorwa2580 5 жыл бұрын
Ongera Sana Mama Angu Mungu Akujalie kila la kheri
@KladesKladseee
@KladesKladseee 5 жыл бұрын
mungu akupe maisha marefu mommy hongera sana 😍😍
@jasminsalum9954
@jasminsalum9954 4 жыл бұрын
Hongera sana Dada.
@pendopeter1790
@pendopeter1790 4 жыл бұрын
Safi sana mama angu, Mungu akuongoze na kukulinda ukiwa safarini
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Hongera sana Stella, Mungu akuzidishie.
@daudminila977
@daudminila977 3 жыл бұрын
God bless my ccta
@najma3268
@najma3268 5 жыл бұрын
Hongera mama , na muombe mungu sana ukiwa barabaran akujaalie uwe unamaliza kaz zako salama inshaallah
@maraklaraferinando657
@maraklaraferinando657 5 жыл бұрын
Hongera dada yetu hongera mama waooo nakupenda bureee dadaaaa
@daynamsuya5756
@daynamsuya5756 3 жыл бұрын
Hongera Sana mama pambana
@kisoukejothame210
@kisoukejothame210 4 жыл бұрын
Yaaaah Sister Stela Aradin nkkmbka sana Mara ya kadhaa nlkuona tunduma na tuliwahi piga stories mbili tatu border
@deboramatpapaztv
@deboramatpapaztv 5 жыл бұрын
Hapo kwenye kutekwa sasa mama....wanawake wa hivi hawanaga mambo mengi ndio maana anaweza...no makeup hapo
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 5 жыл бұрын
Masha ALLAH, mama umeweza mungu akuoñgoze
@yusufushija629
@yusufushija629 5 жыл бұрын
Anachoongea BI Stella Ni kweli kabisa,hizo changamoto Ni kilio cha madreva cha muda mrefu,hakuna hatua yoyote iliyowahi kuchukuliwa,imebaki porojo tu
@rinovarthiliwi1314
@rinovarthiliwi1314 4 жыл бұрын
Keep it up.
@provispermunzenda3195
@provispermunzenda3195 5 жыл бұрын
Barikiwa mama,na kazi njema
@princessaidal1130
@princessaidal1130 5 жыл бұрын
Hongera mpenzi
@vibestudio4707
@vibestudio4707 4 жыл бұрын
Hongera dadalake
@ليلىفاكي-ش2ش
@ليلىفاكي-ش2ش 5 жыл бұрын
Kazi nzr sana hongera mama
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 5 жыл бұрын
Malkia wa nguvu 2020
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
MUNGU akulinde kwa damu ya YESU
@gracekalihose8504
@gracekalihose8504 5 жыл бұрын
ayayayayaa SAFI SANA!hongera dada
@shabanigweewemunenechemosu8073
@shabanigweewemunenechemosu8073 5 жыл бұрын
Napenda san kazi kam hiyo
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 4 жыл бұрын
Daah we mdada nimekupenda balaaa na ni bonge la mfano wa kuigwa kbs kwa wanawake wote wa africa
@renatusrweyemamu6611
@renatusrweyemamu6611 4 жыл бұрын
Safi sana we noma
@dainakumange9823
@dainakumange9823 5 жыл бұрын
Hongera sana from MW...Not an easy work for a woman.
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 5 жыл бұрын
Daaaa ongera sister mung akulinde usivamiwe tena wakaja na plani ya kuchomoa betri maake watu 🙄
@dn.n4983
@dn.n4983 5 жыл бұрын
Kweli usipofanya kazi usile kweli kweli rais asema ubarikiwe sana wewe na family yako wanawake oye
@mozasaid3869
@mozasaid3869 5 жыл бұрын
Mashaallah hongera sana
@stevelayda8555
@stevelayda8555 5 жыл бұрын
Wooow big up mama. We ni malkia wa nguvu 💪
@mwana3887
@mwana3887 5 жыл бұрын
Brilliant
@yeyothegreat8277
@yeyothegreat8277 4 жыл бұрын
Noma sana nimemkubali
@mgendimussa7224
@mgendimussa7224 5 жыл бұрын
Ipo siku tutakutana juu kwa juu Mungu akurinde dada tupo pamoja
@daprince7545
@daprince7545 5 жыл бұрын
Mashaallah halafu bado mrembo wanawake Kama nyinyi ndio napenda
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 жыл бұрын
Hongera sana,sanaaa
@engineertarimo7345
@engineertarimo7345 4 жыл бұрын
Huyu mama yuko vizuri Sana.
@isackezrony3756
@isackezrony3756 3 жыл бұрын
Kazinzur napenda Sana Yan
@erickmnyalu553
@erickmnyalu553 5 жыл бұрын
Nimepata faraja kuona BOSS anatamkwa mara kibao kwa kuwajar wafanyakaz hasa mama zetu saaaafi sana heshima yako Zacharia Hans Pop....
@ezekielmtanda1664
@ezekielmtanda1664 5 жыл бұрын
Hii blog ishaanza kuwa sio,....
@secylovenessadaa4245
@secylovenessadaa4245 5 жыл бұрын
Congratulations madam
@carlosmoshi392
@carlosmoshi392 5 жыл бұрын
i wish angekuwa Mama yangu.
@minahabdallah9710
@minahabdallah9710 5 жыл бұрын
Big up mama hakika inafrahisha nainasisimua.
@stephenjames5522
@stephenjames5522 5 жыл бұрын
Umetisha sana Malkia wa nguvu
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 жыл бұрын
Hongeraaa Stella
String Competition for iPhone! 😱
00:37
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 30 МЛН
REAL OR CAKE? (Part 9) #shorts
00:23
PANDA BOI
Рет қаралды 81 МЛН
Непосредственно Каха - бургер
00:27
К-Media
Рет қаралды 3,2 МЛН
Familia ya Dereva Bodaboda aliyeuawa  pamoja na mpenzi wake yaeleza haya
15:31