Mm napitia kipindi hikii sasa na usiku wangu wa leo cjui kama itafika salama asubuii mungu anisaidie sana aliyekuwepo hapa anambie kitu chochote uwenda nikaona kitu tarehe 12 april leo 2024 mungu nivushe salama hapa
@hopingtrust12848 ай бұрын
My situation Now ila mimi nimeshaachilia Aende tu😢
@marthadaniel49045 ай бұрын
Omba MUNGU akupe amani ya moyo,
@ziddyziddy25242 ай бұрын
Hicho ndio cha muhimu@@marthadaniel4904
@StevenGiven6 ай бұрын
Tulioko hapa 2024🎉 tujuane
@frankmsangi Жыл бұрын
Unajua sana broo duuuuuuh 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣💯💯💯💯💯💯💯💯
@medyalfayo20762 жыл бұрын
Yanii brother big up sana maana hiyo halii inatokea sana kwa vijana wengi..lakni kila kitu huwa naamini Ni mapito na mipango ya Mungu..🙏🙏
@frankmsangi Жыл бұрын
Unagusa mule mule Broo yan kitu unachokisema kina uhalisia kabsa yan daah kusudi yako linagusa sana maisha yetu Broo🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
@sekeladuncan329 Жыл бұрын
Najifunza mengi kupitia wewe Joel kiukweli Mungu akuweke mana watu wengi tunaishi ilimradi hatuna furaha
@giftamulike86502 жыл бұрын
Iyo me nahifahamu iyo ishara ya mawasiliano ni mbaya mno ahsanteee sana bro
@frankmsangi Жыл бұрын
Daaah Aisee broo hii point ya kwanza nimeipenda sana umeielezea vizuri sana Aisee Asante san. 🔥🔥🔥🔥💯💯💓💓🙏🙏🙏
@IbrahimIdrisa-tl6wm Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri la kutufunza na kuongeza wigo wa kufahamu zaidi
@agnesspaul1866 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤nikigundua naanza kuboresha hakuna kuachana
@huss6682 жыл бұрын
Mausiano Sahi yamekuwa na changa moto unakuta unaye mpenda nae Ana mpenda mwengine yani Duniani tume kuwa tuna fukuzana subhanallah lakini cha msingi ukiona mtu anaka mbali na wewe nawe kaa mbali nae usilazimishe kuforce kitu ukajitafutia maradhi muache aenda Mungu atakupa kilicho bora zaidi ❤️
@imranmohamed51702 жыл бұрын
Hi
@Swaliha-p5f Жыл бұрын
True
@numohd Жыл бұрын
Kweli kabisaa
@beatricemwaiwishi68335 ай бұрын
Kweli kabisa
@givenmlelwa8412 ай бұрын
Kweli kabisa
@annahngwila Жыл бұрын
Haya nimateso makubwa, sana massage fupi yaani umegusa maisha yangu kabisa
@nassoromussa24232 жыл бұрын
Hii mbaya sana unaachwa na mtu unaempenda kitaratibu....vinauma sana kwakweli.
