No video

ANNASTAZIA WA JUA KALI AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE

  Рет қаралды 96,392

Dina Marios tv

Dina Marios tv

Күн бұрын

#JUA KALI

Пікірлер: 132
@pascaladloph4719
@pascaladloph4719 3 жыл бұрын
Sister ANNA you are the best. nimeangalia wanawake wengi waigizaji ila wewe umenifanya kuipenda sinema yenu hakika.
@user-jy6oe1qr9c
@user-jy6oe1qr9c 9 ай бұрын
Ongera anna❤❤
@bibianaamede7845
@bibianaamede7845 6 ай бұрын
Mwanangu Ana ninakukubali hakika unaigiza uhalisia wote
@santieljohn3765
@santieljohn3765 3 жыл бұрын
Nampenda sana Anna yaani daaaah uigizaji wake ni wa kiwango cha juu sana big up mamiii....love you
@floridacharity4881
@floridacharity4881 3 жыл бұрын
Anatakiwa apewe tuzu nzuri
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 3 жыл бұрын
Nakupenda. Bure. Ana. Uko. Poa
@santieljohn3765
@santieljohn3765 3 жыл бұрын
Nimesikiliza vizuri interview yako ila kama Dr Temba hajaoa mie nawaombea Mwenyezi Mungu awajaalie uoane nae kweli...mmependezana mnoooo
@evamutafungwa3126
@evamutafungwa3126 3 жыл бұрын
Anna unanifanya niipende jua Kali nakupenda sana.
@neemashirima1617
@neemashirima1617 3 жыл бұрын
Dada Ana naipenda jua Kali especially mapenz yako na Dr temba yananipa amani kukuona na furaha maumivu kwa Dr temba kwisha🙌
@patriciousjadon7089
@patriciousjadon7089 3 жыл бұрын
Hongera anna ht me napend sana kuigz hongr
@sweetysilvester3431
@sweetysilvester3431 3 жыл бұрын
Dada Anna nkupenda Sana♥️sema Jana umeniliza
@rosemerryjosephjose2144
@rosemerryjosephjose2144 3 жыл бұрын
Yan dada Anna AME fanya nilie
@pendondossy4181
@pendondossy4181 3 жыл бұрын
Anna katulizaaaaa
@zainabsuleiman4589
@zainabsuleiman4589 3 жыл бұрын
Upo vizuri nilipenda kwenye tamthlia ya Uhuru ukiwa km mairay hongera zako 🔥
@nuraynmakoya803
@nuraynmakoya803 2 жыл бұрын
Sana yupo vizur
@nadazamil9816
@nadazamil9816 3 жыл бұрын
Nampenda Anna sana ako na kipaji Mungu azidi kumuinua
@lilianemmanuel9158
@lilianemmanuel9158 3 жыл бұрын
Uko vizuri anna big up
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
Nampenda sana anna
@mr.nyoradonald7241
@mr.nyoradonald7241 3 жыл бұрын
The coming Queen of Bongo movie 🔥🔥🔥🔥
@mwajabuamiry5690
@mwajabuamiry5690 3 жыл бұрын
Bongo muvi wa kwanza kusema umri wake 🤣
@jullymshashu856
@jullymshashu856 3 жыл бұрын
Ila mwajabu wewe😆
@mwajabuamiry5690
@mwajabuamiry5690 3 жыл бұрын
@@jullymshashu856 🤗
@sofiajog3879
@sofiajog3879 3 жыл бұрын
Hunaa kazi mbovu nakujua hata kwenyee tamthilia ya uhuru unagarama yakee ulitufurahisha,big up
@esthermbwambo2450
@esthermbwambo2450 3 жыл бұрын
Nakupenda Anna unanifanya nipende jua kali
@Quilant749
@Quilant749 3 жыл бұрын
Mungu ahsante,huyu dada nimemtafta kutoka kipindi cha mtungi mke wa cheche nakuheshimu
@patriciousjadon7089
@patriciousjadon7089 3 жыл бұрын
Nakupnd anna nahata ulivyochz kweny jua kali hongera
@fettylove1561
@fettylove1561 2 жыл бұрын
Anna🥰🥰🥰
@lynetteriziki2009
@lynetteriziki2009 3 жыл бұрын
Anna penda ww sana unaigiza vizuri hongera sana
@hellenampangile7822
