KWA HABARI NA MATANGAZO TUPIGIE SASA 0753393036 CALL 0625466848 WHATSAPP
Пікірлер: 37
@MohdAli-fl2ef2 күн бұрын
Hii simba itawashangaza wengi msimu ujao ingawaje wengi walishaikatia tamaa but wacha tusubiri
@davidfelician29032 күн бұрын
Dokta mo du ! Kw icho kikosi we acha tyu tuunde simba iliyokuwa bora
@godfreybitakama98452 күн бұрын
Hakika doctor upo sahihi kabisa
@user-wk2bg8zf3l2 күн бұрын
SIMBA NGUVU MOJA
@josepahatmargwe65042 күн бұрын
Simba bab kubwa sana, Toa Mzambia mzee au used na Wanasajili Kijana hatari new product. ❤❤❤❤
@davidfelician29032 күн бұрын
yeah, tolerance here must be
@JohnKifaru-hz9ir2 күн бұрын
Iwe kweli JAMANI wenzenu tunachkwa huku Moro MALINyi itete Njiwa
@MuammaryAbdalla2 күн бұрын
shida sio kuvumilia mashabiki na viongozi pia wanatakiwa kuvumilia na mwalimu shida yetu tunabadili makocha sana ndo maan timu yetu kila mwaka tunabadili kikosi
@VitalessGalus2 күн бұрын
Chukua maua yako dokitr umeongea vizur xana 🎉🎉🎉
@maimunaathumani91212 күн бұрын
Kweli bakhresa tulegezee kwa feisaly
@emmanuelmayunga15182 күн бұрын
Uko sahihi,simba tumesajili vzr msimu huu ila tusiwape pressure players wetu
@user-sm1zu2mo4b2 күн бұрын
Gidanganyeeeee😂😂😂
@davidfelician29032 күн бұрын
pia, simba ni kiwanda Cha wachezaji bora Africa kumbuka sakho alitoka na goli bora Africa .
@manmanonline63942 күн бұрын
Simba nguvu moja❤❤❤❤❤
@jumanneally33032 күн бұрын
yaani umetaja watu ila tra bita anthony apana wakawaida tena sana idumba yes kama atashindikana simnba tuangalie chaguo jengine
@EmanuelMwambu2 күн бұрын
Anayejua anajua tu,mi naamini tutatoboa msimu huu huu