@bongorecaps35582 жыл бұрын
Ukiona ameanza kukuacha taratibu we muache fasta
@tinahwilliam19182 жыл бұрын
Kabisa
@mawiamusai13622 жыл бұрын
@@bongorecaps3558 si raisi
@bongorecaps35582 жыл бұрын
@@mawiamusai1362 Ni rahisi endapo ukiitambua thamani yako, wakati mwingine unapompenda mtu kupitiliza unampandisha hadhi kiasi kwamba inafikia hatua anaweza kujiona yeye sio level zako, Acha kufanya mambo ambayo hayapewi thamani mbele ya mwenzi wako na usifanye kile ambayo yeye pia hayuko tayari kukifanya kwaajili yako ishi kama kioo chake tu
@gracesilayo76702 жыл бұрын
@@bongorecaps3558 nmeipenda io ila sasa kama mimi cwez najikuta nshafanya nabakia kuumia tyu yan 😭💔
@nanjingasaidi12572 жыл бұрын
Yani brother kama yote unaniongelea Mimi an nayoptia dah bless sn 🙏
@ezekielyohana54542 жыл бұрын
Big up sana broo ,unatoa madin adim sana
@happynescostat74202 жыл бұрын
Pole Sana hayo yamekuwa sehemu ya wanandoa wengi,usikate tamaa endelea kumsikiliza Joel utakuwa sawa,
@immajuzo24402 жыл бұрын
Pola sana ndugu
@zakayooranga28942 жыл бұрын
Yah
@latifaanuary49112 жыл бұрын
Mungu ni mwema sote tunapitoa lkn tujifunze kuwaachilia waende
@LucyMwikola-vc1lc Жыл бұрын
Daaah nimejifunza kaka 🙏
@bernadetachari76482 жыл бұрын
Zipo umesemaukweli sana mafunzoyAko nimazuri sana asante
@annahngwila Жыл бұрын
Aisee, nimelia sana hata kujali , nimependa haya mafundisho
@violethurassa73622 жыл бұрын
Tumeumizwa wengi tunapojaribu kukemea mabaya lakini Mungu yupo anatupigania,
@magrary24552 жыл бұрын
Hali pia mimi iliwahi kunikuta na mpenzi wangu aliniambi niko busy muda wote sikuamini kuhusu kauli hiyo niliamua kufatilia kujua kama kweli alimaanisha nikajua kweli alikuwa akimaanisha na alikuwa anaonekana kama haniitaji katika maisha yake na hatimaye niliamua kukaa mbali na yeye pale nilipoona dalili ya kushindwa hata kufanya mambo yangu kwa kuzidi kwa maumivu. Ahsantee kwa kutupa na suluhisho kwa wakati mwingine tuweze kuitumia.
@geraldlaurent67502 жыл бұрын
Hata Mimi yamenikuta mtu ananiambia Yuko busy mda wote aise inauma Sana
@AngelMassawe-nz9sk11 ай бұрын
Napenda sana kufatilia mafunzo yako ubarikiwe kama Ibrahimu na uzao wake
@irenebosco74112 жыл бұрын
Hali niliyonayo kwa sasa😭😭.moyo unauma na kosa lang mim ni kua mwaminifu
@gracesilayo76702 жыл бұрын
Najikuta naumia acha tyu nina maumivu hadi natetemeka moyo wangu unable majeraha acha tyu unakua mwaminifu mtyu hajali yeye ni kupita na mambo yake tyu hajali kuhusu wewe
@gracesilayo76702 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔
@luiceadam3859 ай бұрын
Mm napitia leo hiii hapa 12 April 2024 cjui kama kesho itafika Salama Hali yangu mbaya sana mungu anisaidie
@happynescostat74202 жыл бұрын
Asante Sana Joel,niliumia Sana nilipofanyiwa hayo yote,nilisikiliza clik yako ya kuondoa msongo wa mawazo,inayosema furaha yako iko mikononi mwako na niambie ninaweza bila Fulani!
@mageurio92422 жыл бұрын
Mimi hayo yote nayapitia
@yeyaboy8045 Жыл бұрын
Yananitokea bro lakn nikimuliza 7bu hanipi
@nox_nation255 Жыл бұрын
Daaaah brother unayo ongea yamenikuta
@FlolaKalan-kg1dp Жыл бұрын
Amen mtumishi ahsantee kwa mafundisho mazur nimejifunza kit kikubwa sana
@shorashora20032 жыл бұрын
Nakukubali sanaa kaka nakuombea ukuze kiwango cha kutuelimishe mimi nimeteseja sana kwakutokewa nahayo mambo❤❤❤
@lukandaguillaume41752 жыл бұрын
Sina lengo la kukupamba mtumishi Wa Mungu. Hii,ndo nafasi yako, unatunafundisha mambo muhimu ambayo hata shuleni ,tulilipa Ada lakini hatukuyapata haya! kwa bei kama yabure, tunapata mambo muhimu sana sana. Najengeka upya kila siku!
@hellendeus78092 жыл бұрын
Mara nyingi tunaowapenda kwa dhati ndio wanaokuja kutuumiza saana ....dah!