@hellenampangile7822 3 жыл бұрын
Nakupenda bure dada angu na umegusa maisha yangu Sana katika jua kali
@doramkisi4575
@doramkisi4575 3 жыл бұрын
Nakupenda sana ana😘😘
@marthaalex270
@marthaalex270 3 жыл бұрын
Nimelia Sana juakali inagusa maisha yetu halisi🥺
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 3 жыл бұрын
Nakupenda sanaa dada anna
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 жыл бұрын
Nampendaga sana Anna anaigiza vizuli sana 😘😘
@neemamasaga5138
@neemamasaga5138 3 жыл бұрын
Mama Kalina 😘😘😘
@eliciawilliam9010
@eliciawilliam9010 3 жыл бұрын
Nampenda Sana huyu dada anaigiza vzr Sana. Anajua kuigiza Sana. Mungu amjalie apate mume Bora kweli.
@carolineachieng2573
@carolineachieng2573 3 жыл бұрын
Anna nakupenda sana, ukilia nalia pia.Talanta iko
@lucydelina1749
@lucydelina1749 2 жыл бұрын
Anna mim nakupenda sana ya kutoka moyoni kbsa
@aminamusa6531
@aminamusa6531 3 жыл бұрын
Dada ana nakukubali sana Katk uigizaji wako❤ 🥰😍🤩😘
@halimajamaniamekuwamndeme9617
@halimajamaniamekuwamndeme9617 2 жыл бұрын
Hivyo vigele gele ni vya yule mama wa tangazo la simu ya tecnon
@lucydelina1749
@lucydelina1749 2 жыл бұрын
Mim ni timu yako kupitia wew nimekuwa jasri mno
@humaryasalim7208
@humaryasalim7208 3 жыл бұрын
I love you dada Anna 😍😍
@flomenastephen2226
@flomenastephen2226 3 жыл бұрын
Anna nimeanza kukuelewa toka haikufuma Tisha sana beker uku Arbat
@jescasanga2005
@jescasanga2005 3 жыл бұрын
Ana umeniliza sana jana mume tena kapaja ajal pigo tena la 3
@peteragnes4204
@peteragnes4204 3 жыл бұрын
Umesahau Uhuru una gharama zake ndo tumekujua kule
@nzogoropatson1787
@nzogoropatson1787 3 жыл бұрын
Queen of bongo movie 2021
@wittymushi9487
@wittymushi9487 3 жыл бұрын
Jana umeniliza sana Anna
@stelabrent6056
@stelabrent6056 3 жыл бұрын
love you dada anna🥰🥰😍🥰🥰😍🥰😍
@fatmasuleiman3621
@fatmasuleiman3621 3 жыл бұрын
anaa nakupenda sana
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 3 жыл бұрын
Nakupenda Anna sana
@girukwishakaclaudine8672
@girukwishakaclaudine8672 2 жыл бұрын
Ana kipenzi changu Mami ❤️
@dfinafriga9863
@dfinafriga9863 3 жыл бұрын
Ana unaongeyaga vizuri unacheka
@queenester3502
@queenester3502 3 жыл бұрын
Nampenda sana anna jaman naomba muowane na dr tembaa kwel kwel
@hafswamaryam7169
@hafswamaryam7169 3 жыл бұрын
Nakupenda Ana yani unaongea kwa hisia
@fatmaismail1447
@fatmaismail1447 3 жыл бұрын
Me niliaza kumpenda kweny uhuru na gharama zake
@kudratkadawi6881
@kudratkadawi6881 3 жыл бұрын
Nakupenda bree ana💕
@mundelemuzuri9623
@mundelemuzuri9623 3 жыл бұрын
nimeifuraia sn ihijamani ana wewe nimkali snaaaa
@katotokazuri7412
@katotokazuri7412 3 жыл бұрын
Anna jaman nakupenda mpaka bas
@sintaibra355
@sintaibra355 2 жыл бұрын
Big Up Anna💚💛💚
@saidasuleimansaid8580
@saidasuleimansaid8580 3 жыл бұрын
nimeipenda interview anna km hajui ndoa haipp
@vitreenandeth3457
@vitreenandeth3457 3 жыл бұрын
More love Anna
@topesafi9742
@topesafi9742 3 жыл бұрын
Siri ya mtungi alicheza kwa jina gan
@revinastephen3365
@revinastephen3365 3 жыл бұрын
