Waoooo napenda sana nafarijika sana kuiona zanzibar yetu mashaallah
@husseiissuja88622 ай бұрын
Crown media mnaupiga mwingiii,hapa ni nyumbani.
@MohdAli-fl2ef2 ай бұрын
Hapa ni nyumbani haswaa Mungu ibaraki na ifungulie milango Crown media ifike mbali Amin
@MdNasr-jm8pj2 ай бұрын
@@MohdAli-fl2ef yaani km naona hivi 🤣
@MkungwaNgwarumbwa2 ай бұрын
Kazi nzuri 💕 mwanahabari siku ingine tuhabarishe yale maboti ya uvuvi aliyokabidhi Dk mwinyi kwa baadhi ya ma fishermen maendeleo yake hadi sas yakoje na simulizi zingine...
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Mashallah zanzibar yetu 🎉🎉🎉
@HamisiMwazikeni2 ай бұрын
Nomaa
@ChoroTesla2 ай бұрын
6:40 uyo jamaa anaonekana from mainland kabisa hata kiswahili chake kudos kwake mipambano mpka visiwani safieee
@khamisathman71712 ай бұрын
Kazi nzuri Sana 👑 Media
@JumaJaguar2 ай бұрын
Crown 👑 vueni kinyago tumewajua nyie ni BBC
@MdNasr-jm8pj2 ай бұрын
Mashallah 🎉🎉🎉
@mohdkhalifa88282 ай бұрын
Safi sana
@NemesMasawe2 ай бұрын
Crown
@kitunganolwebo75702 ай бұрын
Napenda smk
@abdullahabdull31722 ай бұрын
Ujenzi umedhaminiwa na Kodi za watu wa Japan,.Thanks for Japanese people
@leonardmartine6622 ай бұрын
Nice Crown TV
@NkusiFred2 ай бұрын
Zanzibar tembeleeni sehemu zakuvutia enyi crown media
@SahimSalim-l5f2 ай бұрын
Uzur wa soko letu LA MALINDI, halina tamaa kisado cha dagaa unapata kwa elfu 3,na sio lile soko LA wabongo dagaa unauziwa 20000 na istoshe unauziwa Samaki wale walola LA jana, bado soko LA MALINDI unauziwa kitu fresh na huuziwi kitamaaa
@BashiruNgereza2 ай бұрын
Asanteni sana crawn mnayaweza
@rashidkopa2 ай бұрын
Safi
@Lando_Anthony2 ай бұрын
Kazi kazi
@harounramadhan97712 ай бұрын
Good job 👑
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Hongereni 👑 crawn
@BiubwaAljahadhmy2 ай бұрын
Nimemiss soko langu😢
@mudyhmedia2 ай бұрын
Zanzibar
@Binahmed12342 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@husseynomar95232 ай бұрын
Safi, MALINDI SOUK 🎉
@muzafarsharif94652 ай бұрын
kuna malindi Zanzibar ❤
@khamisjuma85012 ай бұрын
Zanzibar home people Imani
@kassimomar75892 ай бұрын
Home sweet home zanzibar
@samuelmlapwa78582 ай бұрын
Ila hii Camera ya Crown ya moto sana aisee
@michaelcretus14902 ай бұрын
🙄🙄🔥🔥🔥
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Wasafi mmefeli habari zenu zaidi ni ofisini tu hamna kufatiliya tokeya kafa yule dada wa pemba alokuwa akifanya kipindi cha mitaani kungwi mola amlaze pema yule dada
@mussahamad4042 ай бұрын
Kwani hii wasafi
@RaviShija2 ай бұрын
aaah..kumbe ndio maana samak zanzbar wapo juu kwa sabau ya uendeshaj wke minada yaan samak anauzwa kma mtumba kwa kutaja bei inaenda inapanda juu hamna hii siyo haki inabd samak wawe bei inayosmama tu inaki makubaliano ya muuzaj na mnunuz na siyo njia hii ya kupgania kwa kufka dau
@muzafarsharif94652 ай бұрын
samaki ghali Zanzibar
@Sidrasidra6362 ай бұрын
Kumbe kuna minada tena!? Arsenal nime muelewa😂
@Zuwjat2 ай бұрын
Bozi nakuona
@Zuwjat2 ай бұрын
Ali nshole dalali
@hajiabdalla57722 ай бұрын
Halafu mnasema Mwinyi hajafanya la maana wakati hao wanaosema ndio wa mwanzo kutumia hizo miundo mbinu aliejenga Mwinyi.wapumbavu kweli
@rashidalihamad72282 ай бұрын
Kodi zetu izo
@mussahamad4042 ай бұрын
Kwani mwinyi ndio mwenye pesa su serikali, hii ni miradi sio msaada Dada