@issaathumani76102 жыл бұрын
Kabla hujaamua kumkabidhi mtu moyo wako unapaswa kwanza umjue kuwa ni mtu sahihi ktk maisha yako na ana upendo wa dhati kwako na kujali hisia zako na kutambua thamani yako.Kwa UPENDO ni maisha yako ukikosea kupenda utakosea maisha yako utapoteza furaha yako utajikuta unakuwa mtumwa kwa unayempenda,hivyo ni lazima umshirikishe Muumba wako kwasababu yeye ndiye anayetujua undani wetu kuliko tunavyojijua ametuumba yeye na akatuumbia upendo,kupenda na kupendwa ni ibada sio dhambi bali wale wenye kuwatenda wenzao wakati nyoyoni mwao kumbe wana yao hawa Mungu naye atawadhalilisha pia ikiwa hawatatubia,Mtake msaada Mwenyezimungu Mtukufu na umshirikishe ktk safari yako ya UPENDO yeye peke yake anawajua waja wake wema na wabaya.
@hellendeus78092 жыл бұрын
@@issaathumani7610 thank you.
@husnamohammed8199 Жыл бұрын
@@issaathumani7610 ndio kaka kuna watu wabaya wanafich makuch yao mtu hujifany mwema anakupend vizur kumbe huwa muongo na mtu mbaya utamjuwa mwisho akishakukupotezea mda hivi binaadam ndivyo tilivyo hatupendan kwa ajili ya allah halafu yy mtu anachukulia pow tu wala hajali km anakudanganya na mwish wa siku mtu km huyo hukuach njiani na maumivu yy anaendelea na maisha yke mtihan kwa kweli allah atusitiri
@husnamohammed8199 Жыл бұрын
@@issaathumani7610 lkn mungu huwa analipa utakalo mfanyia mwenzio na ww unakuj kufanyiwa ni malipo hayo mungu huwalipa maana mtu hujitafutia deni la makusud mtu unasema uongo wa makusud uongo sio mzuri
@MwanaShesha3 ай бұрын
Pole tuko weng
@naimamohamedi868 Жыл бұрын
Ila kusema kweli mimi najuta kuolewa na huyu mwanaume Yani najutaaaaaaaaaa kiru chandesa 😭😭😭
@abunationclassic4117 Жыл бұрын
Pole Naima
@ivomhagama97968 ай бұрын
Daaaa unauma pole, wanaume wengi wanachanganyikiwa na wasichana wa 2000
@elishadeulitv27118 ай бұрын
Usijute huyo ndiye chaguo la moyo wako, mwombee MUNGU amponye
@amosmafuru88473 ай бұрын
Hi
@noeljames7960 Жыл бұрын
Ansante mtumishi lakin binafsi kuna mdada nampenda sana lakin yote unayosema yapo Ansanteeee sanaaaa
@HappyPaul-xn3ei Жыл бұрын
Kwelii brooh umeongea kweli
@johnjackson43632 жыл бұрын
Haya yote yamenitokea nashukuru kwa elimu hiii. Imenitesa sana hii Hali na mbaya zaidi imetokea baada ya mm kukosa KAZI
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Niliteseka mimi. 😭Hivyohivyo chuki hasira Ila hivi sasa nipo single
@KigeWegero-vf6cx25 күн бұрын
Daah umetugusa sana Joel mungu akulinde
@timothykengere25352 жыл бұрын
Ukweli mtupu Ndugu Nan 📚📚📚 🎙️ shukran.
@yvesniyongabo9437 Жыл бұрын
Mafundisho mazuri sanaa Joel, asante sanaa
@catherinejackson5614 Жыл бұрын
Joe I like u beyond all the stars aise..upo na madini nakufatilia sana unanifumbua kwa mengi Joe..much love😍🌹🌹
@mapoluchalya2802 жыл бұрын
Kwel kaka yani unatusaidia sana ambao tunafanyiwa haya yote,inauma sana sana mim napitia haya,yote kw yote mungu akubariki kaka
@merinamsofe57982 жыл бұрын
Bro kama unaniongelea mm jamn daaaaanh inaumaa sana
@amanimakury96862 жыл бұрын
Ni kwli
@zuwenaally64032 жыл бұрын
Brother hiyo nikwelii kabisaa nimelia sana mie😭😭😭😭😭imaum sana wallahi???