Luka amejua kuniliza mimi ,lakini Maria Mungu anamuona
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Umeona mpk mama yake katoa machozi
@joycealex2701
@joycealex2701 3 жыл бұрын
Maria utachomwa oohoo
@hadijandenga8892
@hadijandenga8892 3 жыл бұрын
Tunampenda Anna
@rosemaryjuma2873
@rosemaryjuma2873 3 жыл бұрын
Mmmmwaaaaah Anna
@humaryasalim7208
@humaryasalim7208 3 жыл бұрын
Shube unaniuwa mbavu huku kidumu Cha pertol🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@betsykimutai826
@betsykimutai826 3 жыл бұрын
I really love ANNA
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 3 жыл бұрын
Love you ana
@joycealex2701
@joycealex2701 3 жыл бұрын
We hujambo nini huyu bibi ananichekeshaga...love u Anna unatendea haki sehemu yako...hako karafiki kako kasriti Emma jamani ndiyo maana Love hakapendi
@annastaziamichael6344
@annastaziamichael6344 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@joynnko8895
@joynnko8895 3 жыл бұрын
Nampenda kweli
@joycepeter1994
@joycepeter1994 3 жыл бұрын
Love you more Anna
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 3 жыл бұрын
Anaa
@bilikhamis8963
@bilikhamis8963 3 жыл бұрын
Nampenda uy dad Tena sanaaaa
@annaantony4701
@annaantony4701 3 жыл бұрын
Anna...Anna..Annaaa love u Anna me lakn😂
@kemmyclassic2026
@kemmyclassic2026 3 жыл бұрын
Love u
@annaantony4701
@annaantony4701 3 жыл бұрын
@@kemmyclassic2026 love u too
@theresiakayombo5985
@theresiakayombo5985 3 жыл бұрын
Anna ❤❤
@user-mo1ui4qm7x
@user-mo1ui4qm7x 7 ай бұрын
Ndoa ni stara na pia ni ibada
@annastaziamichael6344
@annastaziamichael6344 3 жыл бұрын
Movie ya Uhuru Anna ulikuwa kazee kweli nilikuwa najua Bibi😅
@priscabuzoya3087
@priscabuzoya3087 3 жыл бұрын
Sadick wapazia 🤣🤣🤣 mume wa Tunnu
@evelinaluvata1471
@evelinaluvata1471 3 жыл бұрын
Ndo alie zaa nae au
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
Anna tabasam lako tuuu❤️❤️❤️
@hafswamaryam7169
@hafswamaryam7169 3 жыл бұрын
Jamn da Dina utulelee na bibi we hujambo nn huwa nacheka sanaa
@rhodaobimbo8511
@rhodaobimbo8511 3 жыл бұрын
Jua kali mmejuwa kuniliza
@marianicholaus9826
@marianicholaus9826 3 жыл бұрын
Ana nimeumia utafikiri kweli nilifikiri mateso yameisha kumbe bado.Kweli jua kali.
@evaakyoo3009
@evaakyoo3009 3 жыл бұрын
Natamani kuwa muigizaji kiukweli
@fettyharoun1333
@fettyharoun1333 3 жыл бұрын
I love you forever anna
@mikombewehu8052
@mikombewehu8052 3 жыл бұрын
Juzi harusi haikua jemeni
@naomymbuyu3058
@naomymbuyu3058 3 жыл бұрын
Na mume mwenyw kapata ajali eeh Anna 😭
@rachelmbeyu4385
@rachelmbeyu4385 3 жыл бұрын
Kilio sana Anna anapata mikosi
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 3 жыл бұрын
Ana Ila juz uliniliza mwenzio dokta temba kupata ajali😭
@rehemamhassan4593
@rehemamhassan4593 3 жыл бұрын
Yani ana leo mi nasubiri hiyo arusi
@pendobmalonja8924
@pendobmalonja8924 3 жыл бұрын
Namuelewa Sana huyu Dada jamani, huwa nikimuangalia natamani hata kulia haswa pale Dr alipopata ajali alivyokuwa anamuomba Mungu kule Hospital jamani,,, Hadi nililia kweli