@nimenyajoseph89592 жыл бұрын
Thank you,nimejifunza jambo SKU yakinikuta nitajua namna ya kukabiliananalo,
@georgiaruhinda17042 жыл бұрын
Napenda mafundisho yako,kweli hayo yanatokea na unakuwa huelewi jinsi ya kuyatatua,nafurahi .
@seraphineniyonzima962 Жыл бұрын
Aah unaingeya kweli kabisa
@gracekazi5492 Жыл бұрын
Daaaaa! Asante sana bro maisha hayo ndo nayaishi sasa😭😭
@nuruanaelisha87312 жыл бұрын
Kaka,Mungu akutangulie ktk maisha Yako,akufungulie njia zako zote unazotaka kufanikisha ktk Jina la Yesu, umeongea ,yote yamenigusa Sana.
@mikeroh4892 жыл бұрын
Hongera Mr, unasaidia Sana Jamii yetu.
@annahngwila Жыл бұрын
Yaani mapenzi
@aishadulla7364 Жыл бұрын
Mm nliogee nae mwaka mzima paka juz ndonabiwa nakupenda ukweli nyuma sikuwa nakupenda moyo ulisimama apo🥺🥺
@eddysonmboya1651 Жыл бұрын
Nashukuru sana mentor nimejifunza vitu vya kutosha, pia kuna dalili umezitaja zinarelate kabisa na anavyofanya mpenzi wangu
@shavakhantz79602 жыл бұрын
We n bora zaidi napenda sana kitu unachokifanya
@ElishaDonald11 ай бұрын
Dahhhhh....nimejifunza kitu
@sarazephania766926 күн бұрын
Daaaah mungu atutetee tu
@rephamalamba86146 ай бұрын
Na leo hii sipo nae, alianza usiri wa mambo mengi, kujenga na mengi kisiri, mawasiliano haba na majibu robo na nusu! Hasira kupitiliza Acha aende, barikiwa mtu wa Mungu nimepata amani kwa fundisho lako
@monicakauky89148 ай бұрын
Ndiyo nimeshawahi kupenda nikafanyiwa kama ulivyosema.Naomba Mungu anisaidie niweze kupenda Tena.
@kizazijeur75182 жыл бұрын
Somo zur dr umegusa sehem muhim San. Hongera
@mkramazani27592 жыл бұрын
I always follow your teaching man love u. Mungu akubariki👌
@upendomracha87635 ай бұрын
Asante kwa mafundisho ya kutufungua macho mimi nimeachwa na mume wangu wa ndoa mika 3 sasa hakuna mawasiliano ya kutosha. Hataki kunipa taraka ila manyanyaso .
@joycejacob6263 Жыл бұрын
Habari za kwako mwalimu
@bizimunguadolphe19732 жыл бұрын
Good job brother 💪
@isacknguvumali34452 жыл бұрын
Brother ume gusa maisha yangu kwa asilimia 100% Mungu akubaliki iseee yani kama umeyaona ninayo yapitia daaa
@josephineleandri1522 жыл бұрын
Pole sana
@تةامممن2 жыл бұрын
Nikwer kabisa hata mm napitia magumu kabisa
@mazwichannel212011 ай бұрын
Thanks Kaka joel .That my situation now kila ulichoongea ndo nakipitia now binafsi nimeamua kukaa kimya nakuendelea na maisha mengine.Mbaya zaidi nipo ndani ya ndoa kaka @joelnanauka
@frida-oi6kw5 ай бұрын
Pole sana 😢😢
@leaahzablon41542 жыл бұрын
🙆Hee...🙌🙌🙏🙏🙏 Hakika n ya kweli hayo...ubarikiwe sana Mr. Joel
@mwanarusiropia83632 жыл бұрын
Shukran sana nime jifunza kitu ubarikiwe bro😢😢😢
@williamloserian59992 жыл бұрын
##Thanks you my brother Joel Nanauka kwa SoMo zur....
@adamsanga062 Жыл бұрын
Yaaani wangu mie nitatizo
@lilianamukoya7156 Жыл бұрын
Mm.nmefikia hapo n I'm happy ,,
@catherinejohnsilvester6516 Жыл бұрын
Asante bro sasa nikijua hivyo nifanyaje
@ChristinaNgimba2 ай бұрын
Asnte mwalimu unatupa elimu vijana ,mungu akubariki.
@bornmwambemba84972 жыл бұрын
Nimekusoma j! Nimejifnza kitu.
@JedyIsack-ec1kx3 ай бұрын
Mhhhhh asante mpendwa nimejifunza, iliwahi kutokea kwenye maisha yangu niliona dalili zote hizo ila nilijipa moyo kwamba labda ni hali ya kawaida lakini mwisho. Kulitokea kila mmja kuwa na maisha yake😢
@kheriramadhan4603 Жыл бұрын
Duh 😢Yani Hapo Dalili Zote Naziona Subir Nichukue Maamuzi Mapema
@devothangovano9729 Жыл бұрын
Yaan
@sharmilarashid62702 жыл бұрын
Dah nilipita haya ty miaka 9 nyuma. Lkn alhamdulilah Sasa imebaki story, Asante kwasomo
@scollalema46742 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri.. MUNGU akubariki 🙏
@mwinjumakombo958 Жыл бұрын
hayo unayoongea brather ndomaisha nnayoish kwenye ndoa kwasasa
@mussakhamis23772 жыл бұрын
My life coarch joel nanauka kwa hakika ww ndio faraja yng
@jacklinebazale5415 Жыл бұрын
Asante sana Kaka
@vailethyona8322 жыл бұрын
Asant wengine tunapenda San mpaka ujinga mwingine no ndug yako Ila inabid umovn
@jacklinedavid5502 жыл бұрын
Ujumbe huu umenigusa sana. Bless you more
@hidayakisensi27472 жыл бұрын
Channel inayonimalizia mb zangu barikiwa sana kaka joel🙏🏻
@lovenoor9882 жыл бұрын
Ahsante kaka kwa somo zuri Mungu akubariki
@ruthmoses65652 жыл бұрын
My teacher,be blessed sana
@DionistaMsack10 ай бұрын
Najifunza mengi sana jamni hiyo imenitokea ila kwenye mahusiano Kuna changamoto
@janethkomba44852 жыл бұрын
daaaaa wewe umeona safar yangu ninayopitiya🙏
@تةامممن2 жыл бұрын
Kwakwer kabisa hata mm njo ivo
@fungukamedia45452 жыл бұрын
Au unajua maisha yangu
@magejay47152 жыл бұрын
Hahaha😄😄😄😄😄😄daah
@naimakegna6534 Жыл бұрын
Pliz naomba no Yako
@neemashirima61212 жыл бұрын
ubarikiwe hayo ndo mm napitia kwa Sasa.
@mawiamusai13622 жыл бұрын
Hiii video nairundia rundia sijui kwa nn mungu akubarikii kaka
@fathimamohamed6842 жыл бұрын
Mafunzo mazuri👌
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Kwel Kaka nayajuwa hayo
@ismailramadhan14932 жыл бұрын
Blessed sana brother
@AbdulKifundo-xp2jd Жыл бұрын
Dalili zote hizo ulizozitaja zimetokea kwa mke wangu
@ivomhagama97968 ай бұрын
Pole Kuna jitu nje linahusika hapo .
@tinakisonga795 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@dr.bonye12 жыл бұрын
Thank you my brother 🙏
@ranayuhase1405 Жыл бұрын
Ndioo vyote ndio napitiaa ila natokaje jamani daa 😭😭😭😭
@khadijajuma71422 жыл бұрын
Mm ndo napitia kipindi hiki aisee!!!! Hadi najishangaa, mtu niliekua nampenda, sitamani nimpoteze, akisema anaumwa naomba kila saa Mungu amsaidie apone haraka, nilikua nakosa furaha kabisaa hata nikihisi kuna kitu nimekosea. Imekuja kutokea kila mara anaongea maneno yakujirudia na yananiumiza vibaya sana, yeye anaona kawaida nikajikuta nimemchukia nakuomba tena Mungu aniweke mbali nae 😥😢 Yaani upendo niliokua nampenda umeyeyuka hadi anahisi labda nina mpenzi mwengine lakin sinaa. Dalili zote zinanihusu sasà miezi 2....
@reginaldipeter22722 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa Huduma nzuri Mungu akulinde (Zekaria 2:5)