@aishajuma7813
@aishajuma7813 3 жыл бұрын
Ana 😍😍😍
@humaryasalim7208
@humaryasalim7208 3 жыл бұрын
Naona muda haufiki jaman
@revinastephen3365
@revinastephen3365 3 жыл бұрын
Lamatah umemusikia Kaka Swebe
@jessymalembeka6181
@jessymalembeka6181 3 жыл бұрын
Mie nawasisi jamani hii ndoa ipo kweli??maana duuuuu
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 3 жыл бұрын
Nani kaona sikio la swebe? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆🤣😆🤣😆
@selinamwakiluma7968
@selinamwakiluma7968 3 жыл бұрын
Jamani Anna juzi umeniliza kama ni kweli kumbe maigizo bwana
@rachelmbeyu4385
@rachelmbeyu4385 3 жыл бұрын
Yaani Anna anabahati yakupata mume Ila mamake nimbaya. Harusi yake na Dkt Themba ikaharibika siku ya sherehe. Duu yaani namhurumia
@revinastephen3365
@revinastephen3365 3 жыл бұрын
Kaka Swebe umeoa ,na yeye amesema hana ndoa lakini hajasema hana mchumba
@salmamgumba7946
@salmamgumba7946 3 жыл бұрын
😍💕
@vitreenandeth3457
@vitreenandeth3457 3 жыл бұрын
Kwani huyu kaka wa pazia ni mtangasaji??😂😂😂
@happysindani6708
@happysindani6708 3 жыл бұрын
Ndyo nimtangazaji wa Efm
@revinastephen3365
@revinastephen3365 3 жыл бұрын
Yeye mwenyewe anatendwa emma atafurahishwaje na ndoa ya rafiki yake ,sema inabidi afurahi tu kwa sababu ya Love wa jua kali
@johndavid1593
@johndavid1593 3 жыл бұрын
Anna mm Jana ijumaa umeniliza San pole lakn mm najua una waza tu ciyo kwl doctor temba awez kufa nata Mani iwe ndoto tu
@fadhilamohamed8304
@fadhilamohamed8304 3 жыл бұрын
Heh kumbe Amezaa na cheche wa siri ya mtungi
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 жыл бұрын
Mbona mimi simjui jamani
@fadhilamohamed8304
@fadhilamohamed8304 3 жыл бұрын
@@rithadonatus8110 nenda kasearch tamthilia ya siri ya mtungi halafu utamuona Anna na mumewe bas ndo huyo aliezaa nae
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
@@rithadonatus8110 yule aliyecheza wimbo wa Banana Solo Zona au kwenye Kapuni aliyekuwa mpenzi wa Kajala
@hamzanasry8011
@hamzanasry8011 3 жыл бұрын
🤩
@chunanachu2529
@chunanachu2529 3 жыл бұрын
Nampenda sana swebe
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 жыл бұрын
Anna🌹❤
@bidallamaarifa2840
@bidallamaarifa2840 3 жыл бұрын
Hata hapa yuko desperate in real sense. Nice. Mumuhoji Dominic aliokua jua kali
@rhoidamgaya6206
@rhoidamgaya6206 3 жыл бұрын
Anna unajua kuvaa uhusika,juzi ulinifanya nilie,kwa namna ulivyokuwa unalia na wale watoto baada ya doctor Temba kupata ajaali
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Swebe mdaku
@sadasambuka5053
@sadasambuka5053 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@judithabel8682
@judithabel8682 3 жыл бұрын
Amenifanya nalia Kama mtoto
@jullymshashu856
@jullymshashu856 3 жыл бұрын
Godliver ni fireeeeeeeeeeeee
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 34 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
KILELENI | Full Movie
1:15:49
Adam Leo Studios
Рет қаралды 140 М.
LUKA WA JUA KALI NA SIRI ZA JUA KALI/MWISHO NI HAPA
24:14
Dizzim Online
Рет қаралды 41